asas

asas

sintah

sintah

SAY SOMETHINGYES or NAH? Dada ameshikwa akashikana??? wema na wewe toa le tamkooooz

we do the seeking and you do the judging

61 comments:

 1. Unauliza YES or NO kwani inakuhusu nini? Mbona haujatuuliza yes or no kwa hao wanaume zako uliozaa nao? Mxxxuuuuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Naombeni ushauri wenu......nipo kwenye wakati mgumu wa maisha yangu as far as ni kitu nataka nikitengeneze yani namuomba sana Mungu niwe okay moyoni na amani inirudie lakini nashindwa......mimi ni mzaliwa wa kwanza nina wadogo zangu wanne.mama yetu amepambana sana na sisi mpaka kufika hapa.ni MAMA ndo alikuwa kama baba na mama kwa wakati mmoja.aliteseka sana kutulea mnooo yan baba yetu alkuwa mtu wa mambo mengi na alkuwa na mwanamke wa nje mapema sana as imagine mimi na mdogo wangu wa kambo tumepishana mwaka mmoja tuu.sasa vimeenda huko yakamshinda na awali ni awali akarudigi kuishi na sisi na tulkuwa hatuna amani kwani baba ni kugombana na mama ni kumpiga mama kumtukana matusi makubwa makubwa yani kila aina ya udhalilishaji.!Mungu akatusaidia nkamaliza chuo mimi nikapata kazi nzuur tuu na mshahara mzur namshkur Mungu na mdogo wang vilevile.sasa tunasaidia nyumbani na kuwasaidia wadogo zetu.TATIZO SASA LINAPOKUJA baba amekuwa mzigo kwetu ni kulewa tuuu kutukana hapao nyumban mpaka kero anaomba omba pesa balaaa ukimpa yeye ni pombe mimi kazi nmepata nje ya mkoa niliozaliwa so anakuwa ananipigia cm ni malalmishi me simjali namjali zaidi mama sasa wadau unamjali vipi mtu ambaye ukimtumia pesa yeye ni kwenda kulewa???naombeni msaada wenu nmekuwa na fundo moyoni na niseme tu ukweli simpendi baba yangu kabisa.! Nilienda nyumbani majuzi yani namuangalia vibaya kwa chuki ya waziwazi.najua na naelewa yule ndie aliyenizaaa na BIBLIA INASEMA WAHESHIMU BABA NA MAMA YAKO SIKU ZAKO ZIPATE KUWA NYINGI HAPA DUNIANI sasa namuheshimuje mtu aliyetutesa vile???,je nakosea kutokumpa pesa ukizingatoa ukimpa anaenda kulewa??msaada wenu jamani wa kiroho na kikila kitu niweze tengeneza amani na baba yang.nawapenda hopefull mtanisaidia

   Delete
  2. NDUGU USIMCHUKIE BABA YAKO BURE! NDIO ESHAKUA HIVYO TENA! NA WA MAMA SAA ZINGINE WANAJENGA CHUKI KATI YA WATOTO NA BABA ZAO!! KWA KUKUSAIDIA MSAIDIE BABA YAKO KAMA UNAVYOMSAIDIA MAMA YAKO NA PIA MPENDE KWANI NI BABA YAKO. NA UKUMBUKE TABIA HUWA ZINARITHISHA NA MWENYE KURITHISHA NI SHETANI!! SASA USIJE SHANGAA HIYO TABIA INARUDI KWAKO WEWE AU MTOTO WAKO NAE AKAJA KUKUCHUKIA BURE, KISA ULIMCHUKIA BABA YAKO!! CHA MSINGI MUWEKE BABA YAKO KWENYE SARA ZAKO NA HATA SHIRIKISHA WATU WA DINI YAKO, UTASHANGAA BABA YAKO ANABADILIKA NA KUWA MTU MWEMA, NA WEWE ROHO YA CHUKI KWA MZEE WAKO IKAKUTOKA... ZINGATIA SANA HIYO AMRI KWENYE MAANDISHI YAKO, MAANA WAWEZA FUPISHA UMRI WAKO BURE KWA CHUKI DHIDI YA MZEE WAKO.

