Wednesday, May 29, 2013

NO MORE, ALBERT MANGWEA

RIP Albert Mangwair
mzee wa speed 120

Ngwair akiwa na Mage SA
hii ndiyo siku ya mwisho niliyoongea
 na marehemu


Below ni Video ya Ngwair ambayo BossLady wa Tanzania alikuwa kama mlimbwende she got a gwan

Kwakweli mengi yamesemwa mpaka sasa siamini ni Ngwair ambaye niliongea naye three weeks ago ??

my question was Ngwea mbona hurudi halafu siku hizi nasikia unatumia unga wa sembe umefundishwa na nani lihiii?? hapana sista Sintah wewe hujui wabongo wanavyojua kuchonga na kuongea mengi
mimi sivuti kabisa,, yesuu na maria na yosefa ni hichohicho ndio kimemuondoa duniani kweli mficha maradhi kifo humuumbua.

he is gone, ila kwa wale waliobaki jamani jamani vijana tunaisha na madawa ya kulevya,, why??  i'm hurt ila ngoja niongee nasikia vibaya sana kwa msanii mdogo kama Albert afe kwa  too much alcohol  and  drug overdose.

tutaendelea kupata updates kwa reporter wetu ambaye yupo South Africa (Mage H) ambaye anaelekea hosp muda huu.

Ngwea alikuwa na M 2 the P (Mgaza) mpaka 2hrs ago alikuwa mahututi hospital, tumuombee apone na atuelezee mkasa ulivyokuwa, daah Ngwea

ukweli ktk kwa God ambaye ndio walienda kufuata mizigo kurudi Dar  na Air Rwanda, Ngwea alifariki asubuhi saa kumi na moja jana 

mwili wake upo st Hellen Johannerburg

Rest in Peace Albert Mangwea

76 comments:

 1. Hivi we unajielewa kweli? Hadi utoe haya maneno kuwa kafa kwa madawa unaushahidi?watu wengi wamesikitishwa na kifo hiki lkn hawajaropoka kama wewe kweli ubongo wako umechanganyika na mavi.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ni kweli amekufa kwa unga, sasa unabisha nini? wewe ndo uliechanganyika na mavi ubongoni maana unatukana wanaojua wakati wewe ndo zumbukuku ulimwengu uko huku

   Delete
  2. Wewe Siri za nini he died with drug overdose

   Delete
  3. Drug addicts hide themselves ,they manipulate people and lie .Always broke

   Delete
  4. My brother was a drug addict he lied and hide it .Wako very selfish na inatesa family wazazi na Ina tia huruma mzazi hata usingizi halali.Namshukuru mungu kaka angu alikuwa rehab USA huko na akapata mwanamke imara aiyeendekeza mambo hayo .waneoana ila kaka angu huko so behind kimaendeleo na akili yake kidogo iko behind .Its very hard to the family memba .

   Delete
  5. ni kweli kafa kwa unga unataka tufiche ili ieje...,na tid asipoacha katika kipindi hiki baci naye ndo yatakayomkuta, aisha madinda cku hizi kapona cjui wasanii wameshikiwa akili na nanii jamani

   Delete
 2. Rip mangwea nilidate naye years way back watu walikuwa wanamsema anatumia unga na kila nikimuuliza alikuwa anakuwa mkali anaweza hata kuzira na kuniacha nilipokuwa,ila alikuwa ni mlevi hatari sana ushauri vijana tunaposhauriwa kitu tuwe tunaskia ngwea kama ni unga kaanza three to four years back namm nahisi ni kweli alikuwa anatumia japo alikuwa anakataa ila matendo yake yalikuwa na ulakin all all he is gone now,was a loving man anyway and guuuud in bed kitu kama cha diamond pale kati

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mmh wee leah nawe hebu Lea mtoto huko ndo kwanza mwezi w pili...ndio tunajua alikua anakufata moro kukupa dudu...kwani na diamond ushamjaribu???mmh c ajabu hata Huyo mtoto huna hakika baba yake nani ovyooo

