asas

asas

sintah

sintah

OUT OF TOPIC DAY ........

Haya sasa ni siku ya katikati ya week, kuna mengi sana yametokea ila leo tujadili swala la mapenzi na urafiki, hivi bado kuna wasichana wanabeba mashoga kwenda kwa ma hubby zao? kama kuna msichana/mdada nk aliekumbana na kesi ya kutendwa na rafikiye katika kuingilia uhusiano hebu share na sisi hapa

kila mtu ana  mkasa wake kwahio tukipata tofauti tunajadiliana haswa labda hawa mashosti wana mbinu nyingi kuiba/ama kuongea uongo na kuingilia katika mapenzi ya watu

Kumbuka kutumia mtandao wa ukweeeee wa Airtel ambao unaperuziiii huku unajipepea na gazeti ni ndoroboooo kweli

77 comments:

 1. WHO AM I?
  NILITOKA NA HAWA WAFUATAO

  1. Jimmy wa Mikocheni
  2. Sam wa Sinza Mori
  3. Mr. Blue
  4. TID
  5. Charlz Baba
  6. Kanumba
  7. Jumbe
  8. Mr. Ngololo
  9. CK
  10. Mr. Ngololo
  11. Mcongoman
  Yaani kwakifupi nina A FOOTBALL TEAM maana neno "NO" kwangu ni msamiati wa Kichina!!

  Mi nilichukuliwa Buzi langu na rafiki yangu niliyemkwepesha kuswekwa SEGADANCE kwa kutakatisha fedha. Nimejifunza nikienda kwa buzi langu na rafiki yangu masharti ni haya

  1. Asiulambe. Avae kama beki 3
  2. Asimuombe no ya cm
  3. Nywele asuke twende kilioni
  4. Tukiwa pamoja marufuku kujisexisha
  5. Tukiwa pub anywe soda tu as akinywa bia asije akapata minyege ya kujisexisha

  Its me ZEE LA MICHEPUKOZ

  ReplyDelete
  Replies
  1. Yatakushinda bi dada kila siku unafuatilia maisha ya WEMA inaelekea anakuumiza sana roho, na hutampata ndo keshakuacha. Unaorodhesha majina ya wanaume wewe tangu umebikiriwa umeshapitiwa na wangapi?? au kwavile unajua watu hawakujui?? Now unaboaaaaaaaaa acha ujinga huo unajidai mtaalam wa mafumbo/vijembe halafu vichambo vyenyewe vya kijijiniiiiii havina mvuto. Hiyo list kama umeipata leo umechelewa ilishatolewa siku nyingi sana tena kwenye gazeti sio blog.

   Tafuta list mpya hii ni zilipendwa tunasubiri utuletee new list ndo tutakuona wewe mkali.

   Delete
  2. ZEE LA MICHEPUO ha ha ha

   Delete
  3. Duu hayo masharti ni nouma. Ila ZEE LA MICHETUKOZ ni kuwa sisi mademu siku hizi ni kama tumechanganyikiwa au tumerogwa maana mtu anakuibia jamaa yako hvhv unamuona. Yaani DUNIA IMEVAA KIMINI

   Delete
  4. Wewe mbwa zee la.mavi muache wema fala wahedi hv we ni mwanume mwanamke mamayo wema kakukalia.kooni matako ww.fanya yako muache wema...ww kama huna mabuzi na kufirwa ujanani kimpango wako...wema wema wema..nadhani hata hakujui ila chuki imekujaa hadi mkunduni kumamayo ww...jibu basi kama bingwa.

   Delete
  5. Misifa tu,hata point yako haichekeshi.
   Ume-expire mzee

   Delete
  6. weka na list yako tuone mpuuzi wa hedi huna kazi kutwa kucha kufuatilia yasio kuhusu

   Delete
  7. Si afadhali hao wanahesabika, na wanajulikana, wengine wanajaza coaster na haitoshi. Tupishe na ujinga wako hapa. We ni demu huna cha uzee la michepukoz wala nini.

