Wednesday, May 22, 2013

UNA LOLOTE LA KUONGEZEA???

Diva n Zitto

Baada  ya  kutangaza  kumpiga  chini  Mh.Zitto Kabwe, Loveness  Diva  ameamua  kumchokonoa  tena  kwa  kumkejeli  kuhusu  uamuzi  wake  wa kugombea Urais.....

Huu  ni ujumbe wake aliouweka Loveness Diva: 

 Ivi  kwa akili yako unadhani  unastahili  kweli  kuwa Rais mteule wa taifa  hili....??"Usiponijibu nikaridhika, basi  ntakuchukulia  kama  mtu mwenye upeo finyu asiyejua alitendalo.."
Daaah hapana sina lakusema maana nimeishiwa pumzi sijuiii, je wewe mwenzangu?? ni nyakati za mwisho mauza uza mengi yatatokea, Mungu awe nanyi wapendwa.

nadhani Mh anajuta kumfahamu na anatamani ardhi ipasuke.

nimeona vituko lakini hiki ni kiboko maana hakisikii wala hakiambiwi kikilipuka kimelipuka.

Chineke unooooo ifunanya bela ngolobiii, biko bikoooo dont  go


asikwambie mtu hii dunia mambo hayaendi because of ifunanya daaah (mapenzi ndio ifunanya)

61 comments:

 1. WORD Sintah dada huyu dada mpaka naishiwa maneno

  ReplyDelete
  Replies
  1. Msukule wa SintahMay 22, 2013 at 10:37 PM

   adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe wadada nini mbaya Diva ameuliza swali mapovu ya mdomo yanawatoka kumtukana amesema nini kibaya mpaka mnajitoa ufahamu? pumbaff zenu jifunzeni kupendana ameuliza swali nyie mmetoka nje ya mada imegeuka gazeti la matusi mumkome mtoto wa mwanamke mwenzenu kama hamjiamini kumuuliza muheshimiwa maswali kaaeni kimya imekua mtindo sasa kila mwanamke akisema hoja yake nyie ndio wa kwanza kumkashifu mbuta nanga mmesema anadanganya utasema mlikuwepo chumbani mxiuuu Diva kauliza swali mnatukana mitusi acheni chuki binafsi kama amekuzidi kwa sura au kwa kipaji cha kuongea jukwaani take a chill pill kajifunze na wewe hujachelewa mnakera sio siri badilikeni

   Delete
 2. Msukule wa SintahMay 22, 2013 at 7:34 AM

  uwiiii nafwaaa mheshimiwa anakomaje sasa? amelilia bakora kakutana na kirungu chezeya watoto wa mujini full dotikomu utandawazi mitandao yu nemi it mambo hadharani ndio mpango mzima, mnaojua nisaidie kudadavua yalianzia wapi? walikua wapenzi? wameachana? mwee umbea nao mtamu acha tu

  ReplyDelete
 3. Huyo diva anatafuta popolarity tuu msonyooooooooooooooo
  Anajua kila anachoandika makipublisize..
  Kwanin hata sinta umemueka?

  ReplyDelete
 4. Sintah u r right kama ni kweli zito alitoka na huyu Chizi am sure anajuta balaaa. Ila ppo shud learn n choose classy girls and women. Huu upuuzi wa huyu dada haupishani na alichofanya diamond. This is the price of seeing uneducated ppo mwisho wa cku wanakutia aibu alafu yy anaona sawa tu. Alosema education is sexy alikuwa sahihi kbs......

  ReplyDelete
 5. Sintah u r right kama ni kweli zito alitoka na huyu Chizi am sure anajuta balaaa. Ila ppo shud learn n choose classy girls and women. Huu upuuzi wa huyu dada haupishani na alichofanya diamond. This is the price of seeing uneducated ppo mwisho wa cku wanakutia aibu alafu yy anaona sawa tu. Alosema education is sexy alikuwa sahihi kbs......

  ReplyDelete
 6. Huyu atakuwa kaachwa yeye, mana huwezi kuwa wewe ndo umemuacha mtu then unaweweseka hivi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Anaweweseka sana inaonekana zitto anamuignore mno sasa hayo ni maumivu ya mtu kukuonyesha dharau ndio style yake ya kumaliza hasira

   Delete
 7. duuuuh hi kali ya kufungia may month..makubwa umaarufu hauji kiivo diva..unatafuta KICK kwa nguvu...kichwa empty kweli.

