Tuesday, April 30, 2013

BBB VITU VYA KHADIJA

Ziada n Salma
chezeya mmanyema weweee
Sarah &Raqey
Jeff n one n only Unstoppable
khadija,Ally R n friend
mama Halima
peter moore n khadija
dada ulipendezajeeee
Miss Tanzania n Rio Paul
Diva n Ashura
Zainul,Diva n Paco decor CEO
serebuka,serebuka music ya ki Tz
jeshi la mtu mmoja
the Real CEO


Mbunifu wa Mavazi Khadija Mwanamboka (kushoto) ambaye pia ndio Mwandaaji wa Bongo Black Ball Party iliyobeba Theme " Celebrating Tanzania Music" wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya Vitu vya Khadija Events & Clothing akiwa na wadau mbalimbali kwenye mnuso wa nguvu uliowakutanisha Masupastaa wa Bongo wadau waliopo kwenye Fashion Industry katika usiku uliopambwa na msanii Mkongwe wa muziki nchini King Kiki a.k.a mzee wa kitambaa cheupe pamoja na burudani kutoka kwa wasanii wa Bongo Flava Linex na Mwasiti ndani ya ukumbi wa Mlimani City

Kila la kheri Khadija Mwanamboka

 
pix thx to Sintah n Mo Dewji

Monday, April 29, 2013

PICK OF THE DAY (NITOKE VIPI) special dedication to bibi Aga (Nitoke Vipi kutoka kwa bwana misosi maana unatoka kiu gomvi ugomvi na bila ugomvi hawezi kutoka

this is just a warm up
unaongelea ex go ahead will come with full data kuhusu ex model n the rest before u were chased from UD

You know me naongea nikiwa na data so go ahead ,,the next day pics zitaongea kama za show ya Dimondo platnum London ilivyofunika hauitaji kuambiwa

yes my wadauzii i had a long weekend indeed, ndo maana hakuna comments iliyokuwa approved.. for us we know how to take care of  our families sio  exposing em on the internet with no rewards.

anyway ngoja niishie hapa maana me nikianzwa huwa ninatoa kidogo tu wakinyamaza natulia ,najua where the problem comes from,,,, huku nchi kavu comment zinaachiwa huru kule Beach zinabanwa kama mtu yupo ktk kile kitanda cha juu na chini (unajua nimemaanisha nini) ndo yote haya yanakuja.

ila kumbuka kama ilivyokuwa yeye kuachia comments za watu walivyotukanwa na kuzalilishwa ndivyo itakuwa kwake..
kama wahenga wanasema mkuki kwa ..... astaghafirulillahi kwa binaadam mchungu.

malipo ni hapa hapa kwa dunia not Akheraa

enjoy your monday na Nitoke vipi? nina kujibu kiugomvi gomvi.

JESHI LA MTU MMOJA
#SIUZI SURANAFAMILIA

Monday, April 29, 2013

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA


kwa raha zao kwao hawagombwi


hahaaaaaa mtu mzima ovyooo
kaona mambo ipo huku ananuna
 
babes za kumwaga wakiserebuka serebuka
 nani kanuna na kaumbuka
bibi Aga ze ku fake life

diamondplatnumz Last nyt... @ theVile Barking London Uk.. #UsikuWaWasafi... ilikuwa hataaariiii! hata pakuweka mguu hakuna... Watoto wa Kike sasa! Kama wamemwagwa... baaalaaa  

 BAADHI YA MAONI YA WADAU DIMONDO'S SHOW LONDONA

Bhaaaaaaaaaaaa! SHE GOT DA MESSAGE! Homie! Flowers wa kutosha kwa show! Anataka nini sasa! Na am sure kama si yeye basi mtu wake lazima alikuwa kwa show kushuhudia so she got da msg since kast nyt! Hahahahaa! Chezea Platnumz wewe @diamondplatnumz i wsh nimtag hiz pic ila najua ameona live sio kama mimi kwa picha  

 @ ] pendo_luv Kudadadeki aibu yetu aibu yake aibu yake mwenyewe hahahahaha chezea diamond weyeee  
 • kwa kwa kwa kwaaa,nani kanuna#aibu yao
  
