Thursday, March 28, 2013

MANENO YAMKOSAJI NI SAWA NA MFA MAJI EEEEH

I THINK WENGI WETU TULIAMUA KUMU IGNORE TU HUYU MBWA KOKO......KAMA MIMI NDO KABISAAAAA YANI NILIKUWA NISHASEMA NGOJA NIFANYE KAMA HAYUPO HAI...... JAMANI
KILA SIKU LAZIMA ANITUKANE KWENYE COMMENTS ZAKE? NILIM CONTACT KISTAARABU NIKAMWAMBIA SINTA ACHANA NA MIMI, SIKUJUI TUHESHIMIANE, ILA WAPI JITU HALIELEWI.
SIJUI BLOG YAKE HAINOGI BILA KUMTAJA MANGE KIMAMBI. ALAFU UKILIAMBIA ETI LINASEMA SIO MIMI NAWEKA COMMENTS NI ADMINISTRATOR. SURA KAMA ADMINISTRATOR UNA HELA YA KUWEKA ADMINISTRATOR WEWE. MFYUUUUU.....

MIJITU MINGINE BWANA, YANI LAST WEEK NILIBOREKA KIDOGO NKAMZABUE VIBAO. JITU LINAJUA KABISA STORY NI ZA UONGO SASA ANAWEKA COMMENTS ILI IWAJE? BORA HATA BASI ANIFATE FATE MIMI, SOMETIMES ANAWEKA HATA COMMENTS ZA KUTUKANA
WATU AMBAO HATA HAWAJUI JUST BECAUSE HAO WATU WANA ISSUE NA MIE. YANI LAST WEEK NILISEMA NGOJA NKAMZABUE MABAO TUTAHESHIMIANA NIKAPELEKWA HADI KWAKE KANAKAA SINZA PALE BAMAGA, YANI HAPO ANAPOKAA TU NILIMUONEA HURUMA. NKAONYESHA NA HICHO KIBIRITI CHAKE ANACHOENDESHA, YANI NIKASEMA MASKINI YA MUNGU ADHABU TAYARI ANAYO SINA HAJA HATA YA KUMUONGELESHA....KHA!!!
WATU MNAAMBIWA MASHAUZI YANATAKA PESA HAMSIKIIII, MTU UNAJISHAUA WAKATI HUNA MBELE WALA NYUMA, UUNACHEKESHA WALIONUNA TU.UNAJISHAUA NA VINGUO VYA MTUMBA??? MFYUUUUUU, SHENZI KABISA.... YANI NAONA HATA AIBU NIMEKAA HAPA NAANDIKA ARTICLE YA YULE MJINGA. ILA LAKINI MTU HAONI KWAMA ANAKUWA IGNORED, KILA SIKU ANANITUKANA ON HER BLOG BUT I IGNORE HER, HATA SIKU MOJA HUWEZI KUKUTA COMMENTS ZA YULE SINTA. HAJIULIZI KWANINI? ANAJIFANYA ANAJUA KUONGELEA MAMBO YA WATU YAKE TUKIONGELEA HAPA TUTAYAMALIZA?
SINTA KUBALI MAISHA YAKO, WEWE NI MTANZANIA WA KIMA CHA CHINI THATS UR STATUS NA SIO MBAYA ,JUST JIKUBALI UNACHEKESHA SANA UNAPOANZA KUTAKA KUWA MATAWI WAKATI YOU DONT HAVE ANYTHING.
HUYU NYAU ALIKUTANA NA MDOGO WA RAFIKI YANGU KWENYE NDEGE ON HER WAY TO UGANDA. KATIKA MAONGEZI HUYO MTOTO AKAMWMABIA AMEFIKIA SERENA HOTEL NA BABAKE. BASI SINTA ASIENDE HADI SERENA HOTEL KUMFATA HUYO MDOGO WA RAFIKI YANGU, ETI NAOMBA KWENDA CHUMBANI KWAKO NIKAPIGE PICHA NIWEKE KWENYE BLOG. HIVI HUYU MTU ANA AKILI KWELI??? JAMANI KAMA HUKUBARIKIWA KUWA NA MAISHA YA JUU EMBU YAKUBALI YAKO TU.
WEWE SINTA KUTAKA KUSHINDA NA MANGE KIMAMBI NI SAWA NA KONDOO ATAKE KUSHINDANA NA SIMBA...CHIEF UTAKUWA UNATANIA....
YOU WILL NEVER BE ME, HATA KARIBU YANGU HUTOFIKA UTAKACHOWEZA KUFANYA NI KUNITUKANA KWENYE COMMENTS ALAFU UJIDAI ETI NI WATU WANANITUKANA....
MBWA MKUBWA MTU SINA BEEF NA WEWE, SIJAWHAI KUGOMBANA NA WEWE, UNANIFATAFATA NINI ?????? NISHAKWAMBIA KISTAARABU MARA MIA KIDOGO HUSIKIIII... ILA UNACHOKITAFUTA KWANGU UTAKIPATA... TENA SHUKURU SIKAI DAR ,
MAANA NIKIJA DAR NIPO BUSY KUTAFUTE MAHELA STAKI KUPOTEZA MUDA POLISI LA SIVYO NGEKUWA NISHAKUTENGUA KIUNO NYAU WE.

