asas

asas

sintah

sintah

TYRA BANKS ALILIA MTOTOKatika maisha ya mwanadam na haswa msichana huwezi ukawa katika mfumo mmoja wa maisha, kuna kipindi kikifika ni lazima ubadilike na haswa uanzishe familia yako binafsi naamanisha upate mume na mtoto haswa sasa basi super model wa kimataifa Tyra Banks amejikuta akimwaga chozi na kusema kwamba december anafikisha umri wa miaka 42 ila jitihada zake za kutafuta mtoto zimeshindikana, ewe mwanadada haswa binti ambaye umri wako ni mdogo usiingie katika  ushetani na ukatoa mimba kwani hujui huko mbeleni itakuwaje, sisemi kwamba wote wenye matatizo ya kutopata mtoto ni kwamba walitoa mimba hapana bali wengi wenye matatizo hayo walitoa mimba katika ujana wao, sasa basi si mbaya tukawaasa wadogo zetu kwamba wa epuke na hio tabia kwani baadae watajiletea madhara makubwa.....

epuka kudanganyika na mwanaume kwamba mfanye abortion , wanaume hawana maana anaweza akakudanganya na baadaye asikuoe na akapata mtu mwingine wakati wewe umeshaharibikiwa

kwanza tujadiliane ni wanawake wangapi yamewakumbwa na  haya ya kudanganywa na ma hubby kutoa mimba na baadaye kutofanikiwa kupata mtoto na so called hubby akakukimbia na ukabaki na tatizo ambalo mpaka leo linakutesa  na kulijutia?

38 comments:

 1. Japo sijawhi kufanya hicho kitendo na ninamshukuru Mungu aliniepusha na kitu kama hicho mpaka nimekuja kuolewa sikuwahi kubeba mimba kwanza nilikuwa muoga sana even to think abt being pregnant bila ndoa na sasahivi ndoa yangu ina karibia miaka mitatu bado natafuta mtoto na sijaona mafanikio ila naendela kumtumaini Mungu naamini iko siku atanipa kama ni mapenzi yake mimi kuwa mama. Ila tukirudi kwenye swala la kutoa mimba na kupata watoto au kukosa watoto, sio kweli kwamba wengi waliotoa mimba wanakosa watoto, nasema hivyo kwasababu katika kukua kwangu mpaka nafika utu uzima, nimeona wasichana wengi ambao walikuwa micharuko na kutoa mimba sana tena hasa kipindi niko chuo niliona wengi wenye tabia hizo ila kati yao hakuna hata mmoja ambae hana mtoto tena kuna mmoja wakati tuko chuo alishatoa mimba 2, sasa tumekutana wiki iliyopita ana mimba nyingine this time ameamua kuzaa japo bado hajaolewa akanishangaa kwamba bado sina mtoto nikamwambia ndo natafuta akaniambia i wish nikuazime hiki kizazi changu manake yeye akikosea tu kidogo zinaingia, yaani almost wale micharuko woooooote nilikuw nawaona wanahangaika na hizo arbortion sasahivi wanafamilia zao wameolewa na wana watoto, ikitokea mtu alitoa then hajapata sizani kama vinahusiana na huko kutokupata mimba inakuwa ni matatizo tu mengine, kama ambavyo mtu anaweza beba mimba moja au mbili zikatoka tu zenyewe kwa bahati mbaya then baadae anakuwa hashiki tena

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ila pia kutoa mimba sio kwamba huyo mtu ni mcharuko,ni kweli kutoa mimba sio kitu kizuri hata vitabu vya Mungu vinasema usiue,lakini pia kuna mazingira ambayo kwa kweli hakuna jinsi mimba lazima itolewe. Namshukuru Mungu nimewahi kufanya hivyo mara mbili katika usichana wangu,naendelea kutubia dhambi hiyo kwa Mungu anisamehe,aliyenipa mimba hizo ndie leo mume wangu wa ndoa,tuna watoto wawili wakike na wakiume,narudia tena sio wote wanaofanya hivyo ni micharuko,tena hao micharuko wala hawapati mimba hovyo.

   Delete
  2. ni ukweli kabisa kutopata mimba hakuhusiani na kutoa mimba. sababu zipo nyingi mno. dada jaribu kwenda kuwaona fertility dr unavyozidi kuchelewa na tatizo nalo linazidi kukomaa. na chance za kuzaa zinapungua. kama afweza ipo fanyeni ivf

   Delete
  3. well said, Mdogo wangu wa DAMU katoa mimba hata 20 na hivi sasa anawatoto 4 , inategemea mimba unatoaje , by the way watoaji mimba ndio wanavizazi vyepesiiiiiii!

