asas

asas

sintah

sintah

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

tuacheni kufuata  mkumbo wajameni, kushabikia vitu ambavyo hatuvijui, kuna habari  katika mitandao zinazopotosha jamii, kama mTanzania jua wewe mwenyewe unataka nini? lazima wewe mwenyewe kwanza ujitambue, maana ukisubiri serekali ikuletee mabadiliko  then utasubiri sana na kila regime inayoingia utailalamikia maana huwezi ukawa unakaa kijiweni unategemea maendeleo, lazima ujiulize wewe utaifanyia nini serekali? wengi sana wamedandia siasa this time ni vizuri sana kwa mliojiandikisha kwa wingi lakini kuweni makini mnapokaa na stori zenu za uongo,.

 wewe kuelekea uchaguzi huu mkuu 2015 una yapi ya kuzungumza, kushauri na si kwa wagombea uraisi tuu bali kwa wabunge na madiwani katika majimbo kuna lipi haswa wanakosea ambapo tukiwaeleza wanaelewa, hiki ni chombo cha habari na habari zitawafikia na watajirekebisha huko majimboni yaani sasa hivi wananchi wamechachamaaa hapana taka jinga ya kudanganywa huko majimboni... wamepiga chini wale longolongo.

4 comments:

 1. Nasemahivi nimtumzimasasa nakaribia40,nimefanikiwakuona tawalazote zilizopita nikiwa na akili kabisa namaanisha utawala wamaraisi wote,sasa tulipofikia sipazuri nakubaya Maisha yamekuwa namatabakasana kati yawalionacho nawasionacho,halihii inasikitisha mno,sioni dhambi kusema tunatakiwa kubadili mfumo uliomadarakani siwameshatawala miakayote,nahapa ndiotulipofikia,niwakati umefika kuwapa kura wapinzani nawao watawale miaka10,tuone hakuna mabadiliko tunapiga chini anapewa mwingine tusiishi kwamazoea na uwoga nakukandamizwa kisa unahofu wakichukuawengine itakuwambaya zaidi,kwanihawa waliotawalamiakayote sindio wametufikishakubaya huku,Hebu tutumie akili natumuombe mungu natuache uwoga tumeletwa duniani kuishi kwafuraha na amani kuyafurahia Maisha siokukandamizwa nawatuwacjache tumtoe mkoloni mweusi madarakani kataa kuwamuoga,kataa kuwamjinga,ombeni mungu awape chaguosahihi mfumo ni mbovu haufai kuwepo tena,nikuamua maamuzi magumu tusasa tukimtanguliza mungu hatutashindwa

  ReplyDelete
 2. Maamuzi magumu ndo yapi hayo? Hivi wewe wa miaka 40 kweli unaongea hayo? Na hawa wa below 40 wasemeje? Kura yako ni moja, kura yako ndo raisi wako, hata huyo unaempenda asipoingia madarakani atabaki kuwa raisi wako no mater what. Hivi kweli umekaa nyuma ya keboard unaandika story yote hiyo, kazi unafanya saa ngapi? And you need changes, change its you, not another person, hakuna atakae kuletea changes, anza wewe.

  ReplyDelete
 3. HEEEEEEEE NIMEKUELEWA MZEE MWENZANGU

  ReplyDelete
 4. MABAADILIKO LAZIMA HAO WA NINI NIMEZAA MTOTO, MTOTO KAZAA MTOO NA MJUKUU ANAMTOA BADO WAPO TU MADARAKANI KWA LIPI LAZIMA WAPIGWE CHINI

  ReplyDelete