asas

asas

sintah

sintah

WHAT A TRAGEDY!


Mwenyezi Mungu mpe nguvu huyu baba aliyefiwa na familia yake yote kwasababu ya moto, hili tukio limetokea Buguruni Malapa, daaah imeumiza sana watu wengi lakini tunaamini kazi ya Mungu haina makosa,, tumshukuru tu kwa kila jambo... walifariki ni tisa

10 comments:

 1. Ewe mungu mshushie subira mja wako huyu aweze kusubiri mtihani huu mkubwa uliompa, asichizike wala asijidhuru na umlipe malipo makubwa kwa mtihani huu na uwasamehe waliotangulia mbele ya haki AMEEN

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mdau uemongea vizuri sana, amen

   Delete
 2. MUNGU ampe nguvu huyo baba katika kipindi hiki kigumu na marehemu awape pepo huko waendako.inauma sana ila hakuna jinsi ni kukubali tu.Mungu atusitiri na majanga haya na mengine

  ReplyDelete
 3. inasikitisha sana jamani Mungu awalaze mahali pema peponi

  ReplyDelete
 4. Mungu awalaze marehemu wote mahali pema peponi...Amen..
  Naomba pia kujua source ya moto ni nini wadau?

  ReplyDelete
 5. A lot of pain,may their souls R.I.P.

  ReplyDelete
 6. Mungu awarehemu, yoote hii ni ccm miaka 50 ya uhuru hakuna umeme wa kueleweka ni ufisadi tuuuuu na kulindaana huku raia wema wanakufa. pole sana mzee uliyeondokewa na familia hili ni pigo kuu. hata pole milioni haziwezi kumuweka sawa kweli inauma mnoo.

  ReplyDelete
 7. TEAM WEMA BE LIKE; , hlf ww sintaa una rohoo mbayaa hapoo tunajuaa una msemaaa wemaa kwa kumpokeaa batuli kwa vilee kaunguliwa na nyumbaa, ss kwnn usi mpongezee wemaa kwa roho nzuri???? Hahah these teams got no chills.
  MAY THE ALMIGHY GIVE SUBRAA TO THIS GUY. AMEEN.

  ReplyDelete
 8. ee Mungu wa huruma uwasamehe hao marehemu yale waliyokukosea kipindi cha uhai wao uwapokee kwako mbinguni, amen. mpe nguvu na umlinde huyu aliyebaki awe salama mikononi mwako

  ReplyDelete
 9. POLE SANAAA MUNGU AWE NAWE
  ILA TANZANIA WAMGEWEKA ZIMA MOTO ANGALAU KILA ENEO JAMANI KWANI FOLENI YA MAGARI INAFANYA ZIMA MOTO LISHINDWA KUFIKA KWANI FAYA MPK BUGURUN NA SAA NGINE LIFIKE HAKUNA MAJII

  KINGINE SIE TUNAISHI EUROPE TINA ALARM NADHANI HATA WACHINA WANAZO UNAFUNGA KWENYE JUU YA DARI ILKITOKEA MOTO NA MOSHI UKIANZA INAPOGA KELELE
  NA TUNAKUWA NA VITANK VIDOGO VINA UNGA AMBAO UNAZIMA MOTO WATANZANIA TUELIMISHANE ILI TUEPIKE HAYA MAJANGA JAMANI
  SASA HAPO AMEUMIA SANA NA UJENZI SHIDAPK AJE AJENGE SIJUI LINI

  ReplyDelete