   Delete
  4. Kapime vyote hapo juu na pima pia hormonal imbalance,ukiwa na hyo huwez pata mimba,mpaka utibiwe,pole mpnz

   Delete
  5. well said mdau.....kutoa mimba sio sign ya ukicheche wala sijui low morals wengine inabidi hakuna jinsi...mfano mimi nina 29yrs na my first boyfriend alinipa mimba when i was 19yrs,sasa ndo kwanza bado nakaa kwa wazazi na bado niko chuo.wazazi ni wakali kama simba,sikuwa na jinsi zaidi ha kuitoa and my so called boyfriend akatoweka after kujua nina mimba..labda kama angekuwepo na kuikubali ile mimba labda ningepata nguvu ya kumface mzee wangu but mwanaume alivyotoweka nikaona isiwe tabu.....nilitubu kwa ukweli kabisa mbele ya Mungu na nikamove on na maisha na sasa nimeolewa with 2boys. Sometimes nafikiria maisha yangu yangekuwaje kama ningezaa na yule mwanaume mshenzi, uwiiii...headache tupu.!!!! mkewe huko alipo anaipata cha moto.

   Delete
 2. Sema tatizo kibongo bongo unapokosa mtoto wengi wanaanza kuzani ulikuwa hujatulia na umeshatoa mimba nyingi sana, tena hata madokta manake mimi kila dokta niliekwisha muona kwenye kutafuta mtoto lazma aniulize kama nilishawahi kutoa mimba, aisee huwa nachukia saana

  ReplyDelete
  Replies
  1. Well said mdau...Kutokupata motto cyo sababu ya kutoa mimba...kuna mambo mengi na mengine ni yanatoka upande wa mwanaume...so usilemee sana kwenye utoaji mimba...kuna matatizo mengi...

   Delete
 3. Yaani wanaume hawa yalinikuta haya ya kuambiwa nitoe mimba halafu sijui ni utoto au uoga... mwanaume anakupeleka kabisa hospitali halafu yeye mko hospital yeye yuko busy na simu tena instagram hata hana habari. Halafu hela akatoa nyingi tu mtu kama huyo mwenye hela anashindwaje kulea mtoto.. nikapitia maumivu baada ya hapo sikumtafuta tena na yeye wala hakujali.. but Life is amazing nikapata boyfriend ananipenda na kunijali na nikamuelezea huu mkasa akaniambia its okay hata usipozaa we will adopt but he loves me no matter what now tuko mbioni kufunga ndoa ndio huyu kikaragosi ana rudi na swaga za if i could turn back time nisingekufanyia vile....... wasichana wenzangu muwe makini na hawa wanaume wa kurukaruka wana roho ngumu better keep your legs closed and save your dignity for the one that deserves all that you can give.

  ReplyDelete
  Replies
  1. ha ha haa mie nilikuwa na mwanaume mshezi dizaini yako tena alitoa laki tano akanipa ninyofoe kiumbe changu wakati mie natamani kababy basi tukaenda mguu kwa mguu hospital akawa ananisubiri basi na mie nikaenda ndani huko nikabanisha tuu nikawa namchora manake hata sikuwa nimeongea na dr chochote nikaaa baada ya one hour nikatoka nikaibuka huku nimeinama naangalia chini ili asinishtukie, ati polee… nyoooo… kumbe kitu na boxi.
   lilikuja kugundua lilivyoona kitumbo ndwiiii na kiubabe sikumuonyesha mtoto hadi leo hii 6 years kaomba weeee aone japo picha kiukweli sina mpango hata wa kumuonyesha picha ya unyayo na nikahama bongo kimoja! mfyuuuuu…...

   Delete
  2. Yaani dada nimekupenda bure anataka aone mtoto yupi? wakati alishaenda mtoa kwa hela kibao hahahahaha yaani natamani nikuone mwanamke jasiri yaani hupelekeshwi na hivi vikaragosi vya mchawi kalaba Hongera mamy lea mwanao ndo msaada wako wa kesho akikuwa mpe hiyo story uone kama atatamani kumjua hata baba yake muuaji.

   Delete
 4. Masikini Tyra, nampendaga sana. Mungu amsaidie apate mototo. Sinta umeongea point sana.

  ReplyDelete
 5. Me napita tu,msukuma wa Shinyanga.

  ReplyDelete
 6. Ila mostly ni hizi birthcontrol pills and injections. Hizi kwa sasa huwa zinaleta sana matatizo wakati mtu anapoamua kushika mimba. Ni vizuri zaidi kutumia natural methods kama bado hujaolewa na kupata watoto. Hata mastaa wa kizungu hizi ndio huwa zinawacost sana cause wao huwa wanazianza at a very earpy age wakishavunja ungo tu wao wanaanza birth control.

