Saturday, June 01, 2013

CONGRATULATIONS BABE

bwana na bibi harusi na twins wao
so lovely
sasa ni muke na mume jamani
vigelegeleee huko mlipoooo
aiiiiii
Mrs Abdul
nisipomwambia  Shamim congratulations nitakuwa nimekosa adabu kwakweli, sisemi ni nini kanifanyia na ni nini ananifanyia ninaweza kusema kitu kimoja tuu my dear lovely sista,  HONGERA.   ukipita anayekupenda mshikilie mshikilie mwenye tabia za kupendeza mshikilie, mwenye heshima kwa watu woteee, na mikono yote, usiachilieeeee.

Mwanamke ndoa .


30 comments:

 1. Kumbe alikua hajaolewa?waaat.. i thot ni.muke wa mtu..ok..
  Shes gorgeous. Hongera shamim

  ReplyDelete
 2. Jamaniiii Shamim alipendezaaa hongera mwaya mwanamke ndoa

  ReplyDelete
 3. Masha'Allah Masha'Allah Masha'Allah.

  ReplyDelete
 4. KATOKA KAMA NIGERIA NITAIBA HII IDEA KWENYE HARUSI YANGU IJAYOOOOO

  ReplyDelete
 5. NINAUMRI SAWA NA SHAMIM NA SINA MTOTO , SHAMIM NIOMBEE NA MIMI NIOLEWE NIZAE 35 HII MHH !

  ReplyDelete
  Replies
  1. Utapata wako my dear..omba kwa dhati Mungu ni mwema atakupa haja ya moyo wako.

   Delete
  2. usijali mwaya Mungu atakupa usikate tamaa zidi kupiga magoti utajibiwa sawa na hitaji lako..

   Delete
  3. Dada angu usikate tamaa.nineolewa ninaniaka 38 na nimezaa nikiwa 39 na nina mwanaume katulia na ana Pesa .God plans ni best bibi tulia

   Delete
  4. UMENIPA SANA MOYO MDAU HAPO JUU HUWEZI AMINI NI KWA KIASI GANI UMENIPA WEPESI NAKUSHUKURU SANA DADA , HAKUNA KITU KIZURI KAMA UKISIKIA KWA WENZIO INAWEZEKANA MAANA NIMEZUNGUKWA NA WATU WA KUKATISHA TAMAA. MARA OHOO ZAA TU NA MUME WA MTU , KITU AMBACHO NAKIPINGA SANA WHY KWA NINI NISIWE NA WA KWANGU MPAKA NIKAJIBEBESHE MIMBA NA MTU WA MTU ? EHEE MUNGU NAOMBA UNITIMIZIE HAJA YANGU

   Delete
  5. waht about mee? nimesubiriii hadi 40 nimezaa na mume wa mtu nikiwa 40 na sina mtu na nimeridhika ikitokea nitapata mtu wa kunioa nitakuja tena hapa kuwajulisha .. so far sina hata mchumba wala boy friend.. ila zamanii nikiwa kwenye twenties nilipataga watu wa kutaka kunioa sana sema sikua tayari, baada ya hapo ndo kama hivi. ila sijuutii ila nikipata mtu poa tuu nisipopata hayaa nalea mwana!

   Delete
  6. Ahsante jamani kwa faraja zenu... nimesoma comments nimepata faraja... nitaendelea kumuomba Mwenyezi Mungu na mimi kwani umri kama aliyeomba ushauri. Mpenzi hapo juu umejibu vizuri hope kwa wote wenye tatizo hili tumgeukie Mungu InshaAllah atatusikia maombi yetu, AMINA.

