Saturday, June 08, 2013

VOTING FEZA IS VOTING FEDHA

Tanzania fanya kumpigia kura FEZA mwakilishi wetu kwenye Big Brother Africa #TheChase jambo la msingi leo umuokoe asitolewe Kesho Jumapili. Piga Kura mara nyingi uwezavyo Heee.
Magic number is 15456 andika neno FEZA then send to that Magic number or vote online, click here
http://bigbrotherafricawap.dstv.com/Vote.aspx  Let's Do This Today!!

15 comments:

 1. Sintah hapa umefanya jambo zuri sana, tunakuomba tafadhali waombe na mashosti wako wa Uganda wampigie kwa fujo. Hata wa nchi nyingine pia wampigie. Tunakutegemea sana Sinta kwa hili, watumie email wape link maana kura zinahesabiwa kutokana na nchi alizopigiwa. Huddah wakenya walimpigia kura sana ila alikosa za nchi nyingine.

  ReplyDelete
 2. Kweli CEO uko juu, unaupendo wa dhati kwa wa Tanzania wenzako. Jamani hembu leo tu vote haswaaaa na wenye marafiki zao nje ya Tanzania tuwashirikishe watusaidie kuvote, unaruhusiwa kuvote kila baada ya lisaa limoja.

  Kumbuka vote za nchi nyingine ndo zinauwezo wa kumuweka Feza ndani

  ReplyDelete
 3. http://bigbrotherafrica.dstv.com/vote/

  ReplyDelete
 4. Sinta rekebisha mtu anatuma neno VOTE FEZA kwenda 15456 akiandika neno feza tu haihesabiki pls rekebisha frza atakosa kura nyingi

  ReplyDelete
 5. Replies
  1. CEO wangu mekumith SANA piga kazi waache wapige kelele how IS ur bday

   CEOS MADE TINANHHO

   Delete
  2. Hee haya tena we ndo wajua zaidi

   Delete
  3. Usiwe mbishi CEO hayo ni mambo ya Data base ukiandika neno tofauti na maelekezo haikubali. Mi natumia Voda nilivote for Huddah na sikutanguliza neno Vote msg ziligoma hazikwenda. Ikabidi ni vote online via http://bigbrotherafrica.dstv.com ndo nikafanikiwa. So, Peppino is right 100%.

   Delete
 6. FEZA INABIDI AGAWE KITUMBUA CHAKE KWANZA ILI APATE DUDU NDO AFRICA WATAMPENDA MAANA AFRICA WANACHOPENDA NI DUDU+KITUMBUA TU

  ReplyDelete
 7. Av already voted 4 her n i wil always vote.jamaniii mi kule kwa insta meona diva cjui nani analalamika cnta kaandika post cjui ameachwa na cmb.sasa mbona post yenyewe siioni au imeshafutwaaa???sintah mbona sielewi hapaa!!¿¿¿¿¿!???

  ReplyDelete
 8. Sintah angalia kwy DSTV jinsi ya kipiga kura unaandika neno VOTE FEZA kwenda 15456.Kwa jinsi ulivyoelekeza mwemzio atakosa kura

  ReplyDelete
 9. Kupiga kura inaandika VOTE FEZA kwenda no 15456. Usipoweka VOTE inaenda km msg ambazo mnaziona kwy screen. Sintah confirm this with DSTV if Im wrong! Lets vote for ur girl!

  ReplyDelete
 10. nilipiga kura kwa nguvu zangu zote thanx God zimesaidia by the way miss u sintah

  ReplyDelete
 11. KENYA TULIWAPIGIA LAKINI WAO HAWAKUTUPIGIA WAMEMPIGIA HAKEEM, AMA KWELI JIRANI ZETU HAWATUPENDI. NEXT TIME PSE TUSIWAPIGIE WAKENYA KWA NINI TUNAJIPENDEKEZA HIVYO KWAO.???

  ReplyDelete
  Replies
  1. They are selfish we voted for Huddah first time, and that's what we got in return. Their representative is on possible eviction this week let them feel the pinch too!

   Delete