asas

asas

sintah

sintah

JINA LA BIBI BOMBA LIMELETA KIZAA ZAA

Sitti
Mmmmmh wa Tz wamechacharuka na hawadanganyiki sasa hivi, ndio maana sheria ya Cyber inapigwa vita kuna mengi ya ku ammend ila kwenye uhuru wa vyombo vya habari upewe angalizo, sasa Sitti usingedanganya umri, nk unadhani haya yote yangetokea? mambo ya mdogo wako kunangwa huko shule inauma kweli tena kweli ofcourse  kwa mtoto kama yeye ila jua Tz ya sasa sio ya zamani.... next time fanya kila kitu chako katika muongozo sahihi na utafanikiwa hakuna aliyekuwa haswa na shida na taji ila lazima mambo yawe fair, unafikiri bila wa Tz kuona Mr Lundenga na watu wake wanawayeyusha BASATA ingefungia mashindano hayo

watu wamepaza sauti na zimesikika

tunakutakia kila la kheri katika career yako
na nyie mtoto wa watu mlitaka avue taji maswala ya bibi bomba katika account yake mnamuandikia ya nini? mpaka mnalalamika anawa block? ingekuwa wewe ungejisikiaje? usimfanyie mwenzio kitendo ambacho usingependa weye ufanyiwe
wewe ungeitwa bibi bomba ungejisikiaje?

mumuache aendelee na maisha yake mlichokitaka kuvua taji kalivua kipi kingine mnahitaji ktk kwake

52 comments:

 1. aende jela kwa kudanganya

  kama anajua mjanja si ataje miaka aone cha mtema kuni

  mjinga ni yeye na atazidi kuwa jinga la taifa pia

  ReplyDelete
 2. ha ha ha ha maskini,me nilishamsahau kbs km kuna mtu anaitwa Sitti ila aludishe gari kwanza anastahili kuwa nalo mwenzie!!ila kwenye mashindano nilikuwa nampendaga sana Nicole achukue ila naye ss hv kanenepeane balaa km cyo yule wa kpnd kile ss ndo angkuwa amechukua anatakiwa kwenda miss world ingekuwaje?kiukweli bora Lundenga alivyofungiwa hayo mashindano maana nadhn ds year angemuweka mkewe ilifka stage wakasema ht ukiwa mnene kdgo cyo mbaya kushiliki eti awaangalii unene ss maana ya umiss ni nn?

  ReplyDelete
 3. Hello wapenzi eti naombeni kuuliza pills gani nimeze kuuzuia menstrual period kwa mda. Yani nisogeze siku. Hubby anakuja this weekend jaman afu ndo tarehe zenyewe sitaki kupitwa na mivunjo. Na hatuwezi kuhairisha days. Nina mtoto jaman wa mwaka 1 tayari lol .Pls wadau kwa anayejua.

  ReplyDelete
  Replies
  1. nunua ped na ukitulize wewe ndo mara ya kwanza unakutana na huyo hubby? embu tuache kujitaftia magonjwa kisa tu kumfurahisha mtu ili iweje?

   Delete
  2. mwanamke acha kuendekeza nyege loh kwani lazima akija mfanye au utavuja milele?

   Delete
  3. weka kibunzi cha mhindi haitotoka

   Delete
  4. Norethisterone.pharmacist atakupa maelekezo unywe mara ngapi ila mara nyinig ni 3 times a day

   Delete
 4. Uyu dada bila kuonewa uso tu unaonesha age imeenda na ndio ful ma make up na filter alafu kwenye nirvana kadanganya tena umri chaa pole yake ndio ivyo next tm afikirie kabla ya kutenda yote ayo aliyataka mwenyewe hakulazimishwa

  ReplyDelete
 5. We nae kajambe mbele

  ReplyDelete
  Replies
  1. AKanyweee nyuma achana nae

   Delete
 6. Sitti anajifanya alionewa wakt hakustahli kushiriki na ndo maana anakataa kabsa kutaja umri wake et umr nao ni private sitti ni mkubwa ata kwa kumuangalia tu mi naona matusi yote anayotukanwa ni haki kabsa zoecoz ametaka mwenyew hawez kutufanya wajinga

