asas

asas

sintah

sintah

IRENE UWOYA AZIDI KUPETA

Mh Irene Uwoya


Hahaaaa karibia mwenzetu anakuwa Mh Mbunge, anazidi kupeta katika chama kubwa CCM, mbwa anayebwekaaaa huwa ha'ngatiii eeeeeh mbwembwee nyingi ziliishia ukingoni haya mwayego hongera  ila usimsahau mumeo maan hawa machokoraa wanaume huwa wanakaaa na kuondoka but a real man stays na Ndiku ameku support kila mara sasa jifanye njanja umeona wenzako walivyopigwa chini, ka na mumeo na mwanao maisha yaendee

49 comments:

 1. huna lolote ulimponda sana alipochukua fomu sasa hivi unajidai mwenzetu, mwenzako na nani umeanza kujipendekeza.

  ReplyDelete
  Replies
  1. kwani sinta mgeni kwako,?mbona anajulikana kwa wivu chakubimbi huyu hapo alipo anatamani angekua yeye sema ndo hivyo tena zero brain!! pole sintaa wee maisha umeyakosea na jua lishazama!!

   Delete
  2. Huyu Sinta akiwa mzee atakuwa mchawi kwa jinsi alivyo na roho mbaya na kijicho kwa wenzie. Alimponda sana Irene leo kaona kashinda kura za maoni anajidai kumsifia unafiki ww mwanamke una sumu kali sana kwenye damu yako hata ukimtolea mtu damu akiongezewa anaweza kufa kabisa lol. Hebu tuletee matokeo ya DNA ya mtoto wenu kwanza mbona uko kimyaa si unajua kuongea ya wenziio

   Delete
 2. safi sana IRENE karibu jimboni kwetu tabora mama, me nampendaga sana uyu dada sio mwafulani mbwembwe nyingi , JACK MUHESHIMIWA LOL WAHESHIMIWA NI SHEEDER

  ReplyDelete
 3. Mbona aumuweki shoga yako mzindakaya si ndo mlikuwa mnaenda wote kudanga au wivu tayali mana wewe au amekupiga chini

  ReplyDelete
 4. Jaman jaman natakaa kumwagaaa ya open kitchen loooooh sikutegemeaaaa jaman kumbe ni .........

  ReplyDelete
  Replies
  1. Dah wewe mama ubuyu unaniwewesa toka jana funguka basii.
   Ni L. au ??
   Sema basi mm umbea hadi presha inapanda na kushuka upo wap ?Pata Urojo kwa Sele Bonge Taja kulipa bidae

   Delete
  2. sema shogaaa ana nini huo ubuyuuu tumumunye

   Delete
  3. jamani ebu tupe huu umbea

   Delete
  4. Tuwekee umbea wa open kitchen basi, shouga weekend iende vizuri. I lap umbea haya legooooo

   Delete
  5. we nae si umwage tu sa umesema ya nn kututia hamu tu

   Delete
  6. na wee si uumwage huo ubuyu tangu jana upo nao tuu huumwagi unaturusha nao roho haya basi kaa nao hadi ueksipayi.
   mwishowe tutaupata ubuyu wa pilipili sehemu zingine ukija wee ubuyu utakuwa hauna ladha tena bibi wee biashara ni mashindano eeh umwage athawaiz usije tena humu kuturusha roho hapa alah!

   Delete
  7. shoga sema basi mbona ivo tangu juzi ubuyu humwagi tu

   Delete
 5. Yaani Sintah inaonekana huwa unafurahia sana Madame asipofanikiwa, why u hate her that much? Tujuze ili tujue sababu tusije tukawa tunakujudge otherwise kumbe una genuine reasons za kum-hate

  ReplyDelete
  Replies
  1. afanikiwe wapi huyo mungu mtu wenu? nuksi lazima zimuandame wee mtu gani unamwagiwa kojo na kila mwanaume wengine wana minuksi yao wanakubebesha we unachanua tuu miguu mfyuuu.

   endeleeni kumsujudia huyo mama haambiliki wenu atawaumiza kila siku, mrembo by nature wa jf keshashtuka kuwa hilo ni fupa lililomshinda fisi akaona isiwe tabu asije vunja meno buree, kapita hiviiii…...