   Delete
  2. Naskia wala unga kitandani watamu balaa na hamalizi haraka lol

   Delete
 3. Bibi kizee wewe ushaanza unafki wako huna haya mwanamke kila sehemu uhemee ww mmmmmmxiiio. Kwani Ngwea unga kaanza leo mpk sura ilikua inamchubuka kwa madawa huku ona mpk 3 wks ago?? Kadanganye mafala wenzio mjinga ww! rip Ngwea one of th greatest musicians this nation had th priviledge to have! So sad!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sasa we nae matusi ya nini? me mwenyewe ndo nimejua leo kwamba alikuwa anavuta unga, unataka kila mtu awe alikuwa anajua kwamba alikuwa anavuta unga kitambo kwani si ndo tuliokuwa tunamuuzia? watu wengine bwana

   Delete
  2. wakuletwa kuonyeshwa intanet cafe imekua shida? ebu pisha km hupend matusi humu usiingie,ngwea mwenyewe umeoneshwa kwenye picha leo utajulia wapi alikua mzee wa sembe? uyo sinta never talked to mangwea ni mafala km nyie buy that shit fanya urud kijijin kwenu wamekumiss naskia we ndo ulikua mjanja wao

   Delete
  3. If you hate this blog why are you here.

   Delete
  4. Mwanamke mbona una gubu hivo? Kwani vipi mbona jazba shurti povu lakufurumia mdomoni..calm down lady ka umepigwa na mmeo tafuta sehemu nyingine ya kwenda kutolea hasira, kisa cha kumparamia mwana wa mwenzio na mitusi asubuisubui!!!usituletee mikosi yako umu ndani, choonde chonde kha!!!heshima mbona ni kitu cha bure hata kama huonekani..

   Delete
 4. Mficha maradhi kifo humuumbua! Pumzika kwa amani albert mangwea!

  ReplyDelete
 5. HAHAHAH NDIO MAAANA ANACONDA KAKATAA KUSIFIWA NA KUTANGAZWA SIKU AKIFA , I CAN UNDERSTAND NOW

  ReplyDelete
 6. death is certain for everyone ata km huvuti unga, lets av respect for the dead jmn, sinta bora ww umeandka vizur miami aliandika vibaya sn jana na kujaza sifa zake za kijinga as if kifo halijatouch kbs yn jana niliamn kweli miami ana masifa ya kijinga ila afazali ameedit hiyo article now, nimejaribu kucoment kule amebania kwaiyo msojiahongondoe kunitukana, FREEDOM OF SPEECH, ata mkimlaum ngwair na unga hatafufuka mngemsema mabloguni akiwa hai, RIP mangwea tutakukumbuka adi nasi tutakapokuja huko.

  ReplyDelete
 7. Rest In Peace Ngwair

  ReplyDelete
 8. ANOY 7.37AM HADI UTUKANE MBONA ULICHOANDIKA HAKIJI MTU ASISEME YA MOYONI...NI KWELI NA PIA KUMBUKA KUNA VIJANA WALOBAKI DIZAIN YAKINA NGWEA THEY NEED TO CHANGE....NI WAKATI WA KUWEKA WAZI HW WAS DRUG ADDICT....MWISHO WAKE NDO HUO..WAKO WAPI MALEGENDARY WHITNEY...SAME SHIT SO VIJANA WENZANGU VITU VYA KUIGA VINAMWISHO MMBAYA......TID,WENGINEO PUNGUZENI MTAKUFA VIFO VYA AIBU...REAL ITS HURTS KUMPOTEZA MKALI WA LYRICS TUMWOMBEE APUMZIKE KWA AMANI......HE IS LEGEND WE ALL KNOW THAT...BUT WATU WATUMIA SEMBE BE AWARE HIYO NI SUMU...IWAENDEE WOTE WANAOUZA NI LAANA KWA MUNGU NA KWA WAZAZI WA WATOTO WOYE WANAOTUMIA SEMBE.....ITS HURTS KWAKWELI......SIO MTU HUNA CHA KUCHANGIA UNATUKANA HAPA PLEASE BETTER UKAE KIMYA HUU SIO MDA WA MALUMBANO..WE NEED TO PRAY FOR HIM.....NA WENGINE PIA...MY CONDOLESENCE TO ALL YA....RIP ALBERT...