  ReplyDelete
  Replies
  1. umenena hayo madawa ni nuksi mnoo tena hasa hizo zinazokuja africa manake wazungu wanampango wa kupunguza watu basi wameanza na bara pendwa.

   Delete
  2. Hata mimi nahangaika coz nilichomaga depo (sindano) mpka leo nahaha tu hata cjui lakufanya aliepitia hii kitu anijuze jaman alifanyaje mpka kuweza kuconcieve? umri waenda tangu nilivochoma sindano mwaka 2011 mpka leo 2015 holaa..naruka judo zotee lkn wapiii

   Delete
 7. MAPENZI YA MUNGU HAYANA MAKOSA
  MIE NAAMINI KUPATA AU KUKOSA NI MAPENZI YAKE MUUMBA .
  HATA MIE NAWASHAURI WASICHANA BORA KUZUIA HUJUI UNAWANGAPI ULOBARIKOWA TUMBONI.
  ILA SINTAH MUHIMU WADADA WANAONZA MAPENZ MAPEMA WATUMIE NJIA ZA UZAZI WA MPANGO IKIWEZEKANA CONDOM KUNA UGONJWA WA ZINAA NADHAN NI CLAMIDIA NILIUSOMA HUWA UNAHARIBU UZAZI NA KWA KAWAIDA NI UGONJWA AMBAO HAUNA MAUMIVU WAKATI MWIGINE HAKUNA DALILI UNAKIKUTA UNAKUWA NAO MWISHO MAYAI YOTE YANAKUFA

  ILA HATA WEWE ULOTAMANI UKAKOSA USIUMIE MSHUKURU MUNGU KWA MAPENZI YAKE KWANI YY NA HAKUNA AWEZAYE KUYAPANGUA.
  MUNGU WABARIKI WANAWAKE WOTE WALOTANI WATOTO WAPATE

  ReplyDelete
 8. Sintah uhusiano ni mdogo sana katika utoaji mimba na kutopata mtoto ila utoaji wa mimba ni dhambi kubwa ya uaji.
  Mimi nina watoto nina 41 sijawahi kuolewa nahamu sana kupata mume bora kuishi nae ikiwezekana hata mwaka huu usiishe pia nafsi yangu itamani sana kama ningepata mtoto mwingine lakini umri naona umeenda sana na mpaka sasa sijapata hata huyo wa kuzaa nae Baba wa hao watoto alifariki mapema tu kwa ajili lkn tulikuwa na mipango ya ndoa sasa ni miaka mitano imepita. Lakini kwa sasa napata shida sana ya mahusiano kwani sipati mwanaume bora kila ninaposhika naishiwa kuumizwa tu sio wa kweli nifanyeje ndugu zangu

  ReplyDelete
  Replies
  1. shost hauko peke yako mie na 43 kabisaa na sina mume nimezaa twins nikiwa na 42 kwa raha zangu. manake nilisubiri mume nayemtaka wee nikaona isiwe anu at last nipate wa kumtuma maji.
   ila kikweli huko nyuma nilishakataa wachumba sana tuu na mie nilixhokuwa naihitaji ni mume bora kiukweli sidhani kama namiss ndoa. maybe nikifika 50 nitaimiss sijui kwa vile nipo huku mbele naona poa tuu.

   Delete
 9. Maskini Tyra,Naamini Mungu atampa mtoto japo atakuwa wa uzeeni.
  Nina mfano wa dadangu amezaa akiwa na miaka 45,na tena sio na mumewe wa ndoa,maana ilibidi watengane baada ya manyanyaso na kuitwa mgumba na mume na ndugu zake,miaka miwili baada ya kutengana dadangu kazaa,yuko na raha tele analea mwanae.

  ReplyDelete
  Replies
  1. mie mwenyewe mkubwa tuu nilikuwa na mume mzungu ila bado tulikuwa hatujazaa basi kuna mdada mmoja akamkwapua wakafunga naye ndoa huko tz ila Mungu mkubwa kaachwa na wakwe hawampendiii.
   najua utapiata hapa he heee cc kichwa panzi

   Delete
 10. any one ameona movie mom at sixteen? such a good movie!!!!, i think is a best movie to watch with our little sisters & brothers they will learn something!

  ReplyDelete
 11. SHIKAMOO KICHWAPANZI HAYA MUNGU WEWE NI CNN INTANESHNO LMAO!! SI KWA UBUYU ULE MTAMUJEEEEEEEEEE UUWIIIII…..

