Wednesday, June 05, 2013

ALBERT!!!! ALBERT!!!! ALBERT!!!! DAR YAZIZIMA.Mwili wa Mangwair baada ya Kufika Dar
Mamia ya Watanzania wakipush gari lilombeba Mangwea

Msafara ukapigwa block watu wakataka wabebe Sanduku wenyewe

Mchizi Mox akiwa mstari wa mbele
DJ Choka na P-Funk Majani

Cowwizzy fans
hard to believe that Mangwair is inthere
 Albert Mangwea ametufanya Watanzania tufurike kwa huzuni kuanzia Airport tukipokea mwili wake, barabarani mpaka Muhimbili tukiwa na hisia sana. Kuna waliolia, waliosononeka, walioshangaa Daaah no one was feeling happy at all. 
The love showed, reflected his capacity, you're truly loved Albert... The King Of Freestyle!!!!
Yaani jana nimesikiliza na kurudiarudia  wimbo aliomshirikisha Mwana FA na Lady JayDee - Sikiliza, mimi na wanawake/wasichana wenzangu wa kitanzania nadhani huu ndio wosia aliotuachia na utaishi milele.
TULIKUPENDA SANA ILA MUNGU KAKUPENDA ZAIDI.
GONE TOO SOON ALBERT. ta-ta

Unstoppable.

33 comments:

 1. Jifunze kuish na watu vizuri utazikwa vizuri na watu albert hakuwa na maringo na aliishi vizuri na watu mungu aipokee roho yake maskini,hadi rafik zake wameumwa

  ReplyDelete
  Replies
  1. poleni na msiba Mimi ni mbeba box naomba kuuliza marehemu alikua celebrity wa bongo? Ndio Mara ya kwanza namsikia anayejua anielekeze tafadhali amekufa na ugonjwa gani?

   Delete
 2. RIP MANGWEAAAA

  ReplyDelete
 3. LINDA UNAONA RAHAAAA KUUA WATOTO WA WENZIO

  ReplyDelete
  Replies
  1. What's your problem mrs Oakland

   Delete
 4. Daa nimeumia sna moyon..rip mangwea

  ReplyDelete
 5. Nimekupenda sinta kwa hili, inaonyesha kabisa uliudhuria tofauti na diamond alionekana anapop mashampaigne instagram then akapost picha za kucopy toka kwa dj choka

  ReplyDelete
 6. MUNGU AILZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI..AAMIN

  ReplyDelete
 7. I.I.P kaka,,,, tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.Pumzika kwa amani. Amen

  ReplyDelete
 8. Rest in Peace Ngwair, nakumbuka the day I met you pale kwa Noorah, u was very mpole though Noorah alikuwa anakutania trouble maker bt hukijibu chochote zaidi ya kucheka tu. I remember nilivyoomba uniimbie ukasema unaona aibu. Ngwair u was the best artist ever....

  ReplyDelete
  Replies
  1. You were the best not you was my dear

   Delete
  2. Ngwair u was the best artist ever....? what kind of english is that? Nyie si ndo mlikuwa mkimcheka Diamond pamoja na sinta wenu? RIP English. Majanga.

   Delete
  3. Waingereza now Days wanatumia was zaidi yawere so mwacheni mdau as long as umeelewa nini anasema lol

   Delete
 9. MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI,TULKUPENDA LKN MUNGU AMEKUPENDA ZAID DAIMA TUTAKUKUMBUSHA,INAUMA SANA

  ReplyDelete
 10. wataacha kufurika wakati alikuwa anasifiwa mikasi, mitungi, ....

  ReplyDelete
 11. Dah inauma sana jamani yani acheni tu kwakweli mpaka now i cant believer kama ni kweli,ila ndio hivyo kazi yake mola aina makosa ndio njia yetu sote yeye mbele yetu sisi nyuma yake,Eeehe mungu mpoke mwanao uko juu mbinguni msamehe makosa yake yote aliyoyafanya hapa duniani muondolee adhabu ya kifo apumzike uko kwako juu mbinguni na malaika zako.....Amen

  ReplyDelete
  Replies
  1. I cant believer??tehtehtehhh hii ya leo kali...

   Delete
 12. R.I.P,,ALIKUA MCHESHI NILIMPENDA SANA,,BUT MUNGU KAMPENDA ZAID KWAHERI NGWEA,,DAAAAAAH

  ReplyDelete
 13. R.I.P Albert...nimeumia umeniliza sana..ulikuwa rafiki yng most of the time ulikuwa ukiniita mamii..mara upo wapi njoo kino nakusubiri...ulikuwa ukilewa lazima uniibie unitungie mashairi.kwa kweli nimeumia nilikuwa siamini..nw ni kwl.kwaheri ngwea kwaheri jembe. .i will be missing yu much...

  ReplyDelete
  Replies
  1. Akuibie au akuimbie????

   Delete
 14. We mchawi hapo juu..Linda ameuaje?? Pepo mtoa roho wewe.
  Watu wana majonzi unaleta ukundumafi apa.
  Lione msura umekukauka kama mjusi wa sudani!

  Asante sinta kwa maneno mazuri.. Mangwea pumzika kwa amani dear.
  Poleni mlokuwa karibu nae na poleni mlowahi kuchati nae.
  Binafsi namjua kama msanii

  ReplyDelete
 15. wewe unayesema ataachaje kusifiwa wakati alikuwa anaimba mikasi, mitungi, hayo ni mambo ya ujana tu na changamoto zake,ulitaka aje aimbe uzeeni, jiangalie na wewe mboni ya jicho lako, usihukumu binadamu mwenzio ni mola tu ndiye anayepaswa kutuhukumu.

  ReplyDelete
 16. My dear ndio we are sorry Mangwea kafa ila "the love he was showed"????? mmh hiki kimekuja na bajaji.. au ndo mambo ya english ya Domondo? Ustaa kazi, English wito jamani

  ReplyDelete
 17. Wauza unga wote mlaaniwe na vizazi vyenu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Amen mdau ameeen...

   Delete
 18. R.I.P brother,kifo kinauma sana.Nimelia na kuhuzunika sana lakini yote ni kumwachia Mungi amlaze mahala pema pepono.We love u...

  ReplyDelete
 19. Inauma sana jamani

  ReplyDelete
 20. We CEO mbona hueleweki. Kuna watu unawaogopa na kuna watu unawaonea kishenzi. Rudisha ile post ya Diamond hata tutoe maoni yetu, mbona umeitoa fasta fasta au unaogopa mjini patakuwa pachungu? BANA NA HII....

  ReplyDelete
 21. hahahahahahaha unamuogopa PENNY mbona umetoa ile post ya diamond hahahahahaha lazima ufukuzwe kazi chezea station manager wewewewew hahahahahahahaha

  ReplyDelete
 22. Wewe Anonymous wa june5 8.54 kakojoe ukalale,kama unajua sana English nenda kawe mwalimu basi Mxiiiiiuuu zako,muone kwanza sura ilivyokukongoroka kwa ajili ya umbea,shule yenyewe Zero alafu unajishaua hapa kalale mbele povu limekutoka utazani umekunywa Omo kama imekukera sana kaparamie Mstimu wa tanesco pale ubungo nyambafu wewe.......R.I.P My Brother.....!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sasa usirekebishwe hee, sura ka kona ya bikini.

   Delete