asas

asas

sintah

sintah

YAMETIMIA EDWARD LOWASSA AJIUNGA NA CHADEMA

wakionyesha ni wanachama wa halali wa chadema

mama Reginal naye akipokea kadi


Haaaaa kweli wahenga walisema there is no smoke without fire, leo ndio nimeamini mie nilijua photo shop mara ni Chadema tu maneno yao lakini mwenyewe kwa mdomo wake amesema kuwa kwa sasa yupo Chasema na CCM sio ya mama yake wala baba yake...

Mimi binafsi nimesikitishwa sanaaa kwasababu naamini CCM ndio chama changu kilichonitoa enzi na enzi na sihitaji mabadiliko yeyote kwasasa, ni upepo tuuu na utapita  kila la kheri baba Lowassa labda una lako la moyoni kama ulivyosema CCM hawakutaki kwa maneno, mawazo wala vitendo 

kwa hizi tweet Chadema kutakuwa na mgogoro tu, mtakuja naambia  ugomvi utakuwa hauja escarlate lakini soon tutasikia tuu

Dr Silaha naye amekechi badala ya kukatwa hahaaaa, hizi siasa tuwaachie wenyewe maana zinafuka moto, yote hii ni kwaajili ya kwenda magogoni haaaaa, chezeya vin'gola weyeeeBAADHI YA CELEB WALIVYOGUSWA NA MAMBO YA LOWASSA NA WAKATOA YAO YA MOYONI
 Je wewe MTanzania  hili linakugusaje kwa namna moja ama nyingine??

35 comments:

 1. Nao hao wakanyeeeee majembe,wameona Lowassa kuhama ndio anawavurugia amani au,,,mlitaka ccm iongoze miaka Mia na bado mbona wengi watahamaa,,,hata Nyerere alisema upinzani WA kweli utatoka ndani Ya ccm,hutaki kanye jembe ,lowassa ccm sio ya Baba wala ya mama yake mpooo,,,ccm inatuzidishia umasikini,ajira hakuna,uchumi unashuka,umaskib unazidi,madawa hospital hakuna,Leo basi mnaona ccm nzuri nyie vipiiii,wao wanajitajirisha Tu ,CCM ishindwe katika jina la yesu

  ReplyDelete
 2. hatimae chadema waisafisha ccm kila aliye mchafu ccm akiahamia chadema ni msafi sana

  ReplyDelete
 3. Wewe nawe Jokate John Mnyika a.k.a JoJo, ungekuwa hujapigwa kibuti usingeongea hayo yote. Hebu chapa lapa kwanza

  ReplyDelete
 4. nyie kina jokate na salama naona mnanyege mnawashwa kwani lowasa pia na yeye anamaamuzi kama wananchi wengine ashasema ccm siyo baba yake wala mama yake kwani alifunga ndoa na ccm mwachenihayo nimaamuzi yake na familia yake eleweni mnaongea mtafikiri mnaarisha

  ReplyDelete
  Replies
  1. kwani joketi kamsema mtu yeyote? mbona mnakuwa hamuelewi sentence mnakurupuka tu? yeye amesema tunataka amani cause kwenye mvurugano watu wa chini ndio wataumia sasa nyie mnakuwa na chuki tu.

   Delete
  2. Hata kuandika hujui, majina ya watu huwa yanaandikwa kwa kuanza na herufi kubwa mfano. Lowasa, Jokate. Rudi shule tena darasa la kwanza tafadhali @ Anoy 11:24 PM

   Delete
 5. kwaiyo mlitaka tuendelee ha huu ujinga unaoendelea ccm mpk lini kila mtu anataka mabadiliko, na hakuna haja ya vita kwanza nyie manao waza vita nyie ndo wanafk wakubwa wachawi nyie kwanza kwanini msiwaze mambo mazuri manawaza vita tuuu

  ReplyDelete
 6. kama alivyokwambia Diamondi WEWE JOKATE MTANYOOKA NAMTANYOOKA KWELI,

  ReplyDelete
 7. Waache ujinga km vile hawakusome, amani amani mbona ilishavunjwa kitambo tu au ndio wnajua leo

  ReplyDelete
 8. Muacheni ahame mbona mtu akitoka chama cha upinzani kwenda ccm hammwandami. ?Mwacheni baba wa watu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. hakuna aliye mshikilia asubili mwabupande itamhusu mtu mwenywe anapokea cad hata raha ya moyo hana

   Delete
 9. watu wasijadili vitu bila kuanzia kwenye msingi, kwamba wanasiasa wanajiunga na vyama kutokea wapi kwani mtu yeyote ana haki kikatiba kuhamia chama anachokitaka.

