Thursday, May 23, 2013

TRUTH THAT WE NEED TO TELL OURSELVES

only the strongest will survive
Cute Fatner
Ceo
Ms Christine
me & my fan 
Fatner n Unstoppable
mama Sintah mamaa

Seriously sweet lovies  leo nimekutana na dada ambaye ameandikwa ktk comments kuhusishwa na mambo ya ajabu huko ktk groups za ajabu fb.
as im always simple n allow fans to chat,meet with Unstoppable ili kujadili moja na mbili katika maisha ya binaadamu na haswa katika website yetu.
nilipenda sana she is humble,down to earth lady.

naomba ujue hili kuanzia leo sito approve comment yeyote ya uchafu, ninakaribisha comments za kuelewana na kuambiana ukweli ila si katika lugha za matusi.


huyu dada amenisikitisha sana na yake ya moyoni so wale vifurugobe mnaojua kusema watu kwa lugha za matusi napiga FULL STOP. ukiona comment haijawa approved  jua umeandika tusi katkati, Yes tumseme mtu ktk lugha ya kueleweka sio kumtukana na kuingiza matusi katikati.
Sincerely.


89 comments:

 1. Fatner nadhani katika hili kuna kitu umejifunza. kupitia hili lako wengine tumepata degree mumie. Pole sana maana uchungu uliopata kwa hili la kusingiziwa naweza nikafeel is how much. Pole sana na katika matusi yote najua kuna masomo pia umepata beba unayoona yatakufaa kujifunza acha yale unayoona hayana faida kwako

  ReplyDelete
  Replies
  1. acha kujifanya kungwi weweeee yako yanakushinda utayaweza ya watu ovyooo jiangalie kwenye kioo kabla hujafungua domo lako kama una nia nzuri na Fatner kamwambie usoni kwa nini unajificha humu kwenye blog kujiita anoy mijitu kama nyie ndio minafiki ya kutupa kule

   Delete
  2. Msukule wa SintahMay 23, 2013 at 10:42 AM

   Word ma CEO kuna wadau humu ni mahater wanatumia blog kuanzia mabifu acheni zenu hizo wadada kama Fatner kakuzidi uzuri, kazi, kisomo, pesa, ndio dunia It is what it is na wewe katafute maisha yako utashinda unatoa mapovu ya mdomo humu na majina ya Anoy the bottom line unabakia umefulia na Fatner anazidi kukipaisha nani kanuna

   back to Fatner mamito dear wangu WHAT DOESN'T KILL YOU MAKE YOU STRONGER achana na wanafiki wanakuogopa ndio maaana wanajibanza kwenye blog kuhate endelea kuwakimbiza shosti nikikuangalia kwa haraka una sura na body la kufa mtu ndio maana vifurumbwendo vinatweta vya wivu wapotezee mpenzi your better than that

   Delete
 2. Duh hiyo picha ya kwanza.au ndo unazeeeka maana mh

  ReplyDelete
  Replies
  1. Msukule wa SintahMay 23, 2013 at 10:54 AM

   shani hujafa tu tuje kula hitma binadamu kama wewe mnatumalizia oxygen watu wenye maana zetu

   Delete
  2. Kati ya maajabu 7 nazani na hili limo la msukule kudai hitma.

   Delete
  3. Nenda
   Kwenye blog yenu huko
   Mtuachie CEO wetu the one and only one Sintah .Your hair inawachanganya Watu akili weyeeee

   Delete
 3. Pendeza sana my ceo usiache unachopaka mumy lukin howtty mbaya mx manongi na kuhusu huyo dada mi naona anatafuta umaarufu nuthing else kwan anatumia nguvu nying sana kujulukana fb what for?na wewe ceo ukikubali kuweka watu kwenye blog ndo ivyo unawapa umaarufu wanaotaka maana kwa sas sintah.com ndo habaree ya mujini ukweli tupeane tu jaman so ts up to u mamaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Msukule wa SintahMay 23, 2013 at 10:56 AM

   Sintalicious pendeza dear wangu hatareee mhhh CEO hii milipuko shoger you look smoking hooot hapa naona mvuke tu kama nachemsha maji ya moto vileeee

   Delete
  2. Masikini we kweli msukule hadi top ya elfu 16 inakuonesha mvuko loooh.hahhaaaa

   Delete
  3. Sinta anazidi kuwa mzuri aisee
   inabidi utuambie siri ya urembo. Sinta wewe ni msupa.