  SINYORITA

  ReplyDelete
 8. Huyo Diva Mpuuzi sana,yeye si ndio alikua anampa sana promo mheshimiwa Zitto kwenye media anasema he is her future president?kwanini hajiulizi why,kamchokonoa sana Mh ila Mh haonyeshi Respond yoyote kwake?She is a fool,,na Diva kwa mawazo yako nani atakupa huo Ubunge kwa Jimbo la Kigoma kama unavyojitangazia?Wewe unafaa kusuguliwa tuu kundu lako hilo na kuuza kipapa sio kuwa mheshimiwa mbunge,,kaa chini fanya mengine sio Politics!Msema Ukweli Daima

  ReplyDelete
 9. huyu msichana ni mwehu na hajajitambua
  pole zake ,hivi ana wazazi?

  ReplyDelete
  Replies
  1. baba yake si yule mcheza gofu

   Delete
 10. katumwa huyo na wale mahasiju wa Zito amchafue,
  lakini mama unachezea FIRE FIRE FIRE HIYO KIGOOOOMA KIGOMA BOY HATOKUJIBU MAMA UNAJISUMBUA.
  NA MBAYA ZAIDI, ANA DHARAU ZA KIMANYEMA SIJUI KIHA, UKIJUMLISHA NAFASI ALIYONAYO NA ELIMU NDIYO ANAKUONA TAKA TAKA OZA JAANI.

  ZINAAA KWELI IMEKUWA HALALI, SIKU ZA MWISHO HIZI.

  ReplyDelete
 11. Huyu Diva anatafuta umaarufu tu,,,,na yeye amedanganyika na alijua atakuwa first Lady,,,, Diva umechemka hahah ha ha ha ha

  ReplyDelete
 12. MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA .... HANA ALIJUALO YE ALIJUA KWA ZITTO AMEULA KUMBE JAMAA ALIKUWA ANAPITA NA SASA ANAKINYULI KINGINE, TOKA LINI ALIYEMUACHA MTU AKAWEWESEKA KIASI HIKI,DIVA UMESHASOMA KILOMITA HUFAITENA MWENZIO ANATAKA BRAND NEW SASA HIZI HASIRA ANAGALIA ZITAKUNYIMA HATA WANAOTAKA SECOND HAND...TAFAKARI CHUKUA HATUA.......
  "Sio kisa pombe mama zinazonichanganya...nimapenziii ni mahabaaa' sintah embu mgongee diva hicho kibao ndo sindano yake hiyo iliyomchoma ikachukua mubunge

  ReplyDelete
 13. HUYU DIVA KAFANYIWA KITU MBAYA SI BURE. LAZIMA ATAKUWA KAACHWA YEYE NDO MAANA MANENO MENGI YANAMTOKA. HALAFU ANAMLAZIMISHA MUHESHIMIWA ATOE MAJIBU.KHA KUTOKUJIBIWA NI ADHABU TOSHA. INAUMAAGA HII.

  ReplyDelete
 14. Hana wazazi wala ndugu au kama anao hawampendi wangekua wameshamuonya. She is playing a very dangerous game, sijui kalipwa shilingi ngapi.

  ReplyDelete
 15. Huyu Diva akili hana kabisaaa, itakuwa mhe. ndio alioanza kumbwaga sasa anaumia sna jamani. Mwanzo ametangaza kumbwaga Zitoo kwny mitandao ya kijamii, lakini mhe akumjibu kitu, anamchafua tena sasa, kweli mbwa ukimjua jina hakusumbui . Ushaachwa wewe kazi yako kuuza kuma tu na mkundu fala wewe! Peleka upuuzi wako. Amekunyamazia kimya kakuona mjinga, na jibu la mjinga ni kukaa kimya . Divaaa kuma yako inanuka.