   Delete
  8. Wewe Zee la Michepukoz huna lolote wewe ni Diamond maana unavyomsakama mtoto wa watu ni kama vile alikuulia mama yako. Khaaa! Hadi aibu.

   Delete
  9. mbona hao wachache sana mimi nao 59 nitaanzaje kusema no wakati wanajileta kwani wakija si wanajua nimetoka kutobwana na furani hata ww ukitaka njoo nikupe tigo

   Delete
  10. TEAM WEMA
   Mmeumiaaaaa ha ha ha . Nyie MADIVISHENI FIVE kutwa kucha mmekua TOILET PAPER ZA WEMA kumsafisha mauchafu yake wakati hata kuwajua hawajui..ha ha ha!!! \

   Naskia ndimu MMEMALIZA MASOKO YOOTE...ha ha ha. MWAKA HUU MNALO

   ZEE LA MICHEPUKOZ

   Delete
  11. hivi wewe zee la michepuko mbona unaroho mbaya hivyo,yaan wema amekukaa kichwani hadi haipiti siku ujamtaja,unamtaka nini au unamuonea wivu?topic ni out of topic day kijiba cha roho yako kipi mpk kuanza kumuhesabia mwenzio aliotembea now,tena utakuta wewe ndio unatimu ya mpira na reserve juu,ila kisa ni wema ndio unamuona anawengi,kwahiyo ulitaka miaka yote hiyo tangu ajue mapenzi awe na mmoja kwani yeye mti,ebu mpishe huko muache mtoto wa watu,yeye ni binadamu na nikawaida sana katika maisha,kama vipi list na idadi ya wanaume aliotembea nao dada ako au wewe mwenyewe,je angekuwa dada ako ungemfanyia hivi au kisa ni wema,utakufa na wivu fanya yako usimyooshee mwenzio kidole wakati yako yanakushinda,.JIANGALIEEE

   Delete
  12. Zee la michepuko lazima litakua bwabwa, linawashwa

   Delete
  13. zee la michepuko kula buku.. jini kisirani na imelda sura ngumu walianika wanaume wa zari leo umegonga ikulu mbwa koko wa michirizi wanabweka humu wanataka kung'ata watu. ha ha aa mbona jini kisirani na imelda sura ngumu walisahau kweka na list ya michirizi ili tuone na ni zaidi? na bado wengine wa michirizi wale wa one nite stand na lata ya md ya stanbic bank akaongwa milioni moja nyamazeni nyie mbwa koko mnampenda huyo muabuduliwa wenu hasafishiki na wapenda jf wamemchana kiasawasawa hawarembi kama kawa jini kisirani wamechana wee kumbe mazer alikuwa ni mchepuko no wanda kibinti kutwa kusarandia waume za watuu mfyuuuuuuuuuuuuuu……………...

   Delete
 2. ushauri wa bure mwenye hii blog atafute habari, OT kila sikuuuu, hiyo kitu bora aifanye once a month, maana ishakua forum ya kashfa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wenzio hapa tunashauriana kama hutaki pita hivi>>>>>>

   Delete
  2. anon 10.52 pm umenena kwa lughaaa

   Delete
 3. yani bora umeweka hii kitu! sitasahau siku lishoga langu lilivyojiweka kwa mpenzi wangu. tulikua tunakunywa nilimualika na shoga akaja na vile mi siwezi kumchukua mpenzi wake nami nikamuamini pia yeye hawezi kufanya hivyo. ila ile kwenda tu washroom nikirudi nikakuta mabadiliko fulani hivi nikagundua. nikaamua kufuatilia simu ya mpenzi wangu nikagundua washapeana namba na mawasiliano ya mapenzi washaanza. yani toka siku hiyo mpaka leo namchukia huyu demu kama nini na mpenzi nikamuachia kwani walidumu ameishia kuliwa na kuchanganywa na wana mitandao mamamye zake

  ReplyDelete
  Replies
  1. Pole sana mwaya yaani wanaume hawana tofauti na mbwa, limwanaume unaliheshimu lakini lenyewe hajiheshimu kabisa

   Delete
  2. ulienda nae wann naww umezidi kiranga na show offs kakukomesha

   Delete
  3. ndio ukome kwanza tatizo siyo shoga yako bali hicho kidudumtu ulicho kipa dhamana ya chupi yako.

