asas

asas

sintah

sintah

KIROHO SAFI KWA MAMA KANUMBAMama Kanumba anateseka na picha za Lulu katika mtandao jamani jamani sasa mtoto wa watu afanyeje? huyu mama mbona hataki kumpa pumzi huyu binti kwani walioana mpaka leo awe ana mourn kifo cha mume? mbona watu wanapenda kukuza mambo? badala ya kujadili jinsi ya kampuni ya Kanumba ilivyoporomoka mtu anamfikiria Lulu, kwakweli mnyonge mnyongeni Lulu hana kosa hapo asiache kupiga picha yake nzuri IG kisa kumuogopa mama K? khaaa huyu mama ana lake jambo, kuna wakati nilisikia analalamika kuwa Lulu hamsaidi sasa Lulu ana hela gani ya kusaidia familia yake na ya K, yule mama aliachwa vizuri tu tena sana na company juu kama wameifilisi  is up to them ila anajua umri wa Lulu vizuri na ajibebeshe majukumu mazito mazito? i stand to be corrected but huyu mama sasa ni too much anatafuta kiki za ajabu kila akiamka lulu, akilala lulu kwani walimuoa?

4 comments:

 1. jamani msiamini sana magazeti ya udaku yanatengeneza story ili yauze. I am sure huyu mama anamaanisha ule ukaribu wa mwanzo aliokuwa nao lulu na mamake kwa mama kanumba sasa hivi haupo. labda mama antamani wawe mashost kama zamani. pia watu wasimkejeli huyu mama jamani kufiwa na mtoto sio kitu kidogo. na lulu ajitahidi kuwa in gud terms nae ili mama asiwe na uchungu nae. haimaanishi financial support ni ilekumcheki tu kumjulia hali basi

  ReplyDelete
 2. Sinta mi ni mdau wako na vile vile kule kwa yule dada mwenye wivu upande wa pili ni waziri ..ila sasa shoga mmmh uandushi wako sasa kiukweli wakati mwingine hueleweki ati ! sijui unaandikaga vinini unaeza weka picha au heading na maelezo yako usieleweke kabisaa unasimamia wapi kwikwikiii
  Bibie mtaa wa pili soon ataingia rehab kwa kuweweseka hahaaaa eti vijembe lol kaona hapewi attention anajitia eti no naanza sasa rasmi vijembe...kwendraaaaaaa huko hupewi attention n"goooo,we mwenye nyota ya kugombana na kila mtu unaishia kuwa ka kichaa..hahaha hawana mudaaa (IN NEY WA MITEGO VOICE)....halafu GO AHEADDDD kama kawa mwisho wa siku we ndo unaonekana ka mbwa mwenye kichaa kuparama kila mtu,usiye na haya bibi wewe kha! ushalaanika kwa kufatilia mambo ya watu hata biashara zako haziendi kila unalofanya linaishia njiani hiyo laana toshaaaaaa,unajifanya,unajifanya huna muda kutujibu wateja wako ila kuandika gazeti kuchafua watu hodari,si jui unaona sifa ila angalio mwisho wako MBAYA SANAAAAAAAAAA...

  ReplyDelete
  Replies
  1. duuh kweli wee ni waziri ndumilakutatu, na ukiwa kule unampond sintah. hataree!

   Delete
 3. nae huyo anatafuta kick tu za nitoke vipi.haoni kama ni mjukuu wake huyo, au anadhani kizee mwenzie nini??? ponda maisha mdogo wangu lulu wee, kufa kwaja!!!

  ReplyDelete