  ReplyDelete
  Replies
  1. ya moyoni yepi aliosema uyu mpumbav? kujidandisha kwenye migongo ya watu wamtoe leo anajidandisha kwa marehemu! eti nlimuuliza akakataa nyoooooooo..! anoy 3:37 hajakosea kumchana uyu ajuza kazid,hatoki mpk kwa migongo ya watu naskia saiv anamsaka vanesa awe besti yake,bania

   Delete
 9. Rip ngwear, u lived a life to the full, drugs ulipumzisha ukaanza upya tena, oh ngwear ngwear,

  ReplyDelete
 10. jaman miji2 mingine kuweni wastaarabu. Sa ww unaesema umemdate gwea na bla bla kibao inahusu nn!? Cungeandika u2mbo huo akiwa hai? Shame on u!

  ReplyDelete
  Replies
  1. kama kweli alimdet asiseme??? na wewe c useme yule muuza samaki unae mdet

   Delete
 11. Una uhakika ni unga ndio umemuua? Tatizo lako unapenda kuropoka na huna uhakika hata kdg! Wat if km waliwekewa sumu! Maana waliibiwa kila kitu na inasemekana na mwenzie M to the P kavuta nae already.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Media karibia zote zinasema hivyo, fala wewe

   Delete
  2. Fala mwenyewe kenge maji weeeee....na ikithibitika ni sumu lazima nikutafute maana ww ndo utakuwa muuaji....Kibwabwa weeeee

   Delete
  3. sasa we mwenyewe mbea kutuambia mwenzie kafa kumbe hajafa..pili hata safari ya south likuwa si kwa ajili ya show ni miunga hiyo hiyo ...TID ACHA UNGA JAMANII YANI CKU HIZI SAUTI HAKUNA UKICHEZA UNAPEPESUKA TUNAJUA UMEANZA CKU NYINGI BTHATA MNYAMA MWENZIO ALIANZA CKU NYINGI PIA NOW AMEENDA...HATA NYIE MNAOTUMIA COCAIN NA KUJIPA MOYO HEROIN NDO MBAYA JAMN MWISHO NI HUO HUO TU

   Delete
 12. Sinta cha uongo, mxiiii! Eti 3weeks ago! Shakunaku wewe, na I doubt kama uliongea nae hata, mxiiii

  ReplyDelete
  Replies
  1. sasa dada misonyo yote ya nini..dah

   Delete
  2. KAMA YEYE CHAKUNUKA BASI WEWE MPENDA HARUSI, WAFATA NINI KWENYE BLOG YAKE?

   Delete
  3. anoy ata mi nakubaliana naww! 3 weeks ago my ass!

   Delete
 13. Lazima ukweli usemwe, sio kufichaficha huku vijana wanaangamia kila siku kwa madawa ya kulevya. Binadamu wote tutakufa lakini vifo vingine ni vya kujitakia. Kiukweli Ngwair nlikuwa namfeel sana hata mashairi yake yameenda shule, lakini hakuna excuse kutumia madawa ya kulevya. Hata walioko SA wanasema ukweli kafa kwa overdose ya unga kila mtu ajue hilo.
  Sinta big up sana kwa kuyasema haya, manake wengine wanafiicha eti sababu za kifo hazijulikani wakati swala lipo wazi kabisa ni overdose ya unga! Na hii iwe fundisho kwa wengine hasa hao hao wasanii. Kuna wengine wameponea chupuchupu, akina Ray C na Q chilla ni mfano tosha.
  Na kwenye Msiba mnaposoma wasifu wa marehemu wekeni wazi kabisa kwamba amekufa kwa pombe na overdose ya madawa ya kulevya. Msidanganye umma hapa eti repoti ya kidaktari imeandikwa kitaalam haieleweki loh? “Drug abuse n overdose plus too much alcohol. Full stop”

  ReplyDelete
 14. out of mada ya leo kumbe dgo diamond kwenye acount yke ana bilioni kadhaaaaaaaa hivi kumbe yuko juu dgo chinekeeeeeeeeeee mhhhh.hongera dgo nilimsikiliza kwenye cloudz tv kipindi cha take one cha zamaradi na kasema hizo bilion hazijawahi kushuka hongera zako mwaya............... tena sanaaaaaaaaaaaaa.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Cyo bilioni ni milionz jipange

   Delete
  2. Ww hawe na billions c angejenga nyumba kwa mwez?nyumba kajenga miaka 3 utasemaje anabilion?

