asas

asas

sintah

sintah

OUT OF TOPIC DAY

Dear lovieees 

mambo yanazidi kuwa mambo katika ulimwengu huu, kwani watu wapo busy hatarii katika kusaka mapesa, lakini wakati wapo busy,  katika maisha ya mwanaaadamu kuna vitimbwi vya hapa na pale , hebu leo tujaadili mikasa inayotukuta katika maisha kwa mfano mambo yapi ambayo ni makuu ukiyakosa kwako unayapata kwa mwengine? umeolewa una misukosuko katika ndoa? unahitaji mchumba lakini uaomba na humpati huyo bwana?  umefanyiwa mikasa mingi sana na mumeo na sasa umesema basii lakini watoto ndio unawahurumia? mumeo hakutoshelezi unaamua kuchepuka?  hivi unafikiri kama hutoshelezwi nyumbani mchepuko ndio deal? kwanini usimface mwanandani wako na kumwambia fanya hivi fanya vile?


hebu tukutane katika OOTD na tuongee zaidi

33 comments:

 1. Mi tatzo lang skuiz nna feelings zaid kwa waschana kuliko wavlana yan wanaume cwapend wala cna hamna nao kabsa cjui nmekuaje ata boyfrnd ckuiz cmpend kabsa ila nkiona mschana mrembo nachanganyikiwa kabsa plz mcnchambe ata mi cpend hii hali cjui ni pepo nkaombewe au ni nin

  ReplyDelete
  Replies
  1. KAOMBEWE MAMA HILO NI PEPO HASWAAAAAAAAAAAAA,

   Delete
  2. Inaonekana wewe unapenda kuangalia mambo ya kusagana au kusikiliza story za hivyo!! acha na jaribu kufikiria mambo mengine na mpende bwana wako basi utasahau hayo yote. na zaidi nenda kaombe na kuombewa pepo ana njia nyingi za kumuingia mtu nazo ni:- kwa mawazo, kwa kunena na kwa kutenda! "mpinge shetani nae atakukimbia" (according to the Holly Bible).

   Delete
 2. Mada ni nyingi leo siju nichangie ipi jamani mieee

  ReplyDelete
 3. ivi inakuwaje ukichek cm ya mumeo ukakuta anachart na mwanamke fulani mambo yavkutatanisha... then aftr days unakuta zile chattings zimefutwa zooote.. auvlabda unakuta zingine chache. wakati kwa wengine huwa hafuti conversation yeyote.. inakuwaje akichart tuu na hyo mtu ndio anafuta.. ananipenda sana ananitunza mm na family to the maximum.. nimefuatilia sana kuhusu hyo dada anaechart nae sina ushahidi direct tho kunakuwa na vituvitu sivielewi.. sasa naombeni ushauri.. nimkslishe chini nimuulize ama nisubiri mpaka siku nakuta sms ya mfano.. thank you my.. it was sooo sweet??? sory for gazzet ila naombeni ushauri..

  ReplyDelete
  Replies
  1. uuuuwiiiiiiiiiii me nikiona mgs ya utata kwenye cm ya hubby, nalipuka hapo hapo......sitaki kusubiri isee, wewe muulize haraka sanaaa tena nuna siku nzima na umwambie afute hiyo no yaan mawasiliano na huyo dada yaishe kuanzia leo, yaan usimpe shetani nafasi kwa kuaa kimya my dear, hawa wanaume ukiwaendekeza utakuwa unalilia moyoni kila siku. sasa cha nini kuumia kimya kimya wakati mwenzio ana raha, yaan muulize leo hihii akirudi tu kutoka kazin akukute umenuna unataka kupasuka akikuuliza shida nini unampa vidonge vyake hapo hapo!!!!!! yaani hii michepuko sijui ilitokea wapi kaz kuvuruga ndoa za watu pumbavu zenu!!!!

   Delete
  2. acha ugulu gulu wa kuchunguza mambo kupita kawaida, kuku ukimchunguza sana hutamla!

   Delete
  3. muite mueleza ukweli ukiyafuga mwishoe watakomaa na kuona mazoea michepuko inasumbua sana yaani nisingemkawiza hata kidogo

   Delete
  4. Magonjwa ni mengi abiria chunga tena kaza haswaaa zigo lako, anaye ogopa kuchunguza basi ujue naye ana lake analo ficha.

   Delete
 4. Ushauri tulio ajiriwa; wazungu wanasema DONT LOVE YOUR COMPANY, LOVE YOUR JOB. BECAUSE YOU DONT KNOW WHEN THE COMPANY WILL STOP LOVING YOU. ninauhakika Dina angelijua hili angetafuta kazi mahali pengine na kuacha kulia na clouds sababu kipaji anacho na redio ziko nyingi. Pia tukumbuke karma works! wakati Jide akigombana na ruge kina dina waliubeba ugomvi ukawa wao. mpaka dina kumchunia jide! leo kibao kimegeuka jama! na wewe zama kama yasemwayo ni kweli, karma is on its way!