   Delete
 4. nakupenda mumie

  ReplyDelete
 5. MISSY TEMEKE KAKINUKISHAAAAAAAAAAAAAAA

  ReplyDelete
 6. Unakesha Sintah ukiliombea Jua . Ona mvua inavyokunyeshea umelao mpk hukauki.
  Umefuzu kuandika yawenzio huku yako yanazid kuchelewa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Maneno kuntuu mdau! Well said, uyo sinta kutwa kucha kuyasema ya wenzie! Yakwakwe kayakalia! Mfyuuuuuuuuuu!

   Delete
  2. Maneno kuntuu mdau! Well said, uyo sinta kutwa kucha kuyasema ya wenzie! Yakwakwe kayakalia! Mfyuuuuuuuuuu!

   Delete
  3. maneno haya peleka kwa jini kisirani mtaa wa pili yeye kutwa kuanika mabaya ya wenzie yakwake kayahifadhi kama dhahabu nyokolikooo!

   Delete
 7. Habari wadau , umri wangu ni miaka 35 nimeolewa na nina mtoto mmoja , nina uzito wa kilo 80, ukweli natamani kupunguza uzito wangu ili niwe tena na umbile la kupendeza . tatizo linalonisumbua mume wangu anataka niwe kibonge kwamba anaenjoy nikimkumbatia nikiwa na nyama , kusema kweli najiona sipendezi na nguo nikiwa mnene . kuna wakati nafanya diet kwa siri ili nisiongezeke ila akigundua nimepungua huwa anahakikisha ninakula akiwa ananihimiza. ukweli niko njia panda nifuate matakwa yake au ya kwangu. yaani mkiwa mnatembea akiona mwanamke mnene unamuona anamtazama sana mpaka nahisi kha si nitampoteza huyu mwanaumme . ninaomba ushauri wadau

  ReplyDelete
  Replies
  1. fuata moyo wako u live once mwambie unataka uwaje hataki jipunguze upoendeze akajambe zake

   Delete
  2. Sasa hapo unaomba ushauri Wa nini wakati mumeo kashasema anapenda unenepe? Nenepa wee, la sivyo utampoteza.

   Delete
  3. mwili ni wako, pungua kiafya siyo kimapenzi, huyo mumeo muongo anataka wengine wasikutamani ha ha ha ah ah

   Delete
  4. Ushauri moyo wako, lakini kumbuka unene sio mzuri unaleta maradhi, ukifa leo, mmeo ataoa mwingine mnene yeye hana apotezacho, Jiangalie afya yako bibi, tusije sikia mara BP SHELL AU KISUKARI mwisha ya wa yote ni kiharusi. Mwanamume uwezi kumridhisha hata ufanyeje, jiongeze mwana mama hayo ni maisha yako si ya mumeo.

   Delete
 8. Naomba ushauri ni mahali gani naweza kujifunza kuogelea? tafadhali ni muhimu kwangu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. azura au nenda mbalamwezi

   Delete
  2. Hapa kawa kabla ya keep left cha maringo kuna lile jengo la K-Net ingia na ile njia kama waenda Ule ukumbi wa Mbezi beach kata kushoto kijisehemu panaitwa splash two weeks ushajua

   Delete
  3. Mdau upanga karibu na shule ya tambaza unavuka barabara kuelekea ofisi ya pcb kitengo cha kuzuia rushwa ukifika hapo uliza .. Au tuma contact zako nikusaidie .. Hutajuta siku 8 tuu utakuwa una dive kbsa ...

