asas

asas

sintah

sintah

ARUSHAAAA SIKU ZIMEBAKI CHACHE... VICKIE VICKIE LINGERIE ATAKUWA HAPO

mambo matamuu kutoka Vickie Lingerieee

le super mutindizzzz hebu jipatie bra nzuri

mambo ya kuvaa khanga usiku ni so outttt, utachekwa mwanawani hebu jisexishee namna hio hapo juu

haya sasa lazima ujipendeee sio ukitoa kufuli harufu mbaya nunua kufuli yingi uwe unabadilisha

Wale wa Sakina, Njiro na vitongoji vingine hapo Arusha mpo tayari?? msije mkavuka boda maana hapo Nairobi ni fastaaa, sasa basi jipende mwenyewe ili usishangae baby kwanini anarudi usiku wa mananne, hivi unajua nini maana ya turn off??  anarudi usiku na unamfungulia baby mlango anakukuta uko ndani ya li khanga linaharufu ya maziwa ya mtoto khaa umezaa wewe peke yako? hebu jipende na umfanye baby wako akutamani na kurudi mapema sasa save the date tarehe 29-31 May.... Vicky atakuwa hapo msiniangushe bandugu na wakina dada wa Arusha kamuoneni Vickie mapemaaa ili msivuke boda.....ARUSHA SAVE DA DATE 29-31  MAY

mpigie Vickie ili uanze kuangiza mapema 0718 295955

No comments:

Post a Comment