  ReplyDelete
  Replies
  1. ni kweli mdau sasa dinna kinachomuweka apo ni nini si awache jamani b4 its 2 late! akaa kwani hana washauri asonge mbele kabla hajachuja mwayego kangangana utasema ana hisaa! MABWAKUU

   Delete
  2. uuwiiiiiiiiiiii dina kaachishwa kaz clouds?????????????? yeleuwiiii masawe!!!! chanzo ni nini hebu mdau funguka vzr mama!!!! pole yake mama zion

   Delete
 5. Jaman mie mwanaume hanitaki kisa sina kipato yani naumia kwani mtoaji ni manani mnajua jinsi kazi zilivyo ngumu kupata nifanyeje ninalia kama mwehu mwenzenu dunia rangile

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sio lazima uwe naye huyo mwanaume ila ni lazima utafute kipato chako, huyu mwanaume wa ganda la ndizi nini, mtu kama hakupendi ni hakupendi na kama ana kupenda anakupenda tu hata ukiwa huna kazi atakusaidia kukutafutia njia ya kupata. uutulize moyo wako utampata mwingine ambaye hatakudharau kwa lolote. mianaume ya hivyo iko mingi, mimi nilishawahi kuwa na mwanaume mmoja hivyo hivyo hata ki majukumu wakati natafuta kazi alinifanyia vituko mno, nilipopata kazi yangu nzuri mshahara 7 figures YES hata mimi sikutegemea akaanza kujirudisha ooh tuzae wakati nimeshapata siri yake kwamba alikuwa na mwanamke mwingine mwalimu kamzalisha.
   Usiufuge huo upumbavu wa kufurahisha mwanaume na kubembeleza mapenzi ya mashaka.

   Delete
  2. njoo nikuingize folever living utakuwa na kipato mama huyo mwanaume atakutafuta tu

   Delete
  3. Sasa wewe ndugu yangu, huyo nae ni mwanaume wa kulilia jamani? mwanaume anaetaka wewe uwe na kipato then yeye kazi yake nini? au ndo wale wa kutaka kulelewa? alafu na wewe unamlilia kabisaa? plz give urself a break, yani huyo hafai hafai hafai, wala huna sababu ya kulia, tulia subiri upate mwanaume aliekamilika mwenye kujua majukumu yake kama mwanaume

   Delete
 6. Oot yangu ,ni tabia za wanaume wa bongo,kuitana cousin na demu anaemtia kishkaji! Afu ana kuintroduce kwake eti huyu cousin wangu kumbe wanatiana! Kama mnatiana tusitambulishane tafadhali,mwenzenu nimemtimua juzi bila kupiga mswaki wala kuoga,kaondoka na kikwapa chake na tisheti mkononi;baada ya kukuta chats za huyo "cousin",afu kaseviwa baby! Msiwe na tabia hizo jamani

  ReplyDelete
 7. tatizo langu natongozwa na wanaume wa watu tu na ikatokea nimetongozwa na wa tofaut bas atakuwa na gf wake permanent...nisaidien nifanyaje yaan nawaza had nashindwa kuelewa why.

  ReplyDelete
  Replies
  1. hatupati tunachokiomba, tunapata tunachokitegemea...(WE DON'T GET WHAT WE ASK FOR, BUT WHAT WE EXPECT).pychology wise, on the sub consious level of your mind, unaattrack unavailable men kwa kuwa unaexpect those unavailable men. sasa ni juu yako kuchimba uko nyuma maishani mwako ni nani alisababisha wewe kutegemea (kuattract these men), labda hukuwa na father figure? were you rejected? ni lazima urudi nyuma, ukumbuke, usamehe and then you can begin to heal. you can't heal that which you can not acknowedge....nakutakia kila la kheri...

   Delete
 8. sintah achia coments basi

  ReplyDelete
 9. Ww nyau unaetongozwa tu nawanaume za watu katika maisha yako ukishajiekea nuksi ya kutembea na wanaume za watu katu hutakaa upate wa peke yako wanaume za watu ni nuksi ukitembee nao. Ukishaanza tu kutembea na mume wa mtu hutakaa upate wa peke yako watakuwa wanakufata hao hao wanaume za watu matokeo yake utaishia kutumika na hutampata wa kwako na umri utakuwa unasonga. Kwa ushauri tu kaa uvunge hiyo nguvu ya wanaume za watu na utubu.