HIVI NA NYIE KINA DIDA NA WENGINE MNAOSUMBULIWA NA HUYU PANYA HIVI MNASHINDWA KUMFUNZA ADABU MTU MNAISHI NAE HAPA HAPA TOWN. SIKU MOJA MKAMATENI MUMPE KIBANOO MUMTOE NA NGUO MUMPIGE PICHA MNITUMIE NIWEKE HUMU....
ALAFU MUMFANYIE NA KITU MBAYA MAANA HUYU NAHISI ANASUMBULIWA NA NYEGE TU....HIKI KIHEREHERE ALICHONACHO NI NYEGE ZINAMSUMBUA...ANACHOKITAFUTA ATAKIPATA VERY SOON....well done madam 

Mange upo Dar nitafute unizabe sweet heart, ila kabla hujanizaba nenda kambembelezee sweet Albert poor u uliniomba nitoe comments sikutoa leo unanitukana,fellow blogger  shahidi u begged msg, email ninazo nita print kwa wadau wako waone how desperate u were oooh sintah toa post nikasema sitoi maana sikuogopi.

NB
sigombani na wewe maana nitakuwa mtu wa laki tano hapa mjini tangu uanze kugombana na watu hivi hujiulizi una nini? najua una mtoto karibia umri wangu hebu mfundishe kuvaa pads mwanao, behave basiii soon  mwanao anaolewa, kuwa kama mama wa watoto wawili wewe sio duu tena

anyway si kosa lako maana hukufundwa ulikosa radhi ya mama, kumkimbia mama na kwenda matawi ya juu na kumuacha mama yako Tandale, basi mimi na wewe wote tuna papatikia matajiri si etiiii eeeh mwaego

bora mie ninaye kaa kwangu padogo ni kwangu je wewe unajikondesha u fit kwenye double deka tena nyumba ya hawara wa marehemu baba yako, mie na kagari kangu we na tax za Dar si ungenunua gari, ili usipate shida kama matajiri wenzio, tell ya wadauz ulivyo na maisha ya maigizo

nilikuwa nasubiri uanze sasa endelea, 

dawa ya Mange jamani ni Unstoppable
mwenzenu anapiga simu huyo nita print mbona mie simsumbui, sijawahi kupokea cm yako unateseka kuniulizia nakaa wapi kama huogopi comments ungekituliza kama mabaga fresh sasa waniulizia kwa watu wa nini?
  shamim muulizeni anavyomkera ongea na sintah kudadadeki nakaa holy wood ya Tzzzz  


