asas

asas

sintah

sintah

HONGERA FLAVIANA MATATA
Kuoana ni jambo la heri sana, hongera Flavvy na kila la kheri katika maandalizi ya kuanza maisha ya wawili maana ukiwa upo na mtu ndani lazima usijifikirie peke yako, nawatakia heri na baraka hapo mbeleni.... Mungu awe nanyi weye na lazizi wako

27 comments:

 1. Heheheh hallowww ushauri wa bure , wanawake ukitongozwa na mtu day 2 mwambie akuoe , ukikaa unasubiri wanakuja kuolewa wengineeeeee

  ReplyDelete
 2. Hapooo wote matumbo flati , uwiiii naacha vitumbua miye tumbo beseni

  ReplyDelete
 3. Omo kiboko ya mashankupeAugust 2, 2015 at 11:01 PM

  Hahahhjhahhhhh hongeraaaa zake ilaaa ndoaa take hainaaa kick wanajitahidi weeee Larkin holaaaaaaa na huo mbikini veeeeeeeepe hakuonaa sexy bikin name kukakaaa kite ulayaaaa...?walijiandaaaaa na idea yao ya kufanyiaaaa baharin sijui visiwan wakinaaa faizaaaa wakawa washafanya so hawanaa jipyaaaa........all da best kwenye maandaliz yako ya harusi though najuaa itakuwaaa kawaidaaaa coz wajuaji wengi lolzzz...........I'm not hatin tgough

  ReplyDelete
  Replies
  1. wivu ni kitu kibaya sanaa jamani,.....

   Delete
  2. Kuandika hujui, na wivu pia unakusumbua, poleee. Go go go go go go go go Flavymungu hana choyo

   Delete
  3. Nungaembe utamjua tu.

   Delete
 4. Wadada wote wa mujin walikuwepo kasoro jin nakata a k a mbunge havijawa mama wa udaku na kati pale na kwa obama. Lazima ataandika gazet kuhusu hii bridal shower, na hivi hajaalikwa .Ila napenda wenzie wanavyoli ignore ,kajikuta ghafla anaamia kwenye siasa.

  ReplyDelete
  Replies
  1. ha ha haaa we mdau iko pinda kama utumbo lol!

   Delete
  2. ana shida gani hata asipoalikwa... kwani wewe umealikwa?

   Delete
  3. hahhahha mdau umeniuwa mbavu hahah unafikiri ujuaji mzuri kabaki kupig apicha na kina rest jackies jamani tupunguze ujuaji unajikuta upo peke yako watu wote wanakukimbia

   mara ubwabwa kisamvu, chizi sio mpaka avue nguo ndo nshasema sasa in Esma platnumz voice

   Delete
  4. hahaha anony umeniua. kampani yake ya siku hizi vituko tupu. inachekesha. na bado ataongozana na miti maana mamalia wote watamkimbia.

   Delete
  5. Mbona havijawa kaachia teyari micomment ya kumdiss ha ha ha hachelewi tena kaanza kumnanga yule mama muuza mchele (mama Anchorage (tafuta US State yake utanielewa)), magonjwa ya akili ni tabu tupu.

   Delete
 5. hongera zake na mungu amtangulie ndoa ni jambo jema...ubarikiwe mama.

  ReplyDelete
 6. wewe Ano 11. 50 Mange hatishiki na hivyo vitu vya kijinga jinga acheni ushabiki maandazi Sintah kapost huku ili watu tufahamu ni jambo nzuri nyie ndio mnachonganyisha watu na blog zao mfyuuuuuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. umeongea sawia, yaani watanzania sijui mkoje, kila kitu lazima mtafute sababu ya kuchinganisha, sasa hapo mange kaingiaje na wote tunajua mange hampendi flaviana na kasema sasa unategemea anaweza kuona wivu kuwa hajaalikwa coz wote walio alikwa ndio wale mahasidi wa MANGE.....Elimikeni watanzania mnaboa

   Delete
  2. Tumekusikia NJITI

   Delete
 7. hongera sanaa fraviana....all da best swtht

  ReplyDelete
 8. Hongera sana Flaviana Mola akutangulie

  ReplyDelete
 9. Vibwisi ndio kesha mwagwa vistigimbi mpaka vitokee kama paip za bajaji ndio kesha mwagwa na apendwi kategwa anarafiki wa mana tena kabakia kama mchawi

  ReplyDelete
  Replies
  1. yaani hamuwezi komenti bila ya kuweka watu wengine???????????? upumbavu ni janga la taifa...mko wengi wajinga na wapumbavu

   Delete
 10. Usipojipanga ntakupangaAugust 3, 2015 at 11:22 AM

  Hahahaha WAP davtoo wa king kessyiiiiiii..........kwa dullersptn umegongaa mwambaaa we endeleaaa tu kumzongaaa ntakungoaa meno hangaikaa kote ilaa duller Wang niachieee....!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. huku hayupo jaribu kwa huyo dullematako kuvimba overrrrr

   Delete
  2. PrettyLittle_Liar!!!August 4, 2015 at 8:50 AM

   Weeee ni Amina nyooooookost dullah ni wa Hannel marry
   Upo???? Maviiii kunukaa waache wapendanao Walee
   Mtoto wao,khaaa mpaka Instagram kujinadisha kujiita
   (Amina Spartan) malayaaaa mkomeeee dullah wa hannel
   Tena endelea kujifanya unajuaaa dawa yako Upo jikoni
   hOMe WRecker mfyuuuuuuu!!!?

   Delete
  3. PrettyLittle_Liar!!!August 4, 2015 at 8:57 AM

   Weeeeh Amina Spartan komaaaaaaaa
   Umesikiaaa??? Usiseme hujaambiwa
   Dullah muachee alee Mtoto na mkewe
   Hannel Marry!!? Weeh lete nyege zako
   Za mjusii kummbeba tembo,then kitakacho
   Kupata usije laumu,sawa we Malaya???
   hOmE wRecker mkubwaaaa mfyuuu!!!
   Soon Instagram utaikimbiaaa maninaaa
   Kaziii kuingilia mapenzi ya watu na kuiba
   Wanaume Za watu!!! Nimeshakupa Warning

   Delete
  4. Huyo Hanney Mary mwenyewe anatombwa nA dunia mzima.akinunuliwa savannah tu miguu anachanua.

   Delete
 11. Anaolewa na DEO wa GRACE MURO .safari yako ndefuuu from Nebraska to Washington state to Newyork .HAPO wanaume siwaelewiiii kabisa.HIVI Kama uko karibu na CALVIN TWISA muombe USHAURI kwanza too late .

  ReplyDelete