asas

asas

sintah

sintah

BASI LA TAIFA STARS LAPIGWA MAWE
Kufanya vibaya katika mashindano mbalimbali ya Africa, wa Tanzania wamechoshwa kila siku kuwa mkia, na mpaka viongozi mbalimbali wamekatishwa tamaa, sasa wananchi wameamua kulipiga mawe gari la Taifa Starzs sijui Jamal Malinzi afanyaje Mungu wangu maana anatakiwa kutuliza kichwa chake haswa na wakati mwingine wala si wa kuwalaumu ni wachezaji wenyewe maana  mtu anaejua ana match anaenda club na usingizi juu na demu anapata unategemea atafanya vizuri?? wachezaji nao wanajisahau sana .........

3 comments:

  1. wala hatuwezi kuwalaumu wachazaji mfumo wenyewe wa nchi yetu wa kuwatunza na kuwandaa wachezaji ni mbovu sana na zinatakiwa jitihada za makusudi kabisa kubadilisha mfumo huo. kwanza matunzo kwa wachezaji maisha wanayoishi unategemea wakacheze mpira wa viwango kutoka wapi. kufanya vizuri katika kila jambo kunategemea akili imetulia kiasi gani. wachezaji wetu kula shida kulala, pabaya unamchukua kwenda kwenye mazoezi sijui kambini familia hajui inakula nini unategemea acheze mpira gani. juzi hapa niliona kwenye gazeti mmoja mchezajimmoja analala kitanda kimoja na kaka yake nini chumba kitanda. alafu mnataka wakacheze mpira heti washinde. SAHAU.

    ReplyDelete
  2. Mawe si hoja, ilibidi lichomwe moto pamoja na wachezaji wake wachawi. Hii ni karne ya 21 uchawi wa nini katika soka? Narudia tena, warudishwe hao wachezaji humo garini na gari lipigew moto, tumewachoka hawa wachezaji wachawi.

    ReplyDelete
  3. msiwaonee wachezaji tatizo uongozi katika nyanja zote za mpira sababu hata wewe leo kama kuna uongozi mzuri na mipangilio bora katika hilo, utacheza kwa kiwango cha juu tu. hapo tatizo uongozi na labda umaskini tuliona nao basi.

    ReplyDelete