asas

asas

sintah

sintah

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OCTOBER 2015

Mh Edward Lowassa
Mwigulu Nchemba

Wakati miezi inazidi kutokomea kuelekea October  bado Tanzania yangu ina kitendawili ya nani atakayekuja kuwa Raisi wa awamu ya tano, waliotangaza nia ambao weekend hii ilikuwa ya mshike mshike ni Mh Edward Lowassa,Mwigulu Nchemba na Steven Wasira je bado vuguvugu linaendelea? endelea ku visit www.sintah.com ambapo tutaendelea kuwajuza hasa na siasa za bongo na haswa uchaguzu mkuu unaokuja..... kila la kheri wagombea tunachotaka sie wa Tanzania ni kutokomeza kabisa umasikini , ajira kwa vijana na maendeleo ... tuna rasilimali nyingi ila bado tupo kama mkia whyyyyyy???

7 comments:

 1. MWIGULU NCHEMBA....UMEUUUUUA!

  DAAA what a speech! Umenikumbusha speech ya EL PRESIDENTE BARACK OBAMA INAUGURAL SPEECH IN 2008

  ZEE LA MICHEPUKOZ

  ReplyDelete
  Replies
  1. Zee, this is where you go WRONG !! m inaugural speech of Barack Obama was not about what he will do when he gets into power, in his speech he stayed consistent with his message of HOPE that won him the election, Lowasa delivered a good speech but flawed with lots of strategy without Action plans, Mwigulu gave what people wanted to hear, no strategy but a lot of action plan, which is okay I dare say, Wasira's keynote address was well rehased and in a scale of 10 I will give him 6.5, Lowasa 5 and Mwigulu 5, Although Wasira's speech didn't really have an impact which Mwigulu's speech had, but it was a great participatory economy speech, my problem is, he is all talks, he has never openly fought corruption, Mwigulu on the other hand, speaks on our behalf, the forgotten, he has gone down to our level, I therefore have high hopes for him, he just need to work his strategy better, Lowassa I think he is just a gone case his money might win him this election though

   Delete
 2. MWIGULUUU.................He's a real Tanzanian - Zee leo nakusupport.

  ReplyDelete
 3. mambo yote ni dr hussein mwinyi hawa wengine watashikwa na bumbuwazi acheni wajisheuwe sasa huyu mwingine sura ka kibaki wa kenya huyu wasira baba mkubwa wa lady jay dee sura yake inasisimua!

  ReplyDelete
 4. ZEE LA MICHEPUKOZ mi huwa linanikuna sana ni jitu la mapointi. Huyo dada hapo juu kamsagia zee kwa kusema you are wrong but kaishia kusema kilekile alichosema zee kuwa MWIGULU NI BOMBA

  ReplyDelete
 5. Go Mwigulu go
  The Smartest guy.

  ReplyDelete
 6. Mwigulu nampa 8/10 kwa sasa mana sijaskia wengi zaidi, Wasira 6/10, lowasa -2/10

  ReplyDelete