asas

asas

sintah

sintah

SINGIDA KUMEKUCHAAAAA

mama ni mama lazima awepo kukupa tafu


Ikiwa zimebaki siku chache wana Singida mpo tayari?? hasa pale Ikungi, ze madam is there mambo ni mazuri kabisa mwaka huu Bunge litachukua sura mpya kabisa, Inshallah haya sasa wana ikungi haswa wale wa CCM mchagueni Wema Sepetu kuwa mbunge wenu wa viti maalum, CCM oyeeeee

18 comments:

 1. umeanza kunyoka eh?na ngoja wema apate ubunge ww na nyau wenzio mtaona kwanza hana time na ww

  ReplyDelete
  Replies
  1. shost unataka nini haswa? akimsapoti shida asipomsapoti shida kanye mbele huko

   Delete
 2. tusubiri tuone yetu macho na masikio alafu kaishagombana na aunt kama kawaida yake uyu madam wenu ushuzi

  ReplyDelete
 3. WEMA FOR UBUNGE HAPANA AISE KWANZA CV YAKE CHAFU KWA YY KUWA KIONGOZI

  ReplyDelete
 4. Walewatukanaji sasa ndio mkamsapot boss wenu huko maana mnaumoja,mliona team lowaa walimvyomsapot lowaa nawakonae sambamba,sasa nyie endelezeni chuki na matusi atadoda huyo matusiyenu yatamdondosha,maana mungu hupokea dua nasimatusi mpo hapo team matusi,team chuki,all the best boss wao hao

  ReplyDelete
 5. UBUNGE WA INSTA SAWA ATAPITA ILA UBUNGE WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LABDA KWENY NJOZ!!!! YAN ASAHAU

  ReplyDelete
 6. jamani mbona mmeanza kumuombea mabaya mwenzenu? Wema mama wasikukatishe tama Mungu yupo pamoja na wewe.

  ReplyDelete
 7. Malaya anagombea

  ReplyDelete
  Replies
  1. Usimhukumu wakati wewe yako si masafi pia!

   Delete
 8. anajua hata mtatizo ya watu wa Ikugi huyo!au ubunge fashen siku hizi!!

  ReplyDelete
 9. Malaya ni mama yako na ukoo wako wooote. majnun

  ReplyDelete
 10. Hivi jamani mnaosema CV ya wema chafu zenu zikoje ..toa kwanza banzi ndani ya Jicho lako ndo uangalie Bolti ndani ya mwenzio ..mwenye kutoa hukumu ni mungu tu....Hivi hizo tabia za wabunge mjengo hamzioni na mbona hamuwasemi mnamsema wema tuu aaaaagh kwanini malaya wanajaa Dodoma Kipindi cha Bunge?????????

  ReplyDelete
 11. Nashindwa kuelewa kitu kimoja inakuwaje maugomvi ya team yanapelekwa kwa mastaa? Kama watu wameamua kutengeneza liteam someone does it mean wanayoyasema ndiyo msimamo wa staa pia? Tunawapa mastaa wetu ubaya kwa maneno yanayosemwa na hayo mateam yanayoleta uchonganishi! Yaani hizi team zinaboa sana something has to be done watu wamekuwa na chuki ile mbaya nchi sijui inaelekea wapi maana ni mateam katika kila sekta, inatisha kwakweli

  ReplyDelete
 12. big no. ataonyesha matako bungeni

  ReplyDelete
 13. Malaya kashindwaa hhhhhahaha

  ReplyDelete
 14. WIVU UKIZIDI HAKUNA MUNGU AMBALO ATAKUFUNGULIA.HUWEZI MCHUKIA MTU AMBAE HAJAWAHI KUKUKOSEA.HAPO UMEPOST UNAFKI TU HUNA LOLOTE.

  ReplyDelete
 15. CV yake chafu hao wenye cv za rushwa nao sio chafu?haya huo uchafu unaujua au ndo unasoma magazeti.poleni sana. hata kama kashindwa ameonyesha ukomovi kajaribu kwani form hamjui zilipokuwa zinatolewa nyie si wasafi mbona hamkwenda?halafu watu bwana team zinatukanana huko hasira zinamwishia Wema kwn yy ndo kawatuma?

  ReplyDelete