Saturday, June 29, 2013

VIMBWANGA VYA MASTAA WA MUJI HUU

Hizi Simu hizi ni balaa jamani mara kachaaa, huu mji nimeanza kuuogopa ,mara kitu kinatupiwa mtandaoni sijui wanakuwa rafiki zako uliokuwa nao au majirani wakisikia tu tukio wanategesha antenna zao na simu zao.

jiangalieni wajamani siku hizi waandishi wa habari tunao majumbani kwetu.

Friday, June 28, 2013

LOOK OF THE DAY

Fahionistaaa
Wamama wajawawepesi mpo???? siku hizi mambo ni kwenda na fashion sio mpo mpo tuu kisa wewe ni mjamzito, unatakiwa utamaniwe na mumeo kwa hali zote, usimpe mumeo kishawishi, look good 24/7 

Ijumaa Kareem bila kusahau kumuombea Saada.

Friday, June 28, 2013

POOR SAADA ALLY KILONGO

Saada Ally Kingolo
wakati yupo innocent
kabla hajakutana na wajanja
wa muji huu na kumbwambia
hela ya haraka iko huku
ona sasa
easy come easy go

alikuwa pia rafiki wa marehemu K


kwakweli i was  so shocked na hii habari ktk gazeti la maana Daily News

 A BUSINESSWOMAN, Saada Kilongo (26), appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam yesterday charged with trafficking narcotic drugs worth more than 170m/-.
Before Senior Resident Magistrate Nyigulila Mwasebo, the accused was not allowed to enter any plea to the charge. She was remanded until July 10, this year, when the case will be mentioned.
State Attorney Peter Maugo alleged that on June 24, this year, the accused, a resident of Mbezi beach Rainbow was found trafficking narcotic substances namely ephedrine HCL at Julius Nyerere International Airport (JNIA). The prosecutor said that the drugs were valued 170,481,000/ 


 i was like ni nini hiki?? ni nini hiki?? Majanga premier  wasichana wa mji huu jamani maisha hayahitaji pupa kwanini mna pupa na maisha?? kwa mfano saada kamaliza chuo last year angesubiri tu apate kazi kakimbilia slope as you know easy come easy go, mnatolewa kafara za ajabu mimi nimesema YATOSHA kila siku nakemea hili swala humu kumbe mwanangu mwenyewe naye yumo kiruuuuu.

wangapi mnamjua huyu dada??

ONYO
Serikali yetu inakemea madawa ya kulevya na sasa wapo kikazi zaidi sasa endeleeni tutawapoteza wengi humu mitaani.

Friday, June 28, 2013

BLOGGERS, BLOGGERS

Mrs Sunday
waandishi wa habari jamani fanyeni staha mnajua huyu ni muke ya mutu kwanini mnatumia pics zake za zamani?? kwani hana pics mpya?? maana hii ni nzito kwa mume hebu tofautisheni alivyokuwa aunt na sasa ni muke jamani kuweni na utu, maana kucha kutwa bloggers wanatumia hii pic leo nimeamua kusema ukweli, yaani mnanikera sana na hii pic


Unstoppable

Thursday, June 27, 2013

Vanessa Mdee - Closer (Official Video)

V money
Hongera zangu nazipeleka kwa my twin Vanessa Mdee (V Money ) kwakweli video imetulia yaani usipomuona sura utasema ni Kelly Rowland lolest chezeya wapare wewe tunatishaje sasa 

All the Best mammy atakayesema video ni mbaya mchawi na ukipitishwa humu sintah.com  basi hakuna atakayesema sio nzuri atakuwa mchawi na mchawi ni nani? tunarudi kwa mpoki asiependa maendeleo ya mwenzie.

Thursday, June 27, 2013

RAHA, RAHA, MJENGONI

dada yetu na shemeji yetu
kaka yetu na wifi yetu
wifi na kaka walifanya yao humu
kwa raha zao na lile baridi la SA sasa
mambo ishiiii 

Washiriki wetu wa Tanzania wako in love?? kwaraha zao kwao hawagombwi ndo mambo ya mzee wa kidali po kila mtu na mtu wake usiku hawapati shida wana ma blanket original ni Ngonolization tuu imekick so far, ila usijali yote hayo nikutupa raha sie watazamaji tuendelee kuwapigia kura ili waendelee kutufanya tuangalie Big bro the chase keep the conversation going.

haya ndio mambo big anayepanda drama drama biggie watapata mimba hao maana sina uhakika kuna dume mule ndani.