  ReplyDelete
 10. we sinta wewe ni mnafki unampenda lowasa kinafki kama unampenda lowasa na unajua utendaji kazi wake kwanini usihame nae?jackline wolper tu ndo mtu safi anamaamuzi safi amehama na mzee sasa ww umebaki na ccm utafikiri ni mama yako

  ReplyDelete
  Replies
  1. kwani wewe chedema ni mama yako na banba yako ukipenda chadema na mimi nikipenda ccm kuna tatizo tukutane october tu hapo ndo utajua ni ccm au ukawa nyoooo

   Delete
  2. mwambie huyo mjinga wa 12.20 am nani kasema chadema ina maana kuliko ccm? au huyo mbowe anamtia? huyo mzee kwanza ameshajiishia hata tembea yake ni ya shida october ni magufuri tuuuuuuuuuuuuuu

   Delete
 11. Sintah upeo wako ni mdogo sana, I even wonder hyo Diplomasia uliyosoma ulisomaga nini. Siasa haiwezi kukua bila changes that should be in your Medula Oblongataa. Unasema CCM ime kupa uhuruu WTF is that!!!!!! What have they done for us zaidi ya kumaliza nchii nafanya kazi hospital huwezi amini hali ya dawa za matibabu ilivyooo. Na hao wanaosema vita sijui fujo vita haezi ikawepo Tanzania kamwe maana watu wenyewe hawaijui vitaa na ukae ukijua hii NCHI INAOMBEWA KULIKO MAELEZO. NA MIND YOU THAT AWAMU YA NNE SIKU ZOTE INAMABADILIKO SANA FANYA UTAFITI KATIKA NCHI NYINGI AWAMU YA NNE NDO UTAELEWA.

  ReplyDelete
 12. Wafanye wafanyavyo sisi wananchi tunachotaka ni maendeleo ya kweli pamoja na amani na utulivu

  ReplyDelete
 13. Watanzania tunaangamia kwa ujinga wetu

  Tatizo sio mtu mmoja mmoja...Tatizo ni Mfumo wa CCM

  Lowasa ameeleza wazi order za kikwete kwenye ishu ya Richmond

  Kabla ya Kuja CHADEMA lowasa amewekwa kikao na kamati kuu ya CHADEMA akahojiwa na CHADEMA ikajiridhisha na position yake.

  Lowasa ameondoka Kwenye Uongozi mwaka 2008 baada ya hapo ndani ya serikali ya CCM kumetokea madudu mengi na wizi mwingi sana...Wa juzi wa ESCROW tumesahau? Lowasa alikuwepo.

  Watanzania inabidi ifike wakati tujue tunapambana na nini.TUNAPAMBANA NA MFUMO WA CCM.

  Kama individuals hata CCM wapo watu wazuri tu na wabaya pia...Hata CHADEMA wapo watu wazuri na wabaya...Tunachoangalia je kuna mfumo mahususi wa kuweza kuwajibisha watu pale wanapokosea....Tumeshuhudia CCM imeshindwa...wanalindana....CCM inatakiwa iondoke kwanza halafu tuanze upya kama Taifa.

  Kuhusu Tweet zinazoonekana ni za Dr Slaa...Hizo sio akaunti halisi za Dr Slaa...Akaunti ya Twitter Ya Dr Slaa ilikuwa hacked Jana.......Na ilikuwa na Followers Elfu sabini.

  Sinta hizo akaunti feki ulizoweka hapo zina Follower hawazidi hata elfu tano.

  Amani ni Tunda La taifa...Amani sio tunda la Chama cha siasa.....Amani ni Tunda la haki......CCM haina hati miliki ya nchi hii.....CCM itaondoka Tanzania itabaki.Ni upuuzi wa hali ya juu kwa msomi aliyepata Degree ya Mlimani,Jokate (Nasikitika kusoma darasa moja na huyu binti),kudhani kuwa Eti Akigombea Lowasa ndio amani inaondoka...HOW? Ndio maana watanzania tunazidi kuwa wajinga....Mtu kama Jokate hachelewi kusema Upinzani ukichukua nchi kutatokea Vita kama Ya Uganda.......Zambia wamebadili,Nigeria Wamebadili,Ghana wamebadili...pote huko hakuna Vita....

