asas

asas

sintah

sintah

EID MUBARAKKwa wadau wote nawatakia kila la kheri katika siku hii ya Eid

9 comments:

 1. Naombeni ushauri wenu......nipo kwenye wakati mgumu wa maisha yangu as far as ni kitu nataka nikitengeneze yani namuomba sana Mungu niwe okay moyoni na amani inirudie lakini nashindwa......mimi ni mzaliwa wa kwanza nina wadogo zangu wanne.mama yetu amepambana sana na sisi mpaka kufika hapa.ni MAMA ndo alikuwa kama baba na mama kwa wakati mmoja.aliteseka sana kutulea mnooo yan baba yetu alkuwa mtu wa mambo mengi na alkuwa na mwanamke wa nje mapema sana as imagine mimi na mdogo wangu wa kambo tumepishana mwaka mmoja tuu.sasa vimeenda huko yakamshinda na awali ni awali akarudigi kuishi na sisi na tulkuwa hatuna amani kwani baba ni kugombana na mama ni kumpiga mama kumtukana matusi makubwa makubwa yani kila aina ya udhalilishaji.!Mungu akatusaidia nkamaliza chuo mimi nikapata kazi nzuur tuu na mshahara mzur namshkur Mungu na mdogo wang vilevile.sasa tunasaidia nyumbani na kuwasaidia wadogo zetu.TATIZO SASA LINAPOKUJA baba amekuwa mzigo kwetu ni kulewa tuuu kutukana hapao nyumban mpaka kero anaomba omba pesa balaaa ukimpa yeye ni pombe mimi kazi nmepata nje ya mkoa niliozaliwa so anakuwa ananipigia cm ni malalmishi me simjali namjali zaidi mama sasa wadau unamjali vipi mtu ambaye ukimtumia pesa yeye ni kwenda kulewa???naombeni msaada wenu nmekuwa na fundo moyoni na niseme tu ukweli simpendi baba yangu kabisa.! Nilienda nyumbani majuzi yani namuangalia vibaya kwa chuki ya waziwazi.najua na naelewa yule ndie aliyenizaaa na BIBLIA INASEMA WAHESHIMU BABA NA MAMA YAKO SIKU ZAKO ZIPATE KUWA NYINGI HAPA DUNIANI sasa namuheshimuje mtu aliyetutesa vile???,je nakosea kutokumpa pesa ukizingatoa ukimpa anaenda kulewa??msaada wenu jamani wa kiroho na kikila kitu niweze tengeneza amani na baba yang.nawapenda hopefull mtanisaidia

  ReplyDelete
 2. Tupe yaliyojiri basi chaumbea wetu sintah. Vipi muke ya muzungu ametoka selo?

  ReplyDelete
 3. Sintah umefia wapi kwani ww??mfyuuuuuxxxxx zako

  ReplyDelete
 4. ASANTE
  IKITAKA KUMKUA MWANAUME HALISI NA RIJALI UTAMJUA KWA VITENDO MAONGEZI NA HESHIMA .DIAMOND NATAFUTA PA KUMWEKA SIPATI . SIJAJUA USHAMBA,UMASIKINI WALOKUWA NAO ! KWANI KATIKA UKOO MZIMA AMZIA VIBIBI NA VINYANYA NAHAKIKA YY NDO ANAMALI
  SASA KUIWEKA POSTI YA JOKETI VILE NININI ??


  ANATAKA KUJIFANYA YY NDO ALIWABIKIRI NA KUWAACHA NDO AWADHALILISHA
  NADHANI LABDA YULE DADA ALOMWOMBA WA KWANZA ALAMFANYA ATOKE NDO ALIMKUTA BIKIRA
  AKUMBUKE HAKUNA KILICHOO JUU KILIANZIA JUU
  AACHE KUDHARAU WANAWAKE WAKATI KATOLEA KUMANI KWA MWANAMKE KAA HAO ALOWALALA
  ANANICHEFUA ILA JOKET KAMJIBU KWA BUSARA
  JANUME KAA BINTII

  ReplyDelete
 5. ASANTE
  IKITAKA KUMKUA MWANAUME HALISI NA RIJALI UTAMJUA KWA VITENDO MAONGEZI NA HESHIMA .DIAMOND NATAFUTA PA KUMWEKA SIPATI . SIJAJUA USHAMBA,UMASIKINI WALOKUWA NAO ! KWANI KATIKA UKOO MZIMA AMZIA VIBIBI NA VINYANYA NAHAKIKA YY NDO ANAMALI
  SASA KUIWEKA POSTI YA JOKETI VILE NININI ??


  ANATAKA KUJIFANYA YY NDO ALIWABIKIRI NA KUWAACHA NDO AWADHALILISHA
  NADHANI LABDA YULE DADA ALOMWOMBA WA KWANZA ALAMFANYA ATOKE NDO ALIMKUTA BIKIRA
  AKUMBUKE HAKUNA KILICHOO JUU KILIANZIA JUU
  AACHE KUDHARAU WANAWAKE WAKATI KATOLEA KUMANI KWA MWANAMKE KAA HAO ALOWALALA
  ANANICHEFUA ILA JOKET KAMJIBU KWA BUSARA
  JANUME KAA BINTII

  ReplyDelete
 6. Nuhu mziwanda nakutakia kila la kheri ktk maisha yako..ningekuwa karibu ningekuja kukuliwaza..unaonekana unajua sana kunanilii wewe..basi nipe mie....nifikirieee..

  ReplyDelete
 7. Anonymous July 18, nimesoma kwa masikitiko mada yako, wako wengi waliopitia hayo uliyo nayo. kikubwa hapo unahitaji ushauri, ili umsamehe baba yako hivi hivi ni vigumu kumsamehe na muombe sana mungu ukupe roho wa msamaha ili uwe umsamehe baba yako, ukisha fanya hivyo mtafutie watu wa karibu waongee naye kwa mambo anayoyafanya, kukumbuka ukimsamehe utafunguliwa zaidi.

  ReplyDelete
 8. dada uliyeomba ushauri wa baba yk sali sana Mungu akupe mwongozo kwa hili maana mzazi ni mzazi tu omba Mungu akupe hekima kwa hili maana usipokuwa makini unaweza pata laana haijalishi hajakutunza au la japo ni ngumu sana kudili na hii stuation na mtu mlevi lakini kwa Mungu hakuna linalo shindikana pole sana nitaendelea kufikiria cha kukushauri

  ReplyDelete
 9. asante sana mdau na Mungu akubariki sana ntamlilia huyu Mungu mpaka nipate amani na ntakuwa napitia hap kila mara kuangalia kama kuna ushauri zaidi.

  ReplyDelete