Thursday, June 27, 2013

MESSAGE FROM CEOUnstoppable ze Don

Onyo tena in CAPITAL LETTERS  jamani kila mtu tumekutana naye mjini Dar es Salaam sasa vitisho kejeli za nini??

unajua comments mnatuma nyie kupata shida napata mie khaa kweli majanga tena majanga, kuna post moja inahusu watu wa Huston nimeshangaa kuna dada mmoja anaitwa Teddy  B kaanzaje kunitukana sasa khaa na bahati yake namuheshimu sana Mishy wa Virgo na  Mike nimefanya la kufanya lasivyo ningeona angefanyaje khaaa tena next time UCHUNGE ya big mouth au unatafuta namna ya kutoka, kwahio masaa 24 yangu ni kwenye blog maana sina kingine cha kufanya wewe kuku eeeh??

 eti ndugu zangu unajikomba kwa watu halafu unasema una ndugu hebu nipishe huko usitake nikakutolea maneno machafu ukaniharibia siku yangu, kwakuwa unajijua madam SIKUOGOPI, fanya unalojisikia
jamani wakati mnanipigia simu muwe mnaangalia midomo yenu kama imenyooka ama imepinda maana mimi mwenyewe akili zangu nazijua halafu nikiwa nipo right siogopi kitu maana kuna fuse moja imezima.

kwanza nyie ndio mnatuma comments naweka posts zangu tofauti from nowhere mtu anaanza kumtaja mtu mwingine nimesema hapa  nimechoka na kwakweli mtanisamehe maana sipo idle  na comments ni nyingi na nyingine zinakuja kama gazeti sasa nani mwenye muda wa kusoma gazeti??  ila govt nasikia 30th kuna kitu kitafanyika wale wote wanaotumia fake names tutawajua tu.

 unikome wewe dada, nadhani unapajua where i put up, please watch out ya tongue

nina dedicate wimbo huu kwako wewe kizabizabina Majanga tena Majanga kujikomba ujikombe wewe kunipa shida unipe mie khaa kweli Majanga.

Thursday, June 27, 2013

HARUSI FASHION SHOW

ABOUT HARUSI FASHIPON SHOW
After the Success of the FOURTH Harusi Trade that was held from 21-23 March 2013, the extension of this year trade fair has culminated into the Harusi Fashion show, a one night event that will bring
together all wedding  garments industry  stakeholders under one roof. The very best of wedding suppliers from around Tanzania and its various stake holder shall provide a one stop shop for the
discerning bride, groom and its families and friends.
Harusi Trade Fair is the place to be for all those who are getting married or may be interested in doing so, including family and friends of the bride and grooms not forgetting the ever so important different wedding committees members.
A place to network with various creative persons within and amongst the wedding industry in Tanzania
A wedding is the union of families and communities
•             Once in a lifetime  indulgence


VIP 50,000 front row and 20,000 Normal tickets 6th july

             Driven by  service, Loyalty, Status Symbol

Wednesday, June 26, 2013

NANDO! NANDO! NANDO!

Nando bwana kaonyesha kwamba yeye ni kidume bwanna, chezeya damu ya ki Tanzania hahaaa kwakweli ukiangalia Big brother miaka yote huwezi kuboreka maana kila mwaka na mambo makubwa na nazito haya kwa wale niliowaacha gizani Selly ndio wifi yetu, jamani Selly alivyojikausha khaaaa as if nothing happened 

Vote Vote Nando ili tuone mengi zaidi na tulipie DSTV kihalali kumbuka this week yupo safe sasa week ijayo wakimtaja ktk nomination usisite kumpigia kura sasa kama selly kataka mwenyewe akaktae jamani??

wananiacha hoi hoiii

hii video ni kiduchu tuu kwa zaidi mtanisamehe maana nazingatia maadili ya Ki Tanzania anayetaka nitampa link ajionee zaidi.Wednesday, June 26, 2013

MWANAMKE WA KWELI ANA SHOP VICKY LINGERIE

mambo ya kifuaniii
kutengeneza shape,
 kubinya tumbo liwe kama la kidoti
mambo ipo hapa Name of the shop:vicky lingerie
 Location : kinondoni manyanya kituo cha magari yatokeayo kawe .zamani kwa sandra saloon
 Contact:0718442203 
 website:www.vickylingerietz.blogspot.com
 bei zetu ni rahisi kumuwezesha kila mwanamke kupata bidhaa zetu

 Bidhaa tulizonazo ni kama pajama,nightdresses,swimming costumes,bra set,bra ,body shapers, cossets ,chupi za kubana tumbo,pants and many many more..