   Delete
  4. Umependeza mnoooooo Una kichwa kizuri .uko hoooooooooot mnooooo.Hug my CEO the only one our Influential CEO.

   Delete
  5. Msukule wa SintahMay 23, 2013 at 9:55 PM

   shani siku zako za mwezini zimekaribia? tuondolee joto hasira humu

   Delete
  6. Wewe Sintah mutoto wa kitanzania ni msupuuu mno .Niaje ?ukuje Kenya basi nimependa hiyo nywele Yako na mwili .

   Delete
 4. Mh!kutanoga kweli??...ntarudi!

  ReplyDelete
 5. Well, then no comment..miwani ka welder..

  ReplyDelete
 6. sinta unatarajia mtt?maana naona unajitahidi kulificha tumbo lako kwa mkono,za jana umelificha na miguu,but u look mwaaa

  ReplyDelete
 7. SANTEE SINTA, sure Fatner she is real humble,

  ReplyDelete
  Replies
  1. huyu alieandika hapa lazima atakua Fatner mwenyewe.

   Delete
 8. umependeza sana sinta!!!!

  ReplyDelete
 9. B.t w umependeza mnoo the hair,the top the shoes on point...

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ubakie na style hii you look sexy

   Delete
  2. Extremely sexy hii style hii ya nywele imetengenezwa kwa kichwa Kama chako.Hongera

   Delete
 10. cha muhimu Fatner badilika tu...na muache kutukana na kuwananga watu fb wanapokuja waomba msaada...hii inaonyesha hata wewe Fatner hujakamilika na tukisema kweli tukunyooshee sana vidole unaona jinsi ulivyojisikia vibaya,basi ndo ujue hata watu wanapokuja BR kuomba ushauri/msaada wanakuwa wao binafsi wameshindwa kuyabeba...sa mkiwananga ndo mnawazidishia mzigo zaidi ya ule walioubeba....sintah katumia busara kujitahidi kukusafisha ila ukweli unaujua wewe...kama unatabia ya usagaji iache mara moja,mbona we ni mrembo tu kwa nini ukubali kusagwa?pia ushauri mwingine Vai anakupotosha wengi wanaokujua wamekuwa wanakwambia umebadilika..wewe hushangai?hushtuki tu kwa nini watu wanakwambia umebadilika?watu wanakupenda ndo maana wanakwambia ili ubadilike uwe mdada mzuri kama ulivyokuwa mwanzo....achana na uadmin,achana na huyo Vai...ishi maisha yako kama mwanzo!!!kila la heri

  ReplyDelete
  Replies
  1. Msukule wa SintahMay 23, 2013 at 10:52 AM

   shosti umejieleza lakini bottom line ni mbea ukute ndio uliyoanzisha hili bifu ona unavotweta na mapovu ya mdomo wewe ndio wale mnaopenda kujifanya matron wa kichina unaposema aache usagaji umekua nani mpaka umkataze kama kuma ni yake kama maisha ya usagaji ni yake hayakuhusu bibi maisha ya mtu angalia yako ya watu waachie wenyewe kinakuuma nini mtu na mtindo wake wa maisha hebu jiangalie kwenye kioo halafu useme SELF SHUUUT THE FUCK OFF hilo la kuomba msaada kama ulinangwa ukome kupeleka shida zako facebook kuna wadada mmezoea hamjui kuvumilia shida wala kuweka ya rohoni kucha mnaropokaropoka kwa kila mtu haya umekomeshwa facebook sio pa kupelekea shida zenu lala mbele nisikuone tena humu mnafiki mkubwa

   Delete
  2. we ndo mnafiki mkubwa..kutwa kumsifia face book hafu mnakuja huku kumnanga....soma maelezo na sio ukurupuke tu!!sa ukitukana umnsmsaidia nini Fatner?????mimi nimempa ushauri tu ni uamuzi wake kuuchukua ama kuuacha?maisha ya Fatner anayajua yeye mwenyewe..na ninarudia YEYE NA MUNGU NDO WANAFAHAMU KAMA AMESINGIZIWA USAGAJI AU LA?na kama ni ndio basi AACHE HIYO TABIA MARA MOJA!!msijifanye mnamjua sana mtu wakati hamuwezi ijua nafsi yake.....SHIDA PELEKA KWENU HUKO!!!

