Wednesday, November 06, 2013

WADADA HII INAWAHUSUU.....

Jimy n Nadia
Wadada hamna kitu kibaya kama kuji squeezekwa mwanaume, utakuta mwanaume hana hata ndoto za kukuo wewe tena ndio unajipa ma hopes all the time kujipeleka peleka, na hizo pics za ma bf mnazoweka ktk social network angalieni jamani msije mkaumbuka bandugu

yamemkuta dada Nadia ooh naolewa mara vile kiruuu njemba limekana namna hii


baada ya hapo dada yetu akaona ya nini namna hii, kujipatia shida akaondoa pics zote za muzeeey

wapenzi ushauri wa bure tuu, usijitie mbwembwe nyingi kuweka pics ya bf  ktk mitandao baadae unazitoa fastaa kwanza jiulize mko wangapi?? usijie mahabani na wakati mwenzio anajionea air air, kama ni mume bibi jiwekee kwa raha zako lakini BF BIG NOOOOOO 

kwaheriiii

66 comments:

 1. nyani haoni kundulee cc to govinda

  ReplyDelete
  Replies
  1. nipe 5..... hahaha kasahau yake.

   Delete
  2. sinta umesahau shuzi lako jamani

   Delete
 2. khaaa we sintah mchokoziiii!!!!! ahahahaaaaa uwiiii wapi penseli!!!! siku hzi hta insta haonekani manina chezea wanaume weyeeeeee!!!

  ReplyDelete
 3. pepo la showoff limewakumba wadadaz mapenzi yamekua mchezo wa kuigiza kwa kwena mbele inakera wadada mbadilike, mnaacha kuintagram ya maana mmekomalia BF sexilicious ndio mpango mzima mnakera mwee badilikeni mbona hamuinstagram mko darasani au kazini au biashara? tuondoleeni vichefuchefu vyenu vya maisha ya maigizo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Dada sintah camera lako lilete kwenye university ndio mtaona maigizo ya ukwee wasichana wamekuja kusomea degree ya kujirahisi kwa wanaume shosti akipata boyfriend mtamkoma kwa show off atamfulia nguo atampikia chakula na mimba atabeba wakati wenzake tuko darasani tunasoma yeye busy anapika na kufua, mwanaume akitoka darasani anakula anavaa nguo safi anasepa zake kusoma shosti sijui anasoma saa ngapi, facebook imejaa mapicha ya malovidavi darasani sifuri inakeraa wasichana wanafeli chuo mbaya kusap asilimia kubwa ni wasichana sintah nakuomba uweke hii mada tuelimishane chuoni kila mdada ana mimba huwezi jua uko clinic ya wajawazito au uko chuo kikuu aibuu aibu maongezi wanachuo wasichana ni kitcheni party mwanaume umfanye hivi asikuache umpe tigo asikuache inakeraa

   Delete
  2. WABADILIKE NINI KA BWANA ALIMWAMBIA NAKUOWA HUVI NYIE QANAUME MNAWAJUA AU??KUMBUKA SINTA NA OKWIIIII GOVINDA

   Delete
  3. Hahahahahahahhh labda mpo clinic ya wajawazito c chuo tena

   Delete
 4. Hahahahaha salam kwa govinda popote alipo.. Yalikukuta na wewe

  ReplyDelete
 5. Wewe mwenyewe cntah una ugonjwa huo.naww ulikanwa kwenye social media.so cjaona jipya.polen wenye magonjwa ya mapenzi.

  ReplyDelete
 6. Wewe mwenyewe Okwi alikukana Live Oyoooo

  ReplyDelete
 7. TULETEE INSTA ZA CHAGABABE BWANA WENGINE HATUNA INSTAGRAMU

  ReplyDelete
 8. Mydear Sintah leo nimekupenda zaidi,wat husemaga eti huwa hupost yanayowahusu shoga zako,sio kweli maana hili ni Jiwe la Penny!!!!tena sio yeye tu,wadada wanatia kichefu Insta...Hebu oneni wadada wenye ndoa za kama Nargis Mohd,mbona hawahangaiki kama nyie??wanapost vitu vya maana wako job,watoto na progressive issues!
  Kuna wakati nlijiuliza hivi Penny anao wazazi@@nikaambiwa anao!jamani mwawaaibisha wazazi wenu na mtawauwa kwa mawazo maana hizo ni aibu kwao wanashindwa kuwaface majirani na jamii yao!!BADILIKENI.