  ReplyDelete
 16. DIVA MAL...MCHAFU HUYU NINI SASA
  ALIWAHI KUSEMA WANAUME WABONGO WANANUKA CHUPI SIJUI ANAOKOTAGA MABWANA?????
  AKASEMA ATAYEMUOA ATOE MAHAR MIL KADHAA
  ATADAKI KULABWA LABWA MPAKA AISHIWE UTAMU

  WADADA WANAKAZI SIJUI WANAWASHWAGWA NA NINI ??
  ANATAKA KUJUA KUHUSU MUHESHIMIWA SIAENDE BUNGENI
  HAWAJIFUNZ KWA WADADA WENZAO WA MJINI WANAHELA NA WAMETULIA

  LIFE YAKE KUKASHIFU WATU SASA KAMA YEYE ANATEMBEA NA MUME WA MAREHEMU SIAENDELEEE KELELE ZA NINI

  ReplyDelete
 17. Ananichekesha anavyohangaika kumtweet Mh halafu Mh hana hata time naye hajamjibu hata kidogo naona kamdharau halafu kampotezea, hivyohivyo kwa Prezzo kila twitter anamtaja Prezzo lakini Prezzo kapiga tu kimya anaendelea na mishe zake. Kila mtu anampotezea wangekuwa wanampenda wangemjibu wazi kama yeye anavyotweet pyuuuuuuuuuuuuuuuu

  ReplyDelete
 18. kashazoea kuchezewa kachezewa na mo racka kaachwa akaanza kumpaka kaja zitto nae kaachwa anaanza kumpaka tusubiri huyo prezzo na anajiona mzuri huyu dada angejijua lol msonyoooooooooo

  ReplyDelete
 19. huyo diva ni kichaa anataka umaarufu uongozi na mapenzi ni vitu viwili tofauti mapenzi ni wazimu na uomgozi ni kipaji amwache mheshimiwa asitake kumchafua

  ReplyDelete
 20. BILA SHAKA NAYE ALIKUWA ANAKOPYA TU KAMA MBUTA NANGA , HIVI ANAENDESHA GARI AINA GANI ?

  ReplyDelete
 21. Diva kachemka!!

  ReplyDelete
 22. Ogopa sana mtu anaekaa kimya! Cku akiibuka ndo atakiona cha moto! Amekosa kazi ya kufanya anatafuta umaarufu kwa nguvu muone vile na vipaja vyake kama vya kuku dawa yake ni huddah tu mshyuuu! Anafikili anamkomoa zitto? Ananini cha kumzidi zitto! Anajishaua tu! Zitto baba ukiibuka ibuka haswaa ukikomeshe hiki kiraruraru!! Kione vile shavu zimemlegea kama korodani za babu. Msonyooookooooo!

  ReplyDelete
 23. Kuachwa kubaya jamani

  ReplyDelete
 24. anautafuta umaarufu kwa nguvu shame on her

  ReplyDelete
 25. kwa kweli kama kweli kuna watu wamejaza makamasi vichwani mwao huyu ni numeri uno(no.1)sasa nini alichokiandika,pumba tupu,kisa ni hilo penzi la magazeti la Prezooo,kweli ushamba mzigo,huyu ni mshamba limbukeni namba moja,tusubirie atalia kilio cha mbwa sasa hivi,Na nyie wabunge na heshima zenu,kuchukua vinuka mkojo na watu wasijitambua ndo mkome,haya sasa mwaumbuliwa mchana kweupe,Juzi alikuwa Lema,leo Zitto,whos next in the line........wabunge nanyi jiheshimuni

  ReplyDelete
 26. Eeh zitto umekomaje sasa,umalaya ukizidi matokeo yake ndio haya,mnaacha kutoka na watu wenye adabu waliotoka kwenye maadili mazuri,hata mimi kura yangu huwezi kupata kama ndio mambo yenyewe haya ya kutoka na vidampa

  ReplyDelete
 27. Uwiiii virahanze!! mwisho wa reli mmenielewa nilichoandika

  ReplyDelete
 28. Hahahaha huyu diva ndio wale ambao wakibwagana na wenzi wao kama kulikuwa na picha za uchi/ngono anamalizia hasira kuzisambaza madai yake anamuaibisha mwenzie sie tunawaona wote nyie majuha

  ReplyDelete
 29. Udaku za shigongo ziko wapi mbona hawajaipaisha hii lol wale nao kuna wengine hawawagusi eeh

  ReplyDelete
 30. Hana lolote huyu diva,anachotaka ni kujulikana kwamba anamfahamu vizuri Mh Zitto,ana seek attention kwa nguvu...ni dhahili anataka kuonyesha watu kuwa yeye na zitto walikuwa wapenzi kumbe Mh alikuwa anapita tu..yeye akajua Mh ndo kafika imekula kwake big time.