   Delete
  3. Msukule wa SintahMay 23, 2013 at 10:05 PM

   bidada punguza stress utazeeka siku si zako Fatner atabakia kuwa Fatner na wewe kidampa utaendelea kuwa kidampa kama akili zako zinavyojieleza kifupi shosti mind your own business akiwa msagaji asiwe hayakuhusu asingiziwe asisingiziwe si yako bibieee ulikuja humu kumsema limekurudia umbea uache ushauri kashauriane na bwanako akusage na wewe kama unaona Fatner anafaidi mxiuuuu

   Delete
 11. Sinta thanks sweetheart yaani i heard a lot bout u ila jana kukutana na wewe it changed everybad i ever had about u..... only those who are next to u will have a chance to.know how fab ur...... thanks for understanding...am ya fan and will always be one...love u do damn very mucb

  ReplyDelete
 12. sinta aka unstoppable umependeza sana. endelea kuwa bega kwa bega na fans wako kwa kweli utazidi kuwa na thamini ya pekee. ntakukubali siku zote. sinta uko vzr mama na umenipa raha sana kumsmamisha fatner walipotaka kumuangusha wakidhani wewe ni kama wao. umeonyesha utofauti wako. big up

  ReplyDelete
 13. WHO IS THAT FATNER?

  WHAT IS HER STORY PLS,

  Naomba mtu anifafanulie pls maana ndo namuona na sjawahi kumsikia.

  kiroho safi tuu,

  asanteni.

  ReplyDelete
 14. NIMEIPENDA BLOG YETU ITAKUA HESHIMA TUPU
  NO MATUSI HUKU
  NO KUCHAMBANA
  NO KELELE HUKU
  NO MAJUNGU HUKU
  NO FYOKOFYOKO
  YA KULE YAACHENI KULEEE
  HAPA MAMBO KUREKEBISHA KAA TUNAREKEBISHA TULOWAZAA
  ITAKUA HIVI
  UNAMWITA SINTAAA NJOO HAPA KAA CHINI KWANINI UMEVAA NGUO FUPI MAMA UNAJUA SI VIZURI .
  SIO YASOHUSU TUNALETA HUMU
  MI LOVE WEWE SINTA UKO MWAH
  MWENDO MDUNDO USTAARABU

  ReplyDelete
 15. looking good sintah, penda sana wewe

  ReplyDelete
 16. Mi hiko kiwiving chanikeraaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sio wig quick weave hiyo utajibeba na roho Yako ya kwa nini aspirin

   Delete
 17. kuleni bata wapenzi wangu hapo lazima ni movenpick yesu wenye muji wao hao

  ReplyDelete
 18. huyu dada si namuonaga BR huko fb?? sasa hapa anafanya nini?? kawaje kwani?? jamani umaarufu nao kazi eeh.haya mpandishe nae ajulikane

  ReplyDelete
 19. jmn ceo wetu sina tatizo na wewe kabisaaa bt ninachoomba punguza hizo cream zako maana hiyo mishipa ilivyotoka aibu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hatujaona mshipa hapo.nenda katafute miwani

   Delete
 20. Sinta ni mrembo hatari. upo juu mdada umefanya vzr kwa kuwa umeona kwa macho yako uhalisia wa fatner. nakubaliana na wewe only the strongest survive wasimuingilie kwenye maish yake binafsi ambayo hayawasaidii chochote. facebook ni for fan kama sio fan wao wamuache.

  ReplyDelete
 21. Fatner we kiboko hee! Kweli umaarufu hauji bure ungembeba na mwenzio VAI..

  ReplyDelete
 22. tuguu tweusiiii mkorogo umedunda hihihihihihi

  ReplyDelete
 23. wanawake mnakera sana makundi ya kwenu mambo ya kwenu mnayaleta ya nini kwenye mablog ambapo kuna jinsia zote. muelimishane huko huko kwenye makundi yenu na sio kutuletea upuuzi eti anatafuta umaarufu. kwa taarifa yenu nyie ndo mnampa umaarufu kwendeni facebook huko alaaaa

  ReplyDelete
 24. mdau hapo juu umenena kweli fatner ametafuta umaarufu fb anaona hapati naona kahamia hapo kwako kama ametukanwa atulie tu wangapi wanatukanwa wanakaa kimya bana da

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kweli mdau, hata mm naona anatafuta umaarufu tu, hana lolote, nani anayemjua?? Si angekaaa tu kimya??? Sasa hapo ajiandae kutoka na kwny Magazeti ya udaku. Kabla ya kuamua kufanya kitu fikiria kwanza, sio unakurupuka tu, unaweza kuona unarekebisha kumbe ndo unaharibu, yetu macho.