Wahi sasa vitu vizuri vizuri vipo hapa na kwa bei rahisi tuu.

Wednesday, June 26, 2013

SHARON O VS THE UG BOSS LADY

Sharon O
mshiriki wa BBA
Sharon, baby wake na toto yake
Zari
Zari na Ivan wake
la Familia, binaadamu akiamua kukuvuruga
hana habari hata kama unawatoto sita
anachotaka ni faranga
za hubby wako
,


Yaani nilisisimuka nilipopata simu kwamba  kuna mtu anajisexisha kwa  mume wa Zari, i was like niniiiii madam?
Eti Sharon yule wa BBA  anatoka na mume wa  Zari khaaaah jamani unajua wasichana wengi hawajui kwamba bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi kwahio Sharon anajua ile migari,mijumba na nk pia naye atapata ishiiiiii. nilijua ni Dar tu ndio wanadandia train kwa mbele mpaka Ug daah its so sad
kila la kheri Zari katika kumkabili shetani asiingilie ndoa yako.

sipo upande wowote ila natetetea haki za mwanamke zaidi, sharon ana mtoto na bf ambaye ameishi naye kwa miaka kumi sasa sijui ni nini anatafuta katika mapenzi ya watu ambao wamechumia juani yeye anataka kulia kivulini.

Tuesday, June 25, 2013

MAMBO YA MASTAA

Jackie Massawe
jackie, Kajala, Bilali seduction n Shilole
marafiki wa kudumu


Unauonaje muonekano mpya wa Jackie Wolper mtoto wa Masawe?? toa maoni yako, she is always on point hata bila kazi ya 360 Heeee

i do the seeking and you do the judging 

Tuesday, June 25, 2013

JOYCE KIRIA ACHACHAMAA

kwakweli kilio cha mwanamke
sisemi mengi
mama na watoto wawili
wanamtafuta daddie 

i know you're in pain and wherever he is, must be very proud of you Joyce. Mungu atakusaidia utampata mumeo na baba wa watoto wako.

True love!! This is what i call thru thick and thin 

Monday, June 24, 2013

TUNASHUKURU

Nando boy


Shukurani  Tanzania na nchi mliotupigia kura handsome boy wetu bado anakamua makamuzi , hivi ndivyo inavyotakiwa tuwe na ushirikiano mbona wenzetu wa Nigeria wanaweza na kwanini sisi tushindwe tunanini?? (lol in Nature's voice)

this week we are safe, ila ikitokea kama kawa tunapiga kura kwa fujo 

Monday, June 24, 2013

YALIYOMKUTA OMMY DIMPOZ DODOMA


Ommy Dimpoz

pole sana Omary kwa yaliyokukukta Dom ile ni ngome ya Ngwea unajua

sijui tatizo liko wapi wadau maana Ommy Dimpoz alinieleza kwa undani kwamba kuna company moja inataka kumuharibia kisa walitaka afanye show sawa na bure, sasa kweli wasanii watafika namna hii kutaka kutumiwa kama toilet paper??  nimesikitika sana na wakazi wa Dodoma please mkiwa mnasoma hii post naombeni yaishe na tugange yajayo, huyu kijana ndio anaanza kujikwammua kuna wachache watataka kumuangusha na bado anahitaji nyie kama mashabiki, kama aliongea basi ulimi ulimteleza, kiroho safi tuu YAISHE. na kama kuna company inafanya hivyo sio fresh jamani mbona wewe umetoka khaa waache wenzio watoke  utawabana na show za laki mpaka lini??

Unstoppable

Angalia Video ya yaliyomkuta Ommy Dimpoz Dodoma hapo chini

Saturday, June 22, 2013

CEO'S MBWEMBWEZZZ

with shostitozzz
yes CEO akipita pita ktk maduka
kusaula
Emirates crew n Sintah

Friday, June 21, 2013

LUNDENGA AMTIMUA MREMBO JUKWAANI

mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania
alimtimua saphina chumba
mshiriki wa Redds Miss Morogoro
baada ya kuvaa nusu uchi jukwaani
kama naona vijana waliolala wakaamka
na kusema arudi jukwaani
SMH
mwenyekiti wa kamati Miss Tanzania
alikemea vazi la ku beep waliolala
ili waamke fasta
anasikia utamu tamu
akitembea utamu tamu

Nani alisema UMiss ni uhuni??? khaa Safina hivyo tuachie sisi huku wapiga makelele na kushangilia,  jukwaani noma hivi unajisikiaje dad wako   na mammy wapo ndani ya nyumba wanakushabikia na hisi ulivyotokea walijificha chini ya meza.

maadili ya ki Tanzania hayaruhusu kupita nusu uchi thats why vazi la beach mnapita nalo mkiwa kama mmevaa kinachoeleweka,
safi sana Hasheem fukuzia mbali takataka inayoharibu Miss Tanzania.

Friday, June 21, 2013

SHINE, SHINE NA JM VIRGO

kwa wale wenye chuchu saa sita
mnahusika hapa
wow
papa James na kati ya JMvirgo
anawakaribisha
haya wale wenzangu na mie
..... is sleeping
tunakaa humu
sasa basi nawe hujaachwa nyuma
jm virgo wataalamu wa za ukweee
long time kitambo


wakati tunajiandaa na mwezi wa toba shurti kiwalo cha kufungulia kiwe tayari?? sasa basi fika ktk duka letu lililopo Mikcheni lolest mambo ya mbwembwe za CEO ama piga simu  0715 534530 na si ku beep haihuuu mwaka 2013

Pendeza na JM Virgo ili Ushine kama star

Friday, June 21, 2013

MABONDIA WA TANZANIA WAFUNGWA MAURITIUS

Mabondia wanne wa Tanzania wafungwa miaka 15 jela nchini Mauritius kwa makosa ya kuingiza dawa za kulevya aina ya heroin.

Mabondia hao ni Case Ramadhani Fills, Nathanael Elia Charles, Ally Rajabu Msengwa na Petro Charles Mtagwa.
Wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, wote walikiri makosa ya kuingiza mihadarati hiyo nchini Mauritius wakati walipokwenda kushiriki mashindano ya ndondi barani Afrika mwaka 2008.
Wakiwa mbele ya Jaji, waliiambia mahakama kuwa walilazimika kuingia katika biashara hiyo haramu kutokana na hali zao za maisha kuwa maskini.
"Tunaomba radhi kwa taifa la Mauritius", waliiambia mahakama.
"Tu watu maskini na tunategemewa na familia, watoto na wazee wetu wanaotugemea."
"Kwa dawa hizi tungepata kiasi cha Pauni £4,000". walisema

Jaji Benjamin Marie Joseph alisema katika kutoa adhabu hiyo yote hayo ameyafikiria, kwani walitoa ushirikiano mzuri wakati wote wa uchunguzi wa kesi hiyo, kulikowezesha hata wafanyabiashara hiyo, raia wa Mauritius kukamatwa.
Wamekuwa mahabusu kwa siku 1,722, sawa na miaka miatano, hivyo watatumikia miaka kumi iliyobakia jela. Pia watatakiwa kulipa faini ya pauni £1,600 na gharama nyingine za uendeshaji wa kesi hiyo.
Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa BBC nchini Mauritius Yasine Mohabuth in Mauritius, Jaji aliwashutumu kwa kuukosea umma wa Mauritius kwa kuingiza dawa hizo za kulevya aina ya heroin.
Mabondia hao waliwasili Mauritius  na kuweza kupita uwanja wa ndege bila kunaswa hadi walipokamatwa katika hoteli waliyofikia ya Quatre Bornes.
Kwa pamoja walimeza gram 4639.04 za heroin zikiwa katika vifuko 358 vijulikavyo kama pipi.

chanzo BBC swahili


haya majanga


Mambo kupokezana wametoka maduu wameingia mabondia kweli haya majanga  daah

mnawajua??mpaka mwaka uishe gereza za ulaya zitafurika, hivi hawasikii wenzao wanavyosulubika mara kunyongwa, kufungwa maisha, kazi za watu lakini zinataka moyo

Thursday, June 20, 2013

PICK OF THE DAY

My Sherieee n mie


kwa wenye fedha tu wengine
mtaendelea ku comment mbofumbofu

CEO n the house

muniwachage mnajua eeeh
sisemi mengi

mama Sintah mamaaa
mamaaa harusini mamaaa
wait for 2nd season

Watu wanakula bata halafu wewe unaumia roho inahuuu??  Ooooh so nice


Message kutoka kwa Mkuu (CEO)

life isn't always easy, there are obstacles, road blocks & people holding you back, getting through it with a smile defines your strength.