  ReplyDelete
 31. mbuta nanga ni nini hiki?somebody please help, someone seems desperate here poor diva! hivi unajickiaje kumkejeli mtu kwnye social network afu yeye kimyaaa anakudharau tu LOL

  ReplyDelete
 32. Wewe Diva ungekuwa na akili na kama ni mwanamke sahihi huna haja ya kuanza kumcamba mtu kisa mmeachana na isitoshe alikuwa mpenzi wako.Kwa kweli namuonea imani Zitto hakujua kama ana date kicheche halafu ana uungufu wa akili.Unazuzuka na penzi la Prezzo?Mbona kama kweli unampenda ulipopigiwa simu na gazeti la makorokocho la XXL clouds ukaulizwa kuhusu Prezzo mbona ulimkana na ukasema wala hauko naye maaana uko na mpenazi wako na unampenda sana na hutaki kumuumiza.Ila Prezzo kapigiwa yeye kafunguka mara moja kuwa yuko na wewe na kashakukula anataka kuoa.Ina maana wewe uko kwa Prezzo kwa ajili ya FEDHA na UMAARUFU wake.Stupid gal kweli wewe.Acha hizo hebu behave DIva bwana hata kama shule nehi ila jitahidi hata kwa kusoma mitandaoni pia waweza pata elimu kidogo kuhusu mapenzi.Na usikimbilie watu maarufu kama wajau huna ustaarabu.

  ReplyDelete
 33. prezzoo anasema diva anaforce vitu hata yeye hamwelewi hii ni kutoka vyanzo vya ndani inshory diva hata diamond ulikuwa unamtaka bisha msubiri akitoka kwa shogako penny umchukue mnatafuta umaarufu wa nguvu sura hamna mxiii stupid hoeee

  ReplyDelete
 34. mhmhmh anajilipa mwenyewe madai yake tuone anatumiwa na wanasiasa kumchafua zitto tumekushtukia bibi unajitumia mwenyewe malaya kazi kubana sauti zito mjukuu wangu usijibu na prezzo lzm akuache kwa mwendo huo nyoooooooo findololi yako

  ReplyDelete
 35. hahhahh mh alikuwa anapita wewe diva ukaona ujiweke kabisa mimi binafsi nachukia sna anavyomsema mh kwani mlivyoanza mapenzi mlituandikia kwenye tweeter,alafu nimefurahi sna mh alivyokaa kimya anakuna mjinga,kuwa yaaani mpka kila mtu anakushangaa utadhani wewe wa kwanza kutoka na mh,naona huko alipo mh anajuta kutoka na wewe,na wewe mh uwe unaangalia watu wa kutoka nao sasa huyu dada ulitoka nae wapi????

  ReplyDelete
 36. hana lolote huyu diva bado anamtaka zitto y amsakame?mwaya muheshimiwa endelea kupiga kimya hilo ndo jawabu la mjinga..........diva hana jipyaa analazimisha ummarufu tu

  ReplyDelete
 37. Mh Makubwa haya hivi ni sifa mwanamke kujitangazia ametoka na nani au ni kujishushia hadhi kwa mwenendo huu jamani wanawake wenzangu tutafika.Mama wa diva mfunde mwanao anakushushia hadhi kama mama.Inaonekana binti yako hajitambui wala hajui thamani ya usichana wake.Mama mkanye mwanao before its too late anaonekana ana ugonjwa wa short memory.Shame on U Diva your just a stupid girl

  ReplyDelete
 38. Kachwa ni shughuli pevu. Pole Diva.. Am not proud to say this but I must confess that i had him na aliniacha pia bila mwasiliano wala chochote. Niliumia sana ila nikaamua kumsahau na maisha kuendelea. Believe it or not alianza kunitafuta tena hapo ni baada ya kuni ignore muda kweli. Na mm nikaamua kuput my head and standards high and I ignored him as well.. Am not sayin that it is easy, its never easy go ignore a man as influential as him but I did it. Try not to broadcast your intimate relationships, be content with ur life, live ur life and put anything that does not serve u aside. These crazy tweets u tweet daily kwa Zk hazitomrudisha kwako maana all this craziness shows how bitter u r and how desperate u want him back. Kama hakurudi kwangu, hatokaa arudi kwa mwanamke mwingine yeyote, muulize hili atakuhakikishia. HE IS NEVER AVAILABLE.. Go on with ur life girl, u deserve better.. All the best..