  ReplyDelete
  Replies
  1. sitti ni binti alozaliwa 86

   Delete
 7. mambo mengine kama hayakuhusu unatakiwa uyaache wafanye wengine!!!!!!! kwa nini wengine wote mamiss hawajawahi kuitwa bibi bomba aitwe yeye?????????????

  hilo ndo swali la msingi anatakiwa ajiulize!! Ila mwaya usijali kuitwa majina ya ajabu, cha msingi ni kuangalia yako achana na yaliyopita

  ReplyDelete
  Replies
  1. KWANI KIJANA NAE KAZEEKA KAKOMAA KAKOMZWAAA

   Delete
 8. Hii naifananisha na mtu anayetembea barabarani mvua inanyesha,anakua na hasira wakati mwingine anajiandaa kabisa jinsi atakavyomuattack mtu atakayepita na gari akammwagia maji hata kwa bahati mbaya,as if yule mwenye gari ndo sababu ya yeye kukosa gari au vp,yan weng tuna wivu na hasira na tunajaribu kizimaliza kwa tunaowaona kidogo wamefanikiwa,kilichomponza sitti ni jina la mtemvu na status yake kwa ujumla,hivi wewe hapo ulipo ushadanganya vingap?eti hastahili we unastahili vingap,eti rushwa we ushahongwa na kuhonga vingap?ni kwamba ushafeli maisha ndo hasira zinaishia kwa kina sitti maskini

  ReplyDelete
  Replies
  1. kwenda hko wewe ni sitti ukome kudanganya bibi bomba kizee wewe

   Delete
  2. ONE WRONG DON'T MAKE TWO WRONGS RIGHT

   Delete
 9. Nitarudi baadaye nangojea wajuzi wa mambo waamke.

  ReplyDelete
 10. O.O.T since wiki hii out of topic imechelewa wacha nijisemee yangu, achana na cheap sufuria za state house, nasemea un organize kitchen countertop is so busy with staffs what are the kitchen cabinets for? aarrgh hate kitchen kuekwa ovyo ovyo while u have mahali kuweka vitu vyako mibeseni, visufuria cjui nini nini mfyuu, tafuteni profession housekeeping asimamie wadada wa kazi basi while show of on insta kama hamna ata time ya kusimamia awo beki 3!!!!

  ReplyDelete
 11. KUNA WAZEE HASHIKI VIBOHOYO MENO HAWANA NA SHIKAMOO HAWAZITAKI KWA KUPENDA UJANA
  BIBI BOMBA BIBI KIZEE ULOJIFNYA KIJANA CHEZEA TANZANIA WEWEE TUSOME WOTE LEO UJIFANYE ETIVMIEVNILIKUW LA KWANZA WEWE UKAZALIWA
  MIXUUUUUUUU

  ReplyDelete
 12. Mdogo wangu SITTI. Mimi nakujua vizuri sana. Miaka ile ulikua ukienda SHIRIKA LA BIMA ambako mama yako alikua akifanya kazi. Wewe ulikua katoto kazuuri ukingaa. Staff wa Bima walikupenda sana na ulipewa jina hilo ukilinganishwa na Mke wa Rais Mwinyi.

  Tunajua kwamba ulifanya jitihada kubwa sana huku ukipata TANGANYIKA JEKI toka kwa Baba yako Mh Mbunge. Hata hivyo bila kumungunya wala nini hukuwa na vigezo kwasababu umri UMEKWENDA. Najua unaumia sana na unajitahidi mno kueleza kwamba watu wana wivu na chuki tu. CC DEEP DOWN ukikaa sebuleni na BABA NA MAMA YAKO unajua fika kwamba ULICHAKACHUA. Ili uwe na amani ya moyo ni vizuri ukakiri ulichemsha ukarudisha gari la watu. Kumbuka ulikoswa KUSWEKWA SEGADANCE kutoakana na CHEO CHA MDINGI maana ni dhahiri ulipaswa kushtakiwa kwa makosa haya
  1. FORGERY CONTRARY TO THE PENAL CODE, CAP 16 OF THE LAWS
  2. UTTERING FORGED DOCUMENTS "
  3. OBTAINING GOODS BY FALSE PRETENCES "

  uMiss TZ unanoga ukiupata kihalali we huoni mwenzio WEMA SEPETUNGA wala aliposhinda 2006 hakupata haya masaibu ingawa tumegundua kumbe kichwani ni MBULULAZ IR BEAUTY WITHOUT BRAIN but miaka ile hawakuwawakimaindisha mabraini..ha ha ha

