asas

asas

sintah

sintah

WASANII WA TANZANIA NA SIASA.......Wasanii wa Tanzania hebu kuweni na hoja za maana kama Diamond, sio vibaya kuwa na Team yako ila msiwe kivuli cha wakuwatukana wagombea mitandaoni, nyie ni kioo cha jamii kama kuna mabishano basi yawe ya hoja sio kuchambana na kutukanana, watu wataiga kutoka kwenu na tutakuwa hatujengi bali tunabomoa,....  yaaani nimependa sana Diamond alichoandika ni cha msingi sana hebu igeni mfano kutoka kwake...

19 comments:

 1. EEH KAZIKAZI,NA LINA NGUVU HILI LISUKUMAAAAAAAAAAA!
  ACHA KABISA.

  ReplyDelete
 2. kweli kaandika vizuri naamini kila mtu ana uhuru wa kuchagua akipendacho. ila inaumiza pale watu wapoongelea ugonjwa wa mtu na kumnyanyapaa kuwa hawezi kuwa kingozi sababu 'anatetemeka'. jamani wengine baba zao walikufa kwa maradhi pia ila hawaoni wanaona ya wagombea tu. je kuna mtu anaomba maradhi kwa Mungu? je wewe unaijua kesho yako? ukiumwa utajisikiaje ugonjwa wako kuandikwa mitandoni na kutumika kukunyanyapaa? je wewe una mkataba na Mungu kwamba hutakuja kuumwa? je mzazi wako akiumwa utapenda adhalilishwe mtandaoni? ugonjwa ni nature same as kifo, kuna ambayo tunaweza kuzuia na tusiyoweza kuzuia. mimi nawaomba wasanii wanadi wagombea wao kwa hoja na si kutumia ugonjwa wa mtu. na ninawaombea wote mliomnyanyapaa baba wa watu kuwa anatetemeka msije kuumwa maisha yenu yote nyie wala ndugu zenu wa karibu ili msikae kujua maumivu ya kunyanyapaliwa.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wewe unalaumu kwamba wanamnyanyapaa kiongozi, kaa ukielewa kuwa hakuna anayemnyanyapaa Lowasa.Sifa ya kiongozi ni lazima awe mchapa kazi,sasa kama mtu una maradhi saa ngapi utafanya kazi?angepata ugonjwa akiwa kiongozi afadhali,lakini hata kabla ya kupewa madaraka mtu anaumwa kwa nini asingewapisha wengine?ni kiongozi mzuri lakini kama afya hairuhusu hafai kushika nafasi ya urais.Tofautisha Kwamba Lowasa sio mlemavu,na kama ni ugonjwa huo wa kutetemeka tiba yake inachukua muda mrefu kurudi kwenye hali yake ya kawaida.kweli angepumzika.

   Delete
 3. ndio walewale wakina ziro brein.....alivyo mpigia kampeni lowassa hakulijua hilo?? stupid idiot... next

  ReplyDelete
 4. Replies
  1. we ulishapimwa na babako?

   Delete
 5. Replies
  1. ccm my foot wazazi wanazalia chini hakuna vitanda, hamna umeme, hakuna maji safi , wanafunzi wanakaa chini huko vijijini ndo usiseme, inakumbatia mafisadi, madawa ya kulevya hadi viongozi wamo, ati ccm oyee BLOOD FOOL!!