   Delete
 15. to me juma mchopanga,albert mangwair are the legendary,hitmaker of bongo flavour kuanzia nymbo zao za kwanza mwanzo mwisho hawajawah kukosea.jamani jaman so sad indeed ngwair umeondoka mapema.pamoja na yote nan aliwaambia hawa vijana wadogo sembe ni ujanja na tena most of the time mkifanyiwa interview kwenye media tofaut mnakataaga haswa huyu khaleed mohamed sijui tid unaona mwenzako alivyoumbuka sasa sijui ni wananchi wanachonga sana sista sinta au hiyo ni hali halisi.top in dar the next will be wewe usipoacha mara moja unamtesa sana mama yako huo sio ujanja acha sembeeeeeee

  ReplyDelete
  Replies
  1. Silipendi hilo top in dar anafundisha wenzie wengi kula hiyo midude,na sijui kama hajamfundisha kinana lol mungu aepushie mbali

   Delete
 16. Mwenyeji wao huko SA alihojiwa na tbc taifa anasema ni drugs ndio zilizomuua

  ReplyDelete
 17. Nasikia mtaa wa pili. Wamejibebesha mimba ili tujuwe wanapendwa. Halooooooo. Vizee vinabeba mimba navyo eti kumuiga Bayonce na Kim na Penny....hahaaaaaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ha ha ha!...mtakufa kwa pressure mwaka huu,mkikaa kumfatilia mama miami!..fanya yako bibi ujikomboe utoke kwenye huo umaskini uliyopitiliza!..angalia na wewe usijioverdose bure ka ngwea,kisa maisha ya mange!...mwaya sinta nakupenda sana!..fanya yako,achana na hao vinuka uchi,kukicha kuchonganisha!..#ni hayo tu

   Delete
  2. And by the way,it's Beyonce,not Bayonce #thank me later

   Delete
  3. Jamani bidada utakufa kabla ya siku zako mwenzio anandoa yake kuliko hao unaowasifia eti penny hiyo ndoa aliifungia wapi? ameamua aongeze mwanfamilia mwingine mbona watu mna midimo michafu naomna hiyo? kutaka kugombanisha watu kama uzazi anao mwache azae kwa raha zake wako waotafuta hawapati, uzee kwa wakati wake na wewe unayejifanya msichana utafika huko huko kwa wakati wako.

   Delete
  4. We nawe tuondokee uko ana uzee gani yule? Yeye na sinta nani mkubwa? Acha chuki ndiyo anapendwa na mume wake so wht.hovyoo tafuta wa kwako ushazowea kudandia waume za watu hadi unaanza kuchukia wenye waume zao hilooooooooooooooooooooo eti mzee na wewe una miaka mingapi na umetoa mimba ngapi.utajibeba kwa raha zake anazaa na mume wake omba mungu upate wako nawe uzae

   Delete
  5. we nae mtu mzima ovyoooo

   Delete
  6. hivi wewe n mwehu gan usiyeelewa...mbona w2 wengne mnatia kichefuchefu!!!!sintah amepost kuhsu msiba,ww na kiherehere chako unaanza ya mtaa wa pili ss sisi inatuhusu nini!!!Nyambafu

   Delete
  7. Kujibebesha ili mume asiondoke Chezea wewe.

   Delete
 18. Wewe mama ako ana hasara sana kukuzaa,wenzio tunaomboleza wewe uko
  Bize mtaa wa pili ooh wanabeba mimba sasa we inakuhusu na we beba kama huna kizazi shut the fuck up,mxiuuuu mijitu mingine inatia hasira mnawaza uchochezi tu,kenge we.....RIP ngwear aka cowbama

  ReplyDelete
 19. we nae habari ya msiba na mimba za mtaa wa pili wapi na wapi...watu mmejaa umbea kila wakati...utaishia hivyo hivyo hata ukijichubua matako hayatakati kwa kukalia umbeya...shenzi wewe....

  ReplyDelete
 20. kumaninazenu wote kuanzia mwenye blog adi wote

  ReplyDelete
  Replies
  1. hadi wewe kunaninazako...... ha ha ha ha joto hasira

   Delete
 21. R.i.p albert. Kina qchillah.tid.ibra da hustla.gnako. Na wengineo unga nux ebu acheni bas ingien na uoga maana mwenzenu ndo uliomuua. Kwan hamjaona starehe mpk mvute unga??

