asas

asas

sintah

sintah

KINGUNGE AVULIWA UKAMANDA UVCCM TAIFA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM lililokutana tarehe 15.08.2015 katika ukumbi wa Julius Nyerere International convention centre, pamoja na mambo mengine liliazimia mambo yafutauo:-

1. Lilimvua Ukamanda Mkuu ndugu Kingunge Ngombale Mwiru. Maamuzi hayo yalitolewa kutokana na tabia na mwenendo wake wa hivi karibuni kuenda tofauti na maadili na taratibu za CCM.

Aidha kikao kimetoa mapendekezo kwa vikao vya Chama Cha Mapinduzi kuuangangalia upya uanachama wake na kuchukua hatua kubwa zaidi.

2. Kikao pia kiliunda timu ya kampeni ambayo itafanya kazi pamoja na kamati ya utekelezaji kuhakisha ushindi wa CCM kwa nafasi zote.

3. Kikao kimemshukuru Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa hotuba nzuri ya ufunguzi wa Baraza na kikao kimeahidi kutekeleza maagizo na maelekezo ya hotuba hiyo kwa matendo.

Sixtus Raphael Mapunda
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa

8 comments:

 1. Mmmh! Shuka asubuhi. Mpaka hiyo 25th October, 2015 ipite, tutaona na kusikia mengi. Mbaya ukiwa siyo mtu wa kuamini amini...............Kina Tomaso type; ndo inakuwa mashaka zaidi................Heheyaaaaaaaaa25th October, 2015 here I come......................

  ReplyDelete
 2. avuliwe tu ashavaa sana huo ukamanda pasi faida yoyote. .

  ReplyDelete
 3. HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS HATA WAMVUE NA NGOZI LOWASA NDIO RAIS

  ReplyDelete
  Replies
  1. shusha pumzi,jamba,ulale...msonyoooo

   Delete
 4. Nasikia ati moto wa mabua!...............Ha ha ha ha ha Moto wa mabua indeed! Basi msiseme 'at any cost lazima tushinde'.

  ReplyDelete
 5. Raisi jembe Magufuli hana mbwembwe ndy raisi safi mchapa kazi nani asiyejua sifa zake mnataka kuiaribu nchi yetu.

  ReplyDelete
 6. KARIBU UKAWA KAMANDA USIOTIKISWA WOYOOOOO!!

  ReplyDelete
 7. Sinta hebu tuwekee vidude vya likes banaa

  ReplyDelete