   Delete
 6. Sintah unachokipendawewe mimisiwezi kukipenda,kilamtu nautashiwake,na watanzania msiongozwe na ushabiki kwani ukijisimamia mwenyewe wewe kama wewe ukaamua kwa utashi wako nampigia flani kwasababu zako unazoona zinafaa siitakuwa umeitendea hakinafsiyako,basi jitambue wewe kama wewe kataa kufwata mkumbo wa ccm ama chadema fanyavilerohoyako yataka usifwate akili zakushikiwa,nakwahao wasanii niwajinga Hata diamond hajatumia akili minifaniwake nampenda ilahapa wasanii wanatumika tu kwa maslahi flani its like wanatumwa,kilamtu na akae katika position yake amchague amtakae,natukizungumzia magonjwa yahao wagombea uraisi,tutakuwa wakurupukaji sbbu kiafya kabisa nani aliemzima pasee,mbona kikwete Alikuwa anaanguka kunamtu aliemnyanyapaa Au wakisema wapimwe wote aongoze ambae hana gonjwa lolote kuna atakaesimama kati yahao wagombea,mnatakakusema magufuli,kikwete lowassa wote hawaumwi kitu Hawana pressure wala sukari?wazazi wenu wangapi wana sheli ma pb wengine positive hiv mbona hawafukuzwi makazini wanapofanyia kazi?Au huyo kikwete hakukataliwa nakwakuanguka kwake,je wewe unajijua Tatizo ulilonalo?maana watanzania wengi mpaka muumwe ndio kwa dr mnaenda,wengine kansa inawakula mpk mkishtuka kwenda kupimwa toolate,basi jiangalie wewe kwanza afyayako ndipo useme wanaokuzunguka,Acheni ubinafsi na Acheni kufwata mikumbo mtumie akili namumuogope mungu.

  ReplyDelete
 7. ni ujinga kuendelea kuishabikia ccm wakati maisha yako binafsi ni ya chini sana na hayaeleweki...yaani mtu unaleta ushabiki kwenye vitu serious halafu baadae ukienda hospital ukakuta huduma mbovu, mgao wa umeme, huduma za jamii mbovu unaanza tena kulalamika kuwa serikali haifanyi kitu..serikali haikujali....wa-tz wengi tufikiri kwa kutumia akili si vinginevyo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. UNNADHANI CHADEMA NDIO WARABADILISHA NCHI?KWANI UNAJUA GHARAMA ZILIZOTUMIKA KUNUNUA MAGARI YA MSAFARA WA LOWASA?KAMA KWELI WANA UCHUNGU NA WA-TZ BASI MAPEMA WANGEEPELEKA HUDUMA MAHOSPITALINI,NA HUDUMA NYINGINE.NAPENDA CCM TU,

   Delete
  2. Mmepanic,huwezi kumlazimisha punda kunywa maji hata kama umemfikisha kisimani.CCM TU.

   Delete
 8. Aliselemaa,alija,
  aliselema,alija,aliselema alija,aliselema alija.
  selemaselema alija,selemaselema alijaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 9. leo ukawa wote hampo chezea sintah wewe

  ReplyDelete
 10. huyo diamond kuanza kupiga kampeni za wazi hivi akiwa ni msanii mkubwa wala haipendezi . saa hizi angezingatia zaidi DNA ili ajue kama kauziwa mbuzi kwenye gunia au vepee tafuta jimbo kagombee kama unataka kuwa mwanasiasa. fala wewe utatuambia nini mjinga mkubwa

  ReplyDelete
 11. bado mnachagua chama cha miaka nenda rudi? naipenda UKAWA mpaka naumwa na kura yangu wataipata Oct.

  bania wewe bi dada

  ReplyDelete
 12. Naipenda CCM kwa ajili ya Magufuli Maskini mwenzangu,,,,UKAWA Chama cha Matajiri,,,,na uchu wa madaraka Lowasa akitwambia Utajiri kaupataje na tukubaliane nae ndio atashawishi watu ila najua wengi tupo kishabiki Zaidi na maslahi sio kisiasa.CCM Damuuuuuuu,,,,,,,,,

  ReplyDelete
 13. Miaka miwili ijayo hawahawa wanakuja kulia na kukosekana huduma za jamii...Yetu macho.....Hahaahah...watanzania wajinga sana

  ReplyDelete
 14. wewe 3:35 AM mjinga mwenyewe, hatutaki matusi, na ndo hapo mnapokosea, kwanini utuite wajinga? Tuache na ujinga wetu, we mjanja chagua huyo fisadi wenu. Afadhali gamba tushalivua oyeee, hangaikeni nalo hiloooo, wapenda pesa nyie, ptuu.

  ReplyDelete