asas

asas

sintah

sintah

BOBII KRISTINA BROWN AFARIKI DUNIAKristina Brown ambaye ni mtoto wa marehemu Whitney Huston amefariki dunia akiwa ana miaka 22, kwa muda wa takribani miezi sita sasa alikuwa hajitambui ....RIP BOBBI KRISTINA

19 comments:

 1. We sinta we we...sijui stories umeidandia wapi uonekane na ww umo,haya tufafanulie no yupi kati ya hao pichani.
  R.I.P

  ReplyDelete
 2. Ajuza mtaa wa kati ataozea jela muda sio mrefu kwa shutuma za kumtaja Mr. Dona na wengine wengi. Gazeti la leo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Jela utaozea weweee usojua sheria na haki zako! Ingekuwa hivyo media kibao zingeozea jela...assumptions ngapi wamefanya?? Freedom of speech dada,refer civics form two.

   Delete
  2. woiiii elimu yako duni unaamini udaku wa magazeti kweli we faraaaaa

   Delete
  3. Hivi wewe kwenye post kama hii utaongeleaje mambo hayo. Mtoto huyu na mama yake wamekufa kwa ajili ya madawa ya kulevya leo mtu anapiga vita unaanza kusema ataozea jela. Huoni vipaji na nguvu kazi zinapotea... Mama yake Whitney unadhani analia kiasi gani kwa kupoteza mtoto na mjukuu kwa madawa. usifurahie janga kisa halijakufika. Kama huna cha kuongea piga kimya mfyuuuuu

   Delete
  4. Asante anoy 10:52

   Delete
  5. Anony 1052 kweli madawa ni mabaya ila yule ajuza kinachomuumiza ni wivu wa maisha ya watu ndio kujifanya yuko kwenye vita ya madawa ili ajustify chuki zake name kupata support hana lolote....wivu na ugomvi ndio shida yake

   Delete
 3. sinta neno zuri na sahihi ni kuwa alipoteza fahamu kwa muda huo uliotaja wa takriban miezi sita co alikua hajitambui mana ht mtu aliye na afya njema anaweza akawa hajitambui vlevle

  ReplyDelete
 4. OOT: kiboko cha rumy ana ujauzito huyu kaka sijui ana kizizi lol

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ukiona mwenzio kanyolewa wewe tia maji. HN atamkumbuka Neyonce wakati wake ukifika wa yeye kupinduliwa na huyo ajaye sijui ndio ataitwa Roho Yangu (RY) usijiaminishe kwa mwanaume hata siku moja, mwnaume si ndugu yako

   Delete
 5. wewe uliyeandika haujui Sintah story ameidandia wapi, wewe ndio upupu haujui hata Whitney Hudson ni nani na Kristina Brown ni nani mbaka ufafanuliwe!!!!!!!!!!!!!
  R.I.P Kristina Brown

  ReplyDelete
  Replies
  1. Na wewe huyo Whitney Hudson ndiyo yupi?

   Delete
  2. Nikome...kama huna la kuandika piga kimya pimbi mla watu we.

   Delete
 6. Mungu ailaze pema peponi roho ya Chriss... jamani sasa itabidi tumsahau Whitney ah, maana copy yake ndio hiyo nayo imeondoka aaa.... au alikuwa na mtoto mwingine tujuzane jamani.... I, ALWAYSSSSSS LOVE YOUOOOOOO.... rest in peace both mother and daughter..

  ReplyDelete
  Replies
  1. mweh, huyu ni mtoto wa Whitney na Bobby Brown sio wa Chriss brown.

   Delete
  2. We mshamba Chris.. ni kifupi cha Christina, au unafikiri wote hawajui kama wewe... ndio maana nimeweka nukta zaidi ya moja mbele kwamba jina linaendelea, kama ningekua sijaelwa muhusika ni nani nisingeandika mother and daughter... so read before shout!

   Delete
 7. UWIII WHITNEY HUDSON TENA, SINTA MSAIDIE SHABIKI WAKO

  ReplyDelete