asas

asas

sintah

sintah

KIM K NAYE YUMOKim naye anamajungu jamani, kumbe haya mambo sio hapahapa tu kwetu mpaka kwakina Kim nayo yamejaa tele, uwiii uswazi ni uswazi hata uwe wapi neno uswazi haliwezi kutokomea katika jamii..

2 comments:

  1. Apo uswazi wa kim upo wapi?

    ReplyDelete
  2. CEO au aliyeelewa hilo dongo anapewa nani atusaidie kutuambia

    ReplyDelete