Monday, June 03, 2013

NEWLY ROCKING WED COUPLE IN TOWN.

kwa raha zake jamani
my sweetie lovie sisyyy Adeline
Hongereniiiiiii
Mr n Mrs Abdul
maharusi, halafu mijitu mingine kujitia kuongea sana vya kuongea muwe mnaona haya jamani khaaa, mnajijua wale niliofuta comments zenu, mbona wivu heeeee hata kwenye mambo ya kheri jamaniii.
Anayesema hawajapendeza huyo atakuwa na kijiba cha roho. My Shamim looking absolutely fabulous.

sintah.com is wishing you the joyous and blessed marriage, Mungu awatangulie!!!!

UNSTOPABBLE

22 comments:

 1. Bania tuuu lkn umeisomaaa.kwikwikwikwiiii

  ReplyDelete
 2. Wamependeza sana, utafikiri harusi za Nigeria.

  ReplyDelete
 3. Acheni utani Jamaa Mzuri sana anaendana na Shamim binafsi nampenda Shamim kila la kheri Dada Potezea Mambururaaa woote

  ReplyDelete
  Replies
  1. msukule wa SintahJune 4, 2013 at 6:29 PM

   Harusi tamu asikwambie mtu hongera Shamim umetokekezea hataree mbarikiwe Sana mwaa mwaa

   Delete
 4. Sintah Adeline kapendeza sana utazan yeye ndio bib haruc,shamim umependeza bt hukujitendea haki lov

  ReplyDelete
 5. Alipendeza sana, Hongera Shammy

  ReplyDelete
 6. Mungu awajaalie kila la kheri katika ndoa yao..Aamin

  ReplyDelete
 7. kwa kweli waosha vinywa wote chali shamimu alipendeza sana kwa kweli, tatizo watu wamekariri kwamba bi harusi lzm avae white na veil, kumbukeni kw hii ni second marriage nendeni mkasome tips za second marriage ndo mtajua shamimu wa kidigital.mengine yote wapotezee shamim muombe mungu akuepushie mabaya yote wanayokuwangia.

  ReplyDelete
 8. Nampenda sana Shamim kwa kuwa hana makuu, alichokiamua ni maamuzi yake kama wewe unaona hajapendeza funga ndoa yako upendeze. Sintah unafanana sana na dada Adelina vipi ni ndugu yako?

  ReplyDelete
 9. kila mtu dada yako kujipendekeza.com bania na hiyo lakin unasoma kimya kimya,hahhahahah my shamim,utakaa sna yeye na my hawa tu

  ReplyDelete
 10. jamani naomba ni comment for those women who dont have voice plz plz DONT WEAR WHITE KAMA UR NOT THE BRIDE OR OFF WHITE OR ANYTHING CLOSER TO WHITE its rude jamani au mnasemajeee wadau???
  ps hata km clr of the wedding ni white JUST DONT ITS A NO NO

  ReplyDelete
  Replies
  1. Keep your tips for yourself. May be you didn't get the memo. White ilikuwa ndo color of the wedding na bi harusi alipenda rafiki zake na waalikwa wavae hivyo. Besides, Shamim mwenyewe na mashosti wake wote watoto wa mujini walijipanga na sherehe ilipendeza mbaya. Everything was on point. #Team freedom of choice#

   Delete
  2. its no no noo yo ass mmekaa ulaya kidogo mnajidai mnajua mambo kuliko wazungu wenye nchi zao. wakati kim kadarshian anaolewa familia yake woote walivaa white kuanzia mama yao mbona mlifunga midomo? kujidai wajuaj tuu.

   Delete
  3. Mwambie huyu tangu mtaa wa pili no no ndo nini rangi ya harusi ilikuwa white sasa wavae black acha sifa za kijinga, white huvai Kama wewe tu utoke kwako uvae white bila plan ila hii sherehe ilikuwa ya white kwa Hiyo unawazidi kujua mavazi akina F.Matata mama Mziray n.k acha sifa za kijinga. Tena mmtue mdada wa watu.

   Delete
 11. with exception to this wedding in which bi harusi mwenywe sio traditional bride(meaning she didnt choose to be traditional and wear whitenot in a bad way at all)so yy ameamua kuwa tofouti ila for most of wedding i attended naona pipo weat white

  ReplyDelete
 12. Hata mimi sikupenda colour choice ya shamim na sipendi kusifia kinafiki.but all in all kapendeza sana pia kajikondesha vizuri...kila la heri ndoani Shamim

  ReplyDelete
 13. Kila kitu kilikuwa sawa sema tu hicho kitambaa waloshonea hapo shingoni hawakudesign vizuri na hiyo top kama imembana sana. lakini color,skirt,make up viko poa.

  ReplyDelete
 14. Watu hatuelewi maana ya kuvaa white bibi harusi manake awe bikra lakini sie tunajivalia tyuu hongera shamimu unaelewa nn umefanya

  ReplyDelete
 15. Mbona kwenye komputer na laptop hatukupati yaani website yako tunaona matangazo ya juu tu hakuna lingine, mdau Ulaya.

  Hapa nimetumia simu nakupata

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hata Kwangu haifungui zaidi ya kuonyesha matangazo tu. natumia simu inaenda. LoVe

   Delete
 16. @ANONY 12:54 PM Jaribu kuinstall Adobe Flash Player kwenye computer zako

  ReplyDelete
  Replies
  1. Adobe flash player ndio itaonyesha posting zake I mean maneno ambayo yapo?

   Mbona ipo na ninaijua as naitumia daily.

   Delete