  ReplyDelete
  Replies
  1. shouger ungekua karibu ningekununulia soda well said, wadada mbadilike mnatia vichefuchefu mbele ya jamii khaaa

   Delete
  2. yaaaaani huyo CHARGABARBIE anatia kichefuchefu mtu mzimaa ovooo ,wanaume wenyewe hawaja claim hata mmoja lkini wao ndoo ohh his 1st lady... wapiii diva loveness kimbelembele cha kumwaga Mh. ONLINE, anarudi kama mbwa rudi matapishi... nyooo wanawake mnatipa aibuuuuuu!!!!!!!!
   kwani lazma tujue unatombwa na nani khaa, embu achene ushamba. watu wenyewe vicheche tupu

   Delete
 9. Kwahyo nawe ulikua unajishaua shaua na mimba yako! Ulivoona le mutuz anakuzengua ukaenda kuichomoa fastaaa! Auu?

  ReplyDelete
 10. Alie invent social media ako saidia sanaa,napata burudani maana nikiamka tu nipo sambasamba nao yaani vituko vya huko vitamu sana.

  ReplyDelete
 11. Wadada wenzangu,IG itatuua...mtu huwazi chochote cha maendeleo unawaza utavaa nguo gani utupie picha IG.....ni ulimbukeni jamani itumie kwa faida kama akina Sinta sio showoff za kijinga

  ReplyDelete
 12. Mvua za masika zimeanza ngoja nipeleke mbegu za mahindi mie mtoto wa mkulima,humu joto tu siku mbili hizi

  ReplyDelete
 13. hilo nalo neno mdau

  ReplyDelete
 14. Napita tuu leo iko gonjwa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ungekuwa mgonjwa ht ham yakuingia humu ucngekuwa nayo.huna hela ya e.cafe leo.c useme tuu

   Delete
  2. Kaa mbali kabisa usije ukatuambukiza hilo jiugonjwa lako.

   Delete
  3. pole na kuumwa shouger get well soon mwaa mwaa

   Delete
 15. hehehehe mwambie shoga yako penny akatulie diomond anapita tu njia

  ReplyDelete
 16. huoni hata haya kupost such, sbb unajisema mwenyewe na mashoga zko maake ndo zenu kichefuchefu mkbw we.
  Wp rosilicious, pepino?

  ReplyDelete
 17. duh, kazi ipo mwaka huu..but siwalaumu hao wanawake nawalaumu wanaume wanaowachezea hao wadada. na pia sie wanawake tushawapa wanaume green light ya kutufanyia kila watakalo, wenyewe humu kutwa tunaandika oh mwanaume sio wako peke yako, oh wanawake tuko wengi kuliko wanaume oh tutabanana hapo hapo, wanawake hatujithamini kamwe na hao wanaume mnadhani hawaingii humu? wanaingia sana na wanaona tunavowapaisha wao na kujishusha wenyewe, tunawafanya ndo miungu wa dunia, haya acha watutende why not wakati tushawapa go ahead? its about time wanawake tujithamini na kujiamini, mume mwema mtu hupewa na Mungu na mume mbaya hutoka kwa shetani na hao wa shetani ndo walio take over the world right now, they r not after ndoa jamani wanataka tu kuchezea maungo,wana kiu kisichokatika, kamwe hawaridhiki. na wanawake tumeruhusu watuchezee, tena kwa mafungu ka zinavochezewa gololi. Lord have mercy! tujithamini wanawake ndipo nasie tutathaminiwa, mwanamke ndo unatakiwa uwe na nyodo na sio vice versa, khe!

  ReplyDelete
  Replies
  1. yani this is 'WORD" in deed

   Delete
  2. katika comenti zote za leo we umemaliza nakupigia makofi yakufikie popote ulipo pwaa pwaa! pwaa! pwaaa!!