yes nina MA  na wewe ya uarabuni ulikuwa unajifunza kuandika makombe ishiii

mimi nitanyamaza na sina ugomvi na wewe,,, ndo maana umetuma email, texts sikuwahi kuandika humu sasa leo umeanza 

wewe original tandale pse ulizia my family background kabla hujanitukana au kwakuwa sijionyeshi kama wewe masikini akipata eeeh coz tumezaliwa navyo we umevikuta,,, 

nitiacha hii post mpaka jnee nitaitoa coz of my career je wewe kazi wapi haaaa za kupewa na hubby una keep change 

okaybyeeee 

wadau 100% ya ile email ya huyu madam ni kweli aliandika asijikoshe kwenu si fekero ni yeye sasa kama mume yupo  hawara ya nini?? 

hakukunii eeh poor u upo kimasilahi eeh si mapenzi ndo maana unapaona pachungu ndoa ndoano dada yangu
  
Facebook, twitter, blogs zote umeharibu wewe ni mtu wa aina gani? 
 

JESHI LA MTU MMOJA TU


Thursday, March 28, 2013

EASTER GREETINGS

Lope lope of all trades
silence says a lot more than you think
unstoppable,
 jeshi la mtu mmoja
mti wenye matunda ndio 
unopigwa jiwe la fatuma
sintalicious baby 
what does not kill me, makes me stronger
 kumpiga chura teke ni kumuongezea hatua

 Hellow Wadauziii,,,

tunaenda ktk Easter break na weekend inaanza leo, hebu tuchukue hii nafasi ya kwenda kumuomba Mungu (Dont wait and pray until you need something, pray and thank God everyday ).

usishangae ukijua utakuwepo motoni na Sintah kumbe mie nitaenda heaven.


 i believe in lessons and blessings, n appreciate what i have n what God has blessed me wit.

enjoy your weekend.

Unstoppable ze Don. 

Thursday, March 28, 2013

A RING ON IT

oyeahhh put a ring on it
dada yenu huyooo alichokiandika
Beyonce


Haya msije mkasema nina msingizia au simpendi Bey, hayo ndiyo maneno aliyoandika aki emphasize kwenye zile ndoa zetu zileeee, hapana chezeya mama Blue Ivy akisema amesema,,,  # we will unite for Marriage equality.

I do the seeking and you do the judging. 

Wednesday, March 27, 2013

KIRARU RARU ANATAKA NINI HASWA

 ni nani huyu??
Daah umaarufu hauji hivihivi bwana bila kujitoa muhanga,
sitochoka kumsahisha maana hii ni website pekee isiyo na ufagio, ukifanya mazuri tutaku support na ukifanya mabaya tutakuchana. 
mtambo wa kurekebisha tabia (sintah.com)

#OkayBye

i do the seeking n u do the judging. 

Wednesday, March 27, 2013

UNA DO? WAMEHALALISHA JE HAPA LINI?

Jike la Simba na mkuria wa kwanza
 na wa mwisho kuimba taarabuEtiii Isha kweli unatumia madawa ya kulevya?? kwani Mirungi na pombe ni madawa ya kulevya jamanii mbona una do?? (Nairobi) wamehalalisha. 

Nadhani asilimia kubwa ya wasani nje na ndani ya nchi kidogo lazima wakate aibu maana kuimba mbele za watu mkavu inataka moyo jamaniii
sema jike la simba yeye kaweka hadharani, wengine kuficha style.