  Imefika wakati watanzania Tuache Woga....Tuthubutu...Tunayo CCM miaka 54 ....Je unaionaje hali ya ndugu na wazazi wako kule kijijini? Tuache mchezo kabisa...WE NEED CHANGES.

  Mwisho kabisa...Blogger Sintah...Bila Research usikimbilie Ku post Usichokijua....Hizo Tweet za Dr slaa sio halisi...

  ReplyDelete
  Replies
  1. kwa hiyo chadema ikishida hali za hao watu vijiji itkuwaje fanya kazi kwa faida ya familiy yako usitegemee lowasa ndo atakuja kukupa hela au chadema kama unawahurumia sana nenda etm kachukue hela uwasaidie

   Delete
  2. wewe anony 3.10am hujasoma huu ujumbe umekurupuka sana, wapi amesema lowasa ataenda kuwapa ela watu vijijini? huna akili umekurupuka tu na ndio nyie wajinga mnazidi kuamini ccm na kurudisha nyuma nchi, mtanyonywa adi macho mkauke maji na damu ila mtangangania ccm....angalia wasanii wenye uchu wa kuingia bungeni kwajili ya mslahi tu wote wamekimbilia ccm koz wanajua ndio mtelezo wangekua na nia kweli wengine wangejiunga chadema ila wanachojali ni kuingia bungeni tu wakapate ela, nashukuru wameanza kumwagwa.
   alichoomaanisha mwenzako ni kwamba MFUMO WA SERIKALI CHINI YA CCM NI MBAYA, MFUMO WA CCM NI MBAYA UMEBUBUJIKWA NA RUSHWA, Magufuli ni mzuri ni bora lakini ndani ya system mbovu ya CCM ubora wake hautalifaa taifa kwaujumla kwaiyo ni heri mfumo mpya wa chadema au ikiwezekana tuwe na serikali mseto, nchi nyingi zinazoendelea barani afrika wamebadilisha vyama vyao, nikiwaza jinsi wananchi tunavyoliwa mali zetu naumia sana, sijui kwann watu hawafunguliwi macho wakaona vile system ya CCM inavyotunyonya...hii nchi ni tajiri sana jamani tuna madini mengi, gesi na mafuta (ccm imeshapitisha mikataba ya kijinga), vivutio vingi vya kitalii lakini matajiri ni viongozi wa ccm tu na watoto wao....TUAMKE JAMANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII iangalieni kenya inavyoendelea 90% ya bajeti yao ni internal funds.

   Delete
  3. ndoto ya alinacha hao chatema kushinda ni ndoto subilini mwezi wa 10

   Delete
 14. ccm kama mji usipokunywa utayaoga usipoyaonga utayanwa tu habari ndo hiyo kwa veeepe

  ReplyDelete
 15. hakuna cha vita wala nini! kwani hao kina jokate hamuwajui si ndio hao waliokulia osterbay baba zao wakila pesa za nchi hii kwa kubadilishwa vyeo kila kukicha!! sasa maneno kama hayo lazima yawatoke tu, wakiofia usalama wa kazi za baba zao!! sasa UKAWA imeshasema kwamba, watumishi wa Serikali wasihofu UKAWA hawataingilia ajira ya mtuuu, bali watakacho kitengeneza ni mfumo tu. Yaani haya matabaka yasiyo ya lazima katika nchi hii itabidi yaondoke tu. Kwa hiyo "chill up", salama and jokate msiwe na pressure amani itakuwepo tu, isiwepo kwani jeshi ndio linachukua madaraka kwa nguvu! nyie vipiii!! Ila ccm wakileta za kuleta mawe yatawahusu tu...

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tena hawa watoto wa masaki ndio wale ambao baba zao wametuibia sana

   Principle ni kwamba Wote watapanda mahakamani kuthibitisha usafi wao

   Plain and Clear

   Hata Lowasa amesema mpelekeni mahakamani.....

