Friday, May 31, 2013

IJUMAA KAREEM

Madam Ogaaaaa
cute
Unstoppable
wow Thank u Lord
mtoto manshallah 
kikazi zaidii
mti wenye matunda ndio
unaopigwa mawe
Ijumaa Kareem
Wadauziii it is furahiii day wengi wetu tunaenda kuswali na baada ya hapo ni raha tuu, unajua mwezi wa ramadhani unakaribia mmmmh sasa tunaukaribishaje labda?? bado naomboleza no bata ni mibururoooo mibururoooo.

limavazi fika Dream Galz boutique maaeneo ya Kino ama piga simu 0713 726726  kwa wajanja ujipatie mbuluzo wako uwe tayari kabisa kwa Ramadhani 

Thursday, May 30, 2013

RATIBA YA MAZISHI YA ALBERT MANGWEA


Kwa ushirikiano wa Shirikisho la muziki Tanzania na kamati maalumu ya mazishi ya ndugu yetu Albert Mangwea..mwili 

wa marehemu unategemewa kuwasili tarehe moja jumamosi

 na mipango inafanyika kwa mashabiki,marafiki,ndugu na 


wadau wote kumuaga siku ya jumapili tarehe 2 mahala

 patakapotangazwa....#StayBlessedFamoo #RIPCowbama


hivi ndivyo alivyosema Cpwaa.Cpwaa

Thursday, May 30, 2013

BATA, BATANIIII

mama lulu na mama Kanumba wakicheza
kwa pamoja
lulu akicheza na mama zake
dada yenu katikati
happy people
tunakula bata mpaka kuku anaona wivu
Dj anayeongoza kukesha na kula bata mjini
tehetehee 


hatuandiki mengi bado tupo katika maombolezo, tunasubiri updates  kutoka SA za kuaminika na sio blogs nyingine kutaka waweke story wa kwanza kumbe wana post utumbo.

semkyu 

Thursday, May 30, 2013

THANKS MAGIE

Magie Hanlon akihojiwa na millard ayo

Tunashukuru saaaana reporter wetu wa kuaminika Magie kwa kutuletea habari zinazojiri huko SA ktk kifo cha msanii wetu mpendwa Ngwair aka mimi, cowbama, cowizzy

Mungu akulinde na upendo huohuo kwa lolote litakalojiri atatuambia 

kifupi M to the p (Mgaza) hajambo na wadau wa huko SA wanajaribu kufanya yote ili mwili wa marehemu uweze kuwasili Tanzania.

Wednesday, May 29, 2013

NO MORE, ALBERT MANGWEA

RIP Albert Mangwair
mzee wa speed 120

Ngwair akiwa na Mage SA
hii ndiyo siku ya mwisho niliyoongea
 na marehemu


Below ni Video ya Ngwair ambayo BossLady wa Tanzania alikuwa kama mlimbwende she got a gwan

Kwakweli mengi yamesemwa mpaka sasa siamini ni Ngwair ambaye niliongea naye three weeks ago ??

my question was Ngwea mbona hurudi halafu siku hizi nasikia unatumia unga wa sembe umefundishwa na nani lihiii?? hapana sista Sintah wewe hujui wabongo wanavyojua kuchonga na kuongea mengi
mimi sivuti kabisa,, yesuu na maria na yosefa ni hichohicho ndio kimemuondoa duniani kweli mficha maradhi kifo humuumbua.

he is gone, ila kwa wale waliobaki jamani jamani vijana tunaisha na madawa ya kulevya,, why??  i'm hurt ila ngoja niongee nasikia vibaya sana kwa msanii mdogo kama Albert afe kwa  too much alcohol  and  drug overdose.

tutaendelea kupata updates kwa reporter wetu ambaye yupo South Africa (Mage H) ambaye anaelekea hosp muda huu.

Ngwea alikuwa na M 2 the P (Mgaza) mpaka 2hrs ago alikuwa mahututi hospital, tumuombee apone na atuelezee mkasa ulivyokuwa, daah Ngwea

ukweli ktk kwa God ambaye ndio walienda kufuata mizigo kurudi Dar  na Air Rwanda, Ngwea alifariki asubuhi saa kumi na moja jana 

mwili wake upo st Hellen Johannerburg

Rest in Peace Albert Mangwea

Tuesday, May 28, 2013

ITS ALL ABOUT BENJAMIN

tehe tehe BossLady bana
mmmh wenzio tunaiwaza hiyo hela

Haya BossLady ameongea yeye hana haja na small money kwani gari yake moja tu kati ya mia na ushee alizo nazo inazidi thamani ya zawadi  Big brother 2013.