   Delete
  2. Hahahahahahahahahahahaha jaman jaman jaman mdomo huuuuuuuu naohopaaa mwenzennu ilaaaaa ni kuwaaaa mama ya open kitchen anajuaa kupikaaa vizuri yaaan vyakulaa vitamu balaaaaaa .....yumy yumy I lap her

   Delete
 6. Waraka kwa mange kimambi
  Dear mangenita
  Naandika hapa kwa sinta maana nikiandika kule kwako utaniblock na mie sitaki kukosa maumbea buree! So kule nakusifia Tu ila ukweli wangu usome hapa!
  Kwanza nakupa pole kwa kesi inayokukabili ingawa unajifanya si kitu my dear kesi nchi Hii ni issue hata kama ni ya kuku maana hapa tz watu hawana haraka inaweza kuchukua hata miaka 2 kupata hukumu hata kama utashinda damage ni kubwa mno.so jiandae kukaa bongo saaana
  Ile nyumba yako kinondoni mtoe yule mpangaji hamia kabisa

  Pili.kuhusu unavojidai hujazuiliwa kutoka nje unajua si kweli maana ulikana lakini later ukaja ukalalamika mwanao mgonjwa unataka akatibiwe marekani..unaona unavojichanganya sio.??? Huwezi kuondoka nchini name kesi sio ya kuisha kesho wala December!

  Tatu.unajidai mpelelezi ameshindwa kukueleza makosa yako mmmh
  Unadhani atakuambia we we
  ?
  Mpelelezi anareport kwa mwanasheria ndo wanaandaa hati ya mashtaka so mashtaka yako utasomewa mahakamani dear mpelelezi ni MTU asie na uwezo saana kwenye kesi.

  NNE.msala unao sana na unaweza ukawa na kesi ya jinai.oooh mama!
  Yaani naona mwisho wako na lance HV HV mana ukiwa criminal historykwa Obama hurushi pua milele na ulivo na maadui hadi chooni watakuchongea kila mahali

  Sikujua mwisho wako utakuwa mrahisi kiivi.ila I feel so sory for u honey! That's life
  Nakuombea Tu usife .hata kama utateseka lakini upumue Tu huko keko


  ReplyDelete
  Replies
  1. Nadhani kuan kitu watu wanshidwa kuelewa na kutaka kushindana na Mange mfahamu kwanza historia yake .wajua stress ni kitu kibaya sana kwenye maisha na mtu akiwa na stress huwa ajali kupoteza kitu na atajuta endapo itaisha isipo isha stress atabaki kuwaumiza vichwa kwa sababu hajui nani wa kumlaumu alipo fikia .Na kwa ufupi hii yaweza mfika mtu yeyote yule.cha kufanya ni kumpotezea na kuangalia jinsi anavyo hahaha na maisha yake.Na tujifunze kukubali kila kitu kina mwisho wake.na usipo kubali ndio tuna ishia kusema mchawi mama yako mzazi .Maoni tu

   Delete
  2. Kunya Tikiti
   Ur a lost Cause

   Delete
  3. Siumwandikie Mange KWA emel
   HAPA hajagiii

   Delete
  4. Yani uyo Vibwisi magereza inamusu kwanza akuna kutoka tanzania mpaka miaka 2 kuisha nauyo mumewe ajue mwana mke gani ana dill naye manake ni mbaya kwa sura mpaka mwili roho mbaya na tabia za kishenzi atumtaki nawala atorudi kundini

   Delete
 7. kweli mdau Sintah leo utueleze sababu ya kumchukua Wema wetu mmmmmmh yaani kitu kikienda vibaya unamponda una nini wewe kikongwe jamani uso umekukaza mpaka selfie zinakataa acha msifie tu vijembe vya nini fika mahala ujitambue jamani mbona hiyvo mama Juma Nature