   Delete
 6. Kujipendekeza.com ndio maana hukualikwa mtoto wa kiswahili.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hahahahahaha

   Delete
  2. WEWE ULIALIKWA NYOOOO KWANI KUALIKWA SINTAH LAZIMA SINTAH MSWAHILI JEE WEWE MZUNGU AU MWARABU HUNA HAYA NA WALA HUJUI VIBAYA NYIE NDO WAGOMBANISHI KWA HIYO KILA ANACHOWEKA SINTAH KAJIPENDEKEZA NYOOOOOOOOOOOOOO SHUWAIYN MKUBWA WEWE HAYAWANI MKUBWA WEWE KAZI UGOMVI NA UCHONGANISHI SINTAH YEYE KAMPA HONGERA MWENZAKE KWA KUOLEWA. WEWE ALIPOPIGWA MIMBA BIBI YAKO AKAOLEWA NDOA YA MKEKE ULIALIKWA . NYOO SURA KAMA KALIO KIBOKO.

   Delete
  3. baelezee snitch ajaalkwa ahahahahahah anajulikana kama chaunabe

   Delete
 7. huyo ni iqra au ni dada za iqra mi sijaelewa mana najua ana mtoto mdogo mdogo hivi kama miaka mitatu. lemba linavutia na makeup iko vizuri. hongera na nataka jibu

  ReplyDelete
 8. kapendeza kweli usije muibia mume mana sina imani na wewe kikongwe wangu sinta. hongera shamimu

  ReplyDelete
 9. Hongera shamimu, umepemdeza Mum mashallah

  ReplyDelete
 10. Ukakaae safarii hii dada! Nakutakia ndoa njema na masikilizano mazuri! Hongera sana

  ReplyDelete
 11. amependeza sana but before nilidhani ni mke wa mtu kumbe alikua hajaolewa bado, all the best kwnye ndoa yenu

  ReplyDelete
  Replies
  1. alikuwa ameolewa yes... na ana mtoto wa kike ambaye ni iqra. hii ni ndoa yake ya pili.kama unaingia blog ya shamim kuna wakati aliweka picha yake na mumewe wakati amepata diploma. walipiga picha ya familia. kama ilivyo mambo ya ndoana sijui nini kilitokea wakaacha. yote kwa yote tunamtakia maisha mema katika ndoa yake hii mpya.

   Delete
 12. Mmmh m nlisikiaga aliolewa akaachana na mumewe wa kwanza ni kwel?Jamani ol in ol huyu dada namuadmire sana so much love Shamim n mfano mkubwa wa kuigwa n mtulivu na asiyependa makuu.

  ReplyDelete
 13. omebana leo ahahahahahah muoga ?? hahahahahahaha

  ReplyDelete
 14. Teh!kaibania et koment yangu!!!!

  ReplyDelete
 15. wenzio wanaolewa wnaachika wanaolewa tena wewe upo tu hongera sijui dada shamimu awe dadako mh au mdg ako?

  ReplyDelete
 16. Wasemao na waseme shamim umemaliza nimefurahi sana pendeza sana mumy

  ReplyDelete
 17. Watu wa humu mmezidi unafik. Kwani kma hajaalikwa ndio asimpe hongera? Mnajuaje kma hajaalikwa? Na so lazima ukialikwa shughuli uende I'm sure all of you never go to all events that you get invited to so save her some crap. Na kma Allah kaandika Sintah kuolewa basi ataolewa tuu hta akiwa na 40 so get off her back n worry about you.

  ReplyDelete
 18. hongera sana Shamim mwenyezi mungu awajalie kheri muishi kwa amani na upendo tele.

  ReplyDelete
 19. Nimewahi kuona picha za harusi ya shamim miaka mingi,i guess ameolewa tena,Hongera mwaya

  ReplyDelete
 20. Nyie msiofahamu kuhusu shamim ni kwamba alijaaliwa ndoa miaka ya nyuma sana na kujaliwa katoto karembo baby Iqra,akaachika katika ndoa hio na sasa mwenyezi mungu amemfungulia neema yake na kujaliwa kupata ndoa ya pili,kifupi alikwisha olewa na kuachika.Mwanamke bahati babu eeeh! hongera bi-shost shamim.

  ReplyDelete