asas

asas

sintah

sintah

KIMYA KIREFU KUTOKA AK CLASSIC KIMEKUJA NA KISHINDO


kofia za kisasa za kulalia zile za net zimepitwa na wakati
MALI MUPYA IMEINGIA @AK CLASSIC COSMETICS WAPI WAREMBO WA MUJINI!!?
WADADA WOTE WANAOTAKA KUPIGA MSASA NGOZI ZAO NA BIDHAA ZENYE VIWANGO BASI KIJIWE NDIO HIKI...
@AKCLASSIC WANA MZIGO MUPYAA  KWA AJILI YAKO KUANZIA UNYAYONI MPAKA UTOSINI!!
 NINI KINAKUPA STRESS WEWE? JE WATAKA KUNG'AA?AU UNYWELE HAUJAI AMA KUNYONYOKA?UNASWEAT SANA KULIKO KAWAIDA? UNA CHUNUSI NA MABAKA?UNATAFUTA MAKE UP NZURI KWA GHARAMA NAFUU?UNATAKA KUPUNGUZA TUMBO? UNA DARK CIRCLE (MIWANI) AMA MICHIRIZI?AU WEUSI WA MAPAJANI ULEEE?AMA UNATAKA KUWA NA RANGI MOJA MWILI MZIMA?
PITIA BAADHI YA MAMBO YAO HAPA...
.

3 comments:

  1. Hiyo COCOA BUTTER SKIN THERAPY OIL inauzwa bei gani,kwa anaejua pls..na je wanaweza kutuma mikoani mana mm nipo mkoa..tafadhari VICKY naomba unijibu au weka namba yako ya simu

    ReplyDelete
  2. Jamani mi naomba direction ya duka nikamnunulie Wema Sepetu na kama ikifanya kazi kwake basi atoe ushuhuda kwa kila mtu. Baaay

    ReplyDelete
  3. acheni kudanganya watu hapa hkuna dawa ya michirizi.. dawa peke yake ni kufanya laser surgery full stop!!! haya mambo mengine ni kibiashara zaidi na nyie wauzaji mnajua fika hakuna cream wala mkorogo wowote duniani unaotoa michirizi ni hayo tu!

    ReplyDelete