  ReplyDelete
 8. wewe sintah kuma mtokoto tu pimbi kama kidivi cha mwisho

  ReplyDelete
 9. UNAMPIGA NANI VIJEMBE SINTAH? ATAKUWA NI MAMA BOKENZO PAMOJA MADAM WEMA

  ReplyDelete
 10. Umeandika hii habari huku roho yako ikiwa imejaa wivu wewe Sinta, lione pua kama ngumi. Hivi huoni jinsi unavyosound? Ndo maana umefuja siku hizi unajidai kukandia wengine. So wema ndo unamfananisha na mbwa aliyebweka lakini hang'ati kwa sababu alikosa nafasi ya ubunge? Wewe ulijaribu hata kuchukua form? Lione. Humfikii Wema hata ukimponda kiasi gani au umetumwa na rafiki yako Zari

  ReplyDelete
 11. HAHHAH YAONESHA WAFURAHIA SANA MADAME AKISHINDWA, UNA ROHO YA KUTU WEWE...NA UTABAKI HIVOHIVO..HAYA SASA SHOGA AKO JACKY PIA KAANGUKIA PUA,,, AU SIO MASHOSTI TENA...HEBU TUAMBIE VIZURI HAHAHAHA

  ReplyDelete
 12. UTAISHIA YA WATU NA YAKO HAYAEND SINTAH .
  MIAKA 1000UTABAKI ULIPO NA KUCHUNGUZA NA KUREKEBISHA WENZAKO WAKATI HATA WAKUKUHIFADHI NDANI HUNA
  ZEEKEA KWA MANONGI

  ReplyDelete
 13. yan huyu dada nampenda anaga magroup wala cijawah kusikia kagombea bwana yaan yupo vzur sna lkn ile ishu ya kutoandikwa na magazet ya global imeimsaidia jmn

  ReplyDelete
  Replies
  1. Bora umesema mdau,Irene yuko poa sana siku hizi,
   Kumbe mtu ukiamua kubadilika unaweza,Big up Mbunge mtarajiwa,
   we pray for you Irene,"abundantly blessings"

   Delete
 14. Nafasi nyingi zitapunguzwa na UKAWA sababu ya ujio wa Edo, viti maalumu zinakuwa kwenye uwiano wa kula za Rais na Idadi ya wabunge. Kwa mpambano wa mwaka huu CCM na UKAWA utofauti unaweza ukawa mdogo sana hivyo kupelekea CCM kupoteza viti vingi vya wabunge maalumu. cha kuombea huyo dada CCM ishinde kwa kishindo ndo hizo nafasi zitapatikana otherwise wengi waliopitishwa viti maalumu wataachwa maana baadhi ya nafasi zitachukuliwa na UKAWA.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mdau gonga cheers huko ulipo nafasi nyingi safari hii ni ukawa tu so bungeni lazima kujae ukawa hao kina irene waombe mungu Sio mdada mbaya kila lakheri hana mitabia mibaya kama mwafulani ooh anaetaka kushindana nawaliompiga bao lakisigino,mashindano yahivyo utazeeka tu namashabiki zako walivyowapuuzi wanakuchuza kukujaza sifa huku unazidi kuaribikiwa poleni mnaompotosha boss wenu mama vigodoro.

   Delete
 15. Wadau nataka kununua IPHONE 5 au 4 ambayo ni original ntapata kwa shilingi ngapi?

  ReplyDelete
  Replies
  1. weka email yako hapa utatumia original simu kutoka majuu

   Delete
  2. nitumie kwa wasap niione kwa 0768509332

   Delete
 16. Wooh mama Krish,penda sana siku hizi,umebadilika,unafaa kuongoza umma,
  nitakupa kura yangu na hata ukikosa safari hii jaribu tena vipindi vijavyo.

  ReplyDelete
 17. sinta hebu jiangalie kwenye kioo kisha ndio uongee ya hao unaowaita mbwa kisha utapata jibu wewe na hao pamoja na lipua lako nani mbwa.

  ReplyDelete

 18. Kwa kweli kimekuja na meli soma hapa........Kutoka katika Blog ya Lemutuz. Degree 3. King of All Social Network Live..........Kudadadeki.........