   Kwa nini mnaongea ongea tu....Kama ameiba mpelekeni mahakamani

   Delete
 16. Na huu ndo ukomo wa kufikili wa akili za Watanzania, sasa kila mtu akifanya mambo kiubinafsi (kila unachokiita kwa ajili ya familia yake) unafikiri kutakua na umoja wa taifa? nani atakutengenezea miundombinu yako? kazini utaendaje, mwanao atatibiwaje, uko benki utaweka nini, mwanao atasoma vipi.....tuamke watanzania, inatia huruma sana hata wale wenye elimu tulio wategemea ndo wanaotuangusha

  ReplyDelete
  Replies
  1. Walivyo wajinga hawajui impact ya siasa kwenye maisha yao

   Hawajui serikali ina impact gani kwenye maisha yao

   Hawajui kuwa Wanakatwa kodi kwa kila huduma wanayopata
   Tuna safari ndefu sana

   Delete
 17. wewe wa saa 2.21 am ni chadema bila ubishi ndio maana povu limekuoka Tanzania ni free country wewe kama unamuona lowasa anafaa na kasha kununulia na nyumba south Africa vote for him who cares, na wale wanaona ccm ndio mpango mzima waache wafanye yao,,, kiukweli hata aje Rais milione kama Trumpt kumbadilisha mtanzania yule ambae maisha yake ni dini hata shule hajaenda ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano,,,,wee kama chadema piga kimya tunataka AMANI,,,, IKULU INGIENI AMANI YETU TUACHIENI.

  ReplyDelete
  Replies
  1. CHADEMA kugombea kushika dola kuna Uhusiano gani na AMANI?

   Delete
  2. anony wa 9.24am tatizo lako umeshajitoa kuwa wewe si sawa na mtz wa hali ya chini asiye na elimu na uwezo wa kimaisha! ndio maana unawakandia... hata mzee wako na hata wewe, kama Nyerere na wenzie waliokuwepo wakati huo wasingekuangalia wewe mtu wa chini elimu ingebaki kwa watu wachache na wengi wangekua ni kajambanani tu!! ila mzee wa watu aliona kuna haja ya hii elimu kuwapatia na watu wengine! ndio maana upo hapo sasa unawatukana watu ambao hawana uwezo wa kimaisha na elimu zao ni ndogo!! ndio maana tunasema tunataka tz yenye haki na usawa kwa wote, bila kujali huyu ni maskini au ni tajiri! elimu bora, maisha bora, huduma bora kwa wote... siyo kwa wachache ala..

   Delete
 18. Tunataka amai kwani uongo Lowasa kama sio uchu wa madaraka chadema kafata ninii,,,,,,silaha alimuita lowasa fisadi leo msafiiii huruma hamna diliiii chadema mjipange upyaaaa,,,,,tutawaburuza tuuu hata kwa bomu la machozii,,,CCM ni ileile na watu ni walewaleeeee,,,,,tuawaburuzaaaa tu Team lowasaaaa mjipange.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Chama chochote cha siasa kina lengo la kushika dola

   CHADEMA wana lengo la kushika dola

   UKAWA wana lengo la kushika dola

   CCM wana lengo la kushika dole

   Wote wanataka kushika dola

   Kwa nini CHADEMA wakisimamisha Mgombea na kutaka kushika dola waonekane wana Uchu wa madaraka,.....na CCM wakisimamisha Mgombea na kutaka kushika dola wasionekane wana Uchu wa madaraka?

   Delete
 19. Nyie mburura pumbafu kabisa. Hii ndio siasa as long una domo kubwa kama la diamond na unajua kulitumia huwezi kufa njaa. Unafanikiwa kwa kubaki CCM na ukatumiwa kama kuwadi kuwatukana maadui wa viongozi mkono ukaenda domoni taratibu. Kuna mkuu wa wilaya anakula vyake kwa domo lake. Au kuhama kama Mrema au Lowasa na mambo yako yakawa mswano. Otherwise, nyie wanyanya paa mliokalisha makalio yenu kusingizia amani you better shut the butt up. If you can't stand the heat then get the hell out of the kitchen. Lakini sio kuwakatisha tamaa watu wenye guts ya kufanya maamuzi magumu kama Lowasa.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Thank you hief

   I like this

   If you can't stand the heat then get the hell out of the kitchen

   Delete
  2. Aminaaa, wewe umesema...

   Delete
 20. tufanye yote ktk kufanya uchumi wetu angalau tufikie uchumi wa kati

  ReplyDelete