   Delete
  4. splash town msasani beach, muulizie mwalimu ALEX

   Delete
 9. NAOMBENI USHAURI WA MAFUTA MAZURI YA KUJIPAKA USONI, NATAMANI USO WANGU UWE SOFT BILA MADOA, NGOZI YANGU NI YA MAFUTA KIASI


  ReplyDelete
  Replies
  1. mi natumia vaseline sasa sijui kama itakukubali wewe! tena nzuri kweli kwa scrub pia, unamix na sukari iliyosagwa kiduchu unasugua uso inatakatishajeeee

   Delete
 10. naomba munielekeze mahali wanapouza nguo nzuri kwa ajili ya ofisini wadau?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mimis collection @GOLDEN JUBILEE TOWER

   Delete
 11. Mimi ni mwanamke niliyeolewa najiheshimu sana sijawahi kumsaliti mume wangu hata siku moja, tatizo langu ni kwamba mume wangu ana mwanamke wa nje nilijua kwamba ana mwanamke kupitia simu yake nilikuta sms za kimapenzi. Nilimuuliza tukagombana sana lakini aliniomba msamaha akaniambia hiyo haitajirudia nikamsamehe tukaendelea na maisha, Mungu anavyojua kumuumbua mtu nikakuta tena sms kwenye simu yake ya yule yule mwanamke nikamuuliza tukagombana sana mwishowe nikamsamehe. Sasa juziiii tena nimekutana na namba ya huyo huyo mwanamke kwenye simu yake.

  Nilijisikia vibaya sana, nilipomuuliza akanijia juu sana, yaani kiukweli sijui nifanyeje niko njia panda najiuliza sijui nimpigie huyo mwanamke simu, lakini najiona nitakuwa mjinga maana si lazima kafuatwa na mume wangu.

  Mimi sio goalkeeper nafanya kazi nimeajiriwa, mpaka sasa nilichoamua tokea hiyo siku sitaki aniguse kabisa maana naona kama imekuwa too much.

  Naombeni mnishauri nifanyeje maana kusema ukweli roho inaniuma sana

  ReplyDelete
  Replies
  1. pole sana.. zidi kumpenda mumeo na kumuombea ataacha hako katabia

   Delete
  2. Kama hutaki akuguse sasa umemtuma kwa huo mchipuko wake akamalize haja zake bibi upo. Acha kabisa kuchungulia simu ya mumeo utaharibu ndoa yako mwanamke unatakiwa kujiamini sio kila dakika unachungulia simu ya mumeo.

   Delete
  3. pole sana dear, wanaume kwa asilimia kubwa wanacheat, nakushauri usamehe ila nadhani pia ni wakati wa kutafakari hasa kwa nini anacheat. cha msingi anza kujijali mwenyewe fanya yale mambo yanayokupendeza , vaa vizuri na jiweke smart kwa ujumla , mpotezeee kama hujali. ilinitokea pia zaidi ya mara tatu nilikuta msg za mwanamke kwenye simu ya mume wangu . mara ya kwanza nilimuuliza akataa, mara ya pili akakataa, mara ya tatu nikaipiga ila namba akapokea nikamuuliza unatuma msg za mapenzi kwenye simu ya mume wangu wewe ni nani? akasema huyo ni bwana angu nimekuwa nae kwa muda mrefu nikamwambia unajua kama ana mke akasema ndio . nikamwambia huyo bwana yako yuko hapa ananisikia sitaki matatizo na wewe achana na mume wangu. kuanzia hapo nikaanza kujipenda mwenyewe yaani nikachange kabisa nikawa nampotezea sina muda nae, sipigi simu akichelewa siulizi. alivyoona mabadiliko yamezidi mwenyewe akaomba msamaha akabadilika na sasa tunaendelea vizuri. ila jifunze haina maana kuchunguza simu ya mumeo kama huna nia ya kuachana nae maana utakutana na mambo yatakuumiza moyo. mimi siku hizi sikagui simu ya mume wangu kabisa.