Wednesday, March 27, 2013

HAPO HAPO ULIPO CAMPAIGN @ AK CLSSIC COSMETICSHAYA SASA WALE MAGWIJI WA VIPODOZI VYA UKWELI KUTOKA MAJUU KUANZIA BIDHAA ZA VICTORIAs SECRET,BBW,BIDHAA ZA NGOZI KAMA DAWA ZA CHUNUSI,STRETCH MARKS,BIDHAA ZA KUKUNG'ARISHA SASA WANAKWAMBIA UNAWEZA PATA BIDHAA ZAO HAPO HAPO ULIPO IWE OFISINI AU NYUMBANI!!!UNAAMBIWA UNALETEWA BIDHAA MPAKA MLANGONI!!TENA BILA GHARAMA ZA ZIADA!!
  CHA KUFANYA:
       1.INGIA KWENYE BLOG YAO (www.akclassic.blogspot.com) CHAGUA BIDHAA UNAYOIPENDA
       2.WAPIGIE KWENYE NAMBA ZAO (0713468393/0753482909) KUPATA MAELEZO YA BIDHAA HUSIKA NA BEI YAKE,TOA ADRESS YAKO KAMILI
       3.BIDHAA UTAKAYOORDER ITAKUFIKIA NDANI YA MASAA 2!!

Tuesday, March 26, 2013

SWAGGA

wow

Tuesday, March 26, 2013

THE ROAD TO 2015

Ms Loveness Diva
Mwanachama halali wa CHADEMA

Yes u can, when you have faith everything is possible, Loveness Diva atangaza tena nia ya kugombea uongozi 2015,  ukiona mtu anatangaza nia mara mbili jua yupo serious, sasa kama ni udiwani? uraisi? ama ubunge yote kheri, 2015 si mbali.

Tuesday, March 26, 2013

SEA CLIFF HOTEL SIKIENI KILIO CHA WATEJA WENU

Sintah naomba upost hii.

napenda kulizungmzia ili swala au kero linalowasumbua watanzania wengi. Kwa kweli, kwenda kupumzika au kula Sea-Cleaf ni tatizo ambalo uongozi wa jiji au serikali inabidi iingilie kati kwani tunakoelekea ni kubaya zaidi, kwani itafika hatua kila mtu atajichukulia hatua ya kufanya kila atakalo kwa manufaa yake

Kwa muda mrefu nimekuwa mteja wa eneo la Sea-Cliff hasa sehemu ya Karambezi restaurant. Napenda sana kwenda pale na familia yangu. Kwa bahati mbaya kwenda pale sasa hivi na gari ni tatizo. Chakula ni ghali kuliko sehmu ya kula ulaya. Mbaya zaidi, wanachaji kupaki gari. Yaani licha ya kwamba chakula ni ghali mno, bado unalazimishwa kulipia kupaki vinginevyo hautoki

Majuzi nilipoenda pale, nililalamika sana kuhusiana na hii tabia. Nikamwambia mkuu mmoja mwenye asilia ya Ki-Asia kwamba huu ni unyang’anyi. Yeye badala ya kunielewesha, aliniporomoshoea tusi la nguoni.Sikuwa na la kujibu. Tunaiomba serikali iingilie kati kuisaidia umma wa kitanzania. Vinginevyo tutawaomba wanchi waanze kuisusia hii sehemu kutokana na mwendelezo wa hii tabia. Serena, Kilimanjaro hata na Double tree ambazo ni za daraja za juu kupaki ni bure, lakini Se-Cliff wanachaji kupaki. Uongozi wa Sea-Cleaf tunaomba muingilie kati hili tatizo la kuwachaji wateja wenu kupaki gari ili kuja kula.

Nawakilisha

Monday, March 25, 2013

BREAKING NEWS.....
Kajala Masanja
Hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili staa wa filamu , Kajala Masanja na mumewe imetolewa leo na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar. 
Katika hukumu hiyo Kajala amehukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shilingi milioni 13 na mumewe kwenda jela miaka saba au kulipa faini ya shilingi milioni 200.

shukurani Wema kwa kumuokoa Kajala
 

hatimaye Wema Sepetu amuokoa Kajala kwa kulipa kiasi kilichotakiwa na Mahakama sasa no more segerea kwa Kajala (Free Kajala).

