asas

asas

sintah

sintah

HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA


9 comments:

 1. masha nae....kutafuta kiki tuu mjini hana lolote.!!!!amebuma kwenye siasa,msonyoooo!!!

  ReplyDelete
 2. Mkapa yuko juu au chini ya sheria?acheni hzo nyie

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nchii hii huyo mkapa alieita watu malofa na wapumbavu jee?hakuna atakaeishi milele ilatizameni hatma zenu msishangae mkafa vifo vya ajabu sababu ya mambo mnayoyafanya mungu hahongeki mtambue,waonevu tutakutana siku ya mwisho ambayo hakuna aijuaye.mungu adhibuwote waonevu katika nchi hii wafanye upendavyo wewe ndio hakimu wawanyonge na mtetezi wahaki.

   Delete
 3. mmh wamemuonea jamani kha CCM siwapendagi kwa sababu hyo tu

  ReplyDelete
 4. we naye sinta ushajichokea.Hii habari iko kila mahali.Huna jipya.Leta vitu adimu.Wee vp?

  ReplyDelete
 5. bwana ake mtu wazaman kho khkooo

  ReplyDelete
  Replies
  1. hilooo fata upepooo mkomavu alikuwa anatoka na magai upooo kama hujui sio ujifanye mjuaji na kujiandikia tu ili mradi umekopi na kupaste makosa. na magai huyo huyo akajaga kutoa tena na best yake waliyegombana aka matron kizuri kula na mwenzio ni hayo tuu. ni mie former mudada wa mujini.

   Delete
 6. afu huyu mjamaa noma alivyokosaga ubunge akaenda kuharibu ofisi aliyoikarabati Enzi hizo akiwa mbunge akatoa kila kitu alichotengeneza, naamini polosi hawajamuonea

  ReplyDelete