asas

asas

sintah

sintah

MISS TANZANIA YAJA KIVINGINE...

 
hatimaye Lundenga amesikia kilio cha wananchi, ameachia ngazi


Miss Tanzania imepata kamati mpya ambayo itaanza rasmi na kufanya mabadiliko yaliyokuwepo mwanzoni, je kamati hii itairudisha nindhamu, heshima iliyokuwepo mwanzo? na haswa katika swala zima la upendeleaji kwamba nani apate na nani asipate yaani katika kitu ninachukia na nitakuwa mstari wa mbele kukemea ni swala la kutupangia mshindi, kama mnapanga mshindi msilete watoto wa watu pale mbele mkawachoresha nawakati mna wenu tayari, yaani kamati mpya hakikisheni hili  linanyooka na pasi ya umeme.....

KAMATI MPYA 


Juma Pinto -Mwenyekiti
Lucas Rutta-Mwenyekiti msaidizi
Dorice Mollel- Katibu
Jokate Mwegelo-Msemaji wa kamati
Hoyce Temu - Mjumbe
Mohamed Bawaziri-Mjumbe
Gladys Shayo-Mjumbe
Magdalena MunisMjumbe
Shah Ramadhani Mjumbe
Ojambi Masaburi- Mjumbe
Hammn Hashim- Mjumbe
Khalfan Salehe- Mjumbe

kama mdau wa Miss Tanzania unadhani hili la kubadilisha kamati nzima litarejesha heshima iliyokuwapo hapo awali? ama watu ndio wameshachoka tena na hili shindano...

9 comments:

 1. LOWASA RAIS 2015

  CCM TUMEWACHOKA

  ndo nshasema

  ITZ ME ZEE LA MICHEPUKOZ

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hebu acha kelele, mmemchoka Dr Slaa itakuwa ccm? Huna jipya na wewe. U

   Delete
  2. hahhah yani we zee la michepuko me nakupenda bureee unywe bia tatu hapo kwa mangi bill yangu ama nene, mana unakurupukaga utafikiri usingizini hahhahahhah

   Delete
 2. yaani naona kama garbage in garbage out hamna jipya

  ReplyDelete
 3. tuwape chance may be kutakuwa na mabadiliko

  ReplyDelete
 4. PINTO WA WEMA HUYOO.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Watotowenu wakienda miss tz muwaambie nanduguzenu watakaoshiriki,wasikubali kuliwa nahao waandaaji Jamani,msiumize watoto wawenzenu maana mnahadaazakilanamna tunawajua

   Delete
 5. ESMA MUNGU ATAWAAIMAMIA NA MUMEO AU BABA MWANAO
  LEO NIMEINGIA INSTA YA ESMA NIMEUMIA JAPO NILIMLAUMU KTK MADA YA SINTAH MAJUZI
  UNAJUA KUNA WAKATI UKIMPENDA MTU KWA DHATI UKIJAAMBIWA YUKO NA MTU INAHITAJI SUBIRA NA NGUVU YA MOYO NA AKILI NA MWILI UKUONGOZE
  KUNA MIOYO HAIWEZIII!!!UKIAMBIWA TU UNAKURUPUKA NA HII HATA USOME KISAIKOLOGY TUMEUMBWA NA MIOYO TOFAUTI
  MIE NIMBUMILIVU HUWA NAUMIA ILA NADHANIOYO WANGU UNAFANANA NA WA WEMA SEPETU AKIACHIKA AU AKIACHA HAJALI ANAUMIA NDANI
  ESMA AMENIUMA LEO KAWEKA WIMBO WA AIYOLA KUONESHA HISIA ZAKE JUU YA ALOMPENDA
  WANAWAKE TUPENDANE TUSAIDIANE
  TUSIUMIZANE MBONA HATA HAO MANILIONEA WA DUNIAN WANAPATA KARAHA ZA MAPENZI
  NADHANI PENZI LIMEUMBWA NA FURAHA NA KARAHA
  HATA UWE TAJIRI UMLISHE MWANAUME UMVISHE LAKINI AKIKUKAA ROHONI KUMTOA SHIDA
  SINTAH NA MANGE WEKENI MADA ZA UPENDO ZAID JUU YA WANAWAKE ACHANA NA HUYU KAFUMANIWA ANATOKA NA MTU WA MTU
  TUSIUMIZANE

  ReplyDelete