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kwani we nani mpaka useme kama hakurudi kwako hatarudi kwa Diva?
   Harudi kwa yeyote sababu mnajirahisi kwake wenyewe. Mkome kushobokea wabunge na vijana wenye majina. Kwa taarifa yenu si Muoaji huyo na akisema aitishe majina mbona line itaanzia kibamba hadi posta? Kazi kwenu

   Delete
  2. Jamani ni mi alinilala ila naona sikua mtamu alinitemaje mapemaaa?Sikuambulia hata cha maana akaniahidi atanilipia ada Kampala International angalau niongeze cheti cha ukanjanja akapotea. Nikawa nikimpigia hapokei meseji hajibu. Mwenyewe nlijua nimepataaa, we mueshimiwa nimeenda na wewe Kigoma nikakuripotia afu ukantema jamani, vibaya hivyo! Ma'Shughuli a.k.a Classic

   Delete
 39. MNYONGE MNYONGENI NA HAKI YAKE MPENI. DIVA AMEJAALIWA SAUTI NYORORO YA KUMTOA NYOKA PANGONI. WALLAH MTOTO MASHALLAH. UNAMPENDA KABLA HUJMUONA. SAUTI YAKE TU LAZIMA MWANAUME RIJALI ASHIKIKE. MAPUNGUFU NI KAWAIDA KWA KILA BINADAMU. MSIMLAUMU JAMANI.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ya kujikakamua na kuremba maneno L anaeka R.kwa style iyo hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

   Delete
 40. huyu diva atakua ameachwa yeye kapewa kibuti,kindala,kisendo na kindula juu kama angekua yy diva ndio kamuacha zito angetulia akafanya mambo yake ila yy ndio kaachwa kutwaaa zito,zito atakufanacho kijiba cha roho ila na nyie waheshimiwa ndio mkome kuchukua micharuko haya sasa kazi kwako zito.

  ReplyDelete
 41. She is a pathetic loser and attention seeker. Whether kaachwa au kaacha jamii haihusu na kumtukana mwanamme wa watu hadharani hamuabishi Zitto bali anajidhalilisha mwenyewe nafsi yake. Haya ndio matatizo ya kupata kazi kwa kulalwa na wakubwa. I feel sorry for her she needs to grow the hell up.

  ReplyDelete
 42. Nimeguswa sana na Mdau, hata mimi niliwahi kuwa nae huyo Mh Zitto Kabwe na mie nikaachwa bila taarifa wala warning nikaumia lakini maisha yakasonga mbele na kama mdau aliyepita baada ya muda mrefu kupita akaanza nitafuta nikampotezea
  Inshort he is a player and a user jamani msimsapoti, mi naona sasa ameingia choo cha kike and it serves him right!
  He deserves everything thats coming to him amezidi umalaya...
  We unajua your status watu wanakuheshimu hata kama ni maisha yako ya binafsi uhuni ulio nao Zitto umezidi, tulia mwanaume umeshafanya umalaya wee umepata nini?
  Kila siku unatumia wanawake unawaacha, tena huna respect hata kidogo, kuna siku yatakukita makubwa kushinda haya unaona sifa ? SHAME ON YOU

  ReplyDelete
 43. nyiee subirinii tu mpe na ukimwi,lol..huyo zito hana hata thamani huko kigoma kamaliza malaya woooteee,na uzuri hana na kuhonga hahongi hata kidogo mwamfuata wa nn? au umepeewa promise hewa? hiyo yote ni sababu ya kubabaikia watu wa serikaliii...shame on u bitch

  ReplyDelete
 44. mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh mjini jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii n imeamini tuwaachie wenye kuyaweza aku!!!!!! nimefundwa mie