  ReplyDelete
 22. Sinta,ingawa tuna majoz ya msanii wetu,lakini iweke hii habar ya ajabu na miujiza iliyo tokea uko china,mtoto alie okolewa kwenye pipe ya majitaka akiwa hai,inapatikana kwenye web hii www.asiaone.com

  ReplyDelete
 23. Rest In Peace Albert

  ReplyDelete
 24. duh Wabongo kweli noma, sasa hapo Sinta karopoka nn! zaidi anatoa fundisho kwa waliobaki na wanaotumia hayo madawa, ni hatariii sana jamaniii!!!!

  ReplyDelete
 25. YATAKUSHINDA SHOST,KUTWA UKO MTAA WA PILI UNATAFUTA UMBEA ,KAMA WEWE MIMBA IMEGOMA KUNASA SI UENDE KWA KALUMANZIRA, JOTO HASIRA LA NINI,TOPIC NI MANGWEA WEWE USHARUKIA MTAA WA PILI,MMH BINAADAM KAZI KWELIKWELI

  ReplyDelete
 26. M 2 the P nae kaaga Dunia...so sad wapumzike kwa Aman...

  ps ww anony 10:24am mtaa wa pili unakuhusu nn? na ww kajibebeshe bas uone kama ndo sababu ya kupendwa...acha roho ya kwann hapa ni kuhusu ngwair then y mtaa wa pili...jifunze msichana mdomo utakuponza lol

  ReplyDelete
 27. Heheh kitauma sana ndio anapendwa anamimba na atazaa ki bby ki cute kama kawa,siukamwambie kwa blog yake huku unatafuta nin,et penny ndo hvyo penny anapendwa bib we we sijui anakupenda nani,kalale huna bwana utabaki hvy hvy na majungu

  ReplyDelete
 28. HUYO WA MTAA WA PILI KUZAA SI YEYE NA FAMILIA YAKE NA MMEWE NDIO RAHA YA NDOA MWANAMKE SIO PAMBO SHURTI KUINGIA LABOR KA UMEJALIWA NA KWA WALE HAWAJAOLEWA KUZAA SI HOJA VILE VILE WENGINE WANAKULA BATA KARAHA HAWAZITAKI NI CHOICE UTAFUNE AU UMEZE HATA AKIZAA ISHIRINI NI WAKE NA HATUHITAJI MATANGAZO YA MIMBA HAYATUHUSU MWENDO ULEULE WA KUENDELEA KUJISTAREHESHA WHY USIIGE WAZEE KA BELLA WANTONG UNAZAA KA CHURA BT HONGERA ZAKO MAREKANI UTAFAIDI NA VITOTO KIBAO

  ReplyDelete
 29. Mdau hapo juu umelonga ukwee. Mimba za zisizokuwa zimeplaniwa. Eti amuonyeshee Stella kuwa yeye anazaa watoto na baba mmoja.....wera weraaaaa

  ReplyDelete
 30. Mijitu mingine michawi tuu. Chessini pesa meen.. Na kama unadate tafuta wa maana stress ni mbaya kuliko drugs.
  Sintah said what she had to..
  Nyie povu zenu na vikamasi vyembamba mnapumulia humu..paka nyie!! Maaanina senu

  ReplyDelete
 31. Sasa mnaokataa au kusema Sinta kasema vibaya,ubaya uko wapi hapo???hebu fungueni kajunason blog tayari keshaweka ripoti ya daktari kuwa kilimuua ni pombe kali,drug overdose na eating disorder yani anakula sembe starehe huku hapati msosi wa kutosha kwaiyo mishipa ya kupulia ikafeli hence his death..muwe mnakubali ukweli na ukweli lazima usemwe,sasa watu wakikaa kimya hao waliobaki watajuaje ukweli????naitwa KIMAMATI

  ReplyDelete
 32. Nothing but the truthMay 29, 2013 at 3:14 PM

  RIP Albert. Ndugu zangu, marehemu hutajwa kwa mema yake aliyotenda duniani na mabaya yake husitiriwa. Huko alipoelekea ndipo kwenye judgement ambako atahukumiwa kwa mabaya yake na atalipwa kwa mema yake. Kuna mambo mazuri mengi sana kuhusiana na ngwea kwa nini tusiyazungumzie hayo? Safari hiyo ni ya wote na kila mmoja kwa wakate wake ameandikiwa namna atakavyoondoka duniani hivyo wakati tukiomboleza kifo cha mwenzetu Albert tuendelee kutafakari kwamba sisi tutakufaje??? Kama ambavyo mwenzetu GK alijiuliza.