   Delete
  4. haisaidii kumpigia simu just get busy jipende mtoe mumeo kwenye priorities zako utakufa presha umuache kula vizuri tengeneza nywele pendeza toka tembea etc

   Delete
  5. Mpnz pole,kama Una muda kamsome dada mmoja hivi fb anaitwa Irene mbowe,nakuambia utapata na shuhuda zitakazokujenga,tatzo lako utaona dogo,umfollow ndo utaweza kumsoma

   Delete
  6. Dah, pole sana dada. Unaweza kumtafuta huyo mwanamke umfuate ukaongee nae taratibu na umwambie ni jinsi gani wanakuumiza kwa matendo yao. Labda ataachana na mumeo. Maana inaonekana mumeo ndio hataki kuachana nae.

   Delete
  7. Pole aisee, ngoja wajuzi waje wakwambie zidisha mapenzi kwa mumeo na usali sana na usiangalie simu yake na umuulize anakosa nini kwako as if wewe ndo sababu ya cheating yake. I feel you.

   My advice is relax kwanza jipende mwenyewe dont let it take you away atleast for these few days. jiulize unataka nini then listen to your heart. Do you want to stay into that marriage or not, the life is yours don't let other choose for you. Yes, wewe ndo ujuaye maumivu yako, hakuna atakayekwambia utoke and no one is entitled to do that if you think you cant take it na you might die or kill someone, jipe muda nje ya ndoa hautakuwa wa kwanza wewe. If you think waweza poza moyo ukavumilia mana ukweli ni kuwa jamaa hatamuacha huyo mwanamke sababu wewe umejua wala kwasababu wewe umesema hadi siku atakayoamua mwenyewe, so if you think you can wait for that day atakayoamua then anza kumwombea, ongeza mapenzi, usimuulize tena habari za huyo dada kwa kifupi act as if hakuna lililotokea, pendeza na jione wewe ndo mwenye makosa so jisamehe na fanya mke mwema.

   Mwisho please you are not the first or the last kupitia hayo, nikutie moyo jipende katika option yoyote utaichukua. kila la kheri

   Delete
  8. Acha kupekua simu ya mumeo, fanya yako. kuwa busy na mambo yako. Ijali familia yako. Mambo yake akijisikia kuacha ataacha. Ni mumeo unafahamu misingi ya ndoa ni uvumilivu, msamaha na upendo. Mpende mvumilie msamehe.
   Muombee kwa Mungu amfungue ili akujali na kukuthamini bila shaka ataacha huo ujinga, Kumnyima asikuguse ni kumruhusu akawaguse wengine.

   Delete
  9. Dawa ya moto ni moto. Wewe pia tafuta mwanaume.

   Delete
  10. ha ah h ha hv ingekuwa mwanamke kafanya hivyo je mngeshauri the same? acheni unafiki wa kusapoti tabia za kipumbavu for the sake of marriage,mtakuja letewa ukimwi ndani. Mpe ultimatum, lasivyo sepa maisha ni mafupi mno kukumbatia mwanaume asiye na adabu.

   Delete
  11. Anoy wa 5:48 nimekupenda bure kabisa. maisha mafupi. Nlikwambia dada ngoja wajuzi waje wakwambie usikague simu na uzidishe mapenzi. Mi bado nakushauri jua unachotaka na kipi kitakupa raha , utaambiwa misingi ya ndoa uvumilivu hadi ukimwi. kina Irene Mbowe wanakushauri potezea, vumilia yaani kwao cheating is nothing mwanaume na ndoa ni hata ufanyaje wewe baki ukipigwa unaambiwa kumbatia yaani dah siku ukifa kwa mateso hawaji kukupa hongera kaburini. Mama jaribu hayo ya kuzidisha mapenzi kama unataka yakikushinda toka.

