asas

asas

sintah

sintah

SHAMSA FORD ASEMA YEYE HANUNULIKI...Muigizaji machachari Shamsa Ford amesema yeye hanunuliki kwa gharama zozote kwani wakati wa sasa ni wa mabadiliko na si kingine , Shamsa anaunga mkono UKAWA na hiyo yote ni kuwepo kwa tetesei kwamba wasanii wanashikishwa mikwanja mirefu katika kipindi hiki cha campaign...

6 comments:

 1. dada anamsimamo nimempenda sana big up shamsa!!! achana na akina vigeugeu wananunulika wanasahau watapata mlolongo wa matatizo kwa miaka mingine5! kwani nini mtu akununue kama ana nia njema badala ya kukushawishi tu? pipooooooooooooz wameshatusoma mwaka huu tutawachinja october 25

  ReplyDelete
 2. shamsha wewe ndo mwanamke haudanganyiki achana na kina anti ezekieli anakigeugeu tu hapendi mabadiliko lakini simshangai kwa vile namwanae anakujakuwa muigizaji kama yeye ndo maana mama yake haoni faida ya mabadiliko limbukeni mkubwa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sawa kwani uigizaji dhambi? Matajiri wangapi ni waigizaji? Ovyooo

   Delete
 3. SAFI SANA WALE HATA MAISHA YAO HAWAJIELEWI MARA SUNDAY MARA DANCER WA DOMO

  ReplyDelete
 4. LOWASA ALINUNULIWA?AU KIGEUGEU?
  25/10/2015 MTANYAZAA NA MAJIGAMBO YENU.

  ReplyDelete
 5. Usije ukawa kamawale wenzio cheap labour

  ReplyDelete