Monday, March 25, 2013

EL MAGNIFICO DIAMOND OF TANZANIA

Dimondo upo juu mboga saba
 kujisevia ishiii
Dimondo weee shurti na Dessert
wagwadu utawajua tuu hapo
 mdomo unatoka mate
mambo ya mpunga ijumaa ni
 sunna atiii baada ya swala 
ila Dimondo unaningusha
hereni masikioni za nini n kanzu
shusha na maji halafu 
sema Alhmdulillahi
Aaaah Dimondo yaaaani wewee acha tuuuu
una lolote la kusema ishiiii, tuonane kuleeee 

Monday, March 25, 2013

I CANT BE MORE PROUD, SAFI SANA TAIFA STARS

kikosi cha Taifa Stars
Kikosi cha Morocco
Well done Mbwana
yakheeee kumbe warabu
kushnehiii
kijana aliruka kama CR7

Ni furaha kwa wa Tanzania wote, timu yetu imekomaa, sisemi ni Mbwana Samata na Thomasi Ulimwengu peke yao ni team nzima imekaba ndiyo raha ya kuwa na professionals ni wawili tu na wametupa ushindi watoto wanaosakata soka lao jamuhuri ya kidemocrasia ya Congo kwa papa Moize Katumbi.

Tanzania tumeshinda 3-1


Pics  credit to Shaffih  Dauda

Friday, March 22, 2013

FABULOUS WEEKEND

Unstoppable
Nothing but confidence
jeshi l mtu mmoja
Sintalicious babe
what does not kill me, makes me stronger
mti wenye matunda ndio
 unaopigwa mawe
 
msuko wangu wa sasa 
unabamba thx bite wangu
 kisuruali kimepwita
i don know the road to success
 but the road to failure is  trying to please everyone  


Message from the Real CEO
Successful people never worry about what others are doing lolest,  and never compare yourself to anyone in this world, be you & do the best you can do.

Friday, March 22, 2013

KIPI KINAONGOZA

Dearest Wadauzii 

Nadhani wote tunajua kwamba vyuoni kuna mambo mengi sana na wanafunzi wa mageti kali huharibikia pale ama hujifunza ujanja chuoni, lakini mpaka dakika hii sijajua ni chuo gani kinachoongoza kwa ukahaba Tanzania perhaps hii itasaidia wazazi wanaongia ktk website hii, nimesikia mara nyingi kuna wanafunzi wengine wapo chuoni kwaajili ya kukuwadia wenzao wanaume na wakati mwingine wanazichanga mpaka wananunua gari mfano Chuo cha ustawi wa jamii kuna mwanafunzi kanunua Vitz kwaajili ya kukuwadia wenzie wanaume what a mess? mimi namjua huyo tu labda kuna mengi mimi na wewe hatuyajui ila yule anayajua hebu tulichnganue hili kujua ni chuo gani danguro.

Naomba utaje Chuo ambacho kina scandal nyingi za ukahaba na pia kama kuna maovu yanayoendelea, kuna maovu kama ya ku share bwana, lesbianism,  hayo kwa chuo yanafamika lakini kukuwadiana wanaume mpaka tuna drive bima heee si kitu kidogo inamaana huyo ni kungwi.

drop ya comment 

POST HII IMELETWA KWENU NA TAASISI YA KUSAIDIA WANAFUNZI WA KIKE TZ

kuwa mkweli usimtaje mtu kwa chuki

Unstoppable

CEO

Friday, March 22, 2013

GALAXY S 4


Galaxy S 4
Wale wapenda simu za kununuliwa na masugar dady ni wakati wa kuwapachika majina tofauti, Samsung Galaxy S 4 ipo kitaani.

Thursday, March 21, 2013

BOW DOWNHapana aiseee Bey hapa umechemka sana, Bitches bow down really bey? Blue Ivy mummy? aishiiiii sijapendaaa kabisa hell no.

Thursday, March 21, 2013

AMNE'S GRADUATION

Congratulation cousin
Knowledge is power

Salamu ziende UK kwa dogo langu Amne kwa kuwa Lawyer mkamilifu, hongera sana bora famili wasomi wanaongezeka, I'm so proud of u sweetie na kazana na MA, (La familia),degreee zimejazana kibao kitaani,so kaza buti mama,uwe kama dada yako unstoppable.

