asas

asas

sintah

sintah

MAGUFULI, MAGUFULI DAR YAZIZIMAMgombea Uraisi kwa ticket ya chama cha mapinduzi na chama tawala John Pombe Magufuli amechukua rasmi form ya kugombea Uraisi kwa ticket ya chama chake huku akisindikizwa na mamia ya watu.....

7 comments:

 1. ACHA KUBANIA COMMENT...DAR ILIZIZIMA WAPI LABDA HAPO LUMUMBA MTAFUTIEN KIKI LAKINI HANA MVUTO..KILA MMOJA UKAWA....UNAUMWA SINTAH SI MZIMA VIJANA WENZIO HATUNA MKUMBO TUNATAKA MABADILIKO SIYO UNAFIKI WENU...

  ReplyDelete
  Replies
  1. kafanye mabadiliko kwako kwanza.

   Delete
  2. Eti mvuto tetet umenichekesha, so mabadiliko utayapata kwenye mvutooooooooooo

   Delete
 2. kijana na vijana wenzio wapi kwa mfano, usiusemee moyo wa mwenzio, kaeni na huyo babu yenu wa 'shut up....'

  ReplyDelete
 3. hatutaki mtu ambaye anataka kununua urais. wewe mpaka unatoa 12b kwa ajili ya kununua urais unania gani na nchi hii.

  ReplyDelete
  Replies
  1. kweli anatisha sio siri, lakini ataipata fresh tena wala hataibiwa kura wala nini we muache anacheza na binadamu, kimya kina mshindo mkuu mi hadi namuonea huruma nilidhani peke yangu ndo nimeshtuka kumbe tuko kibaooo. thanks God.

   Delete
 4. Anony no 1 nazani akili yako imedumaaaa... Unataka mabadiriko kwa aliyenunua nafasi ya uraisi.. Kaiboost akili yako kwa kuincrease ram. Weka atleast 4gb labda itaanza kwenda mbele badala ya kurudi nyuma

  ReplyDelete