  ReplyDelete
 10. Hahhahahahhaha nicheke mimi kuna bidada mmoja anajitapa na kujiona yeye qun kwa kutembea na mume wa mwenzake. My dia huwa unanichekesha sana na huwa na kuonea huruma maana unapoteza muda wako kwa huyo bwana sana unataka mwenzako aachwe uolewe ww.hahahhahah unachekesha kweli huyo bwana anakudanganya my dia umri wako unaenda atakuja kukuacha hushidwe kwa kukimbilia. Umemganda mume wa mwezako na kujitapa nae.kama anakupenda kweli mbona hamuachi mkewe akakuoa ww.mwanaume anakudanganya huyo. Fungua macho umri wako unaenda tafuta wa peke yako ujenge familia yako. Unamuangaikia mke wake kila siku kwa waganga aachwe unavijua vijiji vyote na mbona haachwi sasa.pumzika sasa tafuta wa kwako shoga.

  ReplyDelete
 11. Naombeni file la amina manyota maana namtaka sana huyu bibi ..nasikia anapenda vijana sana na anahonga mbaya.

  ReplyDelete
 12. Ebu wanawake tuwe na akili walau ata ya maisha sasa umekuta cjui mumeo au bf wako cjui anachat na mwanamke mwingine ukimwambia futa msg cjui na no inasaidia nini kama ni malaya ni malaya tu mi nashanga et ad karne i wanawake badala ya kutafuta pesa unahangaika kutafuta mumeo anatoka na nani ili ikuaaidie nini wanawake tufanye kazi ayo tunayoyatafuta kwenye cm za waune zetu yana hasara kubwa chapa kazi ye kama ni mzinzi huwezi mbadilisha unapochapa kazi atajishitukia mwenyewe

  ReplyDelete
  Replies
  1. We kweli kubwa jinga kwahiyo akitafuta pesa hilo GONJWA LA UKIMWI hatapata siyo? Nilitegemea ungeshauri asepe fasta, mburula wamezidi humu sasa.

   Delete
 13. Kuna vitu uwa vinachekesha ivi dina marios alikuwa na hisa na iyo clouz unajua tunabweteka kupitiliza i ni fundisho kwa wengine umeajiriwa jua kabla yako alikuwepo mtu kama wewe na ata wewe utapita kuna watu wanajisahau kwenye izi kazi mmojawapo ni uyu dina alijiona clouz kafika na ndio maana kawekwa pendin anasema cjui kapata vidonda vya tumbo unaanzaje kupata vidonda vya tumbo kwenye mali ya mtu mwingine alafu unajiita super woman matokeo yake unaanza kumpka zama matope sasa kama nawe hukuwa kidudu mtu umejuaje ayo ya kupeleka maneno kwa bos unakumbuka kipindi cha lady jdee ukiona mwenzio ananyolewa tia maji muache zama wa watu akuonee wivu kwa lipi humfikii ata robo wewe ndio mnafiki uza mafuta yako achana na zama alafu watoto yatima mnajua kuwaumiza wenzenu kupitia uo uyatima uyo zama hana baba wala mama ndio maana anakomaa na maisha ktk maisha muogope mtu anaeweka mbele mimi cjui yatima

  ReplyDelete
 14. Earline kanzar mke wa ringia martin mnaishi marangu moshi mna mtoto anaitwa michelle, mbona wewe earline bado unamcheat mumeo na ex wa sopa? facebook unatumia Erline Wa Ringia narudi na ubuyu kamili

  ReplyDelete
  Replies
  1. acha umbea nyau we kwani anatumia k yako kumcheat mumewe stupid. tumechoka na pumba zako mfyuuuu

   Delete
 15. OOT: Eve kyara/everline kyara wa legho/rombo/moshi/kwimba mbona bado unamcheat mchumba wako Beda Daniel?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndio makubaliano yetu kwani ulitaka nimlale baba yako?

   Delete
 16. Ww msenge acha umaku unazani kumuharibia hapa mwezako na mume wake ndo nini umekazani kumsema sema huku anatembena sijui na nani huko moshi. Ww si bure lazima unamtaka mume wake hebu tutolee umbea huko.alafu inaonekana unawashwa..nyoòooo

  ReplyDelete
 17. Yaani Wewe anon 3.20am ina 3:22am ni mjinha Wa kutupwa umekazania kuwatanzaza sijui wanacheat waume Zhao we weinakusu nini?tena ulivyomjinga ni MTU mmoja huyo huyo una roho mbaya kama unaona wanatabia mbaya si wafuate uwakanye .

  ReplyDelete
  Replies
  1. Changu lenye ukimwi hilo limekataliwa sasa linatafuta pa kufiamo, hawa achani ng'ooo.

   Delete