   Delete
 25. sinta kiatu hicho nimekipenda sana. nyie acheni uongo mimi mfatiliaji wa post na comment za fatner lini amemkosoa mtu anaeomba ushauri au msaada zaidi ya ile post ya mume wa mtu mtamu kupingana nayo muacheni na hekima zake binti wa watu wanaotukana na kuwachamba mnawajua. fatner achana nao wasikutie hasira kukuvurugia jina lako

  ReplyDelete
 26. SINTA TOP NZURI SANA, ALAFU FATNER ANA NYWELE MBONA MKONINI DU NIMEOGOPA

  ReplyDelete
 27. pretty and sexy yaani wewe mtoto unawaka kama mwezi mwaaah wenye wivu wakuache bado binti mchangaaa

  ReplyDelete
 28. WEAVING LA ELFU SITA NA MIA TANO HONGERA

  ReplyDelete
  Replies
  1. Limeshonwa kaoendezaje sasa mtajibeba

   Delete
 29. nyie mnaosema weaving la sintah ni la bei rahisi kwani yeye amesema ni la bei ghali? na je?likiwa la bei rahisi mtu hawezi kupendeza?hebu mtumieni sintah picha zenu na hayo maweaving yenu ya ghali tuwaone, jamani kinachomattetr ni kupendeza haijalishi ni shilingi ngapi eboo,sintah wakuachee

  ReplyDelete
 30. uko jhuuu sintah

  ReplyDelete
 31. ner alienda kuchamba wahapahapa akajitia ye mkali wa mashairi ya kuchamba na matusi sasa aliyeamua kumrudi akaja huku kwa sintah sasasa anatafuta umaarufu yupo group 80 kaona hajapata umaaruf sasa kaamua aje kwa sinta

  ReplyDelete
 32. macho tu hayo fatner

  ReplyDelete
 33. Kiukweli watu wenye vimbele-front siwapendi? Mara weaving ya 6500 mara cjui nani kafanya nini inakuhusu?? Khaaa hebu kaoge maji ya maharage huenda ukapata umaarufu kunuka ovyooo! Umependeza mwaya sintah na fatner

  ReplyDelete
 34. Siku zote watu wenye wivu wa kishetani na roho mbaya ni masikini wa elimu dunia,elimu akhera pia hata hapa mjin wanaongoza kwa mikono!!!Fatna me story yako niliiskia saloon watu wanaongea tu kama wanaharisha isitoshe hata hawakujui zaid ya kukuona facebook!!!achana nao dada as long as unajijua kuwa ww n nan na unafanya nini kwajili ya maisha yako!!Cheers

  ReplyDelete
 35. Lukn gud sintalicious..hayo mengine hayanihusu.kwaheri

  ReplyDelete
 36. Samahani wadahu huyu dada FATNER amesoma MZUMBE UNIVERISTY Naombeni mnijuze tafadhalini jamani please maana ninautamu mzito! MRS OBAMA.

  ReplyDelete
 37. UMAARUFU KASHFA, UKISHAONA UNAONGEA SANA KUIDATISHA JAMII, JIANDAE NA KUPEWA KASHFA, SO NI VITU VYA KAWAIDA SANA KWA WATU MAARUFU, NA UKIONA HIVYO JUA UMAARUFU UNAKUSOGELEA NA UMAARUFU HARUFU. LAZIMA UNUKIE AIZA KWA UZURI AMA UBAYA, YOTE YAKO.
  KAMA HUAMINI MUULIZE SINTAH KASHAKUMBANA NA KASHFA NGAPI.

  ReplyDelete
 38. thx sinta kwa kuwaambia ao wajinga maana wamemuandama binti wa watu, fatner achana nao hawana lolote,

  ReplyDelete
 39. Sinta ww ni msomi dada me nadhan hayo mambo ya fb BEDROOM ungeyaacha kama yalivyo wala huna haja ya kuweka kwa blog yako koz kwa style hii watakuja wengi sana....huyo Fatner humo fb kunamtosha ss kimemkuna nn mpaka kwenye ma blog????Mfyuuuuuuuuuuuu.........Sinta toa uchafu huo

  ReplyDelete
 40. Malay wooote wana njaa saana

  ReplyDelete
 41. uuwwwiii mara yangu ya kwanza kukoment humu ndani all becoz of my Fatner, wakuache miaka mia nane na nusu

  ReplyDelete
 42. Umaarufu huu.watu wanajua kwel kujikomba.

