asas

asas

sintah

sintah

CAITLYN JENER AFUNGUKA

mikono imekakamaaa kabisa

baba hana aibu huyuuu

familia yake ilienda  kumsupport

Hiki ndicho alichokisisitiza  Caitlyn,, Trans people deserve something vital,' she said. 'They deserve your respect.

15 comments:

 1. Astaghafirullah, Astaghafirullah, Allah atunusuru sie na vizazi vyetu

  ReplyDelete
 2. Wajameni watu mnaotaka kubadili jinsia inabidi msizae kabisa, mfano bintiye akipata mchumba na ndo anataka kumtambulisha anasemaje. " Please meet Caitlyn she is my father oppss sorry i meant to say he is my mother" I am not judging but banange it is so confusing.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Shosty huyu si anajulikana karibu dunia nzima sasa..utambulisho wa nini tena akati dunia ishamtambulisha..caitlyn it iz..hiyo ya mama baba does not apply anymore. Na wenzetu wazungu watoto huwaita wazazi majina yao sie ndo unakuta hadi mama jina lake linasahaulika. Tena wengine mapema anaanza kuitwa mama fulani na jina lake halisikiki tena. Sipendi kweli mimi.

   Delete
  2. ULAYA HAWAJALI HIVYOO WANAAMINI KAZALIWA. NA HORMON FELI .NIMEMSONA MTT WA MIAKA 16 SWEDEN AMEOMBA AJIBADILISHE NA WAZAZI WANAMPA SAPORT
   HII NI KUOMBA MUNGU ATUNUSURUUU TU ATUEPUSHIE VIZAZI VYETU NA SIE PIA
   INSHAALLAH

   Delete
  3. Asiwadanganye mtu hata ulaya wanamaindisha kwa saana tu huyu anamapesa yake ndio maana imekua rahisi kununua watu kama Lowasa amenunua vyombo vya habari na magazeti angekua masikini angetukanwa

   Delete
  4. Wewe unayesema wazungu wanaita wazazi kwa majina sio kweli kwani cheo cha Mr, Mrs Miss, Sir, Madam kimeanzia wapi? usipotoshe jamii ukikuta mtoto anaita mzazi kwa jina ameshindikana huyo

   Delete
  5. its confusing for real, mmomonyoko wa maadili huo, watanzania tulinde utamaduni wetu tusiache tukaharibikiwa kiasi hiki

   Delete
  6. kwaio unataka kusema US watu wanawaita mama zao Mrs?..wanawaita Mom au kwajina lao

   Delete
 3. MUNGU ATUNUSURU !USICHEZE NA MUNGU BWANA UTAJIBADILISHA VYOTEEE KUNA KIMOJA KINAGOMA HUU NDO UFALME WAKE

  ReplyDelete
 4. Mwacheni aishi maisha yake, stop judging. Ndo uzuri wa kuishi nchi hizi , u can do whatever u please. Huku America amepata support kubwa huko bongo mmebaki mnabwabwaja tu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hiyo support alipewa na magazeti ya udaku, wanaojielewa kama CNN wamezodoa na swala lake hawakulipa uzito wa habari wamemuona anasumbuka na gonjwa la akili

   Delete
  2. Tusaidie swali la anonymous wa July 16 ,11.40 wewe mwenzetu wa America

   Delete
  3. Kujaji tutaendelea kujaji kuanzia bongoland mpaka maulaya, mtoto wake mwenyewe wa kumzaa anamjaji iwe sisi tuache tumjadili aibu libaba lizima kama ulijua unapenda ushetani huu ulizalia nini watoto

   Delete
 5. Heeeee watu mnajitia umungu eti amekosea haya nyie mliopatia mnaishi sayari gani haswa mpaka mtoke povu.Kesha fanya ya kuipa fursa furaha nafsi yake.Kama kawabania ugali kwa raha zake ingieni mtaani muandamane msio na kazi ya kufanya kazi kutaka watu waishi mtakavyo.mtazidi kufali sana.

  ReplyDelete
 6. Inayojibadilisha mingi ni mijanaume!! inaonekana inaogopa majukumu pyee... AKAJAMBE MBELE HUKO...

  ReplyDelete