asas

asas

sintah

sintah

WATEJA WA AIRTEL WAZIDI KUJISHINDIA MAMILION YA PESA

Ofisa uhusiano na matukio, Bi Dangio Kaniki akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya saba ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka mikoa ya Kigoma na Dar es Salaam walipatikana akichukua taarifa za mshindi (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha bwana Bakari Majid droo hii imechezwa jana katika makao makuu ya Airtel Moroco jijini Dar es saalam,

 Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kushoto) akimkabidhi mshindi wa droo ya sita ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”, Rajabu Mwalapinga (kulia), mkazi wa Dar es Salaam, shillingi millioni tatu. 


Kuna kampuni inaoowajali wateja wake kama Airtel? jibu ni hapana, Airtel ndio kila kitu iko karibu na jamii zaidi katika maswala ya elimu, michezo na hata watu wa nyumbani Airtel inawajali wateja wote, sasa wateja wake wazidi kujishindia mamilioni ya pesa kutoka Airtel, unasubiri nini kuwa mwanafamilia yetu? mimi nina yangu, hakikisha na wewe unakuwa na line ya Airtel ni gharama nafuu kupiga katika mitandao yote, vifurushi vya Internet ndio usisemeee, kwenye airtle money unatoa sawa na bure kabisa haaaaaa watasubiri ila Airtel ndio baba lao....

1 comment:

  1. Jamani ile ya kushinda gari inarudi lini... please rudisheni lile shindano la IST.

    ReplyDelete