  ReplyDelete
  Replies
  1. WELL SAID NDUGU. KUFA KWA MANGWEA SI KWAMBA YEYE NI MJINGA NA SISI TULIO HAI LEO NI WAJANJA. BOTTOM LINE NI KWAMBA MUNGU NDIYE ANAEPANGA NANI ATAKUFA LINI NA KIFO CHAKE KITATOKEAJE. AFADHALI MWENZETU MANGWEA AMEKUFA AKIWA USINGIZINI JE WEWE UNAYESHABIKIA UNAJUA UTAKUFAJE?

   Delete
 33. M 2 THE P HAJAFA BADO YUPO HOSPITAL ACHEN KUZUSHA....BLACK SWINE!

  ReplyDelete
 34. Hamna aliemsema vibaya. Ila watu wanaongelea jinsi alivio kufa na chanzo cha kifo chake. Madawa ya kelevia ndio yaliemUuwa. Kuna ubaya jamani. Unataka watu waseme kapata pressure wakati kala sembe. Call a spade a spade man.

  ReplyDelete
 35. Replies
  1. Mchina wake umeisha charge na mwenyekiti wa mtaa kamkatalia kumchajia simu yake.maana mtaa mzima umeme upo kwa mwenyekiti wao tu

   Delete
 36. RIP BROO NGWAIR WÉ WILL ALWAYS LOVE U À LOT JAMANI ACHENI KUWA WANAFKI. ITS TRUE HE WAS ADECTED WITH DRUGS LOL THANX CEOS FOR LETING US KNOWN ABOUT HIM ATAMKIBISHA NDO HABARI

  RIP NGWAIR

  CEOS MADE TINANNHO

  ReplyDelete
 37. Wewe apo juu acha kumchafua G nako hali unga kabsaa na yuko bright kichwani sio mjinga mjinga tu correct u next sema lord eyes umeniboa sana wewe chauongo

  ReplyDelete
 38. Hakuna kitu kibaya duniani kama stress na maisha kukubadilikia ngwea aliishiwa kabisa marafiki wakapotea clouds wakamtema nyimbo hawakupiga show hawakumpa msilaumu nyie watu when u have nuthing pombe inaweza kuwa rafiki unga unaweza kuwa rafiki sio kwa kutaka bali kupata pumziko kusahau matatizo yako sio wote tunaweza kuhimili misongo ya mawazo na mabadiliko ya maisha ndio maana kuna wanaojinyonga msihukumu mkaja mkahukumiwa furaha ikiondoka kwenye maisha yako kutamani kifo si ajabu rip ngwea lala upumzike umeteseka vya kutoshs

  ReplyDelete
 39. Nackia eti walikua wamebeba madawa ya kulevya ndo yakawafungukia tumboni alianza ngwea kujickia kiznguzngu wakaogopa kumpeleka hospital mara na MP akaanza kujickia hovyo ya kweli hayo au uzushi???

  ReplyDelete
 40. jamani wote niliokwishasikia mnatajwatajwa kuwa nanyi mmo katika hii isssue ya unga acheni jamani, TID, majani, na wengineo acheniiiiiiii mtakufa oneni ngwea alivyozimika hebu pateni fundisho jamani mbona starehe ziko nyingi, msihuzunishe familia zenu oneeni huruma wazazi wenu waliowatesekea hadi mkafika mlipo heee, oneni RC na urembo wake wote ona alivyo sasa mmmhh so bad inaniuma sana sana

  ReplyDelete
 41. Kila mtu atakufa na kifo chake watu wanakufa kwa mabaya mangapi na mnakaa kimya na hamtoi ushauri wowote , leo hii unga ndio mnaona unasababisha kifo na hizo ngono mnazofanya tena si salama hadi mnaingiliana kinyume cha maumbile mbona hamsemi nazo ni hatari. Watanzania acheni maneno maneno kila mtu atakufa kwa own style na yapo mengi ya hatari si kufa kwa unga pekee, siku zote maisha ndiyo yanayotufanya tufanye mambo mabaya na mazuri na Mungu pekee ndiyo judge, let me say imekuwa bahati mbaya kwa Ngwea na mungu kampenda zaidi.

  ReplyDelete