asas

asas

sintah

sintah

HAYA HAYA KILIMANJARO MPO TAYARI???Kiroho safi kabisa, support my sista Olivia Sinare

8 comments:

 1. ningekuwa na uwezo ningefuta viti maalumu!!!!!!!!!!!!!!!!!! watu waingie kwenye majukwaa watuambie wakiwa wabunge watafanya nini sio kujificha kwenye viti maalumu!!!!!

  kwanza mimi sijaona umuhimu wa kutangaza eti unagombea viti maalumu? what is the mean kugombea viti maalumu????????????? kwa nini msitafute jimbo mgombee? mbona majimbo yapo mengi na yameongezeka mengine mapya mengi tu?

  tuwe na roho ya uthubutu wanawake tunaweza!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. what is the mean!

   Delete
  2. ngoja magufuli awafurumushe ndio watakoma hakuna cha viti maaalum wala nini? ukiwauliza wanaogombea kwanza hawajui nini maana yake

   Delete
 2. gombea na ww basi sintah...!!

  ReplyDelete
 3. hii viti maalumu sasa kichefu chefu is too much.

  ReplyDelete
 4. Jamani pambaneni majukwaani mbona mnakimbilia viti maalumu? Au hamjiamini? Viti maalumu ni kichaka kila mdudu anajificha huko lol!

  ReplyDelete
  Replies
  1. mama mashauzi mwenyewe kasanda wee anangeuona moto!

   Delete