  ZEE LA MICHEPUKOZ

  ReplyDelete
  Replies
  1. yaaan wewe zee la michepuko unavyompenda wema,mpk unashindwa kujizuia,tunakuelewa baba ndio kawaida yenu wanaume kupenda wadada ambao sio type yenu,na kama nimdada tunakuelewa dada kutamani maisha ya mwanamke mwenzio,chezea wema wewe anawanyima watu usingizi,kibokoyao

   Delete
  2. ahsante zee la michepuko wewe ni shidaaa

   Delete
  3. we noma, mama yangu pia anafanya kazi bima n i know mama sitti alikua bima ila akapunguzwa pamoja na kina asha baraka nazani....duuu nahis kama mama yake ndo alimpush maana mama yake anapenda kiki yani kimbelembele fulani ivi

   Delete
  4. Zee la Michepuko itakuwa Wema anakukoroga na kukunyevua nyevua sehemu iliyo katikati ya makalio. Si ujikune tu jamani upate nafuu! Hadi unatia huruma.

   Delete
  5. SHKAMOO ZEE LA MICHEPUKOZ!!!

   Delete
  6. Watu wengi tu humu kazi yao kuongea ushuzi tu lakini ZEE LA UCHEPUNKO mi namkubali sana. Yaani huyu mkaka ukiwa umesoma ndo unamjua kuwa ni mzee wa point.

   Delete
  7. mchepuko bila ya kumtaja wema wetu mboo haidindi???

   Delete
  8. MAMA SITTI, ASHA BARAKA NA WANYAKYUSA KIBAO WALITIMULIWA BIMA.

   ZEE UMETISHAJE, WE NI NAMBA MBAYA

   Delete
  9. SIKU HIZI NI DIWANI HUKU TMK

   Delete
 13. haya wale wenzetu wataalam wanaojua kukadiria haya kadiria ana miaka ngapi hivi? maana hataki kusema eti ni private! pengine hapendi tu kutaja umri

  ReplyDelete
 14. we dada unayetaka kusogeza mbele MP, kunywa vinegar, itakusaidia angalau kusogeza siku moja. vijiko viwili kwenye glas ya maji, kunywa hata mara tatu Kwa siku.

  ReplyDelete
 15. sitti mtemvu hauna jipya kaa chini uwaze utauza copy ngapi ya kitabu chako,shukuru mungu baba ako yupo serikalini maana nahisi mpk leo ungekuwa unapiga route za mahakamani kwa kudanganya watanzania,pole sana mtanzania mwenzangu unabahati mbaya ya kutokupendwa na watanzania ukilijua hilo halitakukusumbua kichwa.

  ReplyDelete
 16. Hivi mtu unataka kujua umri wa SITTI ili ukusaidie nini hasa? kashasema ni private basi ibakie kuwa hivyo na ukizingatia taji la miss tanzania kashalivua cha msingi mwacheni afanye yake katika kulisukuma gurudumu la maendeleo. Yeyey atabaki kuwa SITTI na wewe utabaki kuwa wewe naomba kumsaidia mchangiaji aliepita anaesema Sitti arudishe gari la miss Tanzania kwa taarifa yako Sitti haendeshi gari la miss Tanzania bali anaendesha gari alilonunuliwa na mzazi wake na siku ya uzinduzi wa foundation yake na kitabu chake pale mlimani city ndio alikabidhiwa gari hiyo. upo hapo. Mti wenye matunda ndio unapopolewa mawe SITTI kila la kheri katika kazi zako za taasisi mungu atakujaalia utafika mbali wabaya wako wakabaki na aibu zao. BIG UP MAMAY KAZA BUTI

  ReplyDelete
  Replies
  1. wasikie waongo mnavyoteteana tutokeeni hapa mkadanganye majinga menzenu

   Delete
  2. Mbaya wake ni yeye mwenyewe, kuna mtu alimtuma akaseme uongo, kwanini mnapenda kutetea uovu. Kalikoroga mwache alinywe.