  'Bongo flava artist Marlaw and his wife Besta they have a one children since 2013 but this week it's surprise for you, Now the family extended by his wife deliver second baby to the Marlaw family, see what's marlaw he posted on social networks today!...............

  ReplyDelete
  Replies
  1. Uwiiii..aisee umenifanya ninikojolee hahah...hehehe

   Delete
  2. Hivi yule mtu mkubwa kama kanisa ana akili kweli kichwani mwake. Yaani mm huwa naangaliaga vitu anavypost Insta nabaki mdomo wazi mweeh kwa umri alionao na maisha anayoishi cjui alirogwa au nani alimwachia laana. Nadhani Mzee Malecela akimwangalia huwa anatokwa na machozi maana jitu kubwa halina kazi ya maana mjini kila saa yuko kwenye social networks na le super friend kila mtu mjini yeye ni my super friend jamaniiiiiii hata kazi anayoifanya mjini haijulikani mara yuko Zanzibar mara yuko Moshi na anamkampenia David Mosha mara cjui kwenye nini mara sijui kituko gani. Anashangilia watoto wake kupata watoto yeye na umri ule sijui kama ana watoto you know hahahaha mweeh kichefuchefu

   Delete
 19. MASHOSTI NIKWAMBIENI SINTAH ANAMCHUKIA WEMA COZ ALISHAWAHI KUDUNDWA KATIKA BIRTHDAY PARTY YAKE MWENYEWE

  ReplyDelete
 20. WEMA HATA ASIPOKUA MBUNGE SHE GOT NOTHING TO LOSE IKULU KAMA KWAO VILE

  ReplyDelete
 21. ANAROHO YA KIPARE
  AMESOMA UANDISHI CHETI AKAKIACHA KWA JUMA NATURE
  UMESOMEA SIJUI FIPLOMA INAMALIZIKIA HAPA BLOG
  HAO KINA DIDA ULOWAAMBIA HAWAJUI ENGLISH WAMEAJIRIWA NA WANAMAISHA YAKUTAKATA
  WE UMEBAKI KUANDIKA YA WENZIO KILA KUKICHA
  HATA UMCHUKUE WEMA AU IREN HUJABEBA UFUNGUO WA RIZIKI BABUUUU
  UTAISHIA GONJA UBEBANE NA WAPARE WENZIO NA BADO UTAJIBEBA HATA KWA BELEKO YA KUPEWA NA MAMA TIFFFA
  MJINI UNAKIMBIWA NA WANAWAKE KWA UMBEA
  ULEWEDI

  ReplyDelete
 22. Wadau hamjamjua sinta hebu pitia post za wik hii muangalie coment idad yake katka post alzomuhusisha wema na za watu wengn zip watu wamecoment sana, unatafuta kik kupitia wema, mim sio shabjk wa wema lakn namkubal kwamba ni moja wa tz superstar anayetamba

  ReplyDelete
 23. Hongera kwa Irene..this is what women should do, always fight for what they believe in.
  Sintah as a blogger i do respect you so much sababu hata kwa umri na uhakika umenipita mbali sana na pia unaweza ukawa umri wa dada yangu ila kitu kimoja tu nikushauri ifike mahala sintah you should change instead of talking trash about other people talk positivite things na hamasisha watu kuwe na mabadiliko sio upuuzi unaoufanya vijembe ujinga na kuwaonda wenzio hii nchi imejaa wajinga sana aisee waii bloggers my ass

  ReplyDelete
 24. mh hizi lugha jamani!! mdau hapo juu "one children"??????? asante napita kizangele ishuuuuuu huhuhuhhhhhh! nimeipenda

  ReplyDelete
 25. Wema this Wema that kwani huyo Wema ni mama yako mzazi asichukiwe amekuwa nani? Eti Ikulu kama kwao uwii ubongo kuoza wako wengi siku hizi, kwahiyo unataka kusema anauza humo?

  ReplyDelete
  Replies
  1. HIVI WEWE UNANYEGE AU MKUNDU UNAKUWASHA

   Delete