asas

asas

sintah

sintah

DAVIDO
Msanii Davido  amesema kwamba kwa sasa atatembea na tester ambayo inagundua madini uliyopigilia ni real ama ni fake, maana watu wamezidi kupiga maboloka sasa  akija bongo na hio tester yake atawapata wengi, maana maboloka yalivyojaa bongo mpaka unakasirika utakuta mtu amejipigilia minyonyoro ya kufa mtu kumbe geresha tuu..

4 comments:

 1. Kama jux huwa anazingua kweli full midosho mxeeeww

  ReplyDelete
 2. Huyo nae akajambe mbele kule...kwani kaajiriwa na umoja wa mataifa kufanya ukaguzi wa wavaa maboloka..halafu akigundua mtu kavaa boloka atafanyaje atamfunga au ???

  ReplyDelete
 3. Comment umebania haya kaa nayo!

  ReplyDelete
 4. Davido bangi tu,inamiuma
  Mini hats kama no fake?

  ReplyDelete