   Delete
 17. OOT:Naombeni usahauri pls msinichambe,mimi ni binti nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanaume tumedate kwa muda sasa kama miezi kadhaa,katika uhusiano wetu hatujafika hatua ya kufanya mapenzi maana binafsi bado sijawa tayari,tatizo lililopo ni kama mwanaume hataki comitted relationship japo hajanitamkia ila kuna siku tulikuwa tunalumbana aliongea maneno ya kama yeye hataki uhusiano wa kuwa comitted lakini anasema ananipenda,wadau ni kweli ananipenda au anasubiria tuu apate tamtam asepe,inshort mie sitaki uhusiano wa kupotezeana muda,sasa hapa nilipo sielewi je nikatishe mahusiano au nivumilie labda atakubali kuwa comitted,ninampenda ila sipo tayari kujipotezea muda wangu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nenda kampe tamu tamu weweee uone kama hajawa commited, hapo sasa hivi kuna mtu anampa tamtamu kalaga bahoooooo

   Delete
  2. Mwanaume habadilishi nia, usijitege mwenyewe

   Delete
  3. Nakushauri usimpe tamu kwanza.acha kabisa.anaweza kuwa mpita njia.

   Delete
  4. Ndg yangu akishakugonga hutamskia tena..naunaweza ukawa kingan'ganizi my dear haitasaidia utaumia mnoo zaidi utakuwa desparate utaishia kushika mimba mana wengi ndomlivyo..zaidi ujiandae kuwa single momi..atarecognize mtoto wako lakini sio wewe nahapo akikufavor...muelewe achana nae alikua anakutengenezea mazngra ukubali hyo situation kwamba niuhusiano wakutiana tu..ila kila mtu na 50 zake wewe ndo mbishi kuelewa..

   Delete
 18. Napenda wanawake kama wewe wanaojitambua sio mambo ya mwanaume amekupa lift asubuhi then jioni umempanulia kisa kakwambia anakupenda. Big up mdada. Back to your comment please jiridhishe kwanza kama kweli ukimuona hana future na wewe sepa fasta no time to waste usawa huu. Usikae na jitu kumbe linafukuzia tam tam halafu akiipata anakuacha na anaishia kukudharau halafu utaumiajeeeeee, haa ujue ukimuacha kabla hujamvulia chupi hutakuwa na maumivu yakuachana kabisaaaaaaaa maana hajauona utupu wako na wewe hujauona utupu wake so ngoma droo,

  Mara nyingi wanawake huwa tunajisikia kudhalilika pale unapokuwa umempenda mtu kwa dhati kumbe mwenzio nia yake ilikuwa papuchi tu inaumiza haswa.

  All in all nimekupenda maana unajitambua wangekuwepo mabinti mia kama wewe wanaoijua thamani yao kwa wapenzi wao ninauhakika hata michepuko isingekuwepo na heshima ya mwanamke ingerudi.

  ReplyDelete
 19. Huyo mwanaume ana mwanamke mwingine dada usipoteze muda na kujichoresha ukiwa nae! achana nae ili ukionekana upo single ni rahisi mwanaume mwingine akakutokea. ya nini kukupotezea muda kwanza wanaume wa siku hizi vicheche sana hawaridhiki na mwanamke mmoja wanamtaka kila wanayemuona so kama hataki kuwa commited achana nae mapemaaaaa!!!!!!!!!!! usikubali kumvulia! khaaa!!!!

  kwanza hata kupima HIV pengine hamjapima haraka ya nini? tunza kitumbua chako mamaaaa!!