Wednesday, March 20, 2013

HARUSI TRADE FAIR 2013

HARUSI TRADE FAIR SAS YAFIKISHA MIAKA MINNE

Biashara ya Harusi

Watu wengi zaidi wahamasishwa kushiriki na kutembelea
 

Maandalizi  ya Harusi Trade Fair 2013 yapamba moto, Maonyesho hayo ya wafanyabiasharas wa bidhaa na huduma za harusi yanatarajiwa kuanza tarehe 21 machi hadi tarehe 23 machi katika viwanja vya ukumbi wa pathenon uliopo mkabala na Red Cross barabara ya Ali Hassan Mwinyi Upanga Dar es salaam. Muanzilishi na muandaaji wa Harusi Trade fair Mustafa Hassanali amesema ikiwa ni mwaka wake wanne maonesho haya yamekuwa na kuongezeka ubora ukilinganisha na miaka iliyopita halikadhalika tunatarajia kuona mabadiliko kwenye tasnia ya Harusi na washikadau wake.
Mwaka huu Harusi Trade Fair tayari imeshawavuta washiriki wengi wengi wao ni washirikia ambao wapo toka kuanziswha kwa maonyesho haya mwaka 2010.
Maonesho hayo yatakayodumu kwa muda wa siku tatu yatakuwa yakianza saa 4;00 asubuhi na kumalizika saa 1:00 jioni.
“Harusi ni muunganiko wa familia na jamii na nikumbukumbu muhimu ya itakayodumu maisha yote, hivyo basi tumeamua kuwapa bibi na bwana harusi watarajiwa mahitaji yao yote ya siku hiyo muhimu kwenye hitoria ya maisha yao.” Amesema ndugu Hamis Omary meneja  miradi wa 361 degrees ambao ndio waandaaji wa onesho hilo.
Harusi Trade Fair inawaleta pamoja wadau wa biashara za harusi ili waweze kukutana kufahamiana na kuangalia fursa za kibiashara baina yao ili waweze kuzitumia kuboresha biashara zao na uhusiano wa kibiashara  ambao utachangia kukuwa kwa tasnia hii.
Miongoni mwa washiriki amabao watakuwepo mwaka huu ni pamoja na keki, maua na wapambaji, wapiga picha, wabunifu wa mavazi ya harusi na wengineo wengi.
“Kwakuwa idadi kubwa ya washiriki imethibitisha ushiriki wao, tunawaomba na kuwashauri watanzania wajitokeze kwa wingi kuja kuona na kuthamini ubunifu wa bidhaa za Kitanzania “ alimalizia ndugu Omary.
Maonyesho hayo ya biashara za Harusi yameletwa kwenu kwa hisani ya 361 degrees, Clouds Fm and Clouds Tv, Global Outdoor system, Ultimate security, Prime advitising, Century  Cinemax na Vodacom
 

Wednesday, March 20, 2013

DONT LOSE HOPE

beautiful
Zari's new babe Cayenne hw?? 
45thou$, vat exclusive
100%  bosslady
the mother of 3boys
lovely
enjoy maah
swimming mode activated
Lamborghini wow
madini, madiniiiii ya ukweli
sio bati linlogeuka chuma
ukioga chuma chuma cha kutu
 ila
sio Chidi benzi chumaaa
simple
kudadadekiii
chinekeeeeee

Hivi bongo kuna dada kama huyu??:: daaah sijaona kwakweli,,, unafikiri huyu dada ana stress?

 huwa ananiacha hoiiii, hooiiii in #wakilisha's voice em days.

KWA WALE MTAKAOSEMA NAJIGONGA
 the only way to get better is to surround yourself with better people.

 I go by the name;
Unstoppable
jeshi la mtu mmoja
Nothing but confidence 

mengine malizia kimyakimya