   Delete
 12. one man show uk ha ha ha chezea domo weye/...lea mimba bibi ngoja wenzako wafaidi mhogo

  ReplyDelete
 13. lotus kyamba lipini puaniMay 20, 2015 at 2:48 AM

  Jamani hv nyie yule lotus kyamba wa east african tv mnamuonaje na lile lipini lake pale puani?!!! Yani mi naona cjui ni nani kamwambia kapendeza mweeee!!! Au ni masharti ya mganga yale?? Lipini puani kama ng'ombe!! Ww lotus kyamba kama unanisoma hapa nataka utoe hilo lipuni, ningejua unakokaa ningekufuata nikuvute lipini hilo swaga zenyewe huna pyeee unanichefuaaa!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hatoi ngooo jichimbie kwenye handakii.
   Its a free country kila mtu yuko huru kufanya yake..

   Delete
  2. unamuonea wivu black beauty

   Delete
  3. amuonee wivu kwa lipi hasa uzuri hana shepu mbaya,sura mbaya na ndo mana kajibebesha mimba kaambiwa atoe na huyo mume wa mtu kakataa coz anajua ni bahati mana acngepata wa kumzaluisha,,,,,,mfyuuuuuu

   Delete
  4. okay now I know y ulimleta hapa kumbe kazaa na mume wa mtu mana ishu ya kipini nikawa nashangaa out of nowhere!!!

   Delete
 14. sikuhizi wasichana wadogo waliokwenye mahusiano na wapenzi wao ndio wenye heshima unakuta binti wa miaka kadhaa kazaa au kaolewa yuko buzz na familia yake mizunguko hamna yeye mume mtoto au watoto na familia zao tu sasa waliochetuka mijimama du haileweki kutwa kuchambana kwenye mitandao ya kijamii bila kuwazia heshima ya familia zao bora mmngewaachia wadogo zenu mana wao hawana wanacho loose sasa sielewi kizazi cha kale na cha sasa kipi bora mbona mama zenu ambao twawaita bibi sie hutukuwahi kusikia au kushuhudia vituko vya mijimama ya sikihizi kero tupu mkiona tunachepuka mjue tumewachoka bora nijisave na kijischina hata kama kimezaa mipoa tu kuliko mikunjo isio na adabu jiheshimuni wanawake mmmh aibu tupu mnaacha kukaa ndani na familia zenu kutwa mashgughuli yapi kwa mfano kwenda kula chapati na kuku na vingenevyo sawa ni vyakula sio hatujakataa na mola aninusuru kama nina kosea ila jaribuni kuiga mama zenu ambao ndio bibi zetu mmmh wasichana wanaokua wasasa mashallah wakishaolewa ndani na maisha yao huwakuti kwenye vituko ka hivi jirekebisheni mda wenu ushapita mwe ona mnaanza kutoleana siri kibao mnanuka kashfa

  ReplyDelete
 15. huyo mwanaume hawezi kumuacha kama imeshajirudia mara zote hizo jibu lake ni kwamba anampenda kuliko wewe ndo maana anakujia juu pindi unapomuuliza!!!! japo hujasema kama mna mtoto ila nakushauri kwa vile unakazi yako SEPA MAPEMA KABLA HUJAPATA UKIMWI! Hamna haja ya kusema eti uwaeleze sijui wakwe dunia ya leo! HATAWEZA KUMWACHA HUO MCHEPUKO WAKE. SEPA SEPA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  MUM LINA

  ReplyDelete
  Replies
  1. Na akishasepa akawe sister Kansan Maana kwa Bongo atasanda wa peke yako nI mwanao tuu uliyemnya ,jamani wamama na wadada wenzangu ukitaka kuishi kwa raha Mama amani usiguse simu ya Mumeo hata awe mahututi

   Delete
  2. Asiiguse halafu ndio inasaidia nini? Maana kujua na kutojua hakutamsaidia atakapijikuta ameambukizwa HIV. Acheni kujitoa ufahamu kwamba eti usipoangalia simu ya mumeo basi utakua na amani. Ukiangalia na usipoangalia kama anachepuka the end result will be the same.
   Mimi nakushauri kama una wasiwasi angalia simu. Huwezi jua maybe hapo ndipo utaponea. Ignorance hasnt helped anyone in this kind of situation.