  ReplyDelete
 12. Jmn wap naeza pata cheni ya mkeka nyembamba,englsh gold classic

  ReplyDelete
 13. Ulimwengu umebadilika sana na technology iko advance, kuna njia nyingi sana za kubeba mimba kwahiyo usipotoshe wadada eti matumaini yamekwisha. kuna wanawake wako in their 50s hawajakoma hedhi na watoto wanazaa sembuse huyo ana 42. Dawa asilia au za kizungu zimejaaa tele, acheni kukata tamaa kwasababu mmezoea sheria za jamii mwisho kuzaa 35.

  ReplyDelete
 14. hivi sintah unamfollow kichwapanzi? uuwiii nenda fasta ukaongeze furaha ndani ya kumoyo manake cnn ile ina ubuyu na madata ya hatareeee….. si unajua tena mwosha huoshwa.. sio kuoshwa kule ni kusuguliwa gaga aibu naona mie he heeeee tena ukishajiunga watag watu milioni hai niombe poh!

  ReplyDelete
 15. Mastar wengi wa zamani walikua hawapendi kuzaa sijui kwa nini? Sasa hivi wanapowaona kina Kim, Bey....roho zinawauma na nafsi zinawasuta.

  ReplyDelete
 16. OOT jamanii ndugu zangu...na shida anayejua mahali naweza pata mganga mzuri kwa dar hii nioshwe nyota maana hii nuksi kibokooo...ukiniona ni mzurii kweli kweli lkn mwanaume anaishia kunihonga laki or elfu 50 kamaliza jamaniii na mimi natamani kuhongwa gari na kufungua duka.....kizuri kula na nduguyooo....anayejua mganga mzuri anisaidie jamaniiiio plzzzz maana na mawazoo kweli kweli

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hivi unajua if u think positive then positive things happen to u. Sasa wewe ushajiweke kwamba hupati mwanaume w kukuhonga sijui kiasi flan are u expecting utapata mwanaume wa hivyo. Plus we have different destiny and purpose si kwamba kinachomtokea mwingine lazima kikutokee na wewe. Hizi instagram zinawadanganya sana mpaka mnajiona worthless. Why not find ur own money? Hivi is there no pride in working hard and having ur own hard earned cash. Think positive but be realistic.

   Delete
  2. Point Anony 1:08AM UNA AKILI SANA NENDA KACHUKUE FANTA KWA MANGI NITALIPA TENA AKUPE YABARIDI. ANYONY 7:31 HIZO NI AKILI ZAKO AU UMEAZIMA LOL

   Delete
 17. Sinta na kutoa mimba sio sababu ya kutokuzaa wapo wametoa mimba sita na wana watoto watano na wapo ambao hawajatoa mimba hata moja na wana hangaika kushika mimba,,,,kikubwa sio kukata tamaa hata huyo Tyra haja amua kuzaa kwa pesa alizo nazo anaweza kupandikiza mbegu IVF na akapata motto labda useme na kizazi kilitolewa ila kama kipo kuzaa anaweza kwa uwezo wa mungu na kwa kupandikiza mbegu.

  ReplyDelete
 18. Jaman kuna anayejua gharama za IVF kwa hapa mbongo??na mirija ikiziba huwa inawezekana kuzibuliwa???hospital gani na dokta gani nimtafute...??nashkur sana hii blog huwa najifunza mengi xana!Mwenye majibu ya maswali yangu anisaidie plzzzz

  ReplyDelete
  Replies
  1. kuzibua mirija mbona ipo sana tuu ila shughuli yake pevu inaumajeee? uuwiii yani shost siku ukienda kunywa panadol nne lisaa limoja kabla manake maumivu yale utadhani uchungu umeanza ghafla!
   aga khan wanafanya regency wnafanya pia. mienilifanya zamani enzi hizo kipimo kilikuwa elfu 40.
   kwa ivf bongo sijui manake sipo huko ila kuna wadau niliwasikia humu wakisema mikocheni wanafanya sasa sijui zaidi ngoja waje watatiririka tuu vinginevyo nairobi wanafanya pia.

   Delete
  2. Weka email yako nikupe costs za ivf. Kuzibua chance ya success ni ndogo sana. Thanks God thru ivf am now a mother

   Delete
  3. Tuma hapa tufaidike wote. asante

   Delete
 19. Sifanyi kazi hiyo. Kama huweki email kaz kwako.

  ReplyDelete
 20. Thnx anonymous sept 22,at 1:39hrs....my email adress is lizyd54@gmail.com....about IVF costs

  ReplyDelete