asas

asas

sintah

sintah

TUTAKUKUMBUKA BABA

Mh Rais na Chancellor wa Germany

Tunamshukuru sana Mh Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete kwa yale aliyotufanyia na haswa kutusaidia kutambulika zaidi nje ya nchi, kuna wengi wanaweza wakasema kuwa ooh hajafanya kitu ila mtakuwa hamna kumbukumbu na shukurani kwa aliyotufanyia JK,  ni siku chache tu zimebakia ili ukapumzike, sasa hivi Raisi kikwete anaiacha Tanzania katika ramani ya kueleweka kila mtu anajua Tanzania kuna rasilimali nyingi, viongozi mbalimbali wamedhuru katika kipindi hiki cha JK.....shukrani baba na kila la kheri .....

3 comments:

  1. Hao viongozi waliodhuru we hope walikuja kwa mema

    ReplyDelete
  2. aende tu salama, ntamkumbuka kwa kuuza Masikio wetu na Twiga wetu, na kukuza deni letu la Taifa! !aende tuuu

    ReplyDelete
  3. Acha ushabiki mandazi hapa vinginevyo upeleke kwenye vilabu vya mpira. Utamkumbuka kwa yapi mazuri aliyokufanyia? Zaidi ya tabasamu, rais wako anaona aibu tele kila aangaliapo video zake za kampeni na ari mpya na nguvu mpya. Sintah, huku ndugu yako hatutamsahau kwa kutuulia chama chetu cha mapinduzi. Ego zake yeye na Nape ndizo zimekipasua chama chetu na tutamjutia mzee wa mamvi.

    ReplyDelete