Saturday, June 01, 2013

FROM SOUTH AFRICA

Magie n M to the P
Our lovely Magie for sintah.com reporter,  amemuona M to the  P kama picha unavyoona kwa karibu amefungua macho, na alipomuona Magie, he was like where is Ngweah?? very sad,,,Magie alibaki tu amesharudi Bongo aiseee, Mungu amjalie apone maana its too early kumhoji na kumuuliza maswali ya nini kilichowasibu.

Mwili wa Albert Mangwea utafika jumapili  Tanzania

RIP our bro Albert aka cowbama, cowizzyy

5 comments:

 1. Maggie muuza unga mwingine huyo anameza kwa kwenda mbele Sintah nitakuwasha wewe ukipita bara barani umelowana

  ReplyDelete
  Replies
  1. Watanzania bhana hawachagui wap pa kusema nn na pakufanya nn,anabeba unga ana bwia unga tunachoangalia sasa anatujuza nn kuhusu hali ya our brother aliye hai,punguzeni jokes kwenye masuala ya ukweli na yanayohusu uhai wa mtu...kuna cku utakataa hbr muhimu kisa aliyekuambia ni mwiz,changudoa au muliwahi gombea bwana...who a u,what ur doing is odicta bita,tunatizama ur knowlegde or hbr uliyonayo kwa kipindi hiki na umuhimu wake kwetu.kama kuuza unga mbona bakharesa anauza na upigi kelele mamayo

   Delete
  2. hahhahhahahahah..lol watz hawana shukrani hawabebeki hata

   Delete
 2. Ataliaje jamani

  ReplyDelete