Thursday, January 31, 2013

VODACOM FACEBOOK LIVE CHAT


Thursday, January 31, 2013

EMANUEL OKWI ATUA SALAMA SALMINI TUNISIA

heeee Ems mbona umeanza ku'ngaaa hivi
Ems akiwa na ze don ila sio unstoppable

Emanuel Okwi amefika salama salmini Tunisia,mimi kama Sintah j wake lopez namtakia kila la kheri katika kazi yake huko.
kwa wale wanaofikiri me na yeye ni enemies uwiiiii mnachekesho team kusameheana n the new life begins,
kwa kweli hali ya hewa ya huko ni mbaya ila Mungu atamsaidia 

kwa wale mnaom miss kama mchezaji mzuri haswa wa Simba SC just follow him on twitter @okwi25

me huwa napenda kumuita Ems kifupi cha Emanuel so usifikiri hilo pia ni jina lake lolest.

u will always be missed. 

from 
CEO
Lope lope of all trades

Thursday, January 31, 2013

MTULIZENI HUYU MSICHANA

baby Lulu
Lulu Michael
vyombo vya habari hebu mpumzisheni huyu binti ili afanye yake ametoka juzi ila amekuwa kinara wa magazeti yenu.

for the sake of her life, hebu kuweni kama wazazi na walezi, msitangulize mkwanja mbele thou tunajua ndio kula yenu.
ana wahitaji mum support ila sio kumdodosa dosa upya, muacheni atulize kichwa.

kiroho safi tuu. 

Wednesday, January 30, 2013

WADADA MAARUFU HUWAFANYIA WENYE BOUTIQUES HIVI......


Tahadhari: kwa wenye boutiques hapa mjini, watu maarufu wamekuwa wakilalamikiwa sana kwa ukopaji wa bidhaa kama handbags, shoes,clothes etc na kutowalipa wenye maduka. na pale wanapopigiwa simu waanajibu mbofumbofu 
sasa kwa mapenzi yangu ya bure kwa wenye maduka na sehemu ya watu wanaokopea haswa hawa maarufu, kuweni makini unless mtu akichukua kitu muwe  na mkataba ambao mtu ana sign akitoa half then akimalizia anajaza kamaliza.

otherwise kila siku mtakuwa mnalizwa kama dada mmoja anavyolalamika huko BBM kuwa mtangazaji maarufu kasepa na vitu vya laki mbili na themanini halafu anajibu majibu ya chooni sasa mdada anatinga police 
for more info nitakuwepo police ili kupiga picha matukio yote

hii ni kwa wale wote wanaokopa jamani kama huna huna tu kwanini ujisexishe mjini kwa vitu vya mkopo heee na wenye maduka wanatoa tu kisa maarufu mxiiuuu huu ndio umaarufu kunuka ninaosema 

mwalimu naondoka ninawaachia homework  kujua mkopaji maarufu ni nani wa mji huu.
looh hamna huruma wenzenu wanafanya ya kufanya huko China wapate mtaji mnawatesa.
msema ukweli daima


one n only 
unstoppable 
jeshi la mtu mmoja

Wednesday, January 30, 2013

HUYU NAYE ANATAKA KUFANYA TALK SHOW

Kris
ingekuwa hapa Dar kama kawaida wangesema wameiga maana usifanye jambo umeiga, haya  mama Kim anakuja na yake talk show utasema kawaiga wanawe? acha majungu na fanya yako kwani unaowasema wanafanya yao kwa raha zao na wala hawana muda wa kujibishana na wewe kwani yao yanawaendea
tafuta pesa wewe acha kuendekeza majungu ndio mwanzo wa kurekebisha umasikini.

UWOGA WAKO NDIO UMASIKINI WAKO.

Wednesday, January 30, 2013

DISCO KAINGIA MMASAI

hapa naongea na dada mmoja fan wa blog issue fulani @anajijua
smile wow
massage weeeee imenilainishaaa
baada ya hapa sasa kazi ya kusafisha kucha na nini ikaanza
hebu licheki dress jamani mambo ya wedding kingdom
shughuli imeanzaaa
unstoppable'
heee we kaka mie mke wa mtu atiiii 
usinishike sana miguuni 
Sintalicious
stunning as usually mama j wake lopez
mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
lope lope of all trades

got this dress from wedding kingdom , Disco kaingia mmasai mimi na massage wapi na wapi loool but had fun with  people from blue palace, no more funny friends, just got friends with benefits only
stay blessed on Wednesday.

life goes on

Tuesday, January 29, 2013

HIVI NDIVYO NIELEWEKE

mtoto wa kipare,muacheni Mungu aitwe Mungu kaniumba atiii
toto la kipare


Dear Wadauziii,,,,,,,,,

 comment zenu zinakera, mimi mkinitukana vinaingilia huku vinatokea kule, kwani ninaamini haters are confused admirers, ndio maana i dont care halafu  my family, husband and people who are close to me wananijua mambo mengine siwezi hata ku risk kufanya so wewe unayejifanya unayenijua wanakuchora, my mum anapita kila siku humu, aunties ambao wanakazi za maana ktk hii nchi, wanamuelewa Tinah  cant dare kufanya ujinga.

mambo ya Bilali i don normally judge pipo, ataendelea kuwa my friend, namuachia Mungu amhukumu kiumbe chake,  anyone can be my friend zile laana mlizozishusha zinawarudia wenyewe maana nyie ndio mnaficha mambo mazito.