   Delete
  3. Sali sana,msamehe baba,usimpe hela kwa kuwa analewea,mnunulie chakula,mhudumie kama ataugua.
   Kumbuka dunia tunapita na vitu vyote tutaviacha.

   Delete
  4. amani na babako hutoipata adi kwa ncha ya upanga..

   Delete
  5. ahsanteni wadau wawili hapo juu........MUNGU awabariki sana ntazingatia.na ww mdau mwingine kwa ncha ya upanga unaamaanisha nini???

   Delete
  6. muheshimu na umpende sana na katita biblia kitabu cha mwisho kabisa katika agano la kale ile aya ya mwisho imesisitiza kumpenda baba wa duniani ili uje kumuona baba wa mbinguni. wewe muweke tu kwenye maombi na umuombee yuko mungu mtenda miujiza anayejibu kwa moto. mungu akusaidie ni kipindi kigumu lakini utayaweza yote kwake yeye akutiaye nguvu.

   Delete
 2. Omo kiboko ya haterzJuly 28, 2015 at 10:02 PM

  Atoe tamko LA nini wakati yako umeyakaliaaaaa ya wenzio kuyafukuaaaaa haloooooo iso kama kiporo cha ndizi mbivu mxiiieewww.......fanyaaaa yako andunje

  ReplyDelete
 3. Hatuna la kusema huyo Ni kawaida bila mboo anaugua kabisaaa,bora atiwe Tu,,,mbona atanyooka tu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kwani we hapo huishi bila mboo,hiyo k yakwenu kila cku kumsema mwemnzenu fyuuuuuu mwacheni mtoto wa watu firigisi nyie,na wewe sinta ushuzi una kazi ya kutumwa na huyo zee lako tu utakufa maskini sana wewe. pls usiibanie hii

   Delete
 4. Mbunge wema spetu...yaliwachwea utamu

  ReplyDelete
 5. Mwache motto Sintaaaaaah hatari go Wema goooooooooo

  ReplyDelete
 6. Duuh sintah wee kiboko yani kwenye story za wema zote week hiyi umeona iyo tuu? Mapokezi umeona nikitu kizuri kwake unajifanya hujaona hivi kama ww ni blogger usie na roho ya korosho why usipost vitu vizuri na vibaya? Unapo ona wema kasifiwa so kafanya vizuri kamwe umpost maana unajua comment zitakua za kumsifu nakumpa hongera iyo picha imesaambaa jana tayari umesha ipost mapokezi yalikua juzi kama hujaona vile, sintah watu kama nyie ndio mnamuongezeya wema barka na nyota yake kuzidi kungaaa wee dada sijui wema alikufanya nini kwakeeli duuu chuki za zahri mapokezi yangekua niya zari uwiii sipati picha icho kichwa cha habari ungeweka. Utakufa maskin kwa roho mbaya mwenzio utazidi kumuongezeya rizki.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Umenena mdau hapo juu... Huyu andunje anamuonea wivu sana wema. Anapenda kuona wema anatukanwa au anarudi nyuma. Na kweli sintah pole yako utazidi kumuona mwenzio yuko juu we upo na kiblog chako uchwara. Na kiduka chako cha mashera. Ndoa yenyeww huna. Ulivo na gundu hata siku moja sijawawi kukuona kwa tangazo lolote lile.

