asas

asas

sintah

sintah

CHRISTOPHER MTIKILA AFARIKI DUNIA

RIP Mchungaji

Mwenyekiti wa chama cha siasa (Democratic Party - DP) nchini Tanzania, Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia alfajiri ya leo katika ajali ya gari iliyotokea kwenye kijiji cha Msola mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffar Mohamed amethibitisha. RPC Mohamed amesema Mtikila alikuwa akitokea Morogoro kuelekea Dar es Salaam na alikuwa na watu wengine watatu katika gari hilo.

5 comments:

 1. Mdomo wa Binadamu hujiumbia Neno lake yeye mwenyewe. Mwenyenzi Mungu akulaze panapokustahili. Sote tu wageni juu ya uso wa dunia na tunapita. Ni vyema kila bin-adamu akalielewa hilo. Tambo, kejeli, matusi hayana tija.

  ReplyDelete
 2. RIP mch Mtikila...jamani mnaionaje hii? mtu afe kwa ajali yani hata damu kidogo azionekani? mm. ndio mtasema kaumia ndani kwa ndani but Come on! i dont believe kama kafa kwa ajili bila mkono wa mtu..na kafa peke yake wengine wamepona..hapana bana something is not right here..unganganiaji gani wa madaraka huo adi tufikie hatua hii duh!

  ReplyDelete
  Replies
  1. wewe utakuwa mshirikina wewe. akili zako zimekaa kiwanga wanga tuuu. ndo nyie hata mkiumwa malaria mtasema mkono wa mtu.Mtikila alikuwa ananini haswa za kuuliwa kipindi ichi??? sawa sikatai anamchango mkubwa sana kwe siasa za bongo and ol that, ila kwa sasa hakuwa mgombea ata wa udiwani,hakuwa anagombea nafasi yeyote, sasa auliwe kisa na maana nini???. Binafsi nimeumizwa na kifo chake as ni mtu aliyekuwa anachangamsha nchi na kesi kesi zake zile daah. jamaa alikuwa anapenda kesi balaa alafu huwa anashinda zote. Nakumbuka kesi ile ya Kafulia na Mwanasheria mkuu enzi za Escrow Mtikila liiomba yeye,iwe yake yani Kafulila ampe iyo kesi. Na iliyoniimalizaga kabisa ni ile ya Baba gani cjui jina limemtoka huko huko,serikalini" alimpapasa' weeeh acha Mtikila amfungulie kesi ya madai kwamba jamaa aliyempapasa kamsababishia mshtuko wa moyo na mfadhaiko wa nafsi kwa upapasaji wake,ha ha ha nilicheka balaa,nikajaribu kuimagine huo mfadhaiko wa moyo alioupata kwa kupapaswa. nwy Mungu amlaze pema peponi binasfi nitamiss sanaaaa kesi zako. ulikuwa unanafasi yako kwakweli.

   Delete
  2. mshirikina ni wewe na ukoo wako..nyoko wewe! hapo chini mbona sasa sijakuelewa kampapasa kiaje yani kampapasa ka wanavopapasana wapenzi ama? afu wewe sijui ukoje ukoje hata sikuelewi mie..aah!em niache mie shachoka!

   Delete
 3. ..........Conspiracy theory at work...........haya leteni yale maujinga ya kule mtaa wa 7. Kajifia mwenyewe. Sijui hata kama alipata muda wa kutubu? Halafu ati leo CCM amekuwa rafiki yao. Naifike na kupita hiyo 25/10 nimechoka miyeeeeee na sarakasi.
  Tuombe Neema na Rehema. Hamna mwenye mamlaka juu ya pumzi ya uhai. Ukielewa hilo umepona.

  ReplyDelete