  ReplyDelete
 45. Diva unatia kichefu chefu jamani. Ptuuuuu

  ReplyDelete
 46. HYU DIVA HANA LOLOTE FOR SURE YEYE NDIO KAACHWA NA MHESHIMIWA SASA ANAPAYUKA OVYO.UNAJUA NN,CKU ZOTE MTU KM KWELI NI WW UMEMUACHA PIGA KIMYA YA NN UKAE UNAMFATILIA KILA WAKATI? HUONI MH. KAPIGA KIMYA HANA PAPARA NA INAONEKANA WAZI YY NDIO KAMMWAGA BIDADA. KWANZA NA WEWE MH NAWE!!!!NDIO UJUTAGE KUINGIA MILANGO ISIYOINGILIKA I HOPE U HAVE LEARNT YOUR LESSON,POLE.

  ReplyDelete
 47. Jamani mnavosema kaachwa kwani hata huo uhusiano ulikiwepo?? Kifupi hakukuwa na uhusiano wowote ila huyo Diva ndo alikua anajipendekeza kwa Zito kupitia kipindi chake redioni na kutengeneza mazingira watu waone kama anatoka na mh Zito, huyu dem ndo zake kujipendekeza kwa mastaa kama alivyofanya kwa Moracka jamaa akajipigia akachakaza akasepa zake... Shame on her pyuuuuuuuuuuu !!!!

  ReplyDelete
 48. The karma of fucking a nice girl is the bitch you end up with! Mheshimiwa umechezea mno watoto wa watu ona sasa kituko ulichokiparamia! Acha kikutende tu coz u deserve that shame

  ReplyDelete
 49. Hata hajis2kii m2 hamjbu bado anaendelea tu na maneno hata prezzo nahic anamshangaa

  ReplyDelete
 50. Anonymous May 22, 07:16pm.. Call me. You know how strong my feelings are for you. You have my BB PIN and my number.Plz its important.. Zk

  ReplyDelete
 51. This is what happens when A grown,Educated and Wealthy Man decides to date a whole rounded STUPID & BRAINLESS WOMAN! They cannot SHUT UP!! Wanaume nanyi hamjifunzi tuu? Someone shut this girl up before she starts spilling kila kitu kwa faida ya wapita njia!! Na nyie wanawake, when will you learn to shut the hell up about your exes? Mlivyokuwa mwapeana mahaba mbona ulikuwa hutangazi kila mahala? Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx! You just sound like a bitter a**hole! Kama mmeachana, siuendelee na mambo yako kimya kimya? ooo sijiu nini! Mara hiki! You are just proving to people who used to Think you are STUPID, that YOU REALLY ARE STUPID!!

  ReplyDelete
 52. sintah uko sahihi kabisa hilo toto la malinzi huwa ni li kisalata mtaa nashangaa hata mweshimiwa alikutana nalo vp chizi lile kwanini halikuuliza hayo maswaki wakati wana mahusiano limepigwa chini linajifyatua akili

  ReplyDelete
 53. DAH ZITTO UNA HARIBU LAKINI . NAJUA WEWE NI MAKINI LAKINI UMALAYA UTAKUPOTEZA AU KUKUSHUSHIAB PII, NAJUA PIA UNAJUA UR JUST LIKE ME SEMA MIMIHUWA NAWA FIRA KWAHIYO HAWAWEZI KUNITANGAZA NI KAMA DIVA NAYE NILIMFIRA HAKUTANGAZA NA MIMI NI MAARUFU KUPITA WEWE, BUT WEWE UNA MALENGO YA KISIASA ATAKUCHAFUA KWA WATU MAKINI KAMA SISI KWASABABU TUNAJUA KAMAULIFANYA NAE AMESHA KUAMBUKIZA UKIMWI NILIOMPA NAS NILIMWAMBIA UKWELI KWAMBA NIMGONJWA SO ZITTO HATUTAKI VIONGOZI WAGONJWA. JIPANGE JAPOKUWA UMALAYA NI KAMA KUWA MBWA KWASABABU MBWA NI MBWA HABADILIKI.

  ReplyDelete
 54. zittp wewe kweli ni malaya mi nshakutana na mademu wengi tu hapa kigoma wanalalamika kwamba uliwalala kwaku wadanganja, na wengine wameama chadema kisa umalaya wako

  ReplyDelete