  ReplyDelete
 43. huna loloteeee umechinaaaa,huishi kujikomba kwa watuuu au wataka muibia mpenz wake? huna soko sintaaaaaaaaaa watafuta kutokaa,..

  ReplyDelete
 44. We unajiita msukule wa sintah unakiherehere kama mkojo wa asubuhi khaaa! Unadandiadandia tu mambo nahisi hata sinta keshakuchoka! yani unakera hujijui tu! punguza kiherehere mama utakuwa maarufu hata wa kuuza madafu ila sio kupitia blog ya sintah. Muone na sura lake baya kama baga ovyooo!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Msukule wa SintahMay 24, 2013 at 6:28 AM

   uniwache miaka elfuu kama nakukera kaparamie transfoma la umeme ubungo

   Delete
 45. hiyo haitajenga sintah,mimi siwezi tu nikaanza kucomment kumtukana mtu au kumema vibaya ujue huyo namfahamu na ndo alivyo,plus hiyo inakusaidia pia kujiona katika society watu wanakuonaje...

  ReplyDelete
 46. Mmh jamani huyu fatner namjua tumesoma nae mzumbe!ila hiyo story yake mbn siielewi...hiyo BR ndo nn?mjini kuna mambo jamani!

  ReplyDelete
 47. CEO JAMANI HEBU TUJADILI ILE MADA YA JINSI YA KUWEZA KUWA NA UHUSIANO NA WABABA WATU WAZIMA,THE MOST CARING MEN,THE ONE WHO CAN GIVE YOU A SHOULDER TO LEAN ON IN CASE OF ANYTHING, SIO WALE WANATAKA KUTUVUA CHUPI TU NA KUTUACHA,NA JEE TUFANYEJE ILI KUWASHIKA HAWA AMBAO TUNAO? MIE WANGU NI MUME WA MTU,NA MIE MKE WA MTU,TULIKUTANA ZAMANI KABLA KILA MMOJA HAJAINGIA KTK NDOA NA ALIYE NAYE KWA SASA,NISEME KWAMBA ALIPOKUA ANANIFUKUZIA KIPINDI KILE SIKUWA NAMPENDA,IMEPITA KARIBU MIAKA 30 NDO TUMEKUTANA JUZI KWA BAHATI MBAYA,JAMANI NASHINDWA KUELEZA MALOVEE AMBAYO TWAPEANA,KIASI NIKIMMISS JAPO KTK MSG NAUGUA,NAOMBA MNISHAURI JAMANI, MSINITOLEE KASHFA,NIMEKUFA NIMEOZA,NA UKICHANGIA KWAMBA MUME WANGU IS THAT SELFISH AND BULLY TYPE

  ReplyDelete
 48. mhhhh mbona sinta kama mjamzitooooo hilo tumbooo!!!!!!!!!!!!!!!! mhhhh nimestuka mie sa unaficha nini ???? kama ni machips ya sinza acha unaharibika pata mda jipikie kula mboga mboga nunua mafuta mazuri yanaitwa sunora ya alizeti usikaange vyakula achana na machips na makuku achana na manyama choma ukifika home jioni tenga muda fanya mazoezi hata peke ako na mziki ruka ruka hakikisha umetoka majasho fanya sits ups au nenda kakimbie baharini si unakigari chako kwa raha zako wewe???????tumbo ni balaaa linaharibu kila kitu jihadhari... labda kama ulikuwa mps maana linavimbaga

  kiroho safi tu mi fan wako nakutakia mema

  ReplyDelete
 49. FATNER is so beautiful ila hiyo mikono inabidi a-shave haraka sana bado kidogo ataanza kusuka mabutu jamani!!!!!! au waxing is better, whichever way azitoe maana ndefu mno. God bless

  ReplyDelete
 50. out of topick sintah ninaomba kama ikiwezekana utukee clip ya movie yako enzi ya kaole maana nasikia tu sintah ulikuwa unaigiza kaole so sikubahatika kuiona hioyo pls

  ReplyDelete
 51. FATNER JARIBU KUANGALIA SANA UNAMDOGO NA UNAPENDA KURUKIA VITU TUUUUU PUNGUZENI KIMBELEMBELE WW NA VAI NAMSIFU SANA EVELYN AMEWAONA NYIE SIYO NDO MAANA AMEKAA KIMYA UMECHAGULIWA TU JUZI JUZI MTT KIHEREHERE PUNGUZA. SINTA WW NI DADA MREMBO SANA NA UNABUSARA ILA ELEWA HAKUNA MTU ANAMCHUKIA MTU PASIPO SABABU AACHE KUARIBU BLOG YETU HUYOOOOO KAMA ANATAKA UMAARUFU ATAFUTE MAGAZETI YA MPAIZESIYO KWA SITNA HAKUNA NAFASI

