asas

asas

sintah

sintah

NAY AMJIBU JANUARYMsanii  wa  bongo  fleva, Nay  wa  Mitego  amemvaa  mjumbe  wa  kamati  ya  Kampeni  ya  CCM,January  Makamba  na  kudai  yeye  ni  mnunuaji  mkuu  wa  tafiti  na  wasanii  kwa  lengo  la kukisaidia  chama  chake.

Nay  alimjibu  January  Makamba  aliyepost  ujumbe  ukionyesha  kushangaa  tuhuma  dhidi  ya  CCM  kuwa  imekuwa  ikinunua  wanasiasa,tafiti  pamoja  na  wasanii  kwa  lengo  la  kuulaghai  umma.

"Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate imenunuliwa. Wasanii wamenunuliwa. Tuwe creative kidogo" Aliandika  January  Makamba.

"Ni kabisaa kwani uongo? We ndo mnunuzi mkuu. Bro kama ubunifu ni hela basi we Master wa Ubunifu... @JMakamba Ongeza ubunifu bro" Alijibu  Nay  wa  Mitego

7 comments:

 1. KWANI UWONGO? KWELI HIYO NDIO KAZI YAKE ALOPEWA

  ReplyDelete
 2. Mie napenda mtu mkweli

  ReplyDelete
 3. asante nay kwa kutoa makavu live. this time watanyea debe.

  ReplyDelete
 4. safi sana jembe ilo ..tena atokee mwingine wa kumshushua uyu kijana mwenye kiherehere! CCM ccm kitu gani bwana!!! mfyuuuuuuuuuuu!!!!

  ReplyDelete
 5. Nay asanteeh eish Nay nawe kwa uropokwaji hahahahaaaaaaaaaaaaa yani huyu January Makamba anajifanya yeye ndio msomi Tanzania nzima yeye ndio mjuaji Tanzania nzima eish alivyo pania kuiharibu Tanzania kwa ubunifu wake sasa only God knows but God will always stand by US BIG UP NAY MLOPOKAJI keep it real homie

  ReplyDelete
 6. huyo januali sijui linanikeraga

  ReplyDelete
 7. Mi simshangai sana huyu kijana kwani amerithi unafiki wa baba yake. Baba yake alikuwa mtu wa majungu ndani ya chama na baadaye wakaona hafai na kumvua madaraka kutokana na kudandia issues za watu. Huyu yanki atakuja kuzeeka vibaya kwani vya kurithi ni vibaya Zaidi.

  ReplyDelete