asas

asas

sintah

sintah

JLO, JLO HAKAMATIKI

Lope Lopeee of all trades


Hahaaaaaa acha bwana huyu ndiye Jenifer lopez, ama lope lopeeee akiwa katika pozi kwa pozi katika sherehe yake ya kutimiza miaka 46, 46 na bado yupooooo hot niambie wewe dada unayekeshea mchemsho na beer za bureee wapiii, jitambue!

3 comments:

  1. hivi mchemsho unakeshewaga we nae mswahili puuuu mpaka unaboa, sasa wewe una umbo zuri stress za maisha zinakusumbua na bado

    ReplyDelete
  2. sinta kabeba lipua likubwa kazi kujidai j.lo ni dada yako, na huyo mboni wako nae analipua du utafikiri kabebeshwa makamasi ya watu wote dunian na miziwa utafikiri ananyoshesha majambazi

    ReplyDelete
  3. i love that woman mpaka basi,she will die with her beuty kwakweli,,,,sinta fanya yako mama haahahhahahah

    ReplyDelete