 • [ @ ] reymah2msuya kweli...daaaaaaaaah!!!@diamondplatnumz   
  • [ @ ] amina_salum Ha haaa.... Manga, #Mrs A (SIDE DISH)# , Mangi, Mango, Mangu. Alikuwa anatafuta attention tu huyo Mrs A (side dish)  
 • [ @ ] nahodhaafricanaofficial Apo ni mtego nyavuni baba la baba was like hakuna vidume ni sket tuu auu??@diamondplatnumz  
 • [ @ ] eliahngulwa f..K  Mrs A (side dish)  kutaka kuhalibu liziki za watu,unataka tuludi tandale nini,diamond wakazi mwanzo mwisho si wamezoe kuona msanii anavuma mwaka mmoja,sasa wanajiuliza why uko juu daily,nakukubali mpaka sitaki ushindwe hata siku moja   

 • [ @ ] jaymeedottzthomson Hahhah ....dtcc so dop""weaz da btch alo kwa anazuia watu..shem on her
 • ] ladyg4jay Hahahahaha eti kamekomaa kembamba.... Mwili anao ila kamekonda kwa kushadadia inshu zisizomuhusu mwili...atajutajeeee warembo walijaaaaa mpaka bhaaaaasiiiii...me nampenda diamond pia nampenda wema ila mapenzi yao hayanihusu ,kugombana kwao hakunihusu....hapa kaaaaaaaziiiii tuuuuuu 

 • [ @ ] rugambwagodfrey Hahahahahahahahahah! Bhaaaaaaas nmekusoma homie! She got da msg wherever she is homie! Hajui umetokea wapi ye anakurupuka tu oooooh cjui nini na nini? Imekula kwake! Presdar anaendelea kufanya yake! Ye nani azuie watoto wa kike? Huwezi kunywa chai bila sukari kama huugui kisukari! Hahaha! Nakuelewa sana son @diamondplatnumz 

 • [ @ ] eliahngulwa Kile kidumu sijui ki  Mrs A (Side dish) hakina jipya diamond noma,watu si mungu komaa dogo 
 •   
  @rugambwagodfrey hahahahahah kabisaaaa... kanatamani kuwa mamarufu asa hakana tallent so kanajaribu kuforce kupitia mastar... mixer kujitongozesha bila haibu... tatizo kijuso atleast hata angekuwa na kamvuto basi... kamekomaa kyembamba. 

   
  i do the seeking n u do the judging
   
  unstoppable
  kwani nimemgusa mtu jamani simo mchanga wa pwani huoooo
  hii ndio faida ya ushabiki vitumbua ni pale mtu mzima mwenye familia kugeuzwa kituko  ktk jamii

  Friday, April 26, 2013

  DIAMOND NA TOUR YA UK


   watu pipoooo Binaadam hakuzuii mambo yako
   apangalo Mungu huwa
   Dimondo kakwea pipa kitu EK 726
   connection Dubaiiii
  Dimondoo akiwa na wasafi classic 

  Wa Tz wa UK mpooooooooo? nani amenuna Dimondo kukwea pipa na kufika UK??? mambo ya mapenzi hayaingiliwi bana wawili walikutana na wawili watarudiana.

  lovies show support to Diamond platnummmmmmm sukari ya waremboooo ( wanataka wenyewe nani kam force mtu au kuna mtu kabakwaaa??? big NO) 

   amekwea pipa na Mungu atasaidia atafika salama salmini tayari kwa show.
  show love kwa wana muziki wa kibongo 

   msikose show ya dimondo mnyonge myongeni haki yake mpeni

  yaani mnyuke pamba na mjishauwe mtakavyoo mambo yenyewe hutokea mara moja kwa mwaka

  Unstoppable nitasema kweli daima

  ukikosea nakumaliza ukipatia nakufagiliaaaa

  Dimondo ulaya lazima atisheeeeeee

  KUMBUKA YASIYOKUHUSU NI SAWA NA USIKU WA GIZA.

    kama wewe ni mfanya biashara utaungana na mimi huwezi ukamuharibia mtu kazi yake na isitoshe yule aliye organize show atajisikiaje kamlipa msanii tayari halafu angize za uso? Dimondo kala Adv,ticket na dancers wake malazi,,, haumuharibii Dimondo unamharibia promoter aliemuita