 sasa anauliza yeye zawadi kama hio ya 300000 $$$ ya nini?? eti anapoteza muda wake kwani all the time yeye ana chase paper (msemo wake huo)

daah kweli vidole havifanani  na kila siku usiseme hatuna pesa sema sina pesa 

wakati kila mtu ana hamu ya kushika zile pesa  yeye anaona ni vijisenti na  hana habari (Mungu wangu)  na akaendelea kusema kwamba the game is for small boys lakini ni kweli yeye mum wa watoto watatu akafuate nini pale?? mtu mzima unasoma alama za nyakati atiiii.

kwahio Zari ndio tunaweza sema ni Bosslady wa EA maana magari mia na ushee na yote yamekuwa personalized Zari 1- mpaka,,,,, 

One thing i like about Zari,  doesn't speak, action tells  who she really is. 

thanks fashion blogger: Teddy Kaegele 

Tuesday, May 28, 2013

YAMETIMIA haya una lolote la kusema  kuhusiana  na video hii ya hawa vijana wawili? kama hujapata nafasi ya kusikiliza hebu click hapo usikilize maneno, daah hawa vijana wameimba jamani mpaka mtu unadata

hata bibi yake alimwambia Dimondo mwanamke anahitaji kubembelezwa  ku peti peti na matunzo pia ukimdharau utampoteza

Diamond bwana eti hata wazee wazamani walishasemaga  kazi na dawa, cha muhimu jukwaani ni kuhakikisha wanapagawa  badilika Nay usiwe mjinga utawakamata wallahi jamani

haaa Dimondo unajuwa huwezi eti wewe ni mti wa matunda milele huogopi kupigwa mawe daah kwanini lakini umeniibia aka yangu??


Enjoy
Monday, May 27, 2013

UJAUZITO UNAVYOMTESA KIM

mwenyewe huyooo
chezeya mimba weye hata nywele
unasahau kuchana
huyu dada atakufa na fashion
miguu imevimba bado tuu yumo
halafu sielewi anajipiga deki ama
hebu ona hii miguu kidogo ina
utofauti
umeona viatu vya
hapo juu watu wakachukua
close up pic
watu wabaya duniani humu


Daah unavyokuwa mjamzito hutakiwi kuiga iga kwa wale wanaosema me nitavaa high heels mpaka nijifungue mbona Kim anavaa haya huyo mwenzenu anajikaza kisabuni  miguu inavimba lakini bado
Kim anaweza akawa amevimba miguu ila we ukanyuka viatu virefu mpaka mwisho na usivimbe.

kwahio kwa wale maduu mnaotaka kuendeleza fashion mpaka mwisho mmeona??

thanks kwa my mdau aliyenitumia hizi pics nimekupendajeee? #Support 

Monday, May 27, 2013

FROM BIG BROTHER THE CHASE EVENT IN DAR.


Feza Kessy
Nando Ammy 
Salma n Gyver
ladies
Furaha n Mwisho
Stunning
Ceo n papa monkey
come on
Ms Kambodya n Hilda
cute
caption this
Former BBA house mates from
Tanzania
n
Ms Kambodya


Yametimia hatimaye Tanzania inawakilishwa na Feza na Nando, kwakweli washiriki wetu ni wazuri ni muda muafaka kuwa support inapohitajika
na sikuongea blah  blah mtaani na kwenye social networks ni ku vote them in sana tu, hebu tushikamane na tuwe na upendo wa kupiga kura yaani tufanye vitendo kwa sana na si maneno mitaani,

they really need our support, kutoka samakisamaki  nikikupa report hizi

Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki washiriki wetu na sisi wapiga kura.
lets bring $300,000 home.

CEO

Friday, May 24, 2013

WAZO LA LEO

likimkuta mtu gizani
Yaani Mpoki ungekuwa karibu sijuwi ningekufanyeje walaahi bonge la message, watu wamekuwa ma snitch, bila kujua wao wenyewe ndio wachawi, unaweza usifanikiwe ukajiuliza why?? kwasababu  una roho mbayaa na inapelekea kujiroga wewe mwenyewe.


lakini kumbuka mchawi wako hatoki mbali ni maeneo yaleyale ya office, home, biashara  na mara nyingi ana ndimi mbili so burudika na kibao cha Mr Better kikulacho ki nguoni mwako


Unstoppable
twende sasaaa leo ni Ijumaa banahapana chezeya Mr Better 
kipindi kileeee


Friday, May 24, 2013

USTAA NI MAJANGA


halafu mwenyewe 
hana habari

kama kawaida wadau
 wake wakateremka

 • a kithungu,ata gal friend wako yuko vizuri kwa ngeli,mtumie vizuri ata awe anaedit   

 • @ ] fathiyah_cfc "After I done did the " what type of English is that loool  btw stop

 •  

  Hivi Diamond unapenda kutuchekesha ama?? SMH


  unajua me simuelewi Diamond kabisa, yaani daah  naomba 

  mniache maana mbavu zinaniumaa sijuwi siku hizi amekuwa

   comedian .  kumbuka sera yetu ni ileile kuambiana ukweli, vichekesho


   vya hapa na pale no matusi ktk comment. 

  i do the seeking n u do the judging