asas

asas

sintah

sintah

MAMBO YA MAHABA

Brooklyn n Selena

Hawa watoto? mmmh kweli mapenzi yana run dunia watoto, vijana, wazee wanasumbuka na neno mapenzi, ngachokaaa imagine ndio unakakuta ka binti kako mwenye umri kama wa Selena anakuwa na kijana kama Brooklyn ama mzee fulani hivi mwenye ndevu zake na mtambi huo utafanyaje? Selena naye katika umri huo ameshaanza kuumizwa katika mapenzi haaaa mbona anasafari ndefu?

7 comments:

 1. Huyu Brooklyn si ndo yule mtoto wa David Beckham ama nn??

  ReplyDelete
 2. Selena mzuri jaman walikua wanapendezea sana na justin biebar af sinta unamuongelea selena kama mtoto mdogo wakt ni mkubwa kabsa

  ReplyDelete
 3. Atlast this young girl seems happy. Sio Bieber anampa stress na kardashians tu. Bora kaamua kumwachia Kendall. #HappySelena#

  ReplyDelete
 4. hata wewe mbona ulianza kuumizwa ukiwa mdogo tu bana!!!

  ReplyDelete
 5. Mhhh, mwenzetu na uandishi wako wa kukurupuka, eti mtoto, au si selena gomez huyu mwenye miaka 23?? Utoto umetokea wapi?? Yeye ndio mkubwa kwa Brookyln (sawa na shosti wako Zari na Diamond), kama leo ukamuite zari mtoto kwa diamond kisa kazidiwa urefuuu

  ReplyDelete
 6. Heee selenaa ana miakaa 23 we sintahh asaa anaa utoto gani

  ReplyDelete
 7. Halafu hawatoki jamani sintah acha kuassume, walikuwa pamoja for fashion week

  ReplyDelete