   Delete
 16. Nina laki tatu nahitaji kufanya biashara wadau embu niambieni au nipeni ushauri nifanyeje

  ReplyDelete
 17. bora umesema kuhusu huyo lotas mi ananichefua sana

  ReplyDelete
 18. yee ulivyosema mdau hilo lipini kwa lotus utafikili ni kamasi silipendi fyuuuuuuuuuuuuuu marafiki zake wanaopita hapa mwambieni ni ushambaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 19. Nina laki tatu nahitaji kufanya biashara wadau embu niambieni au nipeni ushauri nifanyeje

  ReplyDelete
 20. Jamani naombeni ushauri nimejitahidi kusave vijisenti vyangu vimefikia mil 13 nataka nifanye biashara ila sijui biashara gani na pia wakati nafanya hiyo biashara sitaki kuacha kazi maana mi nimeajiriwa. Tafadhalini jamani nisaidieni nisije nikashawishika nikanunua gari bure kitu ambacho naomba Mungu hilo wazo lisinitawale. Ahsanteni

  ReplyDelete
  Replies
  1. wekeza kwenye hisa ukawa unapata dividends from profits

   Delete
 21. Hhhhhaaaaaaa jamani mwenye n ubuyu amwageeeee hapaaaaa,wa chibu ,

  ReplyDelete
 22. Mbona huachii hizo comments????????????????? au ndo mboga ya leo utapika ugali au ubwabwa ?????????? au tuelewe vipi acha yako hiyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 23. hivi jamani mnisaidie jinsi ya kudeal na mwanaume bahiri

  ReplyDelete
  Replies
  1. na wewe mbahilie vi2 muwe sawa

   Delete
 24. wewe unayeuliza kuhusu nguo za ofisini nenda pale kituo cha tabata relini then pandisha kwa juu uliza wanapouza nguo za mtumba kwa ommy utapelekwa nguo zake ni nzuri sana bei yake kuanzia elfu 30, 40 za mtumba unavaa mpaka unachoka

  ReplyDelete
 25. LOL hehehehehh umebania comment yangu imekugusa sana! Uzuri ni kwamba ujumbe umeupata! Nimejua kuwa huwa nakupatia sana maana mara kadhaa umekuwa ukibania comment zangu

  ReplyDelete
 26. JAMANI HAWA TEAM WEMA SIJUI VITU GANI WANAKERA KWELI WANATUFANYA WATZ TUONEKANNE WAJINGA WOTE KWENYE MITANDAO THIS IS TOO MUCH..HIVI HAWA NDIO WAKATI FULANI MWAKA JANA WALISEMAGA BRING BACK OUR WEMA NA MANENO MENGI YA KICHOCHEZI..SAHV WANATAKA DIAMOND AMRUDIE WEMA..AISEE AU WAMEONA DOGO SAHV ANA HELA NDEFU..HAHAHAHA DIAMOND HAONGI NYIE ATA WAKIRUDIANA ISHU ZITAKUWA VILEVILE..DIAMOND HELA YAKE YA SHOO INA MAHESABU MAKALI MNADHANI NI MJINGA..JAMANI NI BORA MMTAFUTE KAZI ZA KUFANYA MANAKE MITANDAO KUMEJAA MATUSI SANA..TOO MUCH.

  ReplyDelete
 27. jamani anaejua wale wanajeshi wanao toka durfur wanalipwa kiasi gani wakirudi tz.mume katoka uko kila mara sina pesa

  ReplyDelete