  ReplyDelete
  Replies
  1. UMEONA DIA SDHAN KM MTU ANAWEZA KUKUCHUKIA PASPOKUWA NA SABABU,ILA WANA VIHEREHERE SANA HAO NA VAI WAKE KILA MARA WAO TU WAO TU INA MAANA WANAJUA SANA AU,AHAAA TUSHAWACHOKA NYIE

   Delete
  2. mmmh....jaman mi cjawahi kuona hivho kiherehere cha fatner....wadada tuache chuki zisizo na mcngi......

   Delete
 52. Please Sinta, nakuomba uondoe hii post. Manake hapa kuna watu wanaleta mabifu yao huku, nafikiri ni bora kufocus mambo mengine.

  ReplyDelete
 53. Mbona watu wameandika matusi na bado umeapprove? Kuwa na msimamo

  ReplyDelete
 54. jaman sinta haujaweka chanzo wengine hatuelewi kisa wala mkasa.mtujuzee plz nasi tupate kujifunza

  ReplyDelete
 55. mmmh kazi kweli kweli.....mkuki kwa nguruwe.......sasa km wewe sio msagaji unamtafuta sinta wa nini ndio unaosha jina,,,loh pole Fartner

  ReplyDelete
 56. Sintah umependeza sana wangu na napenda sana blog yako kwa ushauri mwingine kuhusiana na blog yetu nitakutumiea e-mail, hayo ya Fatner siwezi ongelea maana sijui chochote tuwaachie wajuao

  ReplyDelete
 57. Mikorogo jamani mikorogooo... Kumbukeni kuna kuzeeka! Hizo sura zitakua kama utombo vilee

  ReplyDelete
 58. Mikorogo jamani mikorogooo... Kumbukeni kuna kuzeeka! Hizo sura zitakua kama utombo vilee

  ReplyDelete
 59. Hebu tupeni habari za uyo vai maana mavazi yake yajizihirisha et mke wa mtu mara anataka kujidai kungwi atufunda nini labda umalaya fatner jiepushe ni iyo gumegume we ni msichana unaejiheshimu achana na uyo anaetafuta umaarufu kwa nguvu ana lipi la kuwa maarufu mshamba limbukeni yule nyOoooo sintah angalia na ya kuweka umu mengine ni ujinga wanatukanwa wangapi umu ijekuwa mbulula mmoja mtupishe wanatafuta umaarufu na yawezekana ni wao waliotukana ili walipaishe ilo group lililoshindikana halina kichwa wala mguuu

  ReplyDelete
 60. WIvu utakuuA.
  Au umetolewA ninI!??

  ReplyDelete
 61. WEZI WA WAUME ZA WATU NDO WANAMCHUKIA FATNER WA WATU,KAMA WEWE MWANAMKE KWELI DATISHA KIJANA SINGLE MAN AKUWEKE NDANI,MTABAKI KUFANYWA SPEAR TYRE TU.HAMJIAMINI NDO MAANA MNAIBAIBA TU. MWACHENI FATNER WA WATU, UKWELI UNAWAUMA NDO MAANA MNATAPATAPA. KAMA MNGEKUWA WANAWAKE KWELI MGEMSEMA HUKO HUKO BR AU INBOX. SINTA THANKS KWA UBINADAM WAKO NDO MAANA KILA SIKU UNAZIDI KUWA MREMBO. TENA ADMIN WETU VAI MUMUACHE KABISA, MWANAMKE WA UKWELI ANAYEJUA ANACHOKIFANYA DUNIANI NDO MAANA KAOLEWA NA HAJABAKI NUNG'AYEMBE MKIMBILIA WAUME ZA WATU.

  ReplyDelete
 62. mtuachie fatner wetu na vai wetu, bedrum itadum miaka laki 8, cjaona ubaya wa fatner hata kidogo

  ReplyDelete
 63. Mmh jmn huyoi vai ni kichefuchefu kila kitu anajua yeye mfyuuuuuuu,na huyu fatner fulu kufuata mkumbo wa lile li mama.fatner tulia mburura wewe,acha kumfuata mcharuko vai,mbona eve katulia hujiulizi?mfyuuu zenu

  ReplyDelete