   Delete
  2. kweli kabisaa,mapokeni aliyopokelewa wema angekuwa amepokelewa zari ungeona hapa angepost tena kwa headlines za kishari mfano "level baby,mtanyooka sana,mapokezi kaa obama,sijui wifi wa taifa apokelewa,sijui mke wa dangote maneneo kedekede" ila ni wema hajaandika ameona picha moja tuu katika picha zote ndio unakuja kutuwekea hapa,mwanamke utakufa kwa roho yako ya korosho ndio maana hauna mafanikio na nyota yako imedolola,na mungu atazidi kumbariki na wewe utabakia ivyoivyo,when jesus say yes nobody can say no hata umponde vipi wema mungu akiamua ameamua tuu bora uachie hiyo roho yako mbaya kwa wema labda mungu nawewe atakuona akupatie hata robo ya unavyovitamani,hata ukibania hii comment najua umeshaisoma kimyakimya na tayari imeshakuingia moyoni na akilini,bye

   Delete
  3. Yaani mdau huyu Sinta ni mtambo wa gongo tena iliyochacha maana ana roho ya sumu hata sijui Wema alichomkosea kikubwa hivyo asichoweza kumsamehe nini maana ana roho ya sumu inayomuua yeye mwenyewe ndani kwa ndani. Hawezi hata siku moja kupost jambo zuri ambalo anajua Wema atasifiwa humu ndani ila kazi yake kuzunguka huko IG kwenye ac za watu apate kitu kibaya kinachomhusu Wema aleta kwa bloga yake. Mapokezi ya Wema hayajaona IG yeye alichookina kina deal kwenye blog yake ni Luis Munana mnawaambia wenzenu watanyooka kumbe mnajinyoosha wenyewe kutwa kumfuatilia mtoto wa watu anafanya nini huko IG. Mmekwenda kwenye show Moshi kumbe kijicho kwenye IG kuangalia Wema kapita au bado maana roho ilkuwa inawadunda akipita itakuwaje acheni roho za sumu. Wema hajawahi hata siku moja kupost mabaya kwa huyo muimba taarabu wenu mwanaume mzima kutwa kugombana na mademu ndiyo maana King Lawrance alimwita shoga poleni endeleeni na maisha yenu ya maigizo mwacheni Wema na uchizi wake wala hana time na mtu.

   Delete
 7. Hii blog ya Zari, Wema inahuu! Mwache dada wa watu

  ReplyDelete
 8. kwani kupiga picha kutatizo so kila apigaye picha na wema ni mwanume wake by the way adunje mbona mapokezi hujaweka ishia zako

  ReplyDelete
 9. Sisi wengine wamikoani hatuelewi sana habari za mujini huyo dada ni wema nadhani, je huyo kaka ni nani? tupeni habari kamili mnaojua kinachoendelea

  ReplyDelete
  Replies
  1. huyo kaka ni mkongo aliimba wimbo unaitwa Azalaki awa..utafute youtube utamuona..

   Delete
  2. Ok! asante mdau

   Delete
 10. Weka picha zako ndio utuulize leave madam alone

  ReplyDelete
 11. sinta mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  ReplyDelete
 12. Erline Wa ringia unaye fanya kazi E&M consultant moshi umeolewa Na una mtoto anaitwa Michelle mbona bado unamsaliti mumeo kwa kijana wa malaya wa sopa?

  ReplyDelete
 13. Eve kyara wa legho-moshi-arusha mbona unamsaliti beda? Kwa Malaya mmoja anaitwa deo

  ReplyDelete
 14. uyu andtafuta kiki wameshamchoka, hivi ukiwa na mwanaume lazima upige picha uweke instra jamani ngachoka, wema aka nyumba ya wageni au jamvi, vepee

  ReplyDelete
 15. Alafu karudi kaona hana wa kumuongelea ubunge ameshanyooshwa kanatafuta kiki kameanza kupost mabwana hahah aunt ahsante kwa kumkimbia uyu bibi cha wote

  ReplyDelete
 16. Mwambie Diamond na Zari Rula zimevunjika, pasi ya umeme imeungua na mkaa umelowa hanyoosheki mtu hapa kudadadeki.....

