asas

asas

sintah

sintah

SPORAH AZINDUA BIDHAA ZAKE

super

kwa wapenda ma wig ni balaaa yaani original iliyopitilizaaa


Hahaaaa Bidhaa za dada Sporah zipo tayari ma Diva wa ukweli mkae tayari maana msidanganyike na nywele zisizokuwa na afya katika vi cosmetic shop mchwara kila mtu anajifanya anauza nywele za uhakika siku mbili siku, nywele zinageuka kuwa fagio , mambo yapo  Sporah bwana ni gharama lakini ni nzuri na ya kukaa muda sana

Nilikuwa nazisubiria kwa hamu hatimayeeee ngoja nianze na mie ili niwape mfano

Dada Sporah najua u my no one fan , usikopeshe haaaa batoto ya Dar ni noumaaa wakija waje na cash

6 comments:

 1. Heeeee chagga juu big up sporah for your new product love love it hapo Ndiyo unambiwa biashara iko damu mchagga akwenda ulaya kucheza alienda kutafuta Haya blog flani upo mpaka hapo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Na umbea wa kufatilia ya bongoland atafanya saa ndapi? Na kuandika magazeti saa ngapi? akili ndogo

   Delete
 2. Congrats bidada..

  ReplyDelete
 3. Anza mfano tuone if you can afford and if it does last that long

  ReplyDelete
 4. "Dada Sporah najua u my no one fan" hapa ulitaka kusema nini Sintah?
  chingereza kilikuja na meliiiiiiiiiii

  ReplyDelete
 5. Ww hapo juu alikuwa anamaana ya "ww ni fan wangu namba 1" u my number one fan.

  ReplyDelete