asas

asas

sintah

sintah

TEAM MTELEZOOOO

Team tunataka kikii katika mitandao


Wawili wakigombana chukua jembe ukalime ila kwa Nuhu namuonea huruma mie, ganda la ndizi shurti anatelezaaaa tu lakini utamuona baada ya week yupo naye, aliyesema mapenzi ni upofu hakukosea of-course kwa wale vipofu maana mtu na akili yako unajiengua mapema, hukuzaliwa na mtu mmekutana ukumbwani kwanini akupe mateso

hivi kwani Nuh hawezi kujishughulisha na kazi yeyote  kama Music haulipi,maana atateleza mpaka lini? 

mapenzi  ya Instagram mnapendana `huko na mnaachania hukuhuko maana ulimwengu mzima unajua hawa wapo pamoja na hawa hawapo pamoja.....

11 comments:

 1. awajaachana hao bwana wanatafta kiki tuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. SINTA NILIANDIKA COMMENTS KWA NURUTHELIGHT "HII HAIHAMPATA CHA UMBEA SINTAH BLOG "
   NAKUKUBALI WE KUBWA LA WANAFIKI MJINI
   UME SOUND KAA UNAMTAKA NUHU AKUDONYEEE
   MAANA UMESISITIZA
   KUNA KUMxxx ZINGINE ZINAONGEA ZILIBUBWAAA ULIZA
   MWANAUME ANAENDA ANATUDI
   TABORAAAA ILEE
   USIZANI ZA KIPAREST UKIZALIWA UMEZALIWA WANAKUMBUKA KUKUPUNGUZA KIHA@@@

   Delete
 2. Wadauz wakarez huyu mtu anayeitwa mpoki mwambulukutu nipeni file lake dooh maana mhhhh mjini hapa ni sheedah!!! Shilole na nuh tushawazoea wote akili sifuriii hawana jipya! ! Pole sana nuh songa mbele utapata wa saizi yako!

  ReplyDelete
  Replies
  1. wewe mafaili ya wanaume ya nini si uende makitaba

   Delete
  2. Haya kuhusu wewe pita kimya kimya na uache shobo mwayaaa huyo mpoki aliwahi kugombania ubunge baba yake alikuwa balozi ila tabia zake sizijui najua tu family yao iko poa

   Delete
 3. dear sintah sijapata ushauri wa swala langu nililolileta hapa kwako la mimi kutokuelewana na baba yangu.............nilipost kwenye ile post yako ya kuwish IDDI NJEMA KWA WADAU.bhac naomba ufanye kama topic so as niweze pata ushauri.shukrani sana

  ReplyDelete
 4. Awajaachana wanataka kuwaona watu mtasemaje nuhu amuache shilole ata akimkuta anaingiziwa awezi muacha wanatafuta kiki

  ReplyDelete
 5. Shilole na Nuhuh wasaidiwe,waanzie Milembe.

  ReplyDelete
 6. walimwengu sikia kama wewe ni chetu chetu basi utapata chetuchetu mwenzako maana matendo yenu yanaendana na uchetu chetu wenu,HAPA CHACHA PATAMU kama wewe mstaarabu basi utapata mstaarabu tena kwa kumuomba MWENYEZI MUNGU kwa kila hali walimwengu wezangu.Nafsi zinazofanana zitafuatana na kujuana ilo la shishi na nuh naaamini mmeshapata jibu hapo ambalo ni................................

  ReplyDelete
 7. hawajaachana ilikuwa promo ya wimbo wao mpya ganda la ndizi hilooooooooooooo aibuuuuuuuu unaombea njaa wenzako utajiju sinta

  ReplyDelete