  ReplyDelete
 17. Yani unaandika kinafki sana wewe khaaaaaa.,,. na kweli kwenye habari za le madame umeona hyo tuuuuu mxiewwww

  ReplyDelete
 18. Mi nahisi wema ana mdudu wakati wote anamyofuanyofua

  ReplyDelete
 19. DU wema wema utatembea mpk na machizi sasa huwezi sema no jamani

  ReplyDelete
  Replies
  1. Aseme No ili iweje mlete na baba yako pia atatembea naye

   Delete
 20. Hivi nani amebaki kumvua wema chupi jamani werawera mama cha wote huyooooooooo

  ReplyDelete
 21. Mnachoshangaa nini haswa juu ya wema, km aliweza kutembea na mume wa dada yake sembuse hawoooooooooooo atabadili sana

  ReplyDelete
  Replies
  1. Alivyotembea na mume wa dada yake ulikuwepo mbona mnapenda kufuatilia maisha ya watu kwa kusikia tu umbea mwanamke acha nyege utanyegezwa lol huna hata haya kila sifa mbaya mnapa mtoto wa watu mbona hamumuoni akibadilika anaendelea na maisha yake tu lakini hamchoki mmebaki kusema alitembea na baba yake maninaa wewe

   Delete
 22. Wanaume ndio wanchangia kumuharibu wema kizazi, mara huyu mara yule hili nalo tulitizame kwa undani

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wewe ndiyo fala kweli umeishia darasa la ngapi? Hiyo science umesomea wapi ukibadilisha wanaume unashindwa kuzaa wewe umetembea na wangapi umnashadadia ya wenzenu yenu mmeyaficha uvunguni kwa vile hamjulikani

   Delete
 23. malaya tu huyo, atawadanganya hao wasiomjua lakini kwawanaojua hapati kitu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wewe usiye malala una nini na ukimshamjua unamzuia kufanya umalaya maisha yamekupiga umekaa na kisimu chako cha mchina kutukana watu kwenda zako mazafanta

   Delete
 24. Tambara la deki huyo............. au dastbin la kutupia taka

  ReplyDelete
 25. Mi namshauri tu mdogo wangu km hana subira ajaribu kuvaa chupi ya chuma tena yenye gufuli madhubutu

  ReplyDelete
 26. Watu wameshtuka wangempa ubunge angewamaliza wote bungeni shida matatizo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Angeanza na baba yako kwanza maana hajatulia

   Delete
 27. Chezea toto la Tandale, hehe he huwa hajui kutongoza hata siku moja ila anatongozwa yeye na wanawake, muulize huyo malaya wenu wema alimpataje Diamond, au muuulize Zari nini kilimachanganya alipokutana na Domo ndani ya ndege hii namba nyingine bwana na pia mjue kutofautisha wejemeni

  ReplyDelete
 28. kwikwiiiii kujeni mumuone malaya wa mjini huku

  ReplyDelete
 29. Bora ubunge kashindwa aisee hahjhhahaha maaana sipatii picha hayo mapokezi yakeee,,,,mapokezi yenyewe watu wachachee hammuoni Mondi anavyopokelewaga hata kikwete hajawahiiiiii,wema cha wotee upoo maana bungeni ungegawia wotee aiseee

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sasa akigawia wote si ya kwake au ya kwako roho mbaya imekujaa mpk unanuka mdomo ishia huko

   Delete
 30. Hv waliompokea wema kinanani chamaana kipi waiii team wema bwana mlishindwa kwenda kumpatafu singida mjaze mabasi na mabasi et mmeendakumpokea wajingasana nyie,by the way hongearayake kwakuanza Kiki mpya za mabwana zitamsogeza kwenye cv,ooh nimeolewa sasa huyo mume ndio kawa huyu mtoto mzushi na muongo,aendelee kuongoza team wema hko lakini Sio singida singida hatutaki huu ufyoroto tumewarudishia dar huko waendelee kumpiga danadana kwa matumizi yao ya gonga sepa.ndionishasema sasa ukikerwa pigana

  ReplyDelete
  Replies
  1. Inakuhusu nini mjinga wewe unayeshadadia mambo yasiyokuhusu, Mwangalie kwanza jasho la kwapa linakutoka badala ya kutafuta dawa unakaa kutukana watu wewe nani mpk uwapangie watu maisha fala mkubwa wewe eti mtambo, mtambo wa gongo au wa kuzalisha mavi kapigane na mama yako aliyeshindwa kukuonyesha baba wa kukufunza adabu shwain ww

   Delete
  2. kiboko ya mtamboJuly 30, 2015 at 3:27 AM

   Huyu mtambo anajifanyaga anajua kila kitu,nikipata nafasi nitakuchambuaje.kiherehere tu.

   Delete
  3. Chambua unamtisha nani kiherehere unachowewe chamba nkuchambe haogopwi mtu,kama imekusuuza Jamba mara 3000then uhare,mtambo wa kutembea na baba ako hadi mama ako apate stroke mnalingine wasambinugwa?nawashukuru watu wangu wa singida.

   Delete
  4. Chambua unamtisha nani kiherehere unachowewe chamba nkuchambe haogopwi mtu,kama imekusuuza Jamba mara 3000then uhare,mtambo wa kutembea na baba ako hadi mama ako apate stroke mnalingine wasambinugwa?nawashukuru watu wangu wa singida.

   Delete
  5. mtambo umezalisha mavi mpk akili imehamia kwenye matako poyeeeee

   Delete
  6. Mnamsema boss wenu hapojuu,sindio anafokonyolewa nyuma mpaka katepeta,kamegeka mlenda simlenda matusimengine Mnamsema mtu wenu bilakujua shaurizenu muombeeni dua Hata aolewe mtimawake upoe.

   Delete
 31. sintah naona Leo umepigwa nakoz za komwe adi unaona nyota za mashariki na magharibi..kwikwikwi

  ReplyDelete
 32. huyu kaka Mbona kakaa kama wale waimbaji wa Azalaki awa!!old school dizain hihihi

  ReplyDelete
 33. HII PICHA MBONA KAMA YA KUTENGENEZA (PHOTOSHOP) SIJUI LAKINI..........

  ReplyDelete
 34. kila anachofanya wema nikwafaida yaked kama nihasara ni yake huwa hawaombi kuma zenu wala za mama zenu anatumia bkuma ysake na mumuache

  ReplyDelete
 35. yan watu jamani looh midomo mirefu kama chuchunge, kila picha akipiga Wema na mtu basi tayari, huyo mnaemsema Malaya hao wanaume wake tunaowajua hata 10 tu hawafiki wengine wetu hapa mna list kama sijui kitu gani ni vile tu hatuwajui. Wanawake acheni Wivu.jelous ya nini? kina J lo kina Kim wamekuwa na wanaume wangapi?kwa hyo kama mtu mmeshindana basi ung'anganie tu mwisho unaambulia matatizo. Kila mtu ana maisha yake sijui kwann mnaumia?yan unamkuta mtu anamsema Wema utafikiri lbd sijui walishare ukimuuliza ni nn hasa cha kumsema vibaya hana jibu.mara ooh Malaya! unamjua hapana, je ni rafiki yako hapana ss umejuaje?oooh naskia watu wanasema.hahhaha! jamani si uchizi huo unamsema mtu amabe hata hamwendani.TATIZO NYOTAAAAAAA

  ReplyDelete
 36. Mdau wa 2:23 hyu sinta ni Wivu tu unmsumbua jamani. hivi alishawahi jiuliza tangu kaanza msakama Wema alishapata nini?hana chochote labda ndo hilo la kuzalishwa na mwanaume wa mtu na hana cha maana chochote alichoambulia! yani hachoki kutwa kuchwa MIND UR OWN BUSINESS BITCH...achana na Wema sio type yako! wapo kumchafua kila siku lakini ndo kama wanaizidisha nyota kung'aa.sina team but huwa sioendi san hyu Demu anavyopenda mfatilia hyu mdada wa Watu.Uchi ni wake jamani. Wewe kiboko yako Nature tu.hahahhahahah alikunyoosha enzi zile

  ReplyDelete
 37. sintah ndo maana lulu anatoka na mume wako hahahahaha halooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

  ReplyDelete