 Seriously, from today mtu asitume comment huku kuhusu Uturn ama Mange zikitumwa hazitoenda hewani hio ndiyo tahadhari.
 mumuache Mange afanye yake nami nifanye yangu mimi sina ugomvi  na Mange mnachokitafuta kitawarudia mimi na Mange tumejuana enzi za police wanavaa kaptura.

hivi wale mnaoleta maneno huku na kule kwani hivi vimegeuka vijiwee vya umbea?? mnasutana humu??
 mshindwe na mlegee sasa kuanzia leo sitoruhusu comment za Uturn na jina la Mange.

atakayesema lolote hewalaaa, binaadam hawaishi la kusema kila siku maneno maneno binaadam amezaliwa analia n'gaaaaa ndio kusema kwenyewe huko so don give a damn. 

mimi nitawarekebisha watu kama wakina kunguru wa Zanzibar hawafugiki ambao wanaropoka ropoka na siwajibu natoa dose halafu sina muda wa kujibu nimechoka kuwatoa under ground kwahio ukiona sijibu ujue nimechoka kutafuta vipaji.

mzigo wake upo Bongo so get yours faster 

ni mimi mwenyewe
Unstoppable 
senkyu


Monday, January 28, 2013

MUNGU NI MWEMA

machozi ya furaha
Lulu

hatimaye lulu will be out for bail (20mil)
 Glory be to God, only one thing i can say baby Lulu tulia. mdogo wangu umeshayaona mazuri na mabaya. hope utakuwa poa kama ulivyokuwa unampa hopes na kum promise  unstoppable. 

binaadamu punguzeni makali ya comments lets show TLC kwake jamani khaaa.

lots of love
Sintah
 

Monday, January 28, 2013

IM STILL JENNY FROM THE THIGH HIGH BLOCK

dada yake naniiii?

bado yupo na ataendelea kuwepo kama vile dogo lake hapa Bongoland nilikuwepo na nitaendelea kuwepo Inshallah kwa uwezo wa Mwenyez Mungu.The less you care the happier you will be.

Ceo 

Saturday, January 26, 2013

NEW $4.8MIL MANSION

home sweet home
hakiyanani ingekuwa bongo watu wangesema hii sebule
hapa nimependa
lovely

Nyumba mpya ya Kim Kardashian wapenzi heeee matayarisho ya mtoto lazima mtu ujinafasi hela hizi jamanii, sio hapa kwetu chumba kimoja watoto sita,,, still there is a very big gap between the rich n the poor.
work hard, be optimistic.

Thursday, January 24, 2013

HOT BIKINI BOYFRIEND

heeeeeeee speechless
 Venus' hot young buff 24-year-old Cuban model boyfriend Elio Pis was spotted flaunting his lean smooth body at the beach in Miami this week.
 

hapa Bongo huyu mwanaume alivyokuwa hot uuuuh cant even write tumfananishe na nani jamani?
drop your comment

Thursday, January 24, 2013

BILALI SEDUCTION ATUA SALAMA SOUTH AFRICA

bilali ndani ya BMW wakuachee tu
haya haya katinga SA
pendeza sana shouga wangu
we mtoto mkombe mkubwa unanenepa bana
 kiatu na pochi nimependa wapi Rayban

wow 
with travelers cheque international mashauzi Bilal Seduction,, weweeee chezeya shouga wake na mimi ndani ya J'burg.
 kila la kheri shouga yake na unstoppable zawadi muhimu kwa mie.

miss u xoxo
daah me na bilali tumetoka mbali sana, niacheni tu naye asiyejua maana haambiwi maana.


Our journey is not complete until our gay brothers and sisters are treated like anyone else under the law"Inauguration2013 haya ndio maneno yaliyotamkwa na Obama. 

NB
mnao judge wenzenu nyie ndio mmeoza zaidi tukichunguza ma file yenu.

Tuesday, January 22, 2013

WHO LOOKS BETTER? UNSTOPPABLE OR B

Jlo EA
Beyonce
Unstoppable
Mrs Jay Z

jamani msipendelee kwakuwa yeye ni Beyonce, please be fair who rocked than the other
Sintah and Beyonce wote kwenye blonde chezeyaaaa.


Tuesday, January 22, 2013

JE TANZANIA TUTAFIKIA HUKU


US President
Jay Z &wife
mwanamume shavu dodo ila dada kalidondokea
lovely


Our journey is not complete until our gay brothers and sisters are treated like anyone else under the law"Inauguration2013 haya ndio maneno yaliyotamkwa na Obama heeee je siku ikitokea Tzzz wakina fulenge watachekelea.

2nd point kusema ukweli me naona Beyonce alikuwa kawaida tu heeee jana nilikuwa naona watu twitter, beyonce amependeza jamani au kwasababu ni beyonce?hata avae gunia itaonekana amependeza aaah bwana tusifie panapostahili ndio maana E watakuwa juu milele mwenye kuchemka anapewa makavu mwenye kupendeza anasifiwa ila hapa watu na watu wao wakichemka wanaufyata aaah acha nichukiwe ukweli nitasema.

unstoppable

Monday, January 21, 2013

THE WEEKEND UNSTOPPABLE GALLERY

moi
unstoppable
mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
chezeya Vero salon
wow my lips
sintah goes blonde
cute
waacha weee Sintalicious
alamba alamba aaahm aahm
mpaka nasinzia ni utamu utamu
Vero is the best jamani
kumbe na mimi nina kitakoo eeh basi sawaaa
moi n Sabah coco
jeshi la mtu mmoja
CEO
nimezaliwa kushinda ndio maana mkibana napenya


Sintah goes blonde , 
she looks hot,hotter,hottest,,
 im having my siesta i dont care 
enjoy ya monday

kama kawaida nywele na mama Vero 0713 244970