   Delete
  3. kula tano mdau umesema ukweli wadada badilikeni mnajiaibisha wanaume tumewapa green light wenyewe tena hii dotikomu generation imejishusha kiwango mazungumzo yao yote yanahusu wanaume utamwambia mdada kasome ujiendeleze atakwambia mume wangu kanikataza au atakwambia nimeolewa kazi yangu ni kulea mume au boyfriend wangu kaniambia hivi wakikuta msichana hana BF au mume ndio atawakoma watamsimamnga hajaolewa yule muhuni yuko single hajui kulea mume niwaulize nyie wadada mlisikia ukipeleka cheti cha ndoa unapewa kazi?? tangu mmeanza kulea wanaume zenu kipato chenu kimeongezeka? acheni ujinga mwanaume ni binadamu kama wewe mapenzi sio utumwa wewe umtumikie mwanaume mapenzi ni kupendana na kuheshimiana sio utumwa na utwana kama mnavyoufanya na maigizo yanazidi mpaka mwanaume anakimbia fake life anaenda kuoa mtu mwingie

   Delete
  4. ni kweli kabisa!!

   Delete
 18. kichefuchefu at work!! ndio maana hata okwi alikukana, pua ka kabichi!

  ReplyDelete
  Replies
  1. ha hah ha et pua ka kabichi jamani!

   Delete
 19. Wapi kiandunje a.k.a Pencil. Masikini bora hata Nadia anajulikana sasa kiandunje kilitaka kiki kupitia kwa Wema kwa kumchukulia boy friend yerewiiiiii kanatia kichefu chefu yaani. Tabora oyeeeeee chezea toto la Sepetungaaaaa wewe

  ReplyDelete
 20. Mh am single, waache kujihashuri baasii,

  ReplyDelete
 21. jamani siamini kama mwantum wa twanga amefariki. i liked her a lot..may her soul rest in peace.

  ReplyDelete
 22. Ndiyo mkomage kuparamia wanaume mkidhani mtatoka, mnapenda sana maisha ya mteremko, mkiona wenzenu wanakula mabata yao na nyie mnatamani, hamjui kuwa kila mtu kazaliwa na bahati yake, mnaishia kujidhalilisha na kuzidhalilisha familia zenu, shenzi zenu nyie. Fanyeni kazi mle kwa jasho lenu, wengine wapo USA hawataki kurudi home, wameng'ang'ana wanatafuta makaratasi hawapati, wanachezewa tu na vibabu huko, wamejazana kwenye mageto hawana hata cha kufanya zaidi ya kupiga umalaya.

  ReplyDelete
 23. Hata huku Uk wako kuma zinanuka kwa kutobwa ovyo ovyo hakuna la maan ndio maan sitakii shog wa ulay hawechelewi kujitombesha kwa mume wako

  ReplyDelete
 24. Ujumbe huu umfikie stalisha aka chaggabarbie

  ReplyDelete
 25. KIDADA WENZANGU TUAMKE JAMANI ,KABLA HAKUJAWA GIZA TENA.EMBUMKAE CHININAKUTAFAKARI,MFANO HAO WANAOMGOMBANIA HUYO PRZ,EBU ANGALIENI ALIKOPITA MPAKASASA.AKIWAMAHALI NDIOKAWAIDA YAKE ANAFANYA MWANAMKE ANACHANGANYIKIWA NAKUJIONA YEYE NDIO YEYE.SIJUI ANAWAFANYA NINI HAWA WANAWAKE?AU NIHUO UTAJIRI WANYUMBANI KWAO NDIOUNAWACHANGANYA.MAANA DIVA ALIAMUA NAKUJICHORA MKONONI.KITU AMBACHO NIKIBAYA SAANA MAANA TATOO KUFUTA NIKASHESHE NA MAUMIVU YAKE.AKAJISIFUU WEWEEE NAKUMUITA MAJINA KIBAO HUBBY N.K,HAPO ALISHOTOKA KWA HUDDAH TUKAJUA KAMUACHA KUMBE LAH.VILE HUDDAH METOKA BBA WALIKUWA WOTE KILA MAHALA NAWAONA WOTE MPAKA KWA GARI AND EVERYWHERE.HAJAMALIZA KULE KAJA SASA YUKO NAHUYO BIBI CHAGA NINI SIJUI.HAYA HUYO NAE MTU MZIMA NDIOKACHANGANYIKIWA HASWAA.KUPITA HAWA WADGO ZAKE WALIOPITA .YEYE HAJITAMBUI KABISA UKIONA MAMBO ANAYOANDIKA JAMANI HAYAMFANANII NA UMRI WAKE.ANAKUWA KAMA NIMARAYAKWANZA KUWA NA BWANA.SASA AOMBE MUNGU SAANA KAMA ATAMUOA ITAKUWA NAFUU.ILA AKIMTEMA NA YULE ITAKUWA HATARI MAANA ANAJITAHID SAANA KUWEKA KILA KITU KULE INSTARGRAM.HATA WALIPOLALA ANAWEKA .AKIAMKA ANAWEKA KILA WANACHONGEA KWA SIMU JAMANI .MH YANGU MACHO NAMASIKIO-,MTU MWENYE NANI PREZZO KIWEMBE .COM

  ReplyDelete
 26. Huamini kama Mwantumu wa twanga amefariki. Kwanini? Yeye ni binadamu na kila mja aliyezaliwa lazima afe.

  ReplyDelete
 27. Hlf bwanaaa yaaan ye sintah kaongea vzur sasa watu kubadili manenooo mara hv maravile ndio minashindwaga kuwaelewa wadada acheni kuwapa wanaume promo.mnapenda kunadi mitobo yenuu ukiruka nahyu watuwajue ukiruka nayule watu wajui sonyooooo namatobo ynyewe sasa putuuuu ndiomaana mnadharaulika.tuchape kaz mboro zpo tu hainahaja yakujirahisishaa mtafedheheshwa mpk lini waiiiii

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mdau hakuna mtu anayefedheheshwa, ila sisi wadada ndo tunapenda kujifedhehesha kwa kujidanganya kuwa tunawarusha roho mashosti. Ujinga mtupu mwanaume mmekutana ndani ya basi hamjafika hata mwisho wa safari tayari ushamrusha IG ya nini? kwani lazima BF wako umuweke kwenye mitandao ya jamii? tunatia kichefuchefu wadada tunaanika mpaka mambo ya vyumbani kwenye IG inasaidia nini??? Basi kukuruka hivyo halafu mwanaume mwenyewe awe mumeo lakini wapi tena mwanaume CHAWOTE, Kitombi kupita maelezo mwanamke umekazana my baby my baby kila siku. Wapi mamaa DIVA wa clouds alionyesha mapenzi mpaka tatoo hiyo ni date ya one day tu, angepewa hayo mapenzi kwa mwezi mzima mzima nadhani angechora mpaka punani.

   Mungu atusaidie Wanawake tujikomboe wenyewe tusisubiri kukombolewa tuache kujiaibisha. Na tunapokosolewa tukubali sio ndo tunaanzisha mabifu ambayo hayana mbele wala nyuma.

   Delete
 28. hee we unaemtolea mfano nagrs unayajua ya mumewe?au unajua ndan ya ndoa kukoje haya na tusiokuwa na watt tueke pc za nan¿bana hao ma bby zetu tutaeka tukiwaacha tunaeka za wapya km doli la kichaga#chaggabarbie

  ReplyDelete
 29. Rosilicious na Peppino shikamooni team haters,am alive and still going strong,nyoko zenu nyie,Rosilicious,leo bosi hajafurahia chapati ulizompelekea

  ReplyDelete
  Replies
  1. achana na hao wajinga shouger wanapotosha mada yetu nasubiri busara zako tiririka tuelimishe jamii, pole na kuumwa dear wangu

   Delete
 30. huyo penny anapewa kicha na Esma utafikiri yeye ndo nasib, yake yamemshinda na hajui kaka yake anachokifata kwa wema. kafukuzwa kwa ustaarabu bado yupo, asubiri atakapo tupiwa vichupi vyake ndo ataenda kulalwa na esma au halima kimwana. penny hana haya utafikirikaolewa na diamond. lo kujidhalilisha tu, hajui kukataliwa.

  ReplyDelete
 31. Haya sintah ukitoa hii tuwekee diamond kasema hawezi owa na hana mpango huo yeye sasa hv anafikiria mtoto na yuko tayarii kuzaa na mtu yeyote yule nenda kwenye vijimambo blog sintah tuletee udaku huo kichwa cha habari kinasema diamond asaka mtoto. ..ha haaaaa ni mjangaaa. ¦¦¦!!!namuonea huruma penny lol...

  ReplyDelete
 32. Plzzzzzz sintah nenda kwa lemutuz blog tuwekee diamond alivyofinguka kuhusu amri ya 6 hana mpango na penny na yuko tayarii kuzaa na mmoja kati ya wanawake zakee. ..sasa huyo penny analazimisha nn?embu sinta plse tupe ushauri wakoo kama unavyowapa wengine..aminiaaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. ndio haya tunayosema kuwapa wanaume green light wewe anoy kinachokufurahisha kwenye hayo maneno ya diamond nini?

   Delete
 33. UUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII MTU MZIMAAAA MWEZANGUUU KWANZA ANAYEKUSEMAAA KUMMMMYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ALAFUU AJUE HAPA WEWE HUPOO NA WATU WAZIMA WEZAKO MLIOZA USTAR TOKA POLISI WANYERERE WANAVAA VIPENSI WAPOO YALEEEEEE YATUPEEE HAPO UMENIFURAHISHA UMEMLENGAAA YULEEE MWENYE SURA YA UCHII KAMA YANGU, NA ANAJIFANYA MZURI HAPA MJINI HALIPOO CHUKUA MME WA MTUU KUMUWEKA JUUU. HAAHAHAH INAHUSUUU YALEEEEEEEEEEEEEEE

  ReplyDelete
 34. Sintaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhh heeeeee mama haya napitaa miee. pole kwa safari ya china. hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa niacheni mie niamke nitafute pesaaa . haya basi sawaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 35. sintaaah kuna mtu siku hizi kipindi chakee kakifanyaa heti kipindi cha kuwachambia team wema hahaahahahahahahahahaha yaani namchekaaa tena kizalau sana. kama angelijuaaaa hiyo teamwema mda huooo wapoo wapiii basi kifupi asingejishughulisha kabisaaaaaa watuu mjini na biashara zaoo na timeee zaooo babuuu watuu tunasaka mshikoo na atutafutii umarufuu wa wapenzi radioniiiii hahahahahahahahaaaa yaaani sisi team wema kwa sababu woteee watu wa businesss ajieleweee tu atumjali hataa watuu tupo busy mjini kutafuta pesaaa na kama angekuwa yeye mubili mzuri angefanya kama answali sunni na nguo zao fupi nyeupe kutembelea kwa kila mtu ya mtu na kumuelezea na sio kwamba anavyoubili radioni tunamambiwa tu kwanza kwa sababu tupo bussy na huwa tunacheka saaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaaa kwa kumzalauuu hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa tembelea basi mmdada ubili kila nyumba kama answaliiii kwaniii vipi radioni unatafutaaa umaarufuuu inahusuuuu hahahahahahahahahha kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee niamkeeee mie niendeee kaziniii byeee sintaaa mpenzi

  ReplyDelete
 36. Sie huku kwetu uswaza hatuna shida tunawekana tu kwa mitandao ya jamiii na kikibuma tunatoa kiroho safi tu na ht wa kutuuliza wala wa kutucheka....tena ukipata mwingine fasta unamtupia humo yan ndo zetu km ya mumeo jnater hatuna habariiiiii....kazi kwenu mastaa ndo inawahusu hyo....sie wenzenu sie ndo tunawchezea wanaume kaz kwenu na mapenzi ninyonge tu ila lazma niwarushe roho mtaa wa pili ful kufa na tai shingon.....wap tema sare sare mauaaaa asiyejua kupamba kitanda na maua kabila yake si mziguaaaaa.....mi penda ww sinta miaka mia.....usipokosea utajifunzaje....sijui okwi alikukana sijui ukumanina gani lkn nwdays ufanyi tena huo ushuziiii...unafanya yako mtoto wa kipare....wadada fanyen kuwa wanaume ni kitu cha ziada tu afu mtaenjoy maisha miaka mia

  ReplyDelete
 37. wanaume watu wa ovyo sana. anaweza kukwambia uhamie kwake akuoe ukikubali tu anachange mind anakufukuza. yalinikuta niliachwa ndani kama msukule

  ReplyDelete
  Replies
  1. Pole mwaya usirudie tena umesikia

   Delete
  2. Hahahajhaaaaa pole shosti.. msukule!!mimi mwenzio nilikua napishana na mwenzangu naingia mimi anatoka yeye. Yaani acha tuu. Nilikua nimepewa ufunguo kwa mwanaume nikajiona nimefika kumbe alikua amempa mwingine nae ufunguo pia. Mimi naingia 3days a week mwingine nae anamalizia..acha tugongane. Mbona nilikua mdogo. Nimekoma aisee wanaume wanyama kwelikweli

   Delete
 38. watajutaaa watalijua jijiii,haya waende wakamsaidie penny kufungasha virago,anaona haya atatoka vp? na aliingia kwa vishiindooo,...na maua kitandaniii ha haaaaa na video ukatoa aibuuu ETI D LOVE P.. HA HAAAAAAAA UTAWEKA WAPI SURA MAMIIII..LOL,..WAPI AMBULANCEEE?

  ReplyDelete
 39. anyon wa 5.35 am umenichekeshaje eti wapi ambulancee? hahaaaa chezea kujipeleka kwa mwanaume hovyo hovyo.na kurekodi ma video.aliekwambia mapenzi ya kerekodi video ni ya kweli nani? ndo narudia yale yale kumganda mtu ukijipa mahope ya kuolewa nae.peny kama huyo kitombi anakupenda akuoe fasta au mlipeana mkataba wa kuchakachuana kwanza? kama ndivyo poa.ila ungeanza kusepa taratibu huyo kitombi atakuja kukuua.maana hadi afikie 30yrs ndo anakua mwanaume mweny kujitambua angalau kukaa na mwanamke.afu kitombi nae anaona siifa kuwamix ngonja atakapokuja kufulia kama mr nice ndo atajuta.kamekalia kuharibu watoto wa watu.na nyie mnaomshobokea mue na akili labda kama na nyie ni wapita njia au wachunaji.wanaume wazuri wenye akili na pesa zao wapo kibaooo mmekazana na hako ka kitombi.nampongeza kwa nyimbo nzuri baasi mengneyo ziro negative.

  ReplyDelete
 40. hahahaaaa hii ni special kwa neema mchomvu...oohhh tulikwambia mume wa mtu huyo...kiko wapi kakupotezea muda tuu walikuwepo wengi na wakati mpo wote kulikuwa na wengine, lakini roho yake ipo kwa mkewe...haloooo haloo jipange bibi wee

  ReplyDelete
 41. SI KIHIVYOO KWA PENNY WEWEEEEEEEEEEEE CHEZEAA MTOTO WA KITANGAA ANAAZA KUROGA KWANZA KWENYEE MIZIZIII HAHAHAHAH HAPOO ATAAZWA MAMA DIAMOND ALAFU ATAFUATIWA ASMA ALAFUU NA WAPAMBEE WENGINEEE WOTE WA KARIBUU NAOO MLIPUUU TUU ACHOMOKII MTUUU HAPOO KWANI PENNY NAMPAA TENA SALUTII YA OBAMAA KABISA KWA UCHAWIII MTAKWISHA NYIE MNAO MTUKUKANAA MWEZENUU ANADILI NA KINABABUU. MPAKA FAMILIA A DAII IKIJASHTUKAAA HAHAHAHA MAMAYEEE SIKU NYINGII DIAMOND KASHANDIKISHAA MALI ZINAENDAAA TANGAAA KWA RAHA ZETUUU. SASA NYIEE WAPIGA DEBEE TUNAWAACHAA MIKUNDUU JUUU. SISI TUNADILI NA VYUNGUU NA MAYAIII TUUU. MAMAYEEE YAII LIKIPASUKA LAZIMA KAMA SIO DIAMOND AU MAMA YAKEE AU ASMAA LAZIMA WAULIZEE UPOWAPI MKE WETUUU HAHAHAHA MKANYEEEEEE CHEZEAAA TANGA WEWEE AMNA SUMBAWANGA WALA PEMBAAA

  ReplyDelete
 42. Jaman wapo wengi tumeona mifano unajipendekeza then unatemwa sasa kila mtu akilo kichwani mwake kwakweli una njemba lako basi lifiche eehhh ya nn kuumbuka

  www.middysfashionsite.blogspot.com

  ReplyDelete