   NO NO nendeni mkajimwaye mwaye

  Thursday, April 25, 2013

  THE RETURN OF HOTLULU

  lulu mzuri jamani wee wacha tuuu
  Chezeya Lulu weweee
  lulu na dada yake kipenzi Penny wa D


  Muonekano mpya wa hot Lulu babyyyyy 

  kumbuka likija swala ya Lulu nasimamia mwenyewe show ya comment na itifaki inazingatiwa.
   
  simpendelei ila tuwe tuna utu, huyu ni mtoto na katoka ktk matatizo please don traumatize her the more.
  muacheni ajimwaye mwayee.

  Thursday, April 25, 2013

  MWANAMKE NA NYUMBA


  wajameni wahi dira eeeh siku yenyewe ni kesho hebu tujumuike na tujimwaye mwaye,,, mwanamke sare, mimi nina yangu je wewe?

  tukutame Majestic hall pale Sinza kwa Remmy wala hupati shida ya kuingia machokoroni ni barabaraniii tu.

  Thursday, April 25, 2013

  BADILISHA CONCERT

  Prof ulivyojitupaaaa                                                   hii ni Video ya Prof Jay na Dr Chameleon
                                                     unaitwa ndivyo sivyo enjoy the show


  Lovies sorry  kwa pics ndogo maana Omusawu ( Dr Chameleon ) katumia nini sijuwi nikikuza hapa ni balaaaaa, all in all Professor Jay ameingia UG salama salmini tayari kwa 26th April pale Kyadondo Club.

   wajameni for those who are in UG hebu nendeni mkaone legends wanaotambulika Africa mashariki  wakifanya yao 

  Daah nimemisijee kindaki ndaki mieeeee.

  Tuesday, April 23, 2013

  SALUTATION MANCHESTER UNITED, SALUTE !!!

  the man of the match, Van magoli. Hili goli unaweza ukalirudiarudia kilitazama hata mara 100 kudadekiiiiii. Heeeeeee  congratulations to Manchester United fans all over the world for winning Barclay's premier league 2012-2013 , you deserved it.

  I'm a Chelsea fan but honestly  these guys are as UNSTOPPABLE as ME heeee mbutaa,,,, if you watched the game last night you will probably agree with me especially the guy himself with Jersey number 20, Robin Van Persieeeee. Chinekeee

  Congratulations ONE MAN TEAM, Have a blast Champ20ns!!!!!!!!!!
  Sincerely,
  THE UNSTOPPABLE

  Tuesday, April 23, 2013

  DADA YAMEMKUTA

  mimi ni choriiii


  Wadada wa mjini, kuna wengine wanajifanya wajuajiii kumbe ni machorii, hebu huyu hapa yaliyomkuta daaah aibu gani hii msichana mrembo unavalia unapendeza, unaenda supermarket kuiba.

  yote hii ni kutaka mambo makubwa

  hivi mnafikiri zile camera zimewekwa pale kama mapambo? ishi uwezavyo na ukienda supermarket chukua kile mfuko wako unaruhusu lasivyo yatakukuta yaliyomkuta huyu Jenifa mwizii


  kushnehi babughiii hii hapa ni Choriii iba supermarket

  Monday, April 22, 2013

  SWAGGA ZA MILLEN

  Lovely
  D Banji was like are u a Tanzanian?
  Damn Tz ladies are beautiful
  Millen ktk moja ya kazi zake na D banj
  Millen Magese shikamoo, dada yenu anaendelea kupeperusha vyema bendera ya Tanzania, kwakweli nimependa sana gauni lake la pink, wakati mwingine unaweza ukasema mhindi vileee hebu ona pic ya kwanza

  hongera sana Millen endelea kutangaza nchi yetu na mazuri yake.

  Monday, April 22, 2013

  MWANAMKE CHUMBANI
  Siku zimebaki chache jamani kama bado hujapata dera na kiingilio ndio uzichange, unajua wanawake tukikusanyika na tukiambiana ukweli itakusaidia kudumisha ndoa yako na hata mpenzi wako aka kuthamini zaidi 

  soma tangazo hapo juu kwa maelezo zaidi

  HAKUNA KAMA MWANAMKE NA MWANAMKE MWEMA LAZIMA AFUNDWE NA AFUNDIKE

  KARIBU MAJESTIC HALL SINZA KWA REMMY SIKU YA TAREHE 26TH APRIL

  Friday, April 19, 2013

  MKE WA MTU NI SUMU

  Mrs Aunt Ezekiel Sunday

  Jamani walimwengu haswa viongozi huyu dada ana waomba pooooo, anasema  yeye ni muke ya pedegheee Sunday na kati ya Dubai haitaji vidumu, mabuzi wala viserengeti mumuwaacheee kabisa  atulie na ndoa yake ukizingatia ndoa ni  changa.

  Akizungumza na mwandishi wa habari hii juzi jijini Dar, Aunt alisema waheshimiwa hao wanajua tayari yeye ameshaolewa lakini wamekuwa wakimpa usumbufu mkubwa na kutoa ahadi balimbali, ndogo na kubwa kitendo ambacho anaamini kinaweza kuhatarisha ndoa yake.

  “Mimi nawashangaa sana baadhi ya waheshimiwa, wanajua tayari nimeolewa lakini wananitongoza, mimi siwezi,” alisema Aunt bila kuwataja majina wazito hao Akaongeza: 
  “Mume wangu akisikia napata usumbufu kutoka kwa watu wazito, hawezi kuwa na amani, bado naipenda ndoa yangu na kuachana na Sunday wangu ni ndoto.”


  source Mpekuzi blog

  Thursday, April 18, 2013

  CHEREKO CHEREKO

  she is now 18
  lulu na mammy yake nampenda sana huyu 
  mama alikuwa bega kwa bega na mwanae 
  kipindi chote cha prblms wangekuwa wamama wengine 
  ungesikia muache ajifunze big up to mama Lulu
  lulu na Dr Cheni
  lulu na Ali K
  Ms Lulu

  Happy Birthday Lizzy haya sasa umekuwa 18 majukumu ni na niniiii, hongeraa

  NB
  sitoruhusu comments za matusi na za kashfa maana mmezidi kujifanya mnajua watu na profile zao, wafanye mazuri kwenu mabaya, wafanye mabaya kwenu mabaya hamna jema utafikiri nyie wasafi..... CEO nimeeleweka. usijichoshe kutuma .

  Wednesday, April 17, 2013

  SUKARI YA WAREMBO...... TAMU AU CHUNGU  Diamond n Penny

  Diamond n Wema

  Helo Wadauziii
  Nadhani watu wote mmesikiliza Radio/Blogs mmesoma hii story inaowahusu watu wa hapo juu
  sitaki kufungamana na sehemu yeyote ila nataka wewe shabiki wa hawa watu na msomaji wa hii website utoe maoni yako juu ya hili suala.

  What was he trying to prove? 

   I'm shocked for a real gentleman to record and publicize vitu kama vile. Sijui ni utoto heeeeee au ndo umaarufu unamuelemea kiasi cha kusema "nilikuwa narekodi ni mimi mwandishi wako Naseeb Abdi Juma"

  Mi natamani hiyo kesho ifike nione nani atapelekwa nyumbani  wajameni maana hii ngoma ni nzito kweli kweli.

  I do the seeking n u do the judging.

  Tuesday, April 16, 2013

  SO FAR SO GOOD

  mtoto m cute huyu
  naye atangaza nia ya kugombea 2020 
  Mungu akutangulie
  hapa tumepata Miss jamani,, 
  uendelee hivyohivyo no scandal utafika mbali
  akiwa kwenye Noah yake 
  aliyokabidhiwa na Redds

  Naomba nisiwe mnafiki na niseme yangu ya moyoni kwakweli hapa tumepata Miss Tanzania hebu tujivunie kwakweli, ila nyota nzuri huonekana mapema kumbukeni tangu alipochaguliwa nilisema huyu ndiye Miss Tanzania atakaye tetea taji lake vizuri,,, nadhani hakuna atakayenipinga kwa hili so far so good, nita m support kwa kazi nzuri atakazozifanya ila akibolonga ajue sitofumbia macho.

  ALL THE BEST MS BRIGITTE ALFRED