  MUM LINA

  ReplyDelete
 20. wewe 12;18,uswahili wa kule STRESS zone huku usituletee,na hayo ya sufuria umeyatoa kule,cha ajabu nini sasa,maswala ya jikoni ni ya mwanamke,Dai hajaoa,na ndo maana hakuona cha ajabu kuweka ile sufuria,na hata Zari wala msimshangae,ile haijawa nyumba yake bado,hadi pale atakapohalallishwa ndo na yeye ataibadilisha ,ili washakunaku kama nyie muone tofauti ya kua ktk ndoa au vipi.waswahili mlishazoea,hapo ungekuta ushahamia hapo,mpaka na wadogo zako,ushahamisha mavitu yako mpaka misufuria ushanunua,mfyuuuuu,kisa tu umepata bwana mwenye nyumba yake,Umesikia wee kizee,wapelekee umbea kule kwenu

  ReplyDelete
 21. Oot day inachelewa. Naomba mnijuze tabia za madokta wa kibongo.maana niliokua nao wana majivuno fulani hivi. Au ndo wako hivyo? Mfano mnaweza panga tukutane sehemu fulani yeye anapinga.eti dini haimruhusu hata kukaa baa kunywa soda. Mwingine anapenda kukaa baa apigizane kelele na rafiki zake.ngachoka mie.hivi ndo walivyo au ni hawa tu.

  ReplyDelete
 22. huyo hana mpango na wewe ni anataka kukufanya then asepe.so ni uamuzi wako.mkimbie haraka.

  ReplyDelete
 23. SITI MNAFIKI MPAKA ALOMZAA MNAFIKI ET HAWAJUI MIAKA ILOSIMAMAKTK CHETI CHA KUZALIWA . MAMA NAE ALISIMAMA AKISEMA MWANANGU KIGORI,MWARI ,BIKIRA HAYA NDO MANENO WATUMIAYO WATU KWA WASICHANA WADOGO ,SITI MTU MZIMA MPAKA BWABWA LA SHINGO LISHAMTOKA
  TUPITIE MBALI BIBI BOMBA TUACHE VIJANA TUCHEZE NA VIJANA NYIE NDO MNAZAAGA MNAKANA WATOTO WANAJIFANYA MTOTO WA MWISHO WA MAMA

  ReplyDelete
 24. aishie huko hana haya huyu alimwanikia babake mapaja siku ya graduation utavaaje vile kama unaenda club? ishia huko na umburulaa wako ndio ulifoji umri ukawa unashindana na vibinti ilhali ukijua umewazidi miaka kibao ndo kisa cha wewe kupewa jina la bibi bomba uliyataka mwenyewe. ulikuwa unagombea ushindi na wadogo zako ati ukajidai hadi kuongea broken french kujipaisha tuu bora ungeongea kilugha chenu kama hoyce ishia huko na kitabu chako kitakuwa na uongo mwingi hata cha bure sikitaki.

  ReplyDelete
 25. Watu wanapenda fanya watanzania wajinga, people really know to pretend well, she is soo old, her and whole family lied to us i really wander even why you people keep even choosing this shit politicians, liar, fake, corrupted non sense, shame on you bibi bombs, even after life you will go to hell, to hell you and your family, you are the reasons why innocents cant get their right, you are the reasons why people are still poor, your father shame on you too, you know what, help me to pass the msg to your shameless mum and dad, that can they go to hell. Shame on you bibi bomba

  ReplyDelete
 26. mmh jamani sie woteni binadam na tunafanya makosa. ambae hajawahi kudanganya na aaendelee kumuhukumu sitti mtemvu..wanasiasa wangapi wamefanya ya kufanya huko nyuma na sasa mnawachukulia kama heroes?. we are both human beings we make mistakes and learn through them kuendelea kumtukana does not make any sense. ni kweli kabisa alitudanganya mie hata nikikutana nae face to face nitamwambia hili. mungu anasamehe, why not us?. sintah my doll dont bania hii.

  ReplyDelete
 27. watu wamevurugwa, nini kudanganya umri watu wanadanganya hadi